Search the region
23158 stories
VODACOM TANZANIA YASISITIZA UHUSIANO WA KIBINADAMU KATIKA HUDUMA KWA WATEJA KATIKA ENZI YA AI
Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania imesisitiza umuhimu wa kudumisha mwingiliano wa kibinadamu katika huduma kwa wateja licha ya kuongezeka kwa matumizi ya akili Unde (AI), mifumo ya kiotomatiki na roboti kwa lengo la kuongeza ufanisi na kuboresha shughuli za biashara. Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja wa Vodacom Tanzania, Herriet lwakatare, alisema hayo wakati wa hafla ya utoaji tuzo kwa wafanyakazi wa huduma kwa wateja iliyofanyika kuhitimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja. Hali hii inajiri wakati ambapo kampuni mbalimbali zinazidi kutumia akili mnemba na mifumo ya kiotomatiki kurahisisha shughuli, kupunguza kazi zinazojirudia na kukidhi mabadiliko ya matarajio ya wateja. Hali hiyo inaziweka kampuni za mawasiliano katika changamoto ya kusawazisha ufanisi unaotokana na teknolojia na utoaji wa huduma zinazozingatia mahitaji binafsi ya wateja. Bi. Harriet Lwakatare, alisema maendeleo ya teknolojia yanabadilisha namna kampuni zinavyowahudumia wateja, lakini watu bado wana nafasi ya msingi katika utoaji wa huduma. “Sekta yetu inabadilika. Akili Unde na mifumo ya kiotomatiki inazidi kuwa sehemu ya shughuli zetu za kila siku, lakini jambo moja linabaki kuwa muhimu, nalo ni uhusiano wa kibinadamu,” alisema Bi. Lwakatare wakati wa hafla ya utoaji wa tuzo za wiki ya huduma kwa wateja ya kampuni hiyo iliyofanyika mwishoni mwa wiki. Kauli yake inatolewa wakati ambapo kampuni katika sekta mbalimbali zinazidi kuwekeza katika zana za kidijitali, mifumo ya kiotomatiki na mifumo inayotumia takwimu ili kuboresha uzoefu wa wateja, kupunguza gharama za uendeshaji na kujibu mahitaji ya watumiaji kwa haraka zaidi. Kadri uchumi wa kidijitali nchini Tanzania unavyoendelea kukua, kampuni zinatarajiwa kuongeza uwekezaji katika akili mnemba na mifumo ya kiotomatiki. Hata hivyo, wataalamu wanaeleza kuwa teknolojia inatarajiwa kusaidia na kukamilisha ujuzi wa binadamu badala ya kuuchukua nafasi yake, hasa katika sekta zinazohitaji uaminifu, uelewa wa hisia za wateja na huduma zinazozingatia mahitaji yao binafsi. Kwa kampuni za mawasiliano, kusawazisha ubunifu wa kidijitali na kudumisha uhusiano imara na wateja kunazidi kuwa jambo muhimu katika kuwabakiza wateja na kukuza biashara kwa muda mrefu. Meneja wa Uendeshaji wa Rejareja wa Vodacom Tanzania, Bi. Vanessa Mlawi, aliunga mkono msimamo huo akisema matumizi ya akili Unde yanaweza kuongeza ufanisi mahali pa kazi huku yakienda sambamba na kudumisha uhusiano wa kibinadamu. Alisema kampuni zinapaswa kuendelea kutumia akili Unde kutokana na uwezo wake wa kuboresha shughuli za biashara, lakini akasisitiza kuwa teknolojia haiwezi kuchukua nafasi ya mguso wa kibinadamu katika huduma. Kwa upande wake, Bw. Padili James, mtaalamu wa mikakati ya maudhui, alisema huduma za intaneti za kuaminika zimekuwa muhimu zaidi katika kazi zake kama mtayarishaji wa maudhui na mjasiriamali. Alisema huduma hizo zinamwezesha kupata taarifa, kujifunza ujuzi mpya na kupanua wigo wa shughuli zake. Wakati huo huo, katika hotuba iliyotolewa kwa wafanyakazi, uongozi wa huduma kwa wateja ulisisitiza kuwa mafanikio ya huduma bora yanategemea pia namna wateja wanavyopokelewa, kusikilizwa na kuhudumiwa. Uongozi huo ulisema matumizi ya teknolojia yanapaswa kuwawezesha wafanyakazi kufanya kazi kwa ufanisi zaidi na kuwapa nafasi ya kuzingatia mahitaji ya wateja, badala ya kuchukua nafasi yao. Afisa Mtendaji Mkuu wa Vodacom Tanzania PLC, Philip Besiimire (kushoto), akikabidhi tuzo ya pongezi kwa mmoja wa wafanyakazi wa kampuni hiyo, ikiwa ni sehemu ya kutambua na kuthamini mchango wake katika utoaji wa huduma kwa wateja. Hafla hiyo ilifanyika wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja 2026, yaliyolenga kuhamasisha utamaduni wa kuweka wateja mbele na kuthamini juhudi za wafanyakazi wanaotekeleza dhamira hiyo kila siku. Pembeni ni Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja wa Vodacom Tanzania, Herriet Lwakatare. Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja wa Vodacom Tanzania, Herriet Lwakatare, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja 2026 iliyowakutanisha wafanyakazi wa kampuni hiyo. Katika maadhimisho hayo, Vodacom iliangazia dhamira yake ya kuwaweka wateja mbele kwa kuhakikisha wanapata huduma bora, huku usalama wa fedha na taarifa zao binafsi ukipewa kipaumbele. Kampuni hio imesisitiza umuhimu wa kuendeleza mwingiliano wa kibinadamu katika huduma kwa wateja licha ya kuongezeka kwa matumizi ya Akili Unde (AI), mifumo ya kiotomatiki na roboti kwa lengo la kuongeza ufanisi na kuboresha shughuli za biashara. Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja wa Vodacom Tanzania, Herriet Lwakatare, akizungumza na wafanyakazi wa kampuni hiyo wakati wa hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa kuadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja 2026. Katika hotuba yake, alisisitiza umuhimu wa kuweka mahitaji ya wateja mbele kwa kuwasikiliza, kuwapatia majibu kwa wakati na kuhakikisha wanapata huduma salama na zenye ubora. Maadhimisho hayo yalitoa nafasi kwa wafanyakazi kutafakari mchango wao katika kujenga imani ya wateja na kuhakikisha kila mawasiliano na mteja yanaacha uzoefu mzuri. Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania ikiongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo, Philip Besiimire (katikati), ikiwa katika picha ya pamoja wakati wa hafla ya kuhitimisha maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja 2026. Hafla hiyo iliwaunganisha wafanyakazi katika kusherehekea mafanikio, kutambua juhudi za waliotoa huduma bora na kuimarisha dhamira ya kampuni ya kuwaweka wateja mbele. Kupitia maadhimisho hayo, Vodacom ilisisitiza kuwa huduma bora si kutoa majibu ya haraka pekee, bali pia ni kujenga imani ya wateja, kulinda taarifa zao na kuhakikisha wanapata msaada wanaouhitaji kila wanapowasiliana na kampuni.
Sun, 11 Oct 2026 08:34:24 +0000Drone strike by Sudan paramilitary kills 41 near Ethiopian border, rights group says
NATIONAL NEWS · 4 hours ago
RecentlyGitenge Shines at NCBA Golf Series Qualifiers at Diamond Leisure
Latest · featured
RecentlyKenyan great Kipchoge wins first marathon in three years
Read the full report from the original source.
RecentlyWanga sets Deputy President demand for ODM support to Ruto in 2027
News · 4 hours ago
RecentlyRuto celebrates Kipchoge after Melbourne victory
Ruto described Kipchoge as one of the greatest marathon runners the world has ever seen
RecentlyMan found dead with head injuries in Juja
The body was discovered by a man who was walking home along Jacaranda Avenue, police said.
RecentlyAfrica Is Losing Its Doctors: Inside the Workforce Crisis No One Wants to Address
It is painful to watch. In many villages across the continent, many people die of diseases that are treatable. We know them all too well: malaria, hypertension and diabetes. I…
RecentlyPART 1: THE $100,000 DEMAND: How a 107 Billion Shilling Uganda Airlines Transfer to Old Mutual Triggered a Secret Kickback Probe
A high-stakes corporate financial scandal has rocked both Old Mutual Investments Group and national carrier Uganda Airlines after disturbing details emerged surrounding an alleged $100,000 (Shs 370 million) kickback sche
RecentlyBett, Chepkurui win Betika Cross Country in Kericho
Latest · Athletics
RecentlyGovernment stresses timely information to unlock opportunities
SUMBAWANGA: PRIME Minister Dr Mwigulu Nchemba has directed local government leaders to ensure young people receive timely information on economic opportunities to help them secure…
RecentlySoko La Stock Trade Limefunguka, Sasa Ni Wakati Wa Kutumia Akili
KWENYE mchezo, kuna wakati unahitaji nguvu, kuna wakati unahitaji kasi, lakini pia kuna wakati akili ndiyo silaha yako kubwa. Sasa Meridianbet inakuletea mchezo mpya kabisa unaovunja kabisa mfumo wa kawaida wa sloti . Stock Trade, uliotengenezwa na Expanse Studios , unakuweka katikati ya chati ya soko la kifedha inayosogea muda wote. Hapa hakuna kusubiri raundi mpya ianze, unaweza kuingia kwenye mwendo wa chati wakati wowote na kuanza kusoma mchezo wako. Ukiangalia chati, mstari unapanda na kushuka kama soko halisi. Kadiri mstari unavyopanda, ndivyo ushindi wako unavyoongezeka. Hapo ndipo presha inaanza. Kazi yako ni kutambua muda sahihi wa kubonyeza Cash Out kabla chati haijarudi chini kwa kasi. Ukichelewa, mchezo unaweza kubadilika ghafla. Ukipanga muda wako vizuri, unaweza kulinda ushindi ulioupata. Ni mchezo unaochanganya kasi ya maamuzi, umakini na usimamizi wa hatari kwa kila hatua. Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi. Kwa wanaopenda ushindani mkubwa, Stock Trade una uwezo wa kufikia hadi mara 20,000 ya dau lako la mwanzo na hivyo kukuwekea uhakika mkubwa sana wa ushindi. Na kama unatumia simu, Meridianbet imefanya safari iwe nyepesi zaidi. Stock Trade imeboreshwa kwa matumizi ya simu, hivyo unaweza kufuatilia chati kwa urahisi popote unapokuwa. Zaidi ya hapo, mfumo mzima wa Meridianbet umeunganishwa na huduma za haraka za simu, hivyo usajili na kucheza vinaweza kufanyika kwa urahisi kupitia simu yako. Kwa hiyo, kama wewe ni shabiki wa kasino anayependa kuchanganya akili, wepesi na presha ya sekunde chache, Stock Trade ni changamoto mpya inayokungoja Meridianbet . Chati inaanza kusogea, dau linapanda na swali linabaki moja, utaamua Cash Out wakati gani? Ingia Meridianbet, chagua Stock Trade, fuatilia mwendo wa chati na jaribu mbinu yako.
Sun, 11 Oct 2026 08:03:43 +0000Uganda Telecom’s Sale: How Madagascan Billionaire Hassanein Hiridjee’s AXIAN US$225 Million Proposal Was Sidelined in Favour of a Controversial Rowad Deal
Read the full report from the original source.
RecentlyUganda Telecom: Who Really Were Rowad Capital and its Promoters?
Read the full report from the original source.
RecentlyNatembeya has blocked development in Trans Nzoia, Murkomen says
Interior Cabinet Secretary Kipchumba Murkomen has criticised Trans Nzoia Governor George Natembeya for derailing development and collapsing the healthcare system in the county. “We have a problem with hospitals here,…
RecentlyLigi Zimerudi, Odds Kubwa Zipo Kwaajili Yako
BAADA ya kimya kirefu cha takribani siku 21, hatimaye ligi zinarudi kwa kishindo huku timu mbalimbali zikijiandaa kushuka dimbani kusaka pointi tatu za ushindi. Je nani kushinda leo? Leo hii kule Uingereza kutakuwa na mechi kubwa ambayo itavuta hisia za mashabiki wengi wa soka Duniani ambapo katika dimba la Anfield Liverpool atakuwa nyumbani kumenyana dhidi ya Manchester City ambapo kila timu inahitaji kupata ushindi siku ya leo. Kwenye msimamo wa ligi, Liver mpaka sasa ana pointi 9, huku City wao wakiwa na pointi 15 na ndio vinara wa ligi kuu hadi sasa wakiwa wameshinda mechi zote 5 walizocheza hadi sasa, hivyo hadi sasa tofauti yao ni pointi 6. Hii ni mechi ambayo inazikutanisha timu mbili ambazo zina makocha wapya, yaani kwa upande wa Liver Iraola ambaye alichukua mikoba ya Arne Slot, huku City wao mpaka sasa wapo chini ya Enzo Maresca ambaye ndio ameaminiwa kuchukua mikoba ya Pep Guardiola na mpaka sasa ameshinda mechi zote. Pesa ipo kwenye michezo Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi. Wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda City, lakini pia mechi hii imepewa machaguo zaidi ya 1000. Ingia na usuke jamvi lako la ushindi hapa. Kila timu ina wachezaji wengi tena wakubwa ambao wana uwezo wa kubadili matokeo yoyote, wakiwemo kina Erling Haaland, Enzo, Doku, na wengine, huku kwa Majogoo kuna Barcola, Wirtz, Gakpo na wengine wengi. Takwimu zinaonesha kuwa msimu uliopita, kwenye mechi mbili za ligi ambazo wamekutana City ameibuka mshindi, hivyo hii ni nafasi ya vijana wa Iraola kulipa kisasi. Je watweza?. Beti saa. Pia kule Italia, SERIE A itaendelea kwa mechi nyingine, lakini mechi ya kibabe ni hii ya Como 1907 dhidi ya AS Roma ambao mpaka sasa wapo kwenye nafasi ya kwanza kwenye msimamo wa ligi wakiwa na pointi 13. Wakati kwa upande wa Como ya Fabregas mpaka sasa wao wapo nafasi ya 8 wakiwa na pointi 10 ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 3 hadi sasa, huu ni ushindi ambapo timu zote mbili unauhitaji kwa hali na mali. Como licha ya kupotea mechi yake iliyopita, ina faidi ya kucheza mechi hii nyumbani hivyo hautakuwa ni mchezo rahisi wa wageni wao kutokana na kuwa pia wana wachezaji wazuri kwenye eneo la ushambiliaji kama vile Nico Paz. Kwa upande wa Roma, mchezaji wao Mallen ametoka kuchukua tuzo ya mchezaji bora wa mwezi kutokana na kiwango bora ambacho amekionesha mwezi September hivyo hii ni nafasi nzuri ya kuoensha hivyo pia kwenye mechi muhimu kama hizi. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yanapataikana kwenye mtanange huu hivyo hii ni nafasi yako wewe ya kujipigia pesa hapa. Msimu uliopita kila timu ilishinda mechi ya nyumbani kwake. Je leo hii nani ataondoka na ushindi kwenye mechi hii ya mkondo wa kwanza?. Ingia na jisajili hapa.
Sun, 11 Oct 2026 04:00:00 +0000Mbegu tatu za kupandikiza kwa mtoto
Soma zaidi hapa...
RecentlyIPU touts better governance
Read the full report from the original source.
RecentlyConsumers to Pay More for Electricity as EPRA Announces New October Charges
News · Quick read
RecentlyIndia’s economy defies global headwinds as growth forecasts climb
Latest · World
RecentlyPage 744 of 1158 · 23158 stories