Unganishwa

Search the region

23414 stories

Uncategorized · BBC Afrique

Qui devrait remporter le Ballon d'Or masculin ? Les experts de BBC Sport donnent leur avis

Le lauréat du Ballon d'Or sera annoncé lundi à Londres – mais qui remportera cette prestigieuse récompense ?

Recently
Uncategorized · BBC Rwanda

Kompanyi z'indege eshanu za mbere kw'isi mu myanya ya'Economy' mu 2026 – n'impamvu ari nziza kurushaho

Kuva ku myanya yagutse n'ahantu hanini ho kuramburira amaguru, kugeza ku mafunguro meza na serivisi inoze, dore ibintu bitandukanya amasosiyete atanu y'indege aza ku isonga mu cyiciro cy'imyanya yo kwicaramo isanzwe (Eco

Recently
Uncategorized · The Citizen

Police expose dangerous traffic violations

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

Security forces arrest suspects of deadly church attack in Jordan

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Jamhuri Media

Waziri Kapinga ahimiza matumizi ya malighafi za ndani viwandani

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

Venezuelan opposition leader Machado returns from exile

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

Macron vows 'strong measures' to combat protests that rocked France

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · BBC Afrique

Mayumba : que sait-on de la défaillance de la plateforme pétrolière Prospector 5 au Gabon, et de ses conséquences ?

Les autorités gabonaises en alerte maximale ont déployé des moyens de recherche et de sauvetage pour retrouver cinq personnes portées disparues depuis l’accident survenu samedi en mer sur la plateforme de prospection pét

Recently
Uncategorized · The Ankole Times

EXCLUSIVE: Ugandan Health Advocate Moses Mulimira Meets Bill Gates, Saudi Health Attaché Ahead of 2027 Global Health Summit

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · UN News Burundi

Why do planes keep circling before landing? The UN has a plan to fix it

Read the full report from the original source.

Recently
National · The Ankole Times

Parliament’s Trade Committee Launches Oversight Visit In Jinja, Sets Sights On Lira’s Industrial Future

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · TechCabal East Africa

DPI closes $112 million Nclude fund with 93% of capital from Africa

Read the full report from the original source.

Recently
National · Issa Michuzi

WAZIRI MKUU AKEMEA VIKALI VITENDO VYA KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amekemea vikali vitendo vya baadhi ya wananchi kujichukulia sheria mkononi na kuvielekeza vyombo vya dola kuchukua hatua stahiki na kali kwa wote watakaobainika kujihusisha na vitendo hivyo. Aidha, Waziri Mkuu amewataka viongozi katika ngazi za vijiji na kata kuhakikisha kuwa uuzaji na ugawaji wa maeneo unazingatia miongozo ya matumizi bora ya ardhi ili kuzuia migogoro inayoweza kujitokeza, ikiwemo migogoro kati ya wakulima na wafugaji. Dkt. Mwigulu ametoa maagizo hayo leo, Oktoba 26, 2026, wakati akizungumza na wabunge wa Mkoa wa Ruvuma, jijini Dodoma kufuatia vurugu zilizotokea hivi karibuni baina ya wakulima na wafugaji, ambazo zimesababisha madhara mbalimbali vikiwemo vifo. Waziri Mkuu amesisitiza kuwa Serikali haivumilii vitendo vya uvunjifu wa sheria na amewataka wananchi kuheshimiana, kuvumiliana na kuzingatia sheria katika kutekeleza shughuli zao za kiuchumi. Amesema Serikali haiungi mkono uchukuaji wa sheria mkononi, utaratibu huo ni kinyume cha Katiba na sheria za nchi, hivyo kila mwananchi anapaswa kufuata taratibu zilizowekwa na kuviachia vyombo vya dola kutekeleza wajibu wake. Katika hatua nyingine, Waziri Mkuu ametoa pole kwa wananchi wa Wilaya ya Tunduru na Watanzania wote walioathiriwa na matukio hayo, huku akisisitiza umuhimu wa wananchi kutoa ushirikiano kwa vyombo vya dola ili hatua za kisheria zichukuliwe dhidi ya wote watakaobainika kuhusika na makosa hayo. Kuhusu matumizi ya ardhi, Dkt. Mwigulu amesema Serikali inaendelea kuchukua hatua za kuhakikisha ardhi inatumika kwa kuzingatia mipango na miongozo iliyowekwa kwa lengo la kuimarisha amani, kuzuia migogoro na kuwezesha wananchi kuendelea na shughuli zao za kiuchumi kwa usalama. Pia, Waziri Mkuu ametoa rai kwa wananchi kuendelea kushirikiana na Serikali katika kulinda tunu za Taifa, hususan amani na mshikamano, akisisitiza kuwa tofauti za kiuchumi na matumizi ya ardhi zinapaswa kutatuliwa kwa kufuata sheria na taratibu zilizopo. Kwa upande wao, wabunge wa Mkoa wa Ruvuma wameishukuru Serikali kwa hatua inazoendelea kuchukua kukabiliana na migogoro hiyo na kusisitiza umuhimu wa kuimarisha usimamizi wa matumizi ya ardhi pamoja na kudumisha amani na utulivu katika maeneo yao.

Mon, 26 Oct 2026 15:14:13 +0000
National · DW Rwanda

Brazil elections: Merz, world leaders congratulate Lula on his win

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Ankole Times

EXCLUSIVE: Moses Mulimira Engages Saudi Health Attaché, Bill Gates Ahead of 2027 Global Health Summit

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Passaris proposes gender-neutral toilets amid washroom debate

Passaris said leadership must uphold everyone's rights and dignity regardless of sex, gender or gender identity, while also taking into account concerns raised

Recently
Business · Issa Michuzi

MSTAHIKI MEYA MANISPAA YA KIBAHA APANIA KUONGEZA AJIRA KWA VIJANA KUPITIA WAWEKEZAJI WA NDANI

Na Victor Masangu,Kibaha Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha Dkt.Nicas Mawazo amewahakikishia wawekezaji ambao ni wazawa kuwapatia maeneo kwa ajili ya uwekezaji mbali mbali kwa lengo la kuweza kutoa fursa za ajira kwa vijana na kukuza uchumi wa nchi. Kauli hiyo ameitoa wakati wa halfa ya uzinduzi rasmi wa sehemu maalumu iliyojengwa kwa ajili ya michezo mbali mbali ya kubahatisha iliyopo karibu na stendi ya zamani kata ya maili moja katika jengo la kontena bar Wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani. Sehemu hiyo ambayo ni mradi mkubwa wa Casino ya Kisasa ambayo inamilikiwa na kampuni inayotambulika kwa jina la Cleopatra Tanzania yenye lengo la kuwapa fursa watu wa aina mbali mbali kucheza michezo ya kubahatisha. Akizungumza katika uzinduzi huo Mstahiki Meya Dkt. Mawazo amempongeza mkurugenzi mkuu wa CLEOPATRA Juma Mlali kwa kuweza kuwekeza katika mradi huo ambao utasaidia katika upatikanaji wa fursa za ajira kwa vijana na watu wengine. Aidha amebainisha kwamba uwekezaji huo ni mkubwa na ni moja ya hatua za kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya sita katika kukuza uchumi kupitia uwekezaji ambao wameufanya. Kadhalika Mstahiki Meya amesema kuwa akiwa meza kuu Mkurugenzi Mtendaji wa CLEOPATRA CASINO Juma Mlali amemweleza kuwa anatamani wapate eneo ili waweze kuwekeza kwa kujenga Kiwanda . "Mimi nashukuru nimeshiriki katika halfa ya uzinduzi huu na kiukweli nimefurahishwa na juhudi zilizofanywa katika uwekezaji huu pia nawakaribisha sana ofisini ili tuweze kuwakopesha na kuwapa eneo la uwekezaji,"amebainisha Mstahiki Meya Naye mkurugenzi mkuu wa CLEOPATRA amebainisha kwamba wanajivunia kwa kutoa ajira kwa vijana wengi katika mikoa yote nchini ."Tuna matawi nchi nzima na tumetoa ajira 400 na kwa upande wa uwekezaji tutaanza kujenga Kiwanda kwa ajili ya kutengeneza vinywaji mbalimbali" amebainisha Mkurugenzi Mlali. Kwa upande wake Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa CLEOPATRA Asha Simba amesema kwa sasa wana maduka yapatayo zaidi ya 53 ambayo yapo katika mikoa mbali mbali ya Tanzania. Nao baadhi ya vijana ambao walishiriki katiks uzunduzi huo wamepongeza juhudi za uwekezaji huo wa kuwepo na sehemu ya kisasa ambayo imetengwa kwa ajili ya michezo ya kubahatisha ambapo wameweza kupata fursa za ajira.

Mon, 26 Oct 2026 15:08:17 +0000
Uncategorized · Capital FM

Chlöe and Monaleo Turn Timbaland’s “Main Attraction” Into A Sonic Tour de Force

Entertainment · 6 hours ago

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

BALOZI OMAR AMEIAGIZA TRA KUJIWEKA TAYARI KUTOA HUDUMA BANDARI YA MANGAPWANI

Na. Benny Mwaipaja, Mangapwani, ZANZIBAR. Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), ameiagiza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kwa kushirikiana na Shirika la Bandari Zanzibar, kuanza mapema maandalizi ya vifaa, mifumo na watumishi watakaohitajika kutoa huduma katika Bandari Jumuishi ya Mangapwani ili kuhakikisha inaanza kufanya kazi kwa ufanisi mara tu ujenzi wake utakapokamilika. Mhe. Balozi Omar ametoa maelekezo hayo wakati wa ziara yake katika Mradi wa Ujenzi wa Bandari Jumuishi ya Mangapwani, Zanzibar, kwa lengo la kukagua maendeleo ya utekelezaji wa mradi huo wa kimkakati na kujionea hatua zilizofikiwa, pamoja na kutathmini maandalizi ya taasisi zitakazohusika katika utoaji wa huduma bandarini hapo.ikiwemo Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Amesema Bandari ya Mangapwani ni miundombinu muhimu ya kimkakati kutokana na uwezo wake wa kuhudumia meli kubwa ujenzi wake utakapo kamilika mwaka 2028, hivyo inatarajiwa kuwa kituo muhimu cha shughuli za forodha na chanzo cha mapato ya Serikali kupitia ushuru wa forodha. “Pamoja na ujenzi wa miundombinu ya bandari, ni muhimu taasisi zote zinazohusika na utoaji wa huduma kuhakikisha zinapanga kwa pamoja mahitaji yao ili kuepusha bandari kukamilika huku vifaa na mifumo muhimu ya uendeshaji ikiwa haijakamilika” alisema Mhe. Balozi Omar Aidha, amesisitiza umuhimu wa Shirika la Bandari Zanzibar na TRA kuoanisha ratiba zao za utekelezaji ili kuhakikisha huduma zinatolewa kwa wakati na shughuli za bandari zinafanyika kwa ufanisi. Mhe. Balozi Omar alieleza kuridhishwa na taarifa ya maendeleo ya mradi iliyobainisha kuwa ujenzi umefikia takribani asilimia 20, hatua inayolingana na matarajio ya utekelezaji kwa kipindi husika, huku mkandarasi akiendelea na kazi katika eneo la mradi. Kwa upande wake, Mkurugenzi wa Shirika la Bandari Zanzibar, Bw. Akif Ali Khamis, amesema Bandari Jumuishi ya Mangapwani ni miongoni mwa miradi muhimu inayotarajiwa kuchochea ukuaji wa uchumi wa Zanzibar na Tanzania kwa ujumla kwa kuimarisha shughuli za biashara na usafirishaji wa shehena ya mizigo. Alisema ushirikiano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, ni muhimu katika kuhakikisha bandari hiyo inakuwa kitovu cha biashara na inatoa mchango mkubwa katika maendeleo ya uchumi. Bw. Khamis alieleza kuwa ziara ya Waziri wa Fedha imekuwa fursa ya taasisi husika kujadili maendeleo ya ujenzi, kutambua changamoto zinazoweza kujitokeza na kuweka mikakati ya mapema ya kukamilisha maandalizi ya miundombinu na huduma zitakazohitajika bandarini hapo. Alitaja baadhi ya mahitaji muhimu kuwa ni miundombinu ya kuhifadhi mizigo, vifaa vya ukaguzi wa mizigo ikiwemo midaki (scanners), pamoja na mifumo na vifaa vya TRA, vitakavyowezesha shughuli za forodha na usafirishaji wa mizigo ya transshipment kufanyika kwa ufanisi na bila usumbufu usio wa lazima. “Bandari hii ya Mangapwani inatarajiwa kukamilika Septemba 2028 na kukabidhiwa kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, na awamu ya kwanza itakuwa na uwezo wa kuhudumia takribani makontena 250,000 hadi 300,000 kwa mwaka, pamoja na tani 500,000 hadi milioni moja za mizigo ya kawaida isiyohifadhiwa kwenye makontena” alisema Bw. Khamis. Aliongeza kuwa bandari hiyo ina uwezo wa kupanuliwa katika awamu zijazo kupitia upanuzi wa maeneo ya kuhifadhi mizigo na miundombinu mingine, hatua itakayoongeza uwezo wake wa kuhudumia biashara na mizigo kwa kadiri mahitaji yatakavyoongezeka. Bw. Khamis alisema ujenzi wa bandari hiyo unatarajiwa kuimarisha uwezo wa Zanzibar katika kuhudumia biashara ya kimataifa, kuongeza ufanisi wa usafirishaji wa mizigo na kufungua fursa mpya za uwekezaji, na Kukamilika kwa mradi huo, sambamba na maandalizi ya mapema ya taasisi zinazohusika, kunatarajiwa kuweka mazingira bora ya uendeshaji wa bandari na kuongeza mchango wake katika mapato na ukuaji wa uchumi wa nchi. Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (Kushoto), akisikiliza maelezo  kutoka kwa Mkurugenzi wa Shirika la Bandari Zanzibar, Bw. Akif Ali Khamis (kulia), wakati alipotembelea Mradi wa Ujenzi wa Bandari Jumuishi ya Mangapwani, Zanzibar, kwa lengo la kukagua maendeleo ya utekelezaji wa mradi huo wa kimkakati na kujionea hatua zilizofikiwa, pamoja na kutathmini maandalizi ya taasisi zitakazohusika katika utoaji wa huduma bandarini hapo ikiwemo Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA. Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (Kushoto), akizungumza jambo wakati alipotembelea Mradi wa Ujenzi wa Bandari Jumuishi ya Mangapwani, Zanzibar, kwa lengo la kukagua maendeleo ya utekelezaji wa mradi huo wa kimkakati na kujionea hatua zilizofikiwa, pamoja na kutathmini maandalizi ya taasisi zitakazohusika katika utoaji wa huduma bandarini hapo. Wa pili kushoto ni Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato (TRA), Bw. Mcha Hassan Mcha, na Mkurugenzi wa Shirika la Bandari Zanzibar, Bw. Akif Ali Khamis (kulia). (Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Zanzibar)

Mon, 26 Oct 2026 15:05:45 +0000
Uncategorized · The Ankole Times

Big Development: High Court Reverses TAT Decision in Favour of URA in Shs13.9bn Rice Importers’ Interest Dispute

Read the full report from the original source.

Recently

Page 623 of 1171 · 23414 stories