Search the region
23236 stories
Two police officers arraigned over alleged defilement of three-year-old girl in Meru
Read the full report from the original source.
RecentlyRuto accuses Uhuru of betraying him ahead of 2027 polls
President William Ruto has described former President Uhuru Kenyatta as the most ungrateful and deceitful human being he has ever met. He urged to retire honourably and stop the continuing…
RecentlyAdvertising Revenue: Digital vs non-digital
In select countries
RecentlyGovernment, KEMSA push for strong pharmacist leadership to curb stock outs
Dr. Ouma Oluga calls for data-driven HPT management, stronger hospital–KEMSA collaboration and greater accountability to improve essential health products availability.
RecentlyPoland: Germany detains 2 in connection with Starlink fire
Read the full report from the original source.
RecentlyFrench supermarkets targeted by massive defrost cyberattack
Read the full report from the original source.
RecentlyArthritis: Ugonjwa unaoweza kusababisha ulemavu
Read the full report from the original source.
RecentlyGoli la Coastal Union dhidi ya Singida BS (1-0) | NBC Premier League 12/10/2026
Goli pekee kutoka kwa Gradi Kiala Lassa limetosha kuipa Coastal Union ushindi kwa kuichapa Singida BS bao 1-0, mchezo wa Ligi Kuu ukipigwa kwenye Dimba la Mkwakwani, Tanga. Hili ndilo goli...
2026-10-12T18:13:36+00:00Coastal Union 1-0 Singida BS | Highlights | NBC Premier League 12/10/2026
Goli pekee kutoka kwa Gradi Kiala Lassa limetosha kuipa Coastal Union ushindi kwa kuichapa Singida BS bao 1-0, mchezo wa Ligi Kuu ukipigwa kwenye Dimba la Mkwakwani, Tanga.
2026-10-12T18:18:03+00:00Sénégal : la répression des LGBTQ+ sous le feu des ONG
Read the full report from the original source.
RecentlyDuale gazettes Ebola as highly contagious disease
Declaration paves the way for government to enforce legal measures to prevent and control Ebola spread
RecentlyLes jeunes filles sensibilisées aux risques des rapports sexuels précoces
Read the full report from the original source.
RecentlyDuale declares Ebola a highly contagious disease
Declaration paves the way for government to enforce legal measures to prevent and control Ebola spread
RecentlyL’ABP et l’administration communale renforcent leur collaboration
Read the full report from the original source.
RecentlyLe Président Kagame rend hommage au courage de Dafroza Gauthier
Read the full report from the original source.
RecentlyKenya declares Ebola a formidable epidemic disease, sets new rules
Kenya has declared Bundibugyo Ebola a formidable epidemic disease, introducing new rules on screening, isolation, quarantine, contact tracing and safe burials to strengthen outbreak control measures.
Mon, 12 Oct 2026 20:52:48 +0300“The IBCR is committed to serving as a bridge between Indian investors and Rwandan enterprises” – Verma Mangesh Kumar
Read the full report from the original source.
RecentlyLe Président Kagame console les commerçants du marché de Musanze ravagé par un incendie
Read the full report from the original source.
RecentlyMicrosoft Shuts Down Africa Development Centre in Nairobi
Read the full report from the original source.
RecentlyTAASISI ZASHAURIWA KUIMARISHA MAFUNZO YA KULEA NA KUKUZA VIONGOZI WANAWAKE
Na Said Mwishehe,Michuzi TV WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii na Michezo katika Serikali ya Zanzibar, Riziki Pembe, ametoa rai kwa taasisi za umma na za sekta binafsi kuimarisha mafunzo ya kulea na kukuza vipaji (mentorship), mafunzo ya kitaaluma, na usawa mahali pa kazi ili kuwasaidia wanawake kupanda vyeo na kudumu katika nafasi za uongozi. Ametoa rai hiyo leo Oktoba 12,2026 alipokuwa akifungua l Kongamano la Uongozi wa Wanawake lililoandaliwa na Taasisi ya Uongozi (Uongozi Institute) jijini Dar es Salaam. Amesema kwamba kuendelea kujiendeleza kitaaluma ni jambo la msingi katika kuongeza ufanisi wa kazi, kuimarisha utawala bora, na kuwajenga viongozi wanaochipukia ili kusimamia rasilimali kwa ufanisi. “Nitoe mwito kwa waajiri kufanya tathmini ya mahitaji ya ujuzi miongoni mwa wafanyakazi wao, kuwekeza kwenye mafunzo lengwa, na kuhakikisha mipango ya kujenga uwezo inaleta matokeo yanayopimika katika tija na utoaji wa huduma,”amesema Waziri Pembe Amesisitiza haja ya taasisi kuweka mazingira salama na jumuishi ya kazi yasiyo na udhalilishaji wa kijinsia wala ubaguzi, na kuongeza viongozi lazima wasimamie sheria za kazi kikamilifu na kuwatendea haki wafanyakazi wote. Kuhusu kongamano la sita tangu kuzinduliwa kwa Programu ya Mafunzo ya Uongozi kwa Wanawake amesema Kaulimbiu ya mwaka huu inasema “Kukuza Uendelevu wa Wanawake katika Uongozi Barani Afrika”, Amefafanua kauli mbiu hiyo inawataka kutafakari namna ya kuwawezesha wanawake kupata nafasi za uongozi, kukaa katika hizo nafasi na kuendelea kukua katika kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi. “Dhamira hii inaungwa mkono na Malengo ya Maendeleo Endelevu ya mwaka 2030. Shabaha ya 5.5 inasisitiza ushiriki kamili na wenye ufanisi wa wanawake na fursa sawa za uongozi katika ngazi zote za maamuzi. “Shabaha za 5.1 na 5.2 zinalenga kuondoa ubaguzi na ukatili dhidi ya wanawake na wasichana, huku shabaha ya 5.c ikisisitiza kuandaa sera na sheria zinazotekelezeka kwa ajili ya usawa wa kijinsia na uwezeshaji wa wanawake. Amesema kwa pamoja, shabaha hizo zinatoa msingi wa kujenga mazingira yanayowawezesha wanawake kushiriki na kuendelea kukua katika uongozi.Katika Bara la Afrika, malengo namba 12 na 17 ya Ajenda ya Maendeleo ya Afrika Tuitakayo (2063) yanasisitiza taasisi zenye uwezo, uongozi wenye kuleta mabadiliko na usawa wakijinsia. Ameongeza mpango wa pili wa Utekelezaji wa Ajenda 2063 wa mwaka 2024 hadi 2033 unalenga kuhakikisha kuwa, ifikapo mwaka 2033, wanawake wanashika angalau asilimia 50 ya nafasi za uongozi wa kuchaguliwa katika ngazi za mitaa, kikanda na kitaifa, angalau asilimia 50 ya nafasi za menejimenti serikalini na angalau asilimia 30 katika sekta binafsi. Kwa upande wake Mkuu wa Ushirikiano kutoka Ujumbe wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini Tanzania na Jumuiya ya Afrika Mashariki, Marc Stalmans, ametumia jukwaa hilo kuthibitisha tena azma ya muda mrefu ya jumuiya hiyo kupanua fursa za uongozi na uwezeshaji wa kiuchumi kwa wanawake katika ukanda huu. Ameangazia mradi mkubwa wa EU wenye thamani ya euro milioni 19 (sawa na dola za Marekani milioni 20.7) uliozinduliwa mwaka 2021, ujulikanao kama Gender Transformative Action: Breaking the Glass Ceiling, ambao ulienza kutekelezwa kikamilifu kwa ushirikiano na mashirika ya ndani mwaka 2023. Mpango huo wa kujenga uwezo tayari umesaidia makundi waliohitimu (cohorts) nane ya wanawake wataalamu, huku makundi mengine mawili yakijiunga hivi karibuni. Pia amebainisha vikwazo vya kimfumo ikiwa ni pamoja na ubaguzi dhidi ya wanawake wajawazito, majukumu mzito ya kifamilia, udhalilishaji wa kijinsia mahali pa kazi, na ukosefu wa usaidizi wa kitaasisi kama mambo makuu yanayorudisha nyuma maendeleo ya taaluma za wanawake. Amehimiza washiriki kujenga mtandao imara wa kitaaluma na kuwalea wanawake wanaochipukia, akibainisha kuwa maendeleo endelevu ya uongozi yanapaswa kwenda mbali zaidi ya mafunzo ya darasani. Wakati huo huo Mwakilishi wa UN Women nchini Tanzania, Jolly Acen, amesema mafanikio ya idadi ya wanawake katika uongozi wa kisiasa na makampuni lazima yaambatane na matengenezo ya kimfumo katika taasisi ili kuhakikisha wanawake wanafanikiwa na kusonga mbele kwa muda mrefu. “Ingawa wanawake kwa sasa wanashikilia asilimia 39.5 ya viti katika Bunge la Tanzania, kudumisha maendeleo haya kunahitaji fursa sawa za kupata rasilimali za kifedha, fursa za kufanya maamuzi, na sera zinazotatua mzigo usio sawa wa majukumu ya nyumbani.” Awali Ofisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uongozi, Kadari Singo, ameonesha wasiwasi kuhusu kupoteza uzoefu wa thamani wa kiutawala pale wanawake wanapotoka kwenye ulingo wa siasa za kuchaguliwa, hasa wale wanaomaliza muda wa ukomo wa vipindi viwili mtawalia katika viti maalum vya Bunge. "Kitendo cha mwanamke kumaliza muda wake wa Ubunge haimaanishi kuwa hana mchango tena.Ni taratibu gani tulizo nazo za kufuatilia wanawake hawa na kuhakikisha uzoefu wao unaendelea kutumika kwa maendeleo ya taifa?"
Mon, 12 Oct 2026 17:57:20 +0000Page 713 of 1162 · 23236 stories