Unganishwa

Search the region

23222 stories

Uncategorized · Chimpreports

Minister Byamukama: Hoima AFCON Roads to Be Tarmacked by March

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

South Africa's deputy police chief resigns

The charges relate to allegations that he sexually groomed a 16-year-old girl

Recently
Uncategorized · Business Daily

Treasury eyeing debt restructure for water firms as liabilities swell

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Radio Publique Africaine

Gitega : la pénurie d’eau potable perturbe les écoles à internat et affecte la santé des élèves

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

US federal agents search home of Trump critic Omar

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Capital FM

Kindiki vows tough action against political violence sponsors

News · 4 hours ago

Recently
Uncategorized · Capital FM

Blow to Arsenal as Zubimendi, Hincapie injured in training

Latest · English Premier League

Recently
Uncategorized · Mwananchi

TMA yatabiri mvua kwa siku 10, hali ya ukavu

Wakati baadhi ya maeneo ya Kanda ya Ziwa, Magharibi na Pwani yakitarajiwa kupata mvua zinazoambatana na ngurumo za radi kwa siku 10 kuanzia jana Jumapili Oktoba 11 hadi 20, 2026, maeneo mengine...

Recently
Uncategorized · Business Daily

Union petition over KPC board and chair rejected

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Capital FM

Cherargei threatens fresh bid to extend Ruto’s stay in power

News · 4 hours ago

Recently
Uncategorized · Business Daily

State’s unpaid electricity bills to Kenya Power hit Sh7.35bn

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Iwacu

Primus Ligue 2026-2027 (J7) : une journée en suspens, entre braise et silence

Le championnat ne joue pas, il raconte. Et ce que raconte cette septième journée est un récit en quatre actes, une histoire magnifique et volontairement inachevée.

Mon, 12 Oct 2026 14:56:00 +0000
Uncategorized · Citizen Digital

Muturi demands Ebola incident probe, calls on Duale to resign if he fails to account

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

IEBC’s strict timelines start this week

Parties face a series of legal deadlines beginning with submission of authorised officials’ names

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

Jumatatu Si Ya Kawaida, Meridianbet Kupamba Kasino Kwa Cashback Na Bonus Back

KWA watu wengi, Jumatatu ni siku ya kuanza majukumu mapya huku wakisubiri wiki iende kwa kasi. Lakini kwa wapenzi wa kasino mtandaoni , Jumatatu inaweza kuwa na ladha tofauti kabisa. Meridianbet imeleta Monday Cashback & Bonus Back, promosheni inayoongeza msisimko mwanzoni mwa wiki kwa kuwapa wachezaji wanaostahili nafasi ya kupata zawadi kutokana na shughuli zao za kasino za wiki iliyopita. Hapa, wiki haiishii tu Jumapili, bali inaweza kuacha mshangao ambao unaonekana Jumatatu. Ujanja wa promosheni hii unatokana na namna inavyounganisha wiki iliyopita na wiki mpya. Mchezaji anaposhiriki kwenye kasino ya Meridianbet wakati wa wiki, shughuli hiyo inaweza kuwa sehemu ya safari inayopelekea kupata Cashback au Bonus Back endapo atatimiza vigezo vinavyohitajika. Hivyo, wakati wengine wanaiona Jumatatu kama mwanzo wa safari mpya, mchezaji wa Meridianbet anaweza kuanza wiki akiwa na matarajio ya kuona zawadi inayotokana na ushiriki wake wa siku zilizopita. Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi. Na jambo zuri zaidi ni kwamba wachezaji ambao tayari wana akaunti ya Meridianbet hawahitaji kupitia usajili mwingine maalum ili kuzingatiwa. Kinachotakiwa ni kushiriki kwa mujibu wa masharti ya promosheni na kufikia vigezo vilivyowekwa. Meridianbet ndiyo huamua ustahiki pamoja na kiwango cha zawadi, jambo linalofanya kila wiki kuwa na simulizi yake. Kwa hiyo, kama kasino ni sehemu ya burudani yako, kila Jumatatu inaweza kuwa mwanzo wa kusubiri habari njema. Katika dunia ya kasino mtandaoni , burudani imekuwa zaidi ya kuzungusha mchezo na kusubiri matokeo. Wachezaji wanatafuta uzoefu wenye msisimko, matarajio na sababu zaidi za kuendelea kufuatilia kinachoendelea. Monday Cashback & Bonus Back inaleta kitu hicho kwa kuifanya Jumatatu kuwa siku yenye mvuto wa kipekee. Ni kama filimbi ya kuanzisha kipindi kipya, huku wachezaji wakitazama nyuma kwenye wiki iliyopita na kusubiri kuona kama ushiriki wao umeleta zawadi. Meridianbet inaendelea kuongeza ubunifu kwenye safari yake ya kasino, na Monday Cashback & Bonus Back ni sehemu ya msisimko huo. Kwa wachezaji wanaopenda kasino mtandaoni , mwanzo wa wiki sasa unaweza kuwa na sababu nyingine ya kutabasamu. Wiki iliyopita inaondoka, wiki mpya inaanza, lakini hadithi ya burudani inaweza kuendelea na zawadi zikawa sehemu ya mwanzo huo.

Mon, 12 Oct 2026 04:00:00 +0000
Business · Issa Michuzi

ZAN TIMIZA ETF YAKUSANYA SHILINGI BILIONI 9.46

Mfuko wa uwekezaji wa Zan Timiza Exchange Traded Fund (ETF), unaosimamiwa na Zan Securities Limited, umekusanya shilingi bilioni 9.46 katika mauzo ya awali ya vipande vyake, kiasi kilichozidi lengo la kukusanya shilingi bilioni tano. Mafanikio hayo yanaonesha fursa zilizopo katika soko la mitaji nchini katika kukusanya fedha za ndani kwa ajili ya uwekezaji na kuchochea maendeleo ya uchumi, huku wananchi wakipata nafasi ya kushiriki katika uwekezaji rasmi kulingana na uwezo wao wa kifedha. Akizungumza jijini Dar es Salaam katika hafla ya kuorodheshwa rasmi kwa mfuko huo katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), Kamishna wa Fedha za Nje na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Rished Bade, aliyemwakilisha Waziri wa Fedha, amesema mafanikio hayo ni hatua muhimu katika kuimarisha uwezo wa nchi kukusanya mitaji ya ndani na kupunguza utegemezi wa vyanzo vya fedha kutoka nje. Bade amesema Zan Timiza ETF ni mfuko wa uwekezaji wa pamoja unaowekeza katika mifuko mingine ya uwekezaji wa pamoja, huku vipande vyake vikinunuliwa na kuuzwa kupitia soko la hisa, hivyo kupanua fursa kwa wananchi kushiriki katika shughuli za uwekezaji. Ameitaka Zan Securities Limited, kwa kushirikiana na NMB Bank inayohusika na huduma za utunzaji wa mali za mfuko huo, kuhakikisha fedha za wawekezaji zinasimamiwa kwa uwazi, uadilifu na weledi, kwa kuzingatia sera za uwekezaji, nyaraka za mfuko na miongozo ya mamlaka husika. Kwa upande wake, Mtendaji Mkuu wa Zan Securities Limited, Raphael Masumbuko, amesema kiwango kilichokusanywa kinaonesha mwitikio wa Watanzania katika kutumia fursa za uwekezaji zinazopatikana kupitia soko rasmi la mitaji. Masumbuko amesema mauzo ya awali ya vipande vya mfuko huo yalianza Agosti 17, 2026 na kufungwa Septemba 17, 2026, huku kiwango cha chini cha uwekezaji kikiwa shilingi 20,000 ili kuwawezesha wananchi wa makundi mbalimbali ya kipato kushiriki katika uwekezaji huo.

Mon, 12 Oct 2026 14:51:41 +0000
Sports · Iwacu

Beach Soccer. Quand le sable de Nyabugete prit feu

Il y a des après-midi où le football cesse d'être un simple jeu. Il devient un poème. Samedi 10 octobre 2026, sur le sable brûlant d'Olympe Africa à Nyabugete, le temps s'est suspendu . Face à face, deux nations sœurs, deux orgueils. D'un côté, les Intamba Mu Rugamba, les Hirondelles à la poitrine frappée du drapeau. De l'autre, les Cranes Ougandais, venus avec leur rigueur et leur soif.

Mon, 12 Oct 2026 14:52:38 +0000
Uncategorized · Issa Michuzi

Siku ya Kuwinda Ushindi Mkubwa Hii Hapa

LEO hii ushindi mkubwa unakungoja wewe, mechi nyngi zinaendelea hadi katikati ya wiki, kama hukubahatika kushinda wikendi basi huu ndio muda sahihi, ingia kwenye akaunti yako na ubeti sasa. Majira ya saa 4 usiku Coventry City atakuwa nyumbani kusaka ushindi dhidi ya Newcastle United ambapo wenyeji ni mabingwa wa Championship msimu uliopita na mpaka sasa msimu huu kwenye mechi tano walizocheza kwenye ligi kuu wamekusanya pointi 3 pekee hivyo ushindi ni muhimu sana kwenye mechi hii. Newcastle wao hadi sasa wapo nafasi ya 9 baada ya kujikusanyia pointi 8 huku nao wakiuangalia mchezo huu kwa jicho lingine kwani nafasi ambayo waliyopo sio nzuri kama wanataka kumaliza nafasi 4 za juu. Jisajili hapa. Coventry walianza vibaya sana msimu kwa kupoteza mechi nne mfululizo, ikiwemo kipigo cha 5-0 dhidi ya Brighton. Hata hivyo, waliingia mapumzikoni ya kimataifa wakiwa wamepata ushindi muhimu wa 1-0 dhidi ya Nottingham Forest, lakini timu hiyo pia ina changamoto kwenye eneo la mbele ya kufunga magoli licha ya kupata nafasi nzuri. Mkwanja upo kwenye michezo Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi. Newcastle wanaonekana kuwa na faida kwenye ubora wa kikosi na uzoefu wa EPL. Pia waliondoka kabla ya mapumziko ya kimataifa wakiwa wamepata ushindi wa 2-1 dhidi ya Hull City, licha ya kuwa na wachezaji wengi waliokuwa majeruhi. Mapumziko hayo yamewapa nafasi baadhi ya wachezaji muhimu kurejea. Joelinton na Nico González walionekana wakishiriki sehemu ya mazoezi, hivyo kuna matumaini ya kuwa Newcastle watakuwa na kikosi imara zaidi dhidi ya Coventry. Nani kuondoka na ushindi leo?. Beti hapa. Vilevile kule LALIGA kutakuwa na mchezo mmoja ambapo Sevilla atakuwa ugenini kupepetana dhidi ya Levante ambapo tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 8, mwenyeji yupo nafasi ya 17 na ngeni wake nafasi ya 5. Kila timu inahitaji ushindi leo kujiweka kwenye nafasi nzuri, lakini mwenyeji ndio anahitaji zaidi kutokana na nafasi ambayo anaishikilia kwani sio nzuri kabisa kwenye mwanzo wa ligi. Odds kubwa zipo hapa, ingia na usuke jamvi hapa. Takwimu zinaonsha kuwa mara ya mwisho kukutana timu hizi mbili, yaani kwenye mechi zote mbili, mwenyeji aliondoka na ushindi. Je leo hii mgeni atakubali kupoteza kwa mara nyingine tena?. Suka jamvi hapa.

Mon, 12 Oct 2026 05:30:00 +0000
Uncategorized · Iwacu

Yussuf Ndayishimiye, le roc burundais qui a tenu Nice debout

Il y a des victoires qui se racontent par les buteurs. Et d'autres qui se comprennent en regardant celui qui a empêché l'effondrement. Ce samedi 11 octobre 2026, à l'Allianz Riviera, l'OGC Nice a renversé Strasbourg (2-1). Une victoire arrachée dans la douleur. Et qui porte, en son socle, la griffe d'un Burundais.

Mon, 12 Oct 2026 14:48:23 +0000
Uncategorized · Issa Michuzi

OSHA YAGUSA MAISHA YA WAKAZI WA MKOA WA KILIMANJARO

Mgeni Rasmi wa Bonanza la OSHA la Huduma kwa Jamii (OSHA CSR Bonanza 2026) ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Siha, Dkt. Christopher Timbuka, akiwahutubia washiriki wa bonanza. Mtendaji Mkuu wa OSHA, Bi. Khadija Mwenda, akitoa salamu za ukaribisho katika Bonanza la OSHA la Huduma kwa Jamii (OSHA CSR Bonanza 2026) lililofanyika Viwanja vya Shule ya Polisi Moshi Oktoba 8, 2026. Mtendaji Mkuu wa OSHA, Bi. Khadija Mwenda, akifuatilia matukio katika Bonanza la OSHA la Huduma kwa Jamii (OSHA CSR Bonanza 2026) lililofanyika Viwanja vya Shule ya Polisi Moshi Oktoba 8, 2026. Mtendaji Mkuu wa OSHA, Bi. Khadija Mwenda, akipanda mti katika Shule ya Sekondari Vudoi ikiwa ni sehemu ya kampeni ya huduma kwa jamii iliyotekelezwa na Taasisi yake katika Mkoa wa Kilimanjaro Oktoba 7-8, 2026. Baadhi ya maafisa usafirishaji (bodaboda) waliopatiwa mafunzo ya usalama na afya na OSHA katika kampeni ya huduma kwa jamii iliyotekelezwa na OSHA katika Mkoa wa Kilimanjaro Oktoba 7-8, 2026 wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kukabidhiwa vifaa kinga na Mgeni Rasmi wa tukio hilo, Mkuu wa Wilaya ya Siha, Dkt. Christopher Timbuka. Mtendaji Mkuu wa OSHA, Bi. Khadija Mwenda, Katibu Tawala wa Wilaya ya Mwanga Mpampalika Mfaume na viongozi wengine wa Wilaya ya Mwanga wakiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Hospitali ya Wilaya ya Mwanga mara baada ya OSHA kukabidhi msaada wa mashuka 100 katika hospitali hiyo. Na Mwandishi Wetu WAKALA wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) umegusa maisha ya wananachi wa Mkoa wa Kilimanjaro kupitia kampeni yake ya huduma kwa jamii ambapo imekabidhi vifaa vya msaada katika mashule, hospitali pamoja na kutoa mafunzo ya usalama na afya kwa wajasiriamali wadogo zaidi ya 500. Makundi yaliyonufaika na kampeni hiyo ni kutoka Wilaya za Mwanga na Moshi Mjini ambapo OSHA imepanda miti 200 ya matunda katika shule mbalimbali za msingi na sekondari ndani ya Wilaya ya Mwanga. Aidha, imekabidhi mashuka 100 katika Hospitali ya Wilaya ya Mwanga, vifaa vya michezo pamoja na kutoa mafunzo ya usalama na afya yaliyofanyika sambamba na kukabidhi vifaa kinga kwa makundi ya wajasiriamali wadogo wenye ulemavu pamoja na maafisa usafirishaji (bodaboda). Akizungumza katika kilele cha kampeni hiyo katika Viwanja vya Chuo cha Polisi Moshi, Mgeni Rasmi wa Bonanza la OSHA la Huduma kwa Jamii (OSHA CSR Bonanza 2026) ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Siha, Dkt. Christopher Timbuka, amesema lengo la kampeni hiyo ni kugusa maisha ya makundi yenye mahitaji maalum katika jamii. "Miongoni mwa makundi yaliyonufaika na kampeni hii ni pamoja na Maafisa Usafirishaji (Bodaboda) 200 wa Wilaya ya Mwanga na Moshi, Wanachama 70 kutoka Shirikisho la Vyama vya Watu Wenye Ulemavu (SHIVYAWATA), Shule za Sekondari Mwanga pamoja na Hospitali ya Wilaya ya Mwanga.” Mtendaji Mkuu wa OSHA, Bi. Khadija Mwenda, amesema tukio hilo ni utekelezaji wa mkakati wa OSHA wa kurudisha kwa jamii sambamba na utekelezaji wa majukumu yake ya msingi ya kusimamia uzingatiaji wa kanuni bora za usalama na afya katika maeneo ya kazi nchini.“Jukumu letu kubwa ni kuhakikisha maeneo ya kazi yanakuwa na mifumo madhubuti ya kuwalinda wafanyakazi dhidi ya vihatarishi vya ajali, magonjwa na vifo mahali pa kazi. Sambamba na utekelezaji wa majukumu yetu, tumekuwa na desturi ya kuwa na shughuli zinazogusa maisha ya watu katika kipindi ambacho tunashiriki mashindano ya SHIMIWI,” ameeleza Kiongozi Mkuu wa OSHA.Kwa upande wake Katibu Tawala wa Wilaya ya Mwanga Mpampalika Mfaume pamoja na wanufaika wa kampeni hiyo, wameishukuru Taasisi ya OSHA kwa kubana matumizi yake ili kuwezesha upatikanaji wa mahitaji ya msingi kwa makundi mbalimbali ya jamii. “Nimefurahia mafunzo ya leo kwasababu nimefahamu kazi za OSHA na zaidi nimejifunza kwamba usalama si tu kwa wafanyakazi walioajiriwa bali hata kwetu sisi tuliojiajiri tunatakiwa kuzingatia kanuni bora za usalama na afya kwa ajili ya usalama wetu wenyewe,” ameeleza Bi. Judika Allen Mshiriki wa Mafunzo. Kampeni hiyo ya OSHA ya huduma kwa jamii ambayo imekuwa ikifanyika kila mwaka kama sehemu ya ushiriki wa Taasisi katika mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Wizara, Idara na Wakala za Serikali (SHIMIWI), imehitimishwa kwa Bonanza OSHA la Huduma kwa Jamii (OSHA CSR Bonanza 2026) lililofanyika katika Viwanja vya Chuo cha Polisi Moshi Oktoba 08, 2026.

Mon, 12 Oct 2026 14:37:23 +0000

Page 716 of 1162 · 23222 stories