Unganishwa

Search the region

23174 stories

Uncategorized · Issa Michuzi

KITONGA MARATHON KUIMARISHA MAHUSIANO YA KAZI KWA KUWAFIKIA MAFINGA MJI YATHIBITISHA KUSHIRIKI

NA DENIS MLOWE, IRINGA MKURUGENZI wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo, Bi. Siwema H Jumaa, amewahamasisha watumishi wa Halmashauri ya Mji wa Mafinga kushiriki Mbio za Kitonga (Kitonga Marathon) zinazotarajiwa kufanyika Oktoba 31, 2026, katika Kata ya Ilula, Wilaya ya Kilolo, mkoani Iringa. Akizungumza wakati wa kuhamasisha ushiriki wa watumishi hao, mara baada ya kufika Mafinga Bi. Siwema alisema mbio hizo ni fursa muhimu ya kutangaza vivutio vya utalii wa asili vilivyopo Kilolo, kuhamasisha uwekezaji na kuimarisha juhudi za uhifadhi wa mazingira katika eneo la Mlima Kitonga. Alisema washiriki wa mbio hizo watakimbia umbali wa kilomita tano, 10 na 21, huku ada ya ushiriki kwa kila umbali ikiwa Shilingi 50,000. Aidha, washiriki wa mbio za majaribio (Trial Run) watakaokimbia kilomita 11 na kupata mandhari nzuri ya Mlima Kitonga watalipia ada ya Shilingi 70,000. Bi. Siwema alisema Kitonga Marathon inalenga kuhamasisha uhifadhi wa mali asili za Mlima Kitonga, kutangaza fursa za uwekezaji katika Wilaya ya Kilolo na kuelimisha jamii kuhusu umuhimu wa kulinda mazingira. Aliongeza kuwa mbio hizo zitasaidia kukuza utalii wa asili na kujenga mahusiano mazuri ya kikazi baina ya watumishi wa taasisi mbalimbali, hususan katika Mkoa wa Iringa. “Mbio za Kitonga zitasaidia kutangaza vivutio vya utalii wa asili na kukuza utalii katika Wilaya ya Kilolo. Pia zitasaidia kujenga mahusiano mazuri kwa watumishi wa Mkoa wa Iringa. Baada ya marathon kutakuwa na tafrija ya pamoja (after-party) itakayowawezesha washiriki kufurahi pamoja hadi saa sita usiku,” alisema Bi. Siwema. Kwa upande wake, Kaimu Afisa Utumishi wa Halmashauri ya Mji wa Mafinga, Julius Mwalongo, alisema watumishi wa halmashauri hiyo watatumia fursa ya kushiriki mbio hizo kuimarisha mahusiano ya kikazi na kutangaza fursa mbalimbali zinazopatikana katika Halmashauri ya Mji wa Mafinga. Alisema ushiriki huo pia utatoa nafasi kwa watumishi kutoka halmashauri hizo mbili kukutana, kubadilishana uzoefu na kuimarisha ushirikiano katika utekelezaji wa majukumu yao. Naye Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa Halmashauri ya Mji wa Mafinga, Bi. Sima Bingileki, alimpongeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo kwa kutoa hamasa kwa watumishi kushiriki mbio hizo, akieleza kuwa hatua hiyo ni muhimu katika kuimarisha ushirikiano baina ya taasisi za umma na kuitangaza Kilolo kupitia michezo. Alisema ushiriki wa watumishi katika Kitonga Marathon unatarajiwa kuongeza uelewa kuhusu fursa za utalii na uwekezaji zilizopo Kilolo, huku ukiimarisha mshikamano na mahusiano ya kikazi miongoni mwa watumishi wa umma.

Sun, 11 Oct 2026 16:37:14 +0000
Uncategorized · BBC Afrique

Une exposition au soleil est-elle bénéfique pour notre santé ?

Certaines personnes n'ont besoin que de quelques minutes de soleil par jour en été, tandis que d'autres en nécessitent beaucoup plus.

Recently
Business · Issa Michuzi

AZANIA BANK TAWI LA KIBAHA YAAHIDI KUPAMBANA KATIKA KURUDISHA FADHILA KWA WANANCHI

Na Victor Masangu,Kibaha Uongozi wa Azania bank umesema kwamba utaendelea kushirikiana bega kwa bega na serikali ili kuweza kurudisha fadhila kwa jamii katika mambo mbali mbali ya kuleta chachu ya kimaendeleo katika sekta tofauti. Hayo yamebainishwa na Meneja wa Azania bank tawi la Kibaha Anna Monyo wakati wa maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja kwa mwaka 2026 ambayo yamefanyikia katika ofisi zao zilizopo katika jengo la Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha. Katika sherehe hizo ambazo zimehudhuliwa na viongozi mbali mbali wa serikali,wateja wakiongozwa na Mbunge wa Jimbo la Kibaha mjini Mhe.Silvestry Koka ambapo pia walipa fursa ya kufunguliwa akaunti zao na kukabidhiwa kadi za ATM. Meneja huyo amebainisha kwamba lengo lao kubwa kama Azania bank ni kuendelea kuweka mipango madhubuti ya kuwahudumia wateja wao ikiwa pamoja na kurudisha fadhila kwa jamii na kuwapatia mikopo ambayo itawasaidia kujikwamua kiuchumi. "Kipekee kabisa mimi meneja wa Azania bank tawi la Kibaha napenda kuchukua fursa hii ya kipekee kuwashukuru kwa dhati wateja wetu kwa kuweza kuendelea kutuamini na sisi tupo tayari kuwahudumia,"amebainisha Meneja huyo. Kwa upande wake Mbunge wa Jimbo la Kibaha mjini Mhe.Silvestry Koka ameipongeza kwa dhati Bank ya Azania kwa kuweza kuona umuhumu wa kusogeza huduma karibu kwa wananchi wa Kibaha ambapo hapo awali walikuwa wakipata usumbufu katika kuifuata huduma hiyo Jijini Dar es Salaam. Mhe.Koka amebainisha kwamba uongozi wa Azania bank umekuwa mstari wa mbele kushirikiana bega kwa bega na serikali pamoja na wateja wao kwa lengo la kuweza kuleta chachu ya uchumi. Naye Afisa mfawidhi wa PSSF Mkoa wa Pwani John Mwalisu ameupongeza uongozi wa Azania bank kwa kuweza kuweka mikakati ya kupanua wigo wa kufungua matawi katika maeneo mbali mbali ikiwemo Tawi la Kibaha. Nao baadhi ya wateja wa Azania bank waliopata kushiriki katika tukio hilo la maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja wameridhishwa na huduma zinazotolewa na kufurahishwa na ujio wa ofisi za tawi hilo kuja Kibaha.

Sun, 11 Oct 2026 16:29:40 +0000
Uncategorized · Issa Michuzi

CCM YATANGAZA MAAMUZI YA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA

Sun, 11 Oct 2026 16:33:27 +0000
Uncategorized · Business Daily

The family business owner's gamble that grew a Sh50bn turnover retail enterprise

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Business Daily

Former PS overturn move to hide Middle East Bank stake

Read the full report from the original source.

Recently
National · DW Rwanda

Saudi Arabia: second strike on Riyadh airport

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Azam TV Videos

Goli la kwanza la msimu | Posta Rangers 0-1 Shabana FC | SportPesa League Kenya 10/10/2026

#SportPesaLeague Goli la kwanza kabisa la msimu limetoka Shabana FC, na muuaji alikuwa ni Abdul Hafiz Hassan, raia wa Ghana… Hii ni Ligi Kuu ya Kenya, mechi ikipigwa Wang'uru Stadium. FT: Posta Rangers 0-1 Shabana FC. #LigiKuuKenya #SportPesaLeague #PostaRangers #ShabanaFC #PostaRangersShabana

2026-10-11T16:07:23+00:00
Sports · Azam TV Videos

Magoli | Ulinzi Stars 0-2 Tusker FC | SportPesa League Kenya 11/10/2026

#SportPesaLeague Magoli mawili, Tusker FC wakianza kwa kicheko ugenini.. Wafungaji ni Alvin Mang’enyi na Victor Mbaoma…. Hii ni Ligi Kuu ya Kenya, mbungi ikipigwa Ulinzi Sports Complex, FT: Ulinzi 0-2 Tusker FC #LigiKuuKenya #SportPesaLeague #UlinziStars #TuskerFC #UlinziTusker

2026-10-11T16:13:01+00:00
Uncategorized · DW Rwanda

Poland arrests man over plot to kill PM Donald Tusk

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Chimpreports

CHIMP SPORT: Namilyango Rule the Titans

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Sudi hints at presidential ambitions after Ruto

Sudi said the immediate priority was to secure Ruto’s re-election before discussions on future

Recently
Uncategorized · Kigali Today

Musanze: Ibyumba byo hasi mu igorofa ya GOICO byarokotse inkongi y'umuriro

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Kenya's Amos Kipruto win Chicago Marathon

Kipruto secured victory in a personal best of 2:01:09

Recently
Uncategorized · Business Daily

Women over 50 carve spaces to rediscover themselves

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Ebola: 122 contacts verified, 108 in quarantine as tracing continues

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · KBC

Govt to set up two new referral hospitals in Kakamega, Garissa

Kenya will soon have two new national referral hospitals in Kakamega and Garissa, President William Ruto has announced. The President said Kakamega Teaching and Referral and Garissa County Referral hospitals…

Recently
Sports · Azam TV Videos

Simba SC 2-1 Yanga SC | Mashabiki wa Simba wauchambua ushindi wao ndani ya Sports AM

KARIAKOO DERBY: Tazama raha na furaha ya mashabiki watatu wa Simba SC, Yassin Idd, Sera, William Johnson wakiuchambua ushindi wa timu yao dhidi ya Yanga, ukiwa ni wa kwanza baada ya miaka mitatu kwenye ligi kuu.... Mashabiki hawa wananogesha uchambuzi wao kwa kuimba nyimbo mbalimbali, huku wakitambia ubora wa kikosi chao... Mashabiki hawa wanasema kwa ushindi huu, hakuna cha kuwazuia kuchukua ubingwa wa ligi kuu msimu huu...

2026-10-11T15:48:23+00:00
Sports · Azam TV Videos

Simba SC 2-1 Yanga SC | Magoli yote kwa lugha ya Kiingereza | NBC PL 10/10/2026

#KariakooDerby “Elie Mpanzu with a beauty…. The heavens have opened up here in Dar es Salaam” Magoli yote matatu kwa lugha ya Kiingereza kama yalivyoungurumishwa na Peter Otai. FT: Simba SC 2-1 Yanga SC #NBCPL #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #WataniWaJadi #SimbaSC #YangaSC #SimbaYanga

2026-10-11T15:57:40+00:00
Uncategorized · UN News Burundi

UN chief ‘gravely concerned’ by renewed fighting in northern Ethiopia, warns against escalation

Read the full report from the original source.

Recently

Page 737 of 1159 · 23174 stories