Unganishwa

Search the region

23435 stories

Uncategorized · Jamhuri Media

Raid Samia ajfariji IGP Wambura

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Kigali Today

Abagore 45,5% mu biyamamarije kujya mu Nama Njyanama z’Uturere

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Social Protection department hiring 299 mentors and supervisors

Applicants need at least KCSE mean grade of C- for mentor roles while supervisor positions require relevant bachelor's degree.

Recently
Uncategorized · Daily News

TTB launches CODE +255 campaign to promote domestic tourism

DAR ES SALAAM: THE Tanzania Tourist Board (TTB) has launched the CODE +255 – TWENZETU KUTALII campaign to encourage Tanzanians…

Recently
Uncategorized · KT Press

Rwanda’s Food Systems Transformation Needs More Than Strategy. It Needs Leadership

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Waititu’s wife: I was a 'silent partner' in Sh588m tender

Waitutu's wife argued that she was neither a signatory nor a decision-maker in the companies involved in the tender and had not been shown to have benefited

Recently
Uncategorized · BBC Afrique

Pourquoi, chaque fois que l'on mélange des cartes, le résultat constitue un événement sans précédent dans l'histoire de l'univers ?

Est-il vraiment possible de mélanger 52 cartes de tant de façons différentes que, à chaque fois, on obtient une combinaison unique ?

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Somali army: 75 Shabaab militants killed in major offensive

According to military officials, the operation inflicted heavy losses on the militant group as Somali troops pressed their offensive against its positions

Recently
Health · Citizen Digital

Grade 6 girl sits KPSEA exams in hospital after giving birth

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Standard

Civil debt or fraud? Inside multi-million-shilling battle pitting lawyer against DPP, DCI and Nepalese envoy

A court has declined to treat a Sh12.5 million dispute between a lawyer and Nepals honorary consul as purely civil, allowing criminal prosecution questions to be determined at trial.

Tue, 27 Oct 2026 13:17:40 +0300
Uncategorized · The Independent Uganda

Uganda’s Ebola puzzle crosses borders

SPECIAL REPORT | Uganda insists it has contained its Bundibugyo virus disease outbreak, but cases in …

Recently
Uncategorized · The Citizen

Children born outside marriage have equal inheritance rights, government says

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Citizen

Tanzania records 7,219 rape cases in 2025

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Nyeri among 45 counties on heavy rains advisory

Residents of the said counties have been advised to be vigilant regarding the coming rains, which will be accompanied by strong winds

Recently
Sports · Azam TV Videos

VIWANJANI: Kenya yaandika historia mpya Kombe la Dunia Wanawake u17

KOMBE LA DUNIA WANAWAKE U17: Kenya imejiwekea rekodi binafsi kwa timu yake ya taifa wanawake U17 kutinga hatua ya 16 kwa mara ya kwanza kwenye fainali za kombe la dunia zinazoendelea nchini humo…. Kenya imefuzu kama ‘best loser’ kutoka Kundi E, baada ya kumaliza hatua ya makundi ikiwa na alama tatu nyuma ya China na Marekani, na sasa itakutana na Japan katika hatua hiyo ya mtoano. Timu nyingine zilizofuzu hatua hiyo ni:- Hispania, Mexico, Ufaransa, Venezuela, Brazil, Ghana, Canada, Korea Kaskazini, Nigeria, Poland, Ujerumani, Argentina na Morocco. Kumbuka michuano hii inaruka LIVE kupitia chaneli za michezo za Azam TV. Kutoka kipindi cha Viwanjani cha leo, huu ni mjadala kuhusu mafanikio hayo ya Kenya, wajumbe wote kwa pamoja wakitoa pongezi.. Ayoub Hinjo na Lilian Mukulu wanachambua kwa ufupi… #Viwanjani #U17WWC

2026-10-27T10:00:46+00:00
Uncategorized · SoftPower News

Ugandans Toast to October’s Single Moments with Ice Prince at the Singleton Big Meeting

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Nyeri among 45 counties on heavy rains advisory

Residents of the said counties have been advised to be vigilant regarding the coming rains, which will be accompanied by strong winds

Recently
Uncategorized · Daily News

Katavi student develops mobile app to combat online fraudsters

Read the full report from the original source.

Recently
National · Issa Michuzi

SERIKALI YAWEKA MFUMO WA E-DELIVERY KUFUATILIA UTEKELEZAJI WA DIRA YA TAIFA 2050

Na Janeth Raphael - MichuziTv - Bungeni Serikali imeimarisha mikakati ya kusimamia na kutathmini utekelezaji wa mipango na miradi ya maendeleo nchini kupitia mfumo wa kielektroniki wa e-Delivery, unaolenga kuhakikisha miradi hiyo inaleta matokeo yanayochochea kufikiwa kwa malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Hatua hiyo pia inalenga kuongeza uwazi na uwajibikaji katika utekelezaji wa miradi ya umma, huku Bunge na wananchi wakipata fursa ya kufuatilia maendeleo ya mipango ya Serikali na kupima matokeo yake kupitia dashibodi za mfumo huo. Akijibu swali la Mbunge wa Magomeni, Imamu Mtumwa Vuai, leo Oktoba 27, 2026, Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Dkt. Pius Chaya, amesema mfumo huo umeundwa kuunganisha mipango ya maendeleo ya muda mrefu, wa kati na mfupi ili kuhakikisha utekelezaji wake unaendana na vipaumbele vya Taifa. Amesema mfumo wa e-Delivery unahusisha Mpango Elekezi wa Maendeleo wa Muda Mrefu wa mwaka 2026/27 hadi 2050/51, Mpango wa Nne wa Maendeleo wa Miaka Mitano (FYDP IV), mipango ya kisekta na kikanda, pamoja na Malengo Endelevu ya Maendeleo ya mwaka 2030 na Ajenda ya Umoja wa Afrika ya mwaka 2063. Kwa mujibu wa Dkt. Chaya, kuunganisha mipango hiyo kutarahisisha ufuatiliaji wa utekelezaji wake na kuwezesha Serikali kutathmini mchango wa miradi mbalimbali katika kufikia malengo ya maendeleo ya nchi. Katika kuhakikisha mfumo huo unatumika ipasavyo, amesema Serikali imetoa mafunzo kwa watumishi takribani 940 kutoka wizara, taasisi za umma, mikoa na halmashauri kuhusu matumizi yake. Aidha, amezitaka taasisi zote za umma kutumia e-Delivery katika hatua zote za usimamizi wa miradi, kuanzia uibuaji, uandaaji na uidhinishaji hadi ufuatiliaji na tathmini. Pia amesisitiza umuhimu wa taasisi hizo kuwasilisha taarifa za utekelezaji kwa wakati na kusajili miradi yote ya maendeleo inayoendelea katika mfumo huo. Hatua hiyo inatarajiwa kurahisisha upatikanaji wa taarifa sahihi kuhusu hali ya miradi, hatua iliyofikiwa na matokeo yanayopatikana, huku ikiwezesha kupima kwa ufanisi zaidi mchango wa uwekezaji wa Serikali katika kutimiza malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050.

Tue, 27 Oct 2026 10:11:40 +0000
Uncategorized · Issa Michuzi

NAPE: TANZANIA YAWEKA HISTORIA, KUWA MWENYEJI WA IPU KWA MARA YA KWANZA TANGU 1889

Na Janeth Raphael - MichuziTv Bungeni Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Moses Nnauye, amesema Tanzania imeweka historia kwa kuwa mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) kwa mara ya kwanza tangu kuanzishwa kwa umoja huo mwaka 1889. Nape ameeleza kuwa mafanikio hayo ni hatua muhimu kwa Tanzania katika kuimarisha nafasi yake katika diplomasia ya kimataifa, hususan katika kuendeleza ushirikiano wa mabunge na kukuza misingi ya utawala bora duniani. Akisoma Azimio la kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Nape amesema mkutano huo uliofanyika jijini Arusha kuanzia Oktoba 5 hadi 9, 2026, umeonesha uwezo wa Tanzania wa kuandaa na kuratibu mikutano mikubwa ya kimataifa. Amesema mkutano huo uliofanyika chini ya kauli mbiu ya “Kuimarisha Utawala Bora na Kuziwezesha Jamii” umeipa Tanzania fursa ya kuonesha utayari wake katika kushiriki mijadala ya kimataifa inayolenga kuimarisha utawala bora na kuwawezesha wananchi. Aidha, mafanikio ya Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano huo yanaonesha umuhimu wa ushirikiano wa kimataifa katika kuimarisha nafasi ya mabunge kama taasisi muhimu katika kusimamia uwajibikaji, uwakilishi wa wananchi na demokrasia. Nape ameyasema hayo leo, Oktoba 27, 2026, jijini Dodoma, wakati akiwasilisha azimio hilo katika Kikao cha Kwanza cha Mkutano wa Tano wa Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Azimio hilo limelenga kumpongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa mafanikio ya Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano huo wa kimataifa, ambao umeweka alama muhimu katika historia ya ushiriki wa nchi katika shughuli za Umoja wa Mabunge Duniani.

Tue, 27 Oct 2026 10:13:56 +0000

Page 608 of 1172 · 23435 stories