Search the region
23234 stories
Rubanda Leaders Warn Health Workers Over Absenteeism, Poor Service Delivery
Read the full report from the original source.
RecentlyAudio — Quel rôle joue la presse universitaire en Afrique?
To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video
RecentlyPerezida Kagame n'umuryango we bafashe mu mugongo umuryango wa nyakwigendera Dafroza Gauthier
Read the full report from the original source.
RecentlySouth Africa’s deputy police chief resigns after being charged with sexual offences
Africa · 5 hours ago
RecentlyTeargas, gunshots as Malala leads protest in Kakamega
News · 5 hours ago
RecentlyCS Duale Declares Ebola Bundibugyo a Formidable Epidemic Disease
Latest · NATIONAL NEWS
RecentlyRuto to Uhuru: You betrayed me after years of loyalty
“I Ruto, voted for you four times. I stood with you when you began your journey to seek leadership."
RecentlyUFADHILI WA GEF WACHOCHEA UKUAJI WA UTALII WA MISITU TANZANIA
Na Mwandishi Wetu DAR ES SALAAM: Idadi ya watalii wanaotembelea hifadhi za misitu nchini imeongezeka kutoka chini ya 200 mwaka 2015 hadi zaidi ya 390,000 kwa mwaka, mafanikio yanayohusishwa kwa sehemu na miradi inayofadhiliwa na Mfuko wa Dunia wa Mazingira (GEF). Ukuaji huo unaashiria hatua muhimu katika juhudi za Tanzania kupanua vivutio vya utalii nje ya hifadhi za wanyamapori, kuongeza thamani ya kiuchumi ya rasilimali za misitu na kuimarisha uhifadhi endelevu. Akizungumza katika mazungumzo ya kitaifa kuhusu awamu ya tisa ya ufadhili wa GEF (GEF-9), Mhifadhi Mwandamizi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), Yusuph Tango, ambaye pia ni Mratibu wa Mradi wa NETZERO unaofadhiliwa na GEF-8, alisema miradi iliyofadhiliwa na mfuko huo imechangia kuimarisha usimamizi wa baadhi ya misitu na kuwezesha kuendelezwa kwa shughuli za utalii katika hifadhi za misitu ya asili. Tango alisema utalii wa misitu ulikuwa bado haujaimarika mwaka 2015, wakati idadi ya watalii waliotembelea hifadhi hizo ilikuwa chini ya 200 kwa mwaka, licha ya Tanzania kuwa na utambulisho mkubwa kimataifa katika utalii wa wanyamapori. Ufadhili huo pamoja na jitihada zingine za serikali zimesaidia kuongeza kwa idadi ya watalii kufikia takriban 400,000 mwaka 2025. Alieleza kuwa kuboreshwa kwa hadhi na usimamizi wa baadhi ya maeneo ya misitu, pamoja na kutambuliwa kwake kama hifadhi za misitu ya asili, kumewezesha kuendeleza shughuli za utalii sambamba na uhifadhi wa bioanuai. Alisema TFS imekuwa ikinufaika na ufadhili wa GEF tangu mwaka 2007 kupitia awamu mbalimbali, zikiwamo GEF-4, GEF-5 na GEF-6, na sasa inaangalia fursa mpya katika GEF-9 ili kuimarisha zaidi uhifadhi na kuendeleza shughuli za utalii katika hifadhi za misitu na nyuki. Tango alisisitiza umuhimu wa kushirikiana na wadau kuandaa mapendekezo ya miradi yanayozingatia vipaumbele vya mazingira vya Tanzania na malengo ya ufadhili wa GEF, akieleza kuwa msaada zaidi unaweza kuongeza mchango wa rasilimali za misitu na nyuki katika maendeleo ya taifa. Mazungumzo ya GEF-9 yanawakutanisha wadau kujadili fursa za ufadhili, kujifunza kutokana na miradi iliyopita na kuweka vipaumbele vya miradi mipya itakayochangia kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya tabianchi, upotevu wa bioanuai, uharibifu wa ardhi na uchafuzi wa mazingira.
Mon, 12 Oct 2026 17:36:57 +0000‘These attacks must cease immediately’: Guterres condemns deadly Houthi strike on Riyadh airport
Read the full report from the original source.
RecentlyMchengerwa awataka Wakuu wa Mikoa kusimamia Bima ya Afya kwa wote
Read the full report from the original source.
RecentlyUS federal agents search home of Trump critic Ilhan Omar
Read the full report from the original source.
RecentlyIf AI prompts can build your product, will African VCs still invest?
Read the full report from the original source.
RecentlyChina restrictions keep Sh45bn SGR fares idle
Read the full report from the original source.
RecentlyWhatsApp yashyizeho uburyo ababyeyi bahitamo mu kugenzura ingimbi n'abangavu ku mikoreshereze yayo
Ababyeyi bazabasha kurinda amakuru bwite ya WhatsApp z'abana babo.
RecentlyMama, mbabajwe n'uko ugiye ntaramenya Ikinyarwanda - Umuhungu wa Dafrosa Gauthier
Read the full report from the original source.
RecentlyNakuru Intensifies Crackdown on Criminal Gangs, Launches 107 Hotline Ahead of 2027 Polls
NATIONAL NEWS · 5 hours ago
RecentlyReport: Politicians finance 9 in 10 organised gangs
The committee further reported that 109 organised gangs and groups had been documented as of September 2026.
RecentlyZanzibar kuibua vipaji vya sayansi ya anga
Read the full report from the original source.
RecentlyRights on Paper, Power in Practice: Laeticia Mukurasi on What Still Blocks Tanzanian Workers
Read the full report from the original source.
RecentlySix Ukrainian energy sites hit by Russia
There were blackouts in the city of Izyum after a Russian strike destroyed power grids
RecentlyPage 714 of 1162 · 23234 stories