Search the region
23163 stories
African Court on human rights celebrates 20 years of its landmark rulings
DAR ES SALAAM: THE African Court on Human and Peoples’ Rights, based in Arusha, Tanzania, marks its 20th anniversary. The…
RecentlyEx-PCEA moderator announces presidential bid
Githii said he would not align with any political camp, noting that he would conduct his campaign separately
RecentlyEleven beauty crowns, four organisersand one Ankal looking for trouble
DAR ES SALAAM: DEAR readers, I have taken the bold decision to register anew beauty pageant. Before you scratch your…
RecentlyHow Sifuna top job win could face parliamentary turbulence
Analysts say the biggest danger could be if there is a fallout within the Coalition.
RecentlyLes habitudes cachées qui aggravent ton anxiété sociale (et comment les briser)
Cette affection est plus courante qu'on ne le pense. On t'explique ce que c'est et ce que les experts recommandent pour la surmonter.
RecentlyHow Tanzanian women are turning waste into income and leadership opportunities
Read the full report from the original source.
RecentlySimba SC 2-1 Yanga SC | Uchambuzi wa takwimu baada ya mechi | NBC PL 10/10/2026
KARIAKOO DERBY | Hii ni sehemu ya uchambuzi baada ya mechi, Abissay Stephen na Godlisten Muro chini ya usimamizi wa Pareick Nyembera, wanazipitia takwimu za mechi ya Karikaoo Derby iliyomalizika kwa Simba kushinda 2-1 dhidi ya Yanga.
2026-10-11T10:56:22+00:00Ubuhindi: Abantu barenga 2.000 bafashwe mu myiyerekano isaba umukuru w'urwego rutegura amatora gutanga imihoho
Igipolisi cafashe abantu barenga 2.000 ku wa gatandatu, congera kirugarira igice co hagati mu gisagara kugira kibuze imyiyerekano yari yateguwe n'umuhari w'urwaruka witwa Cockroach Janta Party, CJP.
RecentlyWatatu wafariki dunia, 40 waokolewa meli ikiteketea kwa moto Ziwa Nyasa
Watu watatu, wakiwamo raia wa Msumbiji na Malawi, pamoja na Mtanzania, wamefariki dunia baada ya meli ya MV Chambo, inayofanya safari zake kati ya Tanzania na Msumbiji, kuwaka moto katika Ziwa...
RecentlyPoland on alert amid possible attack on PM, defense minister
Read the full report from the original source.
RecentlyRuto fires fresh salvo at Uhuru over opposition links
“I want to tell the sponsor and his people, I will deal with them. They have nothing new they are telling us."
Recently"Simba ya sasa inaweza kucheza na Barcelona, Real Madrid"
SPORTS AM: “Kikosi cha Simba kina wachezaji ambao wanaweza kucheza Hispania, dhidi ya Barcelona na Real Madrid”. Mashabiki wa Simba ndani ya Sports AM, wanaimwaga furaha yao wakitambia ubora wa kikosi chao kuwa ndiyo sababu ya kuichapa Yanga mabao 2-1 kwenye Kariakoo Derby ya jana Oktoba 10. Yassin Idd anasema kwa sasa Tanzania hakuna timu yenye kikosi bora zaidi yao na endapo wangefungwa, angehamia Azam FC….. Sera anasema Yanga wanatakiwa kuwashukuru wachezaji wa Simba kwa huruma waliyokuwanayo kwenye mchezo huo “ilipaswa iwe ni siku ya kuwadhalilisha” William Johnson anasema hii ndiyo Simba ya asali na maziwa… Je, na wewe unasemaje?
2026-10-11T10:43:00+00:00Vini Jr, Mourinho wazua jambo Hispania
VINICIUS JR alionyeshwa kadi nyekundu baada ya kuvuta nywele za Nathan Saliba katika ushindi mwembamba wa Real Madrid dhidi ya Villarreal, katika mchezo uliojaa mabishano na uamuzi ya waamuzi.
RecentlyMystery as burnt body found in Makueni
Investigators suspect that petrol had been used to set the body ablaze.
RecentlyRuto hails Kipchoge after stunning Melbourne marathon comeback
News · 6 hours ago
RecentlyDelhi braces for more protests as 'cockroach' group's leaders released
The CJP - which is not registered as a political party in India - is seeking electoral reforms just months before crucial state elections.
Recently1,500-student GEMS International School of Zanzibar project in offing”
Zanzibar. Construction of the GEMS International School of Zanzibar at Infinity Hills is expected to begin shortly, marking a significant…
RecentlyShould your children celebrate Halloween?
October is the month of horror, and we shall explain why, soon. But for now, I want us to tackle the rather complicated relationship between…
RecentlyReckless drivers should not turn roads into cemetaries
DAR ES SALAAM: EVERY road death is a tragedy, but deaths caused by reckless driving are an outrage that demands immediate…
RecentlyYas yawatambua watoa huduma vinara wiki ya huduma kwa wateja
Kampuni ya mawasiliano ya Yas imewatambua wafanyakazi waliofanya vizuri katika kutoa huduma kwa wateja kwa mwaka 2026, huku ikisisitiza umuhimu wa mafunzo ya mara kwa mara ili kuimarisha uwezo wao wa kutatua changamoto za wateja. Hafla hiyo imefanyika mwishoni mwa juma jijini Dar es Salaam, ikiwa kilele cha maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja. Ikilenga kuthamini mchango wa watoa huduma katika kuwasaidia wateja na kushughulikia changamoto zinazowakabili. Akizungumza katika hafla hiyo, Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja wa Yas, Mwangaza Matotola, amesema ukuaji wa sekta ya mawasiliano na mabadiliko ya teknolojia yanahitaji wahudumu kuendelea kuongezewa ujuzi ili kuwahudumia vizuri wateja wa Yas na Mixx. Matotola amesema, ingawa huduma kwa wateja imepiga hatua ikilinganishwa na miaka iliyopita, bado kuna haja ya kuimarisha mafunzo ili wahudumu waweze kukabiliana na changamoto mpya zinazoibuka. Amesema maendeleo ya teknolojia yameleta manufaa kwa watumiaji, lakini pia yameibua changamoto zinazohitaji wahudumu kuwa na uelewa wa kutosha wa huduma za Yas na Mixx pamoja na mabadiliko yake. Kwa upande wake, Anna Kulinganila, mmoja wa wafanyakazi waliotambuliwa kwa kufanya vizuri katika huduma kwa wateja, amesema kumekuwa na mabadiliko katika namna wateja wanavyowasiliana na wahudumu wanapohitaji msaada. Amesema simu zenye matusi na lugha zisizo na staha zimepungua ikilinganishwa na miaka iliyopita, ingawa bado wanakutana na baadhi ya wateja wanaotumia lugha isiyofaa. Afisa Mkuu wa Yas Business, Norman Kiondo (wa pili kushoto), akimpongeza Msimamizi wa Duka la Yas la Michenzania Mall, Bi. Ellen Tumaini Mbwambo, kwa kutambuliwa kuwa miongoni mwa wafanyakazi vinara wa huduma kwa wateja kwa mwaka 2026, katika hafla ya kilele cha Wiki ya Huduma kwa Wateja iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa juma. Hafla hiyo ililenga kuthamini mchango wa wafanyakazi katika kuwasaidia wateja na kutatua changamoto za huduma.
Sun, 11 Oct 2026 07:00:00 +0000Page 741 of 1159 · 23163 stories