Unganishwa

Search the region

22509 stories

National · The Nile Post

Elderly Couples Mobilised to Tackle Early Marriages, Domestic Violence in Tororo

Read the full report from the original source.

Recently
National · The Star Kenya

PS Omollo to youth: Don't let politicians use you

Interior PS says young people should question leaders who ask them to disrupt meetings, block roads and destroy property.

Recently
Business · Business Daily

Top banks seek 12-months pause to new CBK capital rules

Read the full report from the original source.

Recently
National · Issa Michuzi

DKT. MWIGULU AAGIZA KUONGEZWA KASI YA UJENZI WA BARABARA YA BIGWA–KISAKI

▪️ Asema Serikali imeboresha utaratibu wa upatikanaji wa fedha za miradi ya barabara ▪️ Atarejea kukagua maendeleo ya ujenzi WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amemtaka mkandarasi anayejenga sehemu ya barabara ya Bigwa–Mvuha–Kisaki, yenye urefu wa jumla wa kilomita 133, mkoani Morogoro, aongeze kasi ya ujenzi kwa kuhakikisha mitambo na wataalamu wanaohitajika wanafika eneo la mradi. Dkt. Mwigulu ametoa agizo hilo leo, (Jumapili, Novemba 22, 2026), wakati akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kata ya Bwakila Chini, Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro, mkoani Morogoro. Amesema amepita katika barabara hiyo na kujionea hali yake, huku akieleza kuwa ziara yake imelenga kuongeza msukumo katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo. “Kuona kwenye makaratasi ni tofauti na kuona kwa macho. Kuona kwenye taarifa ni tofauti na kuona saiti kama leo ambavyo nimeiona mwenyewe barabara hii,” amesema. Waziri Mkuu amekiri kuwa ujenzi wa barabara hiyo umechelewa, lakini ameeleza kuwa ucheleweshaji huo haukutokana na uzembe wa ufuatiliaji wa wabunge au viongozi wa mkoa. Amesema Serikali ilifanya uamuzi wa kimkakati wa kuelekeza fedha katika kukamilisha Mradi wa Kufua Umeme wa Julius Nyerere ili kukabiliana na changamoto ya upatikanaji wa umeme nchini. Hata hivyo, Waziri Mkuu amesema tangu kuanza kwa mwaka wa fedha wa 2026/2027, Serikali imebadilisha utaratibu wa upatikanaji wa fedha za miradi ya barabara kwa kuzielekeza moja kwa moja katika Mfuko wa Barabara, ambao unapokea zaidi ya Sh. bilioni 330 kila mwezi. “Maana yake, kuanzia sasa na huko tunakokwenda, hapatakuwepo na kisingizio cha ucheleweshaji wa fedha kwenye utekelezaji wa barabara yenu hii,” amesema. Amemtaka mkandarasi kuongeza mitambo na wataalamu katika eneo la mradi badala ya kuwa na watumishi wachache wanaolinda kambi, huku akisisitiza kuwa atafuatilia kwa karibu maendeleo ya ujenzi. “Na mimi nitaifuatilia kweli kweli barabara hii, kwa sababu nimepita nimeiona,” amesema. Akitoa ufafanuzi kuhusu barabara hiyo, Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya, amesema hatua ya kwanza ya mradi huo inahusisha ujenzi wa kilomita 78 kutoka Bigwa hadi Mvuha. Amesema kuchelewa kwa malipo ya awali kumeathiri kasi ya utekelezaji wa mradi, lakini Wizara ya Ujenzi inatarajia kukamilisha malipo hayo wiki inayofuata ili mkandarasi aweze kuongeza kasi ya kazi. Awali, Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Hamisi Taletale, akizungumza pia kwa niaba ya Mbunge wa Morogoro Kusini, Zuberi Mfaume, alimweleza Waziri Mkuu kuwa kuchelewa kwa ujenzi wa barabara hiyo kumekuwa changamoto kwa wananchi. Amesema mkandarasi amelipwa Sh. bilioni 9 lakini bado anadai takribani Sh. bilioni 6, huku akiiomba Serikali kuhakikisha malipo yaliyobaki yanafanyika mapema ili kuongeza kasi ya ujenzi.

Sun, 22 Nov 2026 15:49:36 +0000
Business · Business Daily

Businesses lose majority of tax disputes as KRA wins 52pc of cases

Read the full report from the original source.

Recently
Health · The Ankole Times

Sironko Set for Eye Hospital as OPGFA Partners with Woman MP Asha Nabulo in Healthcare Drive

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Murkomen to Opposition: Respect IEBC

The CS insisted that electoral laws must be respected at every stage of the process, maintaining that results declared at polling stations are final

Recently
Uncategorized · Jamhuri Media

Tabasamu la wahariri Ngorongoro

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

South Korea education chief resigns amid AI cheating scandal

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

COP31 fails to agree climate deal in chaotic finale

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Chimpreports

MTN Changemakers to Equip 120 Dokolo Women and Community Members with Tailoring and Enterprise Skills

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

KUPPET renews concerns over JSS autonomy

KUPPET SG Misori said the union would continue pushing for the retention of distinct school categories

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

Israel's Eisenkot condemns 'Jewish terrorism' in West Bank

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Techweez

Citizen TV’s KES 350 YouTube Package Tests Whether Kenyans Will Pay for Free Content

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

RAIS SAMIA AWASILI ETHIOPIA KUSHIRIKI MKUTANO WA CPHIA 2026

Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bole, Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 22 Novemba, 2026 kwa Ziara ya Kikazi ya siku mbili. akiwa Addis Ababa, Mhe. Rais Dkt. Samia atashiriki Mkutano wa Tano wa Kimataifa wa Afya ya Umma Barani Afrika (CPHIA 2026), pamoja na kuzindua Mpango Elekezi wa Kuboresha Afya ya Mama na Mtoto Barani Afrika. Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akizungumza na Waziri wa Ubunifu na Teknolojia wa Ethiopia Mhe.Frehiwot Tamiru baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bole, Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 22 Novemba, 2026 kwa Ziara ya Kikazi ya siku mbili. akiwa Addis Ababa, Mhe. Rais Dkt. Samia atashiriki Mkutano wa Tano wa Kimataifa wa Afya ya Umma Barani Afrika (CPHIA 2026), pamoja na kuzindua Mpango Elekezi wa Kuboresha Afya ya Mama na Mtoto Barani Afrika. Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa na Watoto wa Kitanzania wanaoishi nchini Ethiopia waliojitokeza kumlaki  baada ya kuwasili nchini humo tarehe 22 Novemba, 2026 kwa Ziara ya Kikazi ya siku mbili. Akiwa Addis Ababa, Mhe. Rais Dkt. Samia atashiriki Mkutano wa Tano wa Kimataifa wa Afya ya Umma Barani Afrika (CPHIA 2026), pamoja na kuzindua Mpango Elekezi wa Kuboresha Afya ya Mama na Mtoto Barani Afrika.

Sun, 22 Nov 2026 15:08:16 +0000
Uncategorized · Business Daily

Battle lines drawn over proposed pest control products law

Read the full report from the original source.

Recently
Sports · Azam TV Videos

Magoli | Posta Rangers 1-2 Gor Mahia | SportPesa League Kenya 22/11/2026

#SportPesaLeague Imemalizika...na alama tatu zimekwenda kwa wageni. FT: Posta Rangers 1-2 Gor Mahia Burudani zinaendelea LIVE kupitia chaneli zote za #AzamSportsHD #LigiKuuKenya #SportPesaLeagueKenya #SPLUpdates #SPL #GorMahia #PostaRangers

2026-11-22T14:41:55+00:00
Business · UN News Burundi

West Bank: Record settler attacks mar olive harvest as UN urges Israel to protect farmers

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

KUPPET renews concerns over JSS autonomy

Misori said the union would continue pushing for the retention of distinct school categories.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

MWENYEKITI JUMUIYA YA WAZAZI DAR AWATAKA WANACHAMA KUNADI UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM

Na MWANDISHI WETU MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Dar es Salaam, Khadija Ally Said, amewataka wanachama wa jumuiya hiyo kuwaeleza wananchi kuhusu maendeleo makubwa ya utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), chini ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan. Aidha amesema jumuiya hiyo inatambua mchango mkubwa wa kila mwanachama katika ushindi wa CCM uliomweka Rais Dk. Samia, madarakani katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29 mwaka jana hivyo ni wakati wa kushikamana kuhakikisha Chama kinaendelea kushika hatamu. Khadija amesema hayo jijini Dar es Salaam, katika hafla ya kukabidhi tuzo maalumu za kutambua mchango wa jumuiya hiyo ngazi ya kata 23 za majimbo ya Segerea na Ilala na kuwashukuru wanachama kwa ushindi mkubwa wa CCM katika uchaguzi mkuu uliopita. "Kwa niaba ya Rais Dk. Samia, tunawashukuru sana wote walioshiriki kikamilifu kufanikisha ushindi huu. Tunajua mlijitoa kwa hali na mali kuhakikisha Chama kinashinda. Tunawakabidhi tuzo hizi kutambua mchango wenu mkubwa katika jumuiya ya Chama chetu,"amesema Khadija. Amewataka wanachama wa jumuiya hiyo, kuyazungumzia mafanikio makubwa ya utekelezaji wa Ilani ya CCM ambao Rais Dk. Samia, ameendelea kuyafanya hususan uboreshaji wa sekta ya elimu, miundombinu ya barabara, huduma za afya, maji, michezo na uwezeshaji wananchi kiuchumi. "Mambo haya mnayaona. Yazungumzieni wananchi wayajue. Rais Dk. Samia, anafanya mambo makubwa kuhakikisha nchi hii inasonga mbele kimaendeleo,"amesema Khadija. Aidha amewaasa wanachama wa jumuiya hiyo kushikamana na kuwa na umoja badaya ya kuendeleza makundi yaliyotokana na uchaguzi mkuu uliopita au uchaguzi wa ndani ya Chama unaotarajiwa kufanyika mwakani. Khadija alieleza Jumuiya ya Wazazi Tanzania, imeendelea kuimarika na kuwa jumuia kinara ndani ya CCM hivyo ni muhimu wanajumuia kuwa na umoja, kupendana na kuepuka kutengezeana majungu yasiyo kuwa na tija. Awali, Mwewnyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Wilaya ya Ilala, Mohamed Msophe, aliwataka wanachama wa CCM na wana jumuiya hiyo kufanya kazi kwa moyo kumsaidiai Mwenyekiti Rais Dk. Samia. "Kila mmoja wetu awe balozi bora. Tukawe na sauti ya kukisemea Chama chetu. Tuyaseme yale yote mema na mazuri yanayofanywa chini ya uongozi wa Rais Dk. Samia.. Tusiruhusu Chama chetu kisemwe vibaya. Kazi aliyoifanya rais inaonekana kila mahali," ameeleza Msophe. Msophe pia amemshukuru Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Dar es Salaam, Khadja kwa kuilea jumuiya hiyo na kwamba katika uongozi wake imeimarika maradufu. "Tunashukuru kwa tuzo hizi muhimu tulizokabidhiwa. Pia umeunganisha jumuiya na umeendelea kuilea kwa upendo na hekima,"amesema Msophe.

Sun, 22 Nov 2026 14:56:27 +0000

Page 68 of 1126 · 22509 stories