Unganishwa

Search the region

23435 stories

Uncategorized · Chimpreports

Ruto Defends Dangote’s Kenya Pipeline Shares, Accuses Critics of Extortion

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · KT Press

Rusizi Port Also Nears Completion to Cut Rwanda’s Transport Costs on Lake Kivu

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · PML Daily

IUEA opens January intake with head start on competence-based learning

The International University of East Africa (IUEA) has opened admissions for January 2027, offering students an early start in the practical, skills-based model that all Ugandan universities will adopt later that...

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Section of Waiyaki Way paralysed as UoN students protest

Motorists were forced to turn back or seek alternative routes as police officers moved in to disperse the protesting students

Recently
Uncategorized · BBC Rwanda

Kompanyi z'indege eshanu za mbere kw'isi mu myanya ya'Economy' mu 2026 – n'impamvu ari nziza kurushaho

Kuva ku myanya yagutse n'ahantu hanini ho kuramburira amaguru, kugeza ku mafunguro meza na serivisi inoze, dore ibintu bitandukanya amasosiyete atanu y'indege aza ku isonga mu cyiciro cy'imyanya yo kwicaramo isanzwe (Eco

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Section of Waiyaki Way paralysed as UoN students clash with cops

Motorists were forced to turn back or seek alternative routes as police officers moved in to disperse the protesting students

Recently
Uncategorized · The Citizen

Tanzania election violence probe enters suspect identification phase

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Mwanaspoti

KAIBEBA! Kwa nini Harry Kane amevuta Ballon d’Or

HARRY Kane huenda asiwe mshindi mwenye mvuto mkubwa zaidi wa tuzo ya Ballon d’Or 2026, lakini ushindi wake umethibitisha kuwa kudumisha kiwango cha juu cha uchezaji ni jambo linaloweza kumfikisha...

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

Germany news: Merz in Asia says middle powers must 'assert ' interests

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Techweez

Anthropic Files for IPO With Expected Valuation of Up to $2 Trillion

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Ezekiel Mutua ordered to pay Nonini Ksh.3M over defamatory remarks

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

TTB YAJA NA KAMPENI YA CODE +255 - KUHAMASISHA UTALII NCHINI TANZANIA

-Mabasi zaidi ya 400 kutumika kufanikisha kampeni hiyo,pia wamo wasanii na wachekeshaji maarufu Na Said Mwishehe,Michuzi TV KAMPENI ya CODE +255 - TWENZETU KUTALII, imezinduliwa rasmi na Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) lengo likiwa kuhamasisha utalii wa ndani na kuwahimiza Watanzania kutembelea, kufahamu, kuthamini na kujivunia vivutio vya utali vilivyopo nchini. Akizungumza leo Oktoba 27,2026 jijini Dar es Saaam wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo ,Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Dkt. Thereza Mugobi amesema kuna msemo usemao, "Mcheza kwao hutunzwa." Kwamantiki hiyo, sisi kama Watanzania tunapaswa kuanza nyumbani. “Tuitambue Tanzania, tuitembelee, tuifurahie na tujivunie utajiri wa asili, historia na utamaduni tulionao kabla ya kuwaalika wageni kutoka duniani kote kuja kujionea uzuri wa nchi yetu.Tunatoa shukrani kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa juhudi zake za kuitangaza Tanzania kimataifa kupitia Tanzania: The Royal Tour na kampeni ya Amazing Tanzania. “Kampeni ya CODE +255 - TWENZETU KUTALIl itatekelezwa kwa kipindi cha takribani miezi mitatu, kuanzia Oktoba 27,2026 hadi Januari 15, 2027, ikitumia fursa za safari za sikukuu za mwisho wa mwaka na mwanzo wa mwaka mpya kuwahamasisha wananchi kutembelea vivutio mbalimbali.” Dk.Mugobi amesema katika kutekeleza kampeni hiyo TTB itashirikiana bega kwa bega na wadau wa sekta binafsi, vyama vya watoa huduma za utalii na usafirishaji, watu mashuhuri, washawishi wa mitandao ya kijamii (influencers) na watayarishaji wa maudhui (content creators). Amesema ushirikiano huo utahusisha Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania(TABOA), kitakachosaidia kusambaza maudhui ya kutangaza utalii kupitia mabasi yaendayo mikoani, ambapo zaidi ya mabasi 400 yanatarajiwa kuwekwa maudhui hayo. Pia, watashirikiana na wadau wa usafiri wa SGR pamoja na taasisi zilizo chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii.Kupitia ushirikiano huo , wanapanua wigo wa uhamasishaji na kuhakikisha taarifa kuhusu vivutio na fursa za utalii zinawafikia wananchi wengi zaidi kupitia vyombo vya habari na majukwaa ya kidijitali. “Kampeni itahusisha ofa na vifurushi maalumu vya utalii vitakavyotolewa na wadau washiriki katika maeneo mbalimbali nchini, kwa lengo la kuwawezesha Watanzania wengi zaidi kutalii kwa gharama zinazofikika. “Wananchi watahamasishwa kufuatilia taarifa rasmi za kampeni na kutumia QR Code zitakazowawezesha kupata taarita na fursa za kushiriki katika ofa mbalimbali. “Tunatoa mwito kwa taasisi za umma na binafsi, waandaaji wa matukio, wajasiriamali, wasanii, watoa huduma za utalii na wananchi kwa ujumla kuungana nasi katika kuitangaza Tanzania.Kila Mtanzania ni balozi wa utalii wa nchi yake. Amesisitiza Watanzania kuendelea kutunza mazingira, kuheshimu tamaduni na kulinda urithi wetu kwa ajili ya vizazi vijavyo.”Tanzania ni urithi wetu, ni fahari yetu, na tuna kila sababu ya kujivunia tulivyonavyo. Tuanze nyumbani, tuitembelee Tanzania, tuitangaze Tanzania na tuwakaribishe wageni. Akizungumza kuhusu kampeni hiyo Makamu Mwenyekiti wa TABOA Mbazi Mbazi amesema wamekubali kuungana na TTB kutangaza utalii na kupitia mabasi yao yatatumika vizuri kutangaza nchi na vivutio vyake. “Wamiliki wa mabasi nchini ni wazalendo na wako tayari kutangaza utalii wa nchi yetu kupitia TV zilizokuwamo ndani ya mabasi yetu ambazo zitatumika kutangaza vivutio vya utalii.Tunawahakikishia tuko tayari na Mkurugenzi Mkuu wa TTB tunakupongeza kwa hatua hii Kwa upande wake Fadhil Atick maarufu kwa jina la Pengo Makeke ambaye ni msanii na Content Creater ametoa rai kwamba utalii ni wetu sote na kupitia ya Code +255 kila mmoja na anawajibu wa kwenda kutalii na Tanzania kuna utaliii mwingi. “Kuna watu wanakwenda hospitali na wakipimwa hawana ugonjwa kumbe wana upungufu wa utalii mwilini.Hivyo twendeni tukatalii na nitoe rai kwa wadau wote kuungana na TTB kutembelea vivutio vyetu.” Wakati huo huo  Msanii Maxwell Wilfred a.k.a Mzee Shayo amesema kampeni ya +255 yenye kauli mbiu Twenzetu Kutalii inalenga kuhamasisha wananchi kwenda kutalii ,hivyo na wao kama wadau muhimu watakuwa wa kwanza kwenda kuwaonesha utalii. Amesisitiza lengo la kampeni hiyo ni kuwaambia Watanzania kwenda kuangalia Simba na Twiga, walioko katika hifdhi zetu za utalii, hivyo amewapongeza TTB kuja na +255 kwenda kutalii huku akifafanua gharama ya kwenda kutalii kwa Watanzania ni Sh.5900. “Uko Magomeni unashindwa kupiga hatua kusogea kwenye utalii hivyo TTB kupitia +255 wanakusogeza maeneo ya utalii nchini.Kupitia +255 tutapanda sana mllima Kilimanjaro.Twenzetu Kutalii.” Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Dk. Thereza Mugobi (kulia), akimkabidhi fulana yenye nembo ya +255 msanii Fadhil Atick, maarufu kama Pengo Makeke, ikiwa ni sehemu ya kampeni ya kutangaza utalii nchini ya +255 Twenzetu Kutalii , iliyozinduliwa rasmi leo, Oktoba 27, 2026, jijini Dar es Salaam.

Tue, 27 Oct 2026 11:22:46 +0000
Uncategorized · BBC Afrique

Pourquoi l'Algérie déploie-t-elle des troupes au Niger ?

Deux mois après avoir livré des hélicoptères de combat et des avions de chasse au Niger, l’Algérie s’apprête désormais à y déployer des troupes. Ce pays membre de l’Alliance des États du Sahel (AES) partage avec l’Algéri

Recently
Uncategorized · The Standard

Ruto launch a Sh70 B cement plant in Kitui

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

Cases top 10,000 in DR Congo Ebola outbreak

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · KT Press

WASAC Sets Water Theft Fines at Rwf5 Million, Offers Rewards for Informants

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · PML Daily

Government commits Shs2bn to help South Africa returnees rebuild livelihoods

The government has committed Shs2 billion to a savings and credit cooperative organisation (SACCO) formed by about 200 Ugandans who returned from South Africa, to help them start businesses and rebuild...

Recently
Uncategorized · Techweez

KRA Will Block Cargo Without Local Marine Insurance From November 1

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Waititu and co-accused appeal for leniency in Ksh. 588 million graft case

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

RAIS SAMIA AMFARIJI IGP WAMBURA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, akimfariji Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camillus Wambura, nyumbani kwake Masaki, jijini Dar es Salaam, Oktoba 27, 2026, kufuatia kifo cha baba yake mzazi, Deusdedit Mwita Wambura, aliyefariki dunia Oktoba 24, 2026, jijini Dar es Salaam.

Tue, 27 Oct 2026 11:13:03 +0000

Page 607 of 1172 · 23435 stories