Search the region
23420 stories
Waziri Mkuu akemea vikali vitendo vya kujichukulia sheria mkononi
Read the full report from the original source.
RecentlyWealthy Kenyans stockpile Sh1.5trn in dollar accounts
Read the full report from the original source.
RecentlyRDB CEO met with Japan’s State Minister for Foreign Affairs
Read the full report from the original source.
RecentlyRwanda-Uganda: MPs exchanged best practices in public financial management
Read the full report from the original source.
RecentlyCinq responsables des finances publiques ne sont pas parvenus à justifier l’origine de leurs biens
Read the full report from the original source.
RecentlyFirst Lady Opens First Dedicated Hearing Care Centre Through Morocco Partnership
Read the full report from the original source.
RecentlyASKARI WA USALAMA BARABARANI WAPATIWA VITENDEA KAZI KUPUNGUZA FOLENI MLIMA KITONGA
NA DENIS MLOWE IRINGA JESHI la Polisi nchini, kupitia Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, SACP Allan Bukumbi, limepokea vifaa maalumu vya kuongozea magari vilivyotolewa na mdau wa maendeleo kwa lengo la kuimarisha utendaji kazi wa askari wa usalama barabarani na kupunguza changamoto za foleni katika Mlima Kitonga, barabara kuu ya Iringa–Morogoro Vifaa hivyo vimetolewa na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya WILNA INTERNATIONAL, Willy Ngoya, Mtanzania anayeishi nchini Japan, ambaye amesema ameamua kutoa msaada huo baada ya kuguswa na juhudi za askari wa Jeshi la Polisi katika kuwasaidia wananchi wanaokumbwa na changamoto ya foleni katika eneo hilo. Akikabidhi vifaa hivyo kwa jeshi la polisi mkoa wa Iringa, Ngoya alisema amevutiwa na utendaji kazi wa askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani, S/SGT Marcus Mongo, baada ya kuona taarifa kupitia vyombo mbalimbali vya habari zikimuonesha akifanya kazi kwa bidii kuhakikisha magari yanapita na kupunguza kero inayowakabili watumiaji wa barabara katika Mlima Kitonga. Alisema juhudi za askari huyo zimempa msukumo wa kuchangia vifaa hivyo ili kurahisisha majukumu ya askari, hasa katika eneo hilo ambalo linahitaji uangalizi wa karibu wa usalama barabarani na uratibu wa magari. Baadhi ya vifaa vilivyotolewa ni taa za kuongozea magari wakati wa usiku, jaketi maalumu za kujikinga na joto, viakisi mwanga kwa matumizi ya usiku, kamera za kurekodi matukio pamoja na vifaa vingine vya kazi. Ngoya alisema anaamini msaada huo utaboresha mazingira ya kazi kwa askari wa usalama barabarani na kuwawezesha kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi zaidi, hususan wakati wa kukabiliana na foleni na changamoto nyingine zinazoweza kujitokeza katika eneo la Mlima Kitonga. Aliongeza kuwa hatua hiyo pia inalenga kuimarisha uhusiano kati ya jamii na Jeshi la Polisi kwa kutambua na kuunga mkono juhudi zinazofanywa na askari katika kuwahudumia wananchi. Kwa upande wake, S/SGT Marcus Mongo aliishukuru Kampuni ya WILNA INTERNATIONAL kwa msaada huo, akisema vifaa hivyo vitasaidia kurahisisha utekelezaji wa majukumu yake ya kila siku na kuongeza ufanisi katika kukabiliana na changamoto za usalama barabarani. Alisema vifaa hivyo ni muhimu katika kuimarisha uratibu wa magari na usalama wa askari wanapokuwa kazini, hasa nyakati za usiku na katika mazingira yenye changamoto za kiutendaji. Msaada huo unaonesha umuhimu wa ushirikiano kati ya wadau wa maendeleo na Jeshi la Polisi katika kuimarisha usalama barabarani na kuboresha huduma kwa wananchi wanaotumia barabara kuu ya Iringa–Mbeya.
Mon, 26 Oct 2026 19:18:24 +0000Mityana Residents Seek More Time to Register for Mosquito Nets
Read the full report from the original source.
RecentlyFamilies cling to hope as search continues at collapsed Eastleigh building
Read the full report from the original source.
RecentlyDCP, Wiper deny power-sharing talks after Gachagua hosts Kalonzo
Read the full report from the original source.
RecentlyUMEME WA UPEPO USOKAMI WAFUNGUA FURSA ZA KIUCHUMI KWA WANANCHI 9,000 MUFINDI
MKUU wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, amewataka viongozi wa vijiji vinavyozunguka mradi wa umeme wa upepo katika Kijiji cha Usokami, Wilaya ya Mufindi, kuhamasisha wananchi kushiriki katika kulinda miundombinu ya mradi huo wenye uwezo wa kuzalisha megawati 3.9, huku akiwahimiza kutumia fursa ya upatikanaji wa umeme kuimarisha shughuli za kiuchumi na kujikwamua kimaisha Akizungumza wakati wa kutembelea mradi huo katika siku ya kwanza ya ziara yake ya siku tano ya kutembelea viwanda mkoani Iringa, James amesema uwekezaji huo una manufaa makubwa kwa jamii, ikizingatiwa kuwa unawanufaisha wananchi zaidi ya 9,000 kutoka vijiji 32 katika kata sita za Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi. Amesema ni muhimu wananchi kuutunza mradi huo ili uendelee kutoa huduma ya umeme na kuchochea shughuli za uzalishaji, biashara na maendeleo ya jamii. Kwa upande wake, Meneja wa Kampuni ya Mwenge Hydro Power Ltd, Deogratius Massawe, amesema kampuni hiyo inayotekeleza mradi huo inalenga kuhakikisha wananchi wanapata huduma ya umeme ya uhakika na kwa gharama nafuu, ili kuongeza fursa za kiuchumi, kuimarisha shughuli za uzalishaji na biashara, pamoja na kuchochea maendeleo ya jamii zinazozunguka mradi huo. Naye Michael Mahenge, akizungumza kwa niaba ya wananchi wanufaika, amesema mradi huo umeleta mabadiliko chanya katika maisha yao kwa kurahisisha shughuli mbalimbali za kiuchumi ambazo hapo awali zilikuwa ngumu kutekelezwa kutokana na changamoto ya upatikanaji wa umeme. Amesema uwepo wa umeme huo umewawezesha wananchi kuanza kufanya shughuli ndogo ndogo za uzalishaji ndani ya kijiji hicho, ikiwemo kusaga mahindi, hali inayorahisisha upatikanaji wa huduma, kupunguza usumbufu na kufungua fursa za kuongeza kipato kwa wananchi. Uwekezaji huo wenye thamani ya zaidi ya Shilingi bilioni 50 unaonesha umuhimu wa mazingira bora na wezeshi yaliyowekwa na Serikali katika kuvutia uwekezaji, kukuza sekta ya nishati na kuchochea maendeleo ya kiuchumi. Mradi huo unatarajiwa kuendelea kuwa kichocheo cha maendeleo kwa wananchi wa Mufindi kupitia upatikanaji wa nishati ya umeme na kuongezeka kwa shughuli za uzalishaji.
Mon, 26 Oct 2026 19:09:26 +0000From Uganda to Denmark: how Samallie Nabbosa Kristensen is bridging cultures through music and entrepreneurship
COPENHAGEN/KAMPALA, 26 October 2026 — Building a life across continents is no easy feat, but for Ugandan-Danish artist and digital entrepreneur Samallie Nabbosa Kristensen, professionally known as Samexx, blending cultur
RecentlyMakerere ordered to pay Shs 1.7 billion PUJAB fees owed to other public universities
Makerere University has been ordered to remit over Shs 1.7 billion in application fees owed to other public universities after an audit found that it…
RecentlyNews Brief: X-mas gift as houses ready by end year
These are the stories making the headlines in your FREE COPY of the Tuesday Star Newspaper at a vendor near you countrywide
RecentlyHighlights | Geita Gold FC 1-1 Fountain Gate FC | NBC Premier League 25/10/2026
Geita Gold FC imelazimishwa sare ya 1-1 nyumbani na Fountain Gate FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa kwenye Dimba la Bukombe, mkoani Geita. Waliotangulia ni Fountain kwa penati ya MacDonald Chukwunonye Obasi, kabla ya Geita kusawazisha kupitia kwa Yusuph Mhilu. Haya ni magoli..
2026-10-26T18:36:10+00:00MPs Press IGG on Value for Money, “Small Fish” and Pardoned Convicts
Read the full report from the original source.
RecentlyMuseveni Urges Somalia to Unite Against Al-Shabab, Boost Coffee Trade with Uganda
Read the full report from the original source.
RecentlyIGG Overrules Mao on URSB Officials, Orders Kainobwisho Interdicted, Agaba Reinstated
KAMPALA — The Inspectorate of Government has directed Justice Minister Norbert Mao to interdict Uganda Registr..
RecentlyWahitimu wa Mzumbe Mbeya kuwa chachu ya mabadiliko katika jamii
Read the full report from the original source.
RecentlyState risks Sh180bn fee for cancelling Rironi–Mau Summit road
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 620 of 1171 · 23420 stories