Search the region
23365 stories
Collapsed Eastleigh building had no construction approval, NEMA licence
Read the full report from the original source.
RecentlyUkarabati wa samani waokoa Sh milioni 233
Read the full report from the original source.
RecentlyAudio — Flash Info 17h TU (24.10.2026)
To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video
RecentlyMeridianbet Yaimarisha Usafi Wa Mazingira Kwa Kukabidhi Vifaa Vya Usafi Kwa Mama Lishe Na Baba Lishe Mbezi Juu
KAMPUNI ya ubashiri ya Meridianbet imeendelea kutekeleza dhamira yake ya kurudisha kwa jamii kupitia mpango wake wa Uwajibikaji kwa Jamii (CSR), kwa kukabidhi vifaa vya usafi wa mazingira kwa Mama Lishe na Baba Lishe katika Kata ya Mbezi Juu, jijini Dar es Salaam. Zoezi hilo limefanyika kwa kushirikiana na Diwani wa Kata ya Mbezi Juu, Anna Lukindo, likiwa na lengo la kuhamasisha usafi wa mazingira, utunzaji wa taka na kuimarisha mazingira bora na salama kwa wafanyabiashara wa chakula pamoja na wananchi wanaowahudumia kila siku. Kupitia msaada huo, Meridianbet inalenga kuwasaidia Mama Lishe na Baba Lishe kuwa na maeneo safi ya kufanyia biashara zao kwa kuweka taka katika sehemu maalumu badala ya kuzitupa ovyo, hatua inayoweza kuchangia kupunguza uchafuzi wa mazingira na kuboresha afya ya jamii. Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya MERIDIANBET au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi. Akizungumzia msaada huo, Nancy Ingram kutoka Meridianbet amesisitiza umuhimu wa kushirikiana na viongozi wa maeneo husika pamoja na makundi mbalimbali ya kijamii katika kutatua changamoto zinazowakabili wananchi na kuendeleza mazingira bora kwa wote. Kwa upande wake, ushirikiano na Diwani wa Kata ya Mbezi Juu, Anna Lukindo, unaonesha umuhimu wa kuunganisha nguvu za sekta binafsi na uongozi wa serikali za mitaa katika kuhamasisha maendeleo ya jamii na utekelezaji wa mipango yenye manufaa kwa wananchi. Meridianbet inaamini kuwa usafi wa mazingira ni jukumu la kila mmoja. Hivyo, kampuni inatoa wito kwa Mama Lishe, Baba Lishe na wananchi kwa ujumla kutumia vifaa hivyo ipasavyo, kutunza mazingira yanayowazunguka na kuendeleza utamaduni wa kuweka taka katika maeneo maalumu. Kupitia mipango yake ya CSR, Meridianbet inaendelea kuonesha dhamira yake ya kuwa sehemu ya jamii na kuchangia maendeleo endelevu kwa kuunga mkono juhudi zinazolenga kuboresha ustawi wa wananchi.
Sat, 24 Oct 2026 09:00:00 +0000Sheila murder suspect arrested in Tanzania
Detectives tracked the suspect to a Tanzanian town where he was reportedly operating a club, and he was found with a Tanzanian ID.
RecentlySiku ya Kuwinda Ushindi Mkubwa Hii Hapa
LEO hii ushindi mkubwa unakungoja wewe, mechi nyngi zinaendelea hadi katikati ya wiki, kama hukubahatika kushinda wikendi basi huu ndio muda sahihi, ingia kwenye akaunti yako na ubeti sasa. Ligi kuu ya Uingereza EPL itaendelea kwa mechi kibao tuu, lakini mechi ya mapema ni hii ya Aston Villa dhidi ya Manchester City ambao ndio wanaongoza ligi wakiwa na pointi zao 21 huku wenyeji wao wakiwa na pointi 8 hadi sasa. Aston Villa inaingia kwenye mchezo huu ikiwa na matumaini baada ya kuifunga Newcastle United bao 1-0 katika mchezo wake uliopita wa ligi. Kikosi cha Unai Emery kimeonyesha uwezo wa kupata matokeo mazuri, lakini bado kina changamoto katika safu ya ulinzi. Je nani kushinda?. Beti hapa. Kwa upande wa Manchester City, kikosi hicho kinaingia kwenye mchezo huu kikiwa na morali kubwa baada ya kushinda mechi zake tano za mwisho za ligi. Ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Liverpool na wa 3-2 dhidi ya Ipswich Town unaonyesha uwezo wao wa kushambulia na kupata matokeo dhidi ya wapinzani tofauti. Jisajili hapa. Jichukulie pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi. Msimu uliopita, City alipigika kwenye mechi zote mbili alizocheza na vijana hawa wa Unai. Je atalipa kisasi?. ODDS KUBWA zipo hapa. Mechi kubwa itakuwa ni London Derby, Yaani Chelsea dhidi ya Tottenham Hot Spurs ambao wameanza msimu vibaya wakipata ushindi wa kwanza kwenye mechi yao iliyopita. The Blues chini ya Carrick wapo nafasi ya 4 na wanahitaji ushindi kuendelea kujiweka kwenye nafasi nzuri za msimamo wa ligi. Hii ni mechi ambayo timu zote zinahitaji kupata ushindi huku nafasi ya kuondoka na ushindi pale Meridianbet akipewa Chelsea kutokana na kiwango chake. Msimu uliopita, Spurs walipoteza mechi zote mbili walipokutana na The Blues, Je huu ni muda wa wao kulipa kisasi huku pointi 3 za mchezo huu zitawafanya watoke nafasi waliyopo. Kwa upande wa Hispania, LALIGA kutakuwa na mechi nyingi, lakini sisi tutajikita kwenye mechi ya Valencia dhidi ya Villarreal ambapo wenyeji wao wanaingia kwenye mchezo huu ikiwa na changamoto ya kupata ushindi, kwani katika mechi zake mbili zilizopita za ligi imetoka sare ya mabao 2-2 dhidi ya Racing Santander na sare ya bila kufungana dhidi ya Athletic Club. Wakati kwa upande wa Villarreal, timu hiyo inaonekana kuwa na uwezo mkubwa zaidi wa kushambulia, ingawa nayo imekuwa na matokeo yasiyo thabiti. Imepoteza dhidi ya Real Madrid na kutoka sare ya bila kufungana na Elche katika mechi zake mbili za mwisho za ligi. Bashiri mechi hii sasa. SERIE A kule ITALIA kutawaka sana, Napoli uso kwa uso na AS Roma ambapo hii ni moja ya mechi kali zinazotarajiwa kupigwa. Napoli wanaingia kwenye mchezo huu baada ya kupata ushindi wa mabao 4-3 dhidi ya Bodø/Glimt katika Ligi ya Mabingwa Ulaya, matokeo yaliyowapa nguvu mpya baada ya kupoteza mchezo wao wa ligi dhidi ya Venezia kwa bao 1-0. Wakiwa nyumbani, Napoli watategemea uzoefu na uwezo wa wachezaji wao wa kushambulia, akiwemo Scott McTominay, ambaye alifunga mabao mawili katika mchezo uliopita wa Ulaya. AS Roma, kikosi cha kocha Gian Piero Gasperini kinaonekana kuwa na mwendelezo mzuri wa matokeo. Roma waliifunga Genoa mabao 2-0 katika Serie A kabla ya kuichapa Slovan Bratislava mabao 4-0 kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya. Mechi hii inaweza kukupatia maokoto pale Meridianbet , hivyo ingia na ushinde siku ya leo.
Sat, 24 Oct 2026 06:32:00 +0000PSSSF YATWAA MEDALI MBILI BONANZA LA AFYA LA WAAJIRI
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Dkt. Eveline Munisi (kushoto) akimkabidhi Meneja wa Mfuko wa PSSSF, Kanda ya Ilala, Bi. Amina Kassim cheti cha shukrani kwaniaba ya mfuko kwa kuwa miongoni mwa Taasisi wezeshi Tamasha la Tano la Waajiri Afya Bonanza kwenye Viwanja vya Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam, Oktoba 24, 2026 Afisa Mkuu wa Huduma kwa Wateja Mfuko wa PSSSF Bi. Nelusigwe Mwalugaja (kushoto), akimuhudumia mteja Bi. Nuru A. Mwakivuma wa WCF, kujiunga na PSSSF Kiganjani katika banda la mfuko kwenye Bonanza la Tano la Afya la Waajiri, maarufu kama Waajiri Health Bonanza, lililofanyika Oktoba 24, 2026, katika Viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, eneo la Mlimani, jijini Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Dkt. Eveline Munisi akimvisha medali Afisa Matekelezo Mwandamizi wa Mfuko wa PSSSF Bw. Salum salum baada ya kushina mbio za kukimbia na glasi ya maji kwenye Bonanza la Tano la Afya la Waajiri, maarufu kama Waajiri Health Bonanza, lililofanyika Oktoba 24, 2026, katika Viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, eneo la Mlimani, jijini Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Dkt. Eveline Munisi akimpongeza mfanyakazi Mwanafunzi wa Mfuko wa PSSSF Bi. Prudensiana sondoka, baada ya kumvisha Medali baada ya kushina mbio za kukimbia na glasi ya maji kwenye Bonanza la Tano la Afya la Waajiri, maarufu kama Waajiri Health Bonanza, lililofanyika Oktoba 24, 2026, katika Viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, eneo la Mlimani, jijini Dar es Salaam. Meneja wa Mfuko wa PSSSF, Kanda ya Ilala, Bi. Amina Kassim (katikati) na baadhi ya watumishi wa Mfuko Huo, akiwa amekamata cheti cha shukrani kwa Mfuko kuwa miongoni mwa Taasisi wezeshi Tamasha la Tano la Waajiri Afya Bonanza kwenye Viwanja vya Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam, Oktoba 24, 2026 Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Dkt. Eveline Munisi, akizungumza katika Bonanza la Tano la Waajiri Afya Bonanza kwenye Viwanja vya Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam, Oktoba 24, 2026 Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Dkt. Eveline Munisi (Wapili kushoto) akimsikiliza Meneja wa Mfuko wa PSSSF, Kanda ya Ilala, Bi. Amina Kassim alipotembelea Banda la Mfuko kwenye Maonesho ya Bonanza la Tano la Afya la Waajiri 'Waajiri Afya Bonanza' kwenye Viwanja vya Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam, Oktoba 24, 2026 Afisa Matekelezo Mkuu Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), Bi. Zainab Ndullah (Kulia), akimuhudumia Mwanachama wa Mfuko Bw. Emmanuel Ikongwe toka Association of Tanzania Employers- ATE, kwenye Bonanza la Tano la Waajiri (5th Waajiri Health Bonanza kwenye viwanja vya Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam, Sehemu ya Mlimani Oktoba 24, 2026. Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umeshiriki katika Bonanza la Tano la Afya la Waajiri, maarufu kama _Waajiri Health Bonanza,_ lililofanyika Oktoba 24, 2026, katika Viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, eneo la Mlimani, jijini Dar es Salaam. Bonanza hilo ambalo mgeni rasmi alikuwa ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi Ajira na Mahusiano Mhe Dkt. Evelin Munisi liliratibiwa na Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), lengo likiwa ni kuhamasisha wafanyakazi kujenga utamaduni wa kufanya mazoezi kwa ajili ya kuimarisha afya zao, kuongeza tija kazini na kukuza uhusiano mwema miongoni mwa waajiri na taasisi mbalimbali nchini kupitia michezo na burudani. Mhe. Dkt. Munisi alizindua Bonanza hilo kwa kupiga mpira, kisha kutembelea mabanda ya Maonesho. Akiwa katika Banda la PSSSF, Mhe. Dkt. Munisi alipokelewa na Meneja wa Mfuko wa PSSSF Kanda ya Ilala Bi. Amina Kassim. Akizungumza mbele ya Mhe. Dkt. Munisi, Meneja huyo wa PSSSF , alisema kuwa ushiriki wa Mfuko katika bonanza hilo ni sehemu ya kuimarisha uhusiano na wadau wake, huku ukiwapa washiriki fursa ya kupata elimu kuhusu huduma za hifadhi ya jamii. Alisema kuwa pamoja na kushiriki katika michezo mbalimbali, pia Mfuko unatoa huduma na elimu kuhusu hifadhi ya jamii "Tunafurahi kuungana na wadau wetu katika bonanza hili. Tunatoa elimu kuhusu huduma zetu, hususan mafao yanayotolewa na Mfuko, chini ya kaulimbiu yetu ya 'Tunalipa jana', ambayo imeufanya mfuko kwenda Extra Mile katika ulipaji wa Mafao." alisema Bi. Kassim. Aidha PSSSF imefanikiwa kutwaa medali mbili katika mbio za kukimbia na glasi ya maji kwa wanawake na wanaume, ambapo Mhe. Dkt. Munisi aliwakabidhi tuzo washindi hao.
Sat, 24 Oct 2026 18:28:36 +0000Sheila Odoyo murder suspect arrested in Tanzania
Detectives tracked the suspect to a Tanzanian town where he was reportedly operating a club, and he was found with a Tanzanian ID.
RecentlyHow Northern Kenya is building a circular economy through sustainable tourism
Business · 3 hours ago
RecentlyOPINION: Why Xi’s Vision Matters for a Changing World
Latest · Fifth Estate
RecentlyPresident Ruto taunts Kalonzo, urges him to join government
Read the full report from the original source.
Recently65-Year-Old Second Ebola Patient Buried Under Strict Safety Measures
Latest · NATIONAL NEWS
RecentlyGov’t conducts second Ebola burial under strict public health protocols
Read the full report from the original source.
RecentlyArchitects Alliance Calls for National Audit of Buildings After Eastleigh Collapse
News · Quick read
RecentlyNjeri Maina launches lifestyle brand, creates six jobs for young people
Kenya · 3 hours ago
RecentlyPS Omollo Urges Building Safety Compliance After Eastleigh Collapse
Latest · NATIONAL NEWS
RecentlyEastleigh collapse: Second person rescued from rubble
Kenya Red Cross teams pulled the woman from the debris on Saturday evening and rushed her to Kenyatta National Hospital.
RecentlyWaiguru urges Mt Kenya voters to reject opposition ‘empty rhetoric’
Read the full report from the original source.
RecentlyI am Ruto’s biggest rival ahead of 2027 elections, Kalonzo declares
Wiper leader says his experience in public service, record of integrity and ability to deliver results make him the right candidate to steer Kenya towards a new political direction.
RecentlyThree Family Members Convicted Over Sh113.2mn Kisumu Business Fraud
NATIONAL NEWS · Quick read
RecentlyPage 658 of 1169 · 23365 stories