Unganishwa

Search the region

23284 stories

Uncategorized · TechCabal East Africa

Africa Bitcoin Corporation’s boardroom battle leaves just two directors standing

Read the full report from the original source.

Recently
Health · The Standard

Oburu Oginga to leave hospital soon - ODM

In fact, he's headed home either today or tomorrow, she added.

Tue, 13 Oct 2026 17:28:51 +0300
Uncategorized · The Star Kenya

Kahariri leads final Mashujaa Day rehearsal in Eldoret

Rehearsal featured military parades and Kenya Air Force helicopter displays ahead of the October 20 celebrations

Recently
Sports · Mwanaspoti

Carrick: Naelewa shida zenu

KOCHA wa Manchester United, Michael Carrick, amekiri kuelewa sababu zinazowafanya mashabiki wa klabu hiyo kutaka mabadiliko makubwa, kutokana na mwenendo usioridhisha wa timu hiyo mwanzoni mwa...

Recently
Sports · Mwanaspoti

Cristiano Ronaldo bado 19

NYOTA wa Ureno, Cristiano Ronaldo, ameendelea kuandika historia katika soka, baada ya kufunga bao lake la 981, akiisaidia Al Nassr kuichapa Neftchi Fergana ya Uzbekistan mabao 3-1 katika Ligi ya...

Recently
Uncategorized · The Standard

Sifuna meets Njeri Maina as opposition unity push gathers pace

Nairobi Senator Edwin Sifuna has met Kirinyaga Woman Representative Njeri Maina as opposition leaders seek a common candidate to challenge President William Ruto in the 2027 General Election.

Tue, 13 Oct 2026 15:55:00 +0300
Uncategorized · The Citizen

Lake Zone records Sh4 trillion mineral trade as sales surge

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

India: Can 'cockroaches' threaten Modi's political grip?

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Rwanda Inspirer

From two piglets to RWF 7 million: Nikuze’s journey to a better life

Read the full report from the original source.

Recently
Business · Jamhuri Media

DED Kibiti: Sitamvumilia mtumishi atakayehusika kutorosha korosho

Read the full report from the original source.

Recently
Business · Issa Michuzi

DED KIBITI ATOA ONYO KWA WATUMISHI WANAOHUSIKA NA UTOROSHAJI WA KOROSHO KIBITI

Na Mwamvua Mwinyi, Kibiti MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti, Ramadhan Kimara, ameonya kuwa hatamvumilia mtumishi yeyote wa halmashauri atakayehusika na utoroshaji wa korosho, akisema vitendo hivyo vinaikosesha halmashauri mapato yanayostahili. Kimara ametoa onyo hilo Oktoba 13, 2026, wakati akizungumza na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini cha halmashauri hiyo, baada ya kukamilika kwa Mkutano wa Wadau wa Tasnia ya Zao la Korosho wilayani Kibiti. Amesema korosho na ufuta ni miongoni mwa mazao yenye mchango mkubwa katika kuongeza mapato ya ndani ya halmashauri, hivyo ni muhimu kuimarisha usimamizi wake ili kuzuia utoroshaji na upotevu wa mapato. “Halmashauri yetu ili iongeze mapato ya ndani inategemea mazao kama korosho na ufuta. Hivyo, kama sisi tutakuwa tunasinzia au tunakosa usimamizi mzuri na kusababisha korosho kutoroshwa, mapato yatapotea. Sitamvumilia mtumishi yeyote atakayekuwa miongoni mwa wanaotorosha korosho,” alisema Kimara. Alifafanua kuwa atazungumza na Mkuu wa Wilaya ya Kibiti kwa lengo la kuimarisha usimamizi na doria za kudhibiti utoroshaji wa korosho, akisisitiza kuwa yuko tayari kushiriki doria hizo usiku na mchana inapohitajika. Aidha, Kimara amesisitiza umuhimu wa wakulima kulipwa stahiki zao kwa wakati ili kupunguza malalamiko na kuimarisha imani yao katika mfumo wa biashara ya korosho. Amewataka wakulima kutumia vizuri mapato wanayopata kutokana na mauzo ya mazao yao kwa kuzingatia mahitaji ya msingi ya familia na kuwekeza katika shughuli za maendeleo ya kiuchumi ili kuboresha maisha yao.

Tue, 13 Oct 2026 15:15:51 +0000
Uncategorized · CEO East Africa

East Africa Tourism Race Tests Uganda as Tanzania Expands, Kenya Grows and Rwanda Pursues Value

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Capital FM

CS Murkomen Says Accelerated Development Is Key to Ending Kerio Valley Banditry

NATIONAL NEWS · 5 hours ago

Recently
Uncategorized · TechCabal East Africa

Nigerians used 90% of 2025’s internet data volume in eight months

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

𝑴𝑨𝑲𝑨𝑴𝑼 𝑾𝑨 𝑹𝑨𝑰𝑺 𝑨𝑾𝑨𝑩𝑨𝑵𝑨 𝑾𝑨𝑲𝑨𝑵𝑫𝑨𝑹𝑨𝑺𝑰 𝑲𝑨𝑻𝑨𝑽𝑰, 𝑨𝑻𝑶𝑨 𝑲𝑰𝑲𝑶𝑴𝑶 𝑪𝑯𝑨 𝑫𝑬𝑺𝑬𝑴𝑩𝑨 𝑲𝑾𝑨 𝑴𝑹𝑨𝑫𝑰 𝑾𝑨 𝑼𝑴𝑬𝑴𝑬 𝑴𝑷𝑨𝑵𝑫𝑨.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi,ameagiza kuharakishwa kwa miradi ya barabara, maji na umeme mkoani Katavi, huku akiwataka wakandarasi wanaosuasua kuongeza kasi ya utekelezaji ili wananchi waanze kunufaika na uwekezaji mkubwa unaofanywa na Serikali. Maagizo hayo ametoa alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Mpanda, akiwa njiani kuelekea Sumbawanga mkoani Rukwa kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru, ambapo alipata fursa ya kuwasalimia wananchi waliojitokeza kumpokea. Akizungumzia changamoto ya umeme, Makamu wa Rais ameitaka TANESCO kuhakikisha kufikia Desemba 01 2026, Mpanda inapelekewa Transfoma itakayoongeza megawati 50 zaidi za umeme ili kukidhi mahitaji yanayozidi kuongezeka katika Manispaa ya Mpanda na maeneo mengine ya mkoa huo. Makamu wa Rais amesisitiza kuhakikisha ahadi ya kukamilisha maboresho hayo inatekelezwa, sambamba na kuweka nguzo za zege.

Tue, 13 Oct 2026 15:09:16 +0000
National · Issa Michuzi

WAZIRI MKUU: MAANDALIZI YA KUKABILIANA NA MAAFA YAANZIE NGAZI YA FAMILIA

Na Jane Mwakyoma, Rukwa WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amezitaka familia nchini kujiwekea mipango ya kukabiliana na maafa kabla hayajatokea ili kuongeza uwezo wa kukabiliana na athari zake yanapotokea. Dkt. Nchemba ameyasema hayo leo, Oktoba 13, 2026, katika Uwanja wa Nelson Mandela, mjini Sumbawanga, mkoani Rukwa, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kupunguza Athari za Maafa. Amesema mipango ya kukabiliana na maafa inapaswa kuanzia ngazi ya familia, huku Serikali ikiendelea kuchukua hatua za kudhibiti vihatarishi na kuimarisha mifumo ya kukabiliana na majanga. Alisema kaulimbiu ya maadhimisho ya mwaka huu, “Ustahimilivu Unaanzia Nyumbani,” inasisitiza umuhimu wa familia na jamii kujiandaa mapema ili kupunguza athari za maafa ambayo yamekuwa yakisababisha vifo, uharibifu wa mali na kuacha majonzi kwa waathirika. Dkt. Nchemba alieleza kuwa ni muhimu jamii kupewa elimu na mbinu za kisasa pamoja na kutumia maarifa ya jadi yanayofaa kulingana na mazingira husika ili kuongeza uwezo wa kuzuia na kukabiliana na maafa. Alisisitiza pia umuhimu wa Serikali na wananchi kushirikiana katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi na uharibifu wa mazingira, akieleza kuwa hatua hizo ni muhimu katika kupunguza vihatarishi vinavyoweza kusababisha maafa. Akizungumzia mifano ya maafa yaliyowahi kuikumba Tanzania, alitaja maporomoko ya ardhi yaliyotokea Hanang na Mbeya, mafuriko pamoja na ajali mbalimbali ambazo zimeathiri maisha ya wananchi na kusababisha hasara kubwa. Siku ya Kimataifa ya Kupunguza Athari za Maafa huadhimishwa kila mwaka kwa lengo la kuhamasisha juhudi za kupunguza vihatarishi vya maafa na kujenga jamii zenye uwezo wa kukabiliana na athari zake. Katika hatua nyingine, Waziri Mkuu alipokea taarifa ya maandalizi ya shughuli za kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru na Wiki ya Vijana. Akiwasilisha taarifa hiyo, Waziri wa Maendeleo ya Vijana, Joel Nanauka, alisema maandalizi ya shughuli hizo yamefikia asilimia 100. Aliongeza kuwa Wiki ya Vijana imetumika kuwajengea vijana uwezo wa kujiamini, kuwa wabunifu na kutambua fursa za maendeleo zilizopo katika maeneo yao.

Tue, 13 Oct 2026 15:00:39 +0000
Sports · Azam TV Videos

Goli la Free-Kick | Muembe Makumbi 0-1 KMKM SC | PBZ Premier League 10/10/2026

#PBZPL What a free-kick….!!! Ni goli la Salim Khamis Babu likiiipa pointi tatu muhimu KMKM SC.. FT: Muembe Makumbi 0-1 KMKM SC #LigiKuuZanzibar #ZanzibarPremierLeague #PBZPremierLeague #MuembemakumbiCity #KMKMSC #MuembeMakumbiKMKM

2026-10-13T14:51:31+00:00
Uncategorized · Jamhuri Media

Rais Samia apokea hati za utambulisho wa mabalozi

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Business Daily

Name change costs Peptang maker tax fight with KRA

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · BBC Afrique

Le Rwanda accueillera la première course de Formule 1 en Afrique depuis 1993

Le Rwanda signe un contrat de 10 ans avec la Formule 1 pour accueillir des courses dans le pays africain, à partir du début des années 2030.

Recently

Page 693 of 1165 · 23284 stories