Search the region
23160 stories
Houthi strike on Saudi airport kills 12, worst attack on kingdom in a decade
Read the full report from the original source.
RecentlyMore students to benefit from loans
DAR ES SALAAM: THE number of students expected to benefit from higher education loans and grants is set to increase…
Recently‘Melbourne, we are one’: Kipchoge after victory
Kipchoge described the experience as one he will cherish for the rest of his life.
RecentlyRuto hails Kipchoge after Melbourne Marathon triumph
Read the full report from the original source.
RecentlyBarrick school project to ease pupils’ long walks in Tarime
TARIME: PUPILS from three hamlets in Kerende Village, Tarime District, are set to benefit from improved access to primary education…
RecentlyMradi wa barabara Bulyanhulu kukamilika Disemba
Read the full report from the original source.
RecentlyTwelve killed and 300 injured in attack on airport in Saudi capital Riyadh
Latest · News
RecentlyLa pénurie d’eau désorganise les activités au Lycée de Cibitoke
Read the full report from the original source.
RecentlyJulius Kyazze’s Live54+ Taps Former Diageo Innovation Leader Maureen Rutabingwa as Chief Strategy Officer to Drive Pan-African Expansion
Read the full report from the original source.
RecentlyOboth Orders Immediate Construction of Uganda-Kenya Border Road
Read the full report from the original source.
RecentlyCOP12 advances marine conservation agenda
DAR ES SALAAM: THE contracting parties to the Nairobi Convention have adopted a series of regional decisions to strengthen marine…
RecentlyDr. Njagu claims honours at fourth Legendary Golf Day
Latest · Golf
RecentlyDk Magembe : Uongozi si kujifungia ofisini ni kushirikiana na watu
Read the full report from the original source.
RecentlyMan killed, brother wounded in Gatanga ambush
The two suspects allegedly attacked the brothers with knives, stabbing the deceased at the back of his neck and his brother on the back.
RecentlyMISS KINONDONI YALENGA KUTWAA TAJI LA MISS TANZANIA 2026
Waandaaji wa mashindano ya urembo ya Miss Kinondoni 2026 wamejipanga kuhakikisha wilaya hiyo inatoa mshindi wa taji la Miss Tanzania mwaka huu, wakieleza kuwa imekuwa ikifanya vizuri katika mashindano hayo ya kitaifa kwa misimu mbalimbali. Muandaaji wa mashindano hayo, Salome Kikwembe, amesema mwaka huu ni wa kipekee kwao baada ya kupewa jukumu la kuandaa Miss Kinondoni 2026 na Mkurugenzi wa Lamata Village, ambaye ndiye mwendeshaji wa mashindano ya Miss Tanzania katika ngazi ya taifa na kanda. Amesema maandalizi yanaendelea vizuri kambini, huku washiriki wakiendelea na mazoezi na maandalizi ya kuwania taji hilo, wakiwa na matumaini ya kufanya vizuri kuanzia ngazi ya wilaya hadi taifa. Kikwembe amesema Miss Kinondoni ina historia ya kutoa washindi wa Miss Tanzania, akiwataja Basilla Mwanukuzi (1998), Faraja Kotta (2004), Nancy Sumari (2005), Wema Sepetu (2006), Richa Adhia (2007), Brigitte Alfred (2012), Diana Flavian (2016) na Queen Elizabeth Makune (2018). Amesema wanatarajia kufanya vizuri zaidi mwaka huu na kuweka historia mpya kupitia mashindano ya Miss Kinondoni 2026. Kwa mujibu wa Kikwembe, washiriki 15 tayari wameingia kambini na wanaendelea na mazoezi katika Klabu ya Masai, Mwananyamala, jijini Dar es Salaam. Ameongeza kuwa kutakuwa na mashindano madogo kabla ya fainali zinazotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2026, katika Ukumbi wa Serena Hotel, jijini Dar es Salaam. Mbali na taji kuu, mashindano hayo yatakuwa na tuzo mbalimbali za kutambua vipaji na uwezo wa washiriki, zikiwemo Miss Photogenic, Miss Talent, Top Model, Top Sports Woman na Miss Personality. Kikwembe amesema lengo la mashindano hayo ni kukuza vipaji vya washiriki, kuhamasisha uwajibikaji wa kijamii na kuwapa fursa ya kushiriki katika shughuli mbalimbali za maendeleo ya jamii. Muandaaji wa Shindano la Miss Kinondoni 2026 Salome Kikwembe akizungumza na Wanahabari Jijini Dar es Salaam wakati akizindua Shindano hilo akiwaita wadau wa sekta ya urembo kuunga mkono Shindano hilo ili kutimiza ndoto za Wasichana hao Baadhi ya Warembo watakaoshindania Taji la Miss Kinondoni 2026 ambapo kilele chake kinatarajiwa kufanyika Oktoba 25 mwaka huu katika Ukumbi wa Serena Hotel Jijini Dar es Salaam
Sun, 11 Oct 2026 08:41:13 +0000DC MPOGOLO AAGIZA TCRA KUANDIKIWA BARUA KUZAGAA KWA NYAYA BARABARANI
Na Said Mwishehe,Michuzi TV HALMASHAURI ya Jiji la Dar es Salaam limeelekezwa kuandika barua kwenda kwa Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) kuchukua hatua kuhakikisha kampuni za mawasiliano zinaondoa nyaya zilizotelekezwa mitaani na zilizowekwa bila mpangilio. Maelekezo hayo yametolewa leo Oktoba 10 na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo baada ya kufanyika kwa usafi katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam ambapo pia watumishi wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) pamoja na Mkurugenzi wa Jiji hilo Elihuruma Mabelya wameshiriki kufanya usafi . “Baadhi ya kampuni zimekuwa zikitandaza nyaya bila kuzisimamia ipasavyo. Nyaya zisizotumika huachwa ovyo barabarani, kwenye mifereji na maeneo mengine ya umma.Hivyo nakuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam uwaandikie barua rasmi TCRA ili nao wawaandikie barua kampuni zinazosambaza waya. “Ukiangalia katika Jiji la Dar es Salaam kumekuwa na nyaya ambazo zimewekwa bila mpangilio,zimekuwa kama uchafu .Kuna maeneo nyaya ziko chini zimezagaa katika barabara na katika mitaro,”amesema Mpogolo. Amefafanua kampuni zitakiwa kurekebisha hali hiyo na kwamba zipewe muda maalumu wa kuondoa nyaya zilizotelekezwa huku akisisitiza wale watakaokadi hatua za kisheria zitachukuliwa. Ameongeza hatua hiyo inalenga kuimarisha ushirikiano kati ya Halmashauri na TCRA na mkakati ni kulifanya Jiji la Dar es Salaam kuwa safi, salama na lenye mazingira bora kwa wakazi na wafanyabiashara. Akizungumzia hali ilivyo Kariakoo, alisema wingi wa nyaya zilizotandazwa katika maeneo mbalimbali unafanya baadhi ya sehemu kuonekana kama zimefunikwa na utando wa buibui. Hali hiyo inaharibu mwonekano wa eneo hilo lenye shughuli nyingi za biashara. Pia amesema nyaya hizo zinaweza pia kuathiri shughuli za uokoaji wakati wa dharura, ikiwemo operesheni za zimamoto. Pia zinaweza kuingilia shughuli za wafanyabiashara wanaotumia makontena kuingiza na kutoa mizigo katika eneo hilo. Amesema baadhi ya nyaya zilizotelekezwa zimetapakaa barabarani na kuingia kwenye mifereji ya maji ya mvua na mifereji ya chini ya ardhi. Hali hiyo inaweza kusababisha mifumo hiyo kuziba na kuongeza changamoto za usafi. Kwa mujibu wa maelezo hayo, hali hiyo pia inaongeza mzigo wa kazi kwa watumishi wa usafi. Wanaposhughulikia taka katika maeneo ya umma, hulazimika pia kuondoa nyaya zilizoachwa na kampuni baada ya kukamilisha kazi zao. Amesema kampuni zinapaswa kuhakikisha nyaya zinazoondolewa au zisizotumika hazitelekezwi katika maeneo ya umma. Wakati huo huo Mpogolo amewataka wadau kutambua jukumu la kuifanya Dar es Salaam kuwa safi si la Halmashauri pekee bali ni jukumu la mdau.
Sun, 11 Oct 2026 08:44:14 +0000Kabudi Condemns ‘Haramu’ Label, Urges Political Leaders to Respect Each Other
Read the full report from the original source.
RecentlyWASANII WAKUMBUSHWA KUJISAJILI BODI YA FILAMU KAZI ZAO KUTAMBULIKA KIMATAIFA
WASANII Na Watayarishaji Wa Kazi za Filamu Wamekumbushwa kufata taratibu na sheria zilizowekwa na walezi wa kazi zao za Sanaa (BODI YA FILAMU)kwa kuhakikiwa na kuhakikisha zinapata vibali ili kazi hizo ziweze kuwapa manufaa na kulinda maadili ya Kitanzania. Akizungumza hayo Afisa Maendeleo ya Filamu Mwandamizi Clarence Venance chelesi Wakati wa Kuzinduliwa rasmi kwa Tamthilia ya Rehani katika Ukumbi wa Sinema Mlimani City Jijini Dar es, amesema Kuna changamoto kubwa iliyopo kwa Wasanii na kazi zao kutoweza kupata vibali pamoja na Wasanii hao kutotambulika katika bodi ya filamu kwa maana ya kukosa usajili. "Sisi Kama bodi tumekuwa na elimu mbalimbali ambazo tunaendesha kwa kuhakikisha wasanii wanajisajili na kutambulika kisheria ambapo ukijisajili kuna faida nyingi kupata fursa mbalimbali za kikazi pamoja na bodi kumtambua msanii huyo anaendesha kazi zake za Sanaa kisheria na taratibu zote bila kuvunja maadili sababu kazi hizo zina madaraja umri sahihi kwa walengwa wa kazi hizo ni upi?,je hakuna tamaduni ambazo zimewekwa katika kazi hizo? na mengineyo." Aidha ametoa pongezi kwa Wadau mbalimbali wanaoendelea kutoa supoti kwa Watayarishaji wa kazi kwani vipaji vingi vipya vinazalishwa siku hadi siku kutokana na uwepo wa wadau wa kupokea kazi hizo huku akimtaja mdau kama Startimes Limited ambae kwa sasa ameipokea Tamthilia ya "Rehani " ambayo imeandaliwa na Mtayarishaji Abdul Juma. Nae Meneja Masoko na Maudhui kutoka Startimes David Malisa ameongeza kuwa mashirikiano hayo yanalenga kukuza vipaji na kuifikisha mbali tasnia ya Filamu za Kibongo kutokana na Kisimbuzi hicho kuonekana Kimataifa hivyo Wasanii wategemee fursa nyingi nchi za kigeni.
Sun, 11 Oct 2026 08:38:27 +0000Mahakama yamaliza mvutano bia ya Serengeti Lite, Hanson’s Lite
Soma zaidi hapa...
RecentlyBarker: Dabi Ya Kariakoo ni kubwa kuliko ya Soweto
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 743 of 1158 · 23160 stories