Search the region
23144 stories
Simba SC 2-1 Yanga SC | Cheki 'opening' yake ilivyokuwa balaa | NBC PL 10/10/2026
#KariakooDerby Sikia Baraka Mpenja alivyolipamba jiji la Dar es Salaam, wakati akiifungua Kariakoo Derby ya leo tarehe 10/10/2026. Tazama muonekano na mandhari ya jiji hasa maeneo ulipo Uwanja wa Uhuru, mahali ilipopigwa Kariakoo Derby ya leo tarehe 10/10/2026. Tazama ilivyoanza Kariakoo Derby ya leo Tarehe 10/10/2026 kwa kipyenga cha mwamuzi Ahmed Arajiga…. FT: Simba SC 2-1 Yanga SC #NBCPL #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #WataniWaJadi #SimbaSC #YangaSC #SimbaYanga
2026-10-10T21:12:13+00:00Simba SC 2-1 Yanga SC | Uchambuzi magoli mawili ya Simba | NBC Pl 10/10/2026
#KariakooDerby Baada ya mechi, wachambuzi Godlisten Muro na Abbisay Stephen, wanayachambua kiufundi magoli mawili ya Simba, yote yakifungwa kipindi cha pili, na kukamilisha come-back, kwa ushindi wa mabao 2-1. FT: Simba SC 2-1 Yanga SC #NBCPL #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #WataniWaJadi #SimbaSC #YangaSC #SimbaYanga
2026-10-10T21:19:00+00:00'They wanted to eliminate him': Raila's bodyguard recounts brush with death
Ogeta tells of how violent rallies were the bane of Railas existence and how, on multiple occasions, such situations put his life in harm's way.
Sun, 11 Oct 2026 00:00:00 +0300‘Serious blow’: Guterres condemns new US sanctions on International Criminal Court
Read the full report from the original source.
RecentlyUrubyiruko rwa Bugesera rwabonye uburyo bwiza bwo gushimira Perezida wa Repubulika
Read the full report from the original source.
RecentlySimba SC 2-1 Yanga SC | Neno la makocha baada ya mechi | NBC PL 10/10/2026
#KariakooDerby Kocha wa Simba, Steve Barker anaeleza furaha yake baada ya ushindi akisema wachezaji wake walishajipanga kushinda game ya leo, na ndiyo maana hawakuvunjika moyo baada ya kutanguliwa.. Anasema walipopata goli la kwanza, alijua watapata na la pili na ndiyo sababu ya kuongeza nguvu….. Kocha wa Yanga, Manqoba Mngqthi amesema kilichovuruga mpango wake ni kuumia kwa Duke Abuya, jambo lililoifanya timu yake ishindwe kudhibiti eneo la kati……!!! “…Duke has got X-Factor…, Duke is a diferent specimen”. Kocha Manqoba pia amechambua kwa mbali jinsi Simba ilivyotawala mchezo akieleza jinsi uchezaji wa Nathaniel Chilambo ulivyokuwa unawavuruga Kuhusu mabadiliko kwa Mudathir, Kocha Manqoba amesema kiungo huyo alikuwa amechoka, hivyo palikuwa na sababu ya kuingiza nguvu mpya… FT: Simba SC 2-1 Yanga SC #NBCPL #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #WataniWaJadi #SimbaSC #YangaSC #SimbaYanga
2026-10-10T19:57:34+00:00HESLB yapanga Sh535.7 bilioni kwa wanafunzi 165,775
Read the full report from the original source.
RecentlyOne suspect released as police probe burning of four children in Bondo exorcism
Read the full report from the original source.
RecentlySimba SC 2-1 Yanga SC | Highlights | Kariakoo Derby | NBC Premier League 101/101/2026
SIMBA VS YANGA | Simba SC imepindua meza na kuichapa Yanga SC kwenye ligi kuu kwa mara ya kwanza baada ya miaka mitatu…!!!. Hii ilikuwa ni Kariakoo Derby iliyopigwa kwenye Dimba la Uhuru Dar es Salaam, Yanga wakitangulia kwa goli la Peter Shalulile dakika ya tano, lakini Simba wakacharuka na kusawazisha kwa goli la Neo Maema na kupata la ushindi dakika tatu baadaye kupitia kwa Elie Mpanzu.
2026-10-10T19:24:09+00:00Ichung’wah Bill seeking to scrap development authorities draws resistance from residents
Read the full report from the original source.
RecentlyMfahamu Jihan Dimack, Miss Grand International 2026
Jina la Miss Grand Tanzania Jihan Dimack limeendelea kujizolea umaarufu kutokana na mrembo huyo kuiwakilisha vyema bendera ya Tanzania hadi kunyakua taji la Miss Grand International leo Oktoba...
RecentlyTTB, TASOTA WATAKIWA KUTUMIA AFCON KUTANGAZA UTALII TANZANIA
Kaimu Mkurugenzi wa Masoko wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Harriet Rushekya, amewataka wadau wa sekta ya utalii na usafiri kuimarisha ushirikiano kati ya Serikali na sekta binafsi ili kutumia fursa za mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) kuitangaza Tanzania na kuongeza idadi ya watalii nchini. Rushekya amesema mashindano makubwa ya kimataifa ya michezo yanaweza kuwa jukwaa muhimu la kuitangaza Tanzania, kuvutia wageni na kuwahamasisha kutembelea vivutio mbalimbali vya utalii vilivyopo nchini. Akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Mwaka na Maonesho ya TASOTA Server Connect 2026, ameupongeza Umoja wa Mawakala wa Usafiri Tanzania (TASOTA) kwa kuandaa jukwaa hilo linalowaunganisha wadau kujadili fursa, changamoto na mikakati ya kukuza biashara katika sekta ya usafiri na utalii. Amesema mabadiliko ya teknolojia, yakiwemo matumizi ya akili unde (AI) na mifumo ya kidijitali ya kuhifadhi huduma za utalii, yanafungua fursa mpya za biashara, huku yakihitaji wadau kuimarisha uwezo wao ili kukabiliana na ushindani wa soko la kisasa. Rushekya ameitaja Tanzania Destination Booking Platform, inayojulikana kama Travel Companion, kuwa miongoni mwa jitihada zinazolenga kurahisisha upatikanaji wa huduma za utalii, kuboresha uzoefu wa wageni na kuongeza ushindani wa Tanzania katika soko la kimataifa. Amesisitiza kuwa pamoja na kutumia teknolojia kutangaza utalii, ni muhimu kulinda mazingira, kuhifadhi urithi wa utamaduni na kuimarisha ushirikiano kati ya Serikali na sekta binafsi ili kuhakikisha utalii unakuwa endelevu. Kwa upande wake, Makamu Mwenyekiti wa TASOTA, Talib Talib, amesema jumuiya hiyo inaendelea kuandaa mikutano na maonesho kwa lengo la kuwaunganisha mawakala wa usafiri na wadau wengine, kuwawezesha kubadilishana uzoefu na kujenga mahusiano yatakayosaidia kukuza biashara zao. Talib amesema maonesho hayo yamewakutanisha wadau mbalimbali, wakiwemo HM, Galadina, Selcom na Shirika la Ndege la Air Tanzania, na kutoa fursa kwa mawakala wa usafiri kukutana na watoa huduma, kujenga ushirikiano wa kibiashara na kupanua wigo wa huduma kwa wateja. Kuhusu AFCON, amesema TASOTA inaendelea kutathmini fursa zinazoweza kujitokeza kutokana na matarajio ya kuongezeka kwa mahitaji ya huduma za usafiri na utalii wakati wa mashindano hayo. Amesema jumuiya hiyo inalenga kushirikiana na Serikali pamoja na wadau wengine kuweka mikakati itakayowawezesha mawakala wa usafiri kunufaika na fursa hizo, huku akisisitiza umuhimu wa kuhakikisha wanawake na wanaume wanapata nafasi za kushiriki na kunufaika. Talib ameongeza kuwa TASOTA ina nafasi ya kuwasaidia wanachama wake kupata taarifa muhimu za kibiashara kupitia mahusiano yake na wizara na taasisi mbalimbali, ikiwemo TTB, ili kuwawezesha kufanya maamuzi sahihi na kutambua fursa mpya sokoni. Naye Meneja na mchambuzi wa mifumo ya tiketi za ndege nchini Tanzania, Omari Hamisi Kazimoto, amesema wadau wa sekta ya usafiri wa anga na utalii wameanza kujiandaa kupokea wageni wanaotarajiwa kuhudhuria AFCON. Amesema mashindano hayo yanaweza kuongeza mahitaji ya tiketi za ndege, malazi, usafirishaji na huduma nyingine, hivyo kutoa fursa kwa mawakala wa usafiri, kampuni za ndege, hoteli na wafanyabiashara wengine kupanua shughuli zao. Kazimoto ameeleza kuwa ongezeko la wageni linaweza kuchochea safari za ndege kati ya miji mbalimbali itakayohusishwa na shughuli za mashindano hayo na kuongeza mzunguko wa biashara katika sekta ya usafiri na utalii. Amesisitiza kuwa maandalizi ya mapema na uboreshaji wa huduma ni muhimu ili kukidhi mahitaji ya wageni na kuhakikisha fursa zitakazotokana na mashindano hayo zinawanufaisha wadau wengi zaidi. Kwa pamoja, wadau hao wameeleza umuhimu wa kuimarisha ushirikiano, matumizi ya teknolojia na maandalizi ya huduma bora ili kutumia AFCON kama fursa ya kuitangaza Tanzania, kukuza utalii na kuchochea maendeleo ya uchumi. TASOTA imesema itaendelea kuandaa mikutano na maonesho ya kila mwezi kwa lengo la kuimarisha mtandao wa wadau, kuongeza upatikanaji wa taarifa za kibiashara na kuwawezesha mawakala wa usafiri kutumia fursa zilizopo katika sekta hiyo.
Sat, 10 Oct 2026 19:13:26 +0000Mkemia Mkuu atua Morogoro, polisi watatu wazikwa
Timu ya wataalamu kutoka Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali, imetua mkoani Morogoro kuanza uchunguzi wa kisayansi wa kutambua miili ya watu waliofariki dunia katika ajali ya basi la Green Line...
RecentlyMIILI YA ASKARI POLISI 3 WALIOFARIKI KWA AJALI MORO YAAGWA
Miili ya askari polisi watatu waliofariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea Oktoba 8, 2026, eneo la Magole, Wilaya ya Kilosa, Mkoa wa Morogoro, imeagwa leo Oktoba 10, 2026, katika Viwanja vya Makao Makuu ya Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU). Wananchi kutoka maeneo mbalimbali Nchini pamoja na Askari walipata fursa ya kutoa heshima zao za mwisho kwa marehemu kabla ya safari yao ya mwisho.
Sat, 10 Oct 2026 19:06:47 +0000Minisitiri w'Intebe yasabye abatuye i Rulindo gusigasira ibyagezweho
Read the full report from the original source.
RecentlyGuinness Matchday watch parties still on despite Trophy Tour Cancellation, EPL live viewing tickets up for grabs
Guiness Matchday was set for an epic return following two weeks without Premier League action as the Trophy was supposed to be in Uganda this weekend. However, Guinness announced that the...
RecentlyTOIMA AMPONGEZA TAIKO KWA MISAADA KWA JAMII MANYARA
Na Mwandishi Wetu, Simanjiro MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Manyara, Peter Toima, amempongeza mdau wa maendeleo wa mkoa huo, Taiko Kulunju Ole Tipa, kwa juhudi zake za kusaidia makundi mbalimbali ya kijamii, akimtaja kuwa kijana mwenye maono na moyo wa kujitolea. Toima ametoa pongezi hizo wakati wa mahafali ya Shule ya Sekondari Emboreet, iliyopo Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, ambapo mgeni rasmi alikuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, James Kinyasi Ole Millya. Amesema Taiko amekuwa akitoa mchango mkubwa katika kuboresha maisha ya watu wanaomzunguka, hivyo amewataka wadau wengine kumuunga mkono ili juhudi zake ziendelee kuleta matokeo chanya katika jamii. “Mdau wa maendeleo Taiko amekuwa akichangia maendeleo kwa watu mbalimbali. Nampongeza kwa hilo, aendelee na moyo huo huo wa kusaidia jamii,” amesema Toima. Kwa upande wake, Diwani wa Kata ya Loiborsiret, Ezekiel Lesenga maarufu kama Maridadi, amesema Taiko amekuwa akijitolea kusaidia jamii kila anapohitajika, akigusa mahitaji ya watu binafsi na vikundi mbalimbali. Lesenga amesema miongoni mwa misaada iliyotolewa na mdau huyo ni kusaidia vikundi vya kijamii, wakiwamo wanawake, kwa kuwanunulia mashine za kusaga nafaka na kukoboa, hatua inayochangia kuwawezesha kiuchumi. Naye Diwani wa Kata ya Komolo, Saning'o Somii, amesema Taiko anastahili kuungwa mkono kutokana na namna anavyosaidia jamii bila kuweka masharti ya kupata nafasi yoyote ya uongozi. Somii amemfananisha Taiko na mkazi wa kata yake, Noah Mambush Simbaa, ambaye amesema amejenga madarasa na nyumba ya walimu, akitolea mfano mchango wa watu binafsi katika kuboresha huduma za kijamii. Akizungumza katika hafla hiyo, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, ambaye pia ni Mbunge wa Simanjiro, James Kinyasi Ole Millya, amemupongeza Taiko kwa kuendelea kuwa msaada kwa jamii. Ole Millya amesema Taiko ni kijana mwenye ukarimu, akieleza kuwa wakati wa ziara yake katika Kata ya Loiborsiret, aliwahi kulala katika boma la familia ya mdau huyo wa maendeleo. Pongezi hizo zinaendelea kuonesha umuhimu wa ushiriki wa wadau binafsi katika kuchangia maendeleo ya jamii, hususan katika maeneo ya elimu na uwezeshaji wa makundi mbalimbali ya kijamii.
Sat, 10 Oct 2026 19:02:58 +0000SportPesa Tanzania Marks Customer Service Week by Honouring its Support Team
SportPesa Tanzania marks Customer Service Week by honouring its support team As Customer Service Week wraps up, SportPesa Tanzania takes a moment to thank its dedicated customer care team. This special week shines a spotlight on the agents who ensure every customer gets the support they need. Around the world, companies celebrate the staff who connect directly with customers, and for SportPesa, that recognition goes to the agents who assist players, often after the final whistle blows. SportPesa Tanzania customer service plays a vital role in shaping how players experience support when issues arise. The company offers round the clock telephone assistance along with an email channel for complaints and transaction inquiries, ensuring help is always available, even beyond regular business hours. Customer Service Week to all players Every year, during the first week of October, we celebrate Customer Service Week , a special time when organizations worldwide show appreciation for the people answering calls and chats. At SportPesa, this week holds extra meaning because it honors the voices behind every inquiry, every call, and every message that shapes our customers’ experience. Our players often reach out with questions about stakes, payouts, or account details, and our agents are there to respond quickly and thoughtfully. Those quick, helpful replies linger long after the game ends. This Customer Service Week, SportPesa Tanzania expresses heartfelt gratitude to the dedicated team members who make every interaction count. “Our customer care team is often the first voice customers hear when they need help. Whether they are handling transaction queries, account questions, responsible play requests or general support, their work helps build trust in the SportPesa Tanzania experience. Customer Service Week gives us a chance to thank them for the professionalism they show every day ” said SportPesa Tanzania Head of Marketing Tracy Humplick. The support before kick off of the match Football doesn’t follow office hours. Late European kickoffs often happen late at night in Dar es Salaam, and players may have questions while the match is still underway. That’s why SportPesa Tanzania offers customer care around the clock, whether it is match day or a quiet day, an agent is always ready to help. Players can reach out by phone, live chat, or email anytime. With plenty of experience, the team treats every contact as a unique person with a specific concern. They listen carefully, review the account, and explain the next steps clearly and simply. Short, precise answers are especially important when the game is just about to kick off. The customer service team is the first to hear players’ concerns and challenges. Responsible guidance to every player The customer service team also provides important guidance on responsible play. Only players aged 18 and over are allowed to participate, and agents are ready to direct players to the platform’s support resources whenever needed. If a player wants to take a break or slow down, they can expect quick, hassle-free assistance. Players seeking online sports betting in Tanzania want a licensed operator and a team that truly listens. Licensed by the Gaming Board of Tanzania, SportPesa follows the rules closely, and its agents apply these standards fairly and consistently to every player. No matter who answers the call, players receive reliable, consistent support that they can trust. Conclusion Customer Service Week may last only a few days, but customer support remains part of SportPesa Tanzania’s daily promise to players. The agents who answer calls, respond to messages, guide customers through account issues and support responsible play help shape the experience long after a match has ended. Their work may happen away from the spotlight, but it is central to trust, safety and service. As the week ends, SportPesa Tanzania’s message is clear; every helpful answer, every resolved query and every responsible-play conversation matters. The company’s customer care team remains one of the most important links between the brand and the players who rely on clear, professional support.
Sat, 10 Oct 2026 10:30:00 +0000Kisasi ni haki! Simba yafuta uteja ikiichapa Yanga 2-1
Kisasi ni haki! ndivyo unavyoweza kusema baada ya Simba kuvunja uteja wa muda mrefu wa Yanga kwa kuifunga leo mabao 2-1, katika mechi ya Kariakoo Derby, iliyopigwa kwenye Uwanja wa Uhuru, jijini,...
RecentlyMagoli | Simba SC 2-1 Yanga SC | Kariakoo Derby | NBC PL 101/101/2026
SIMBA VS YANGA | Simba SC imepindua meza na kuichapa Yanga SC kwenye ligi kuu kwa mara ya kwanza baada ya miaka mitatu…!!!. Hii ilikuwa ni Kariakoo Derby iliyopigwa kwenye Dimba la Uhuru Dar es Salaam, Yanga wakitangulia kwa goli la Peter Shalulile dakika ya tano, lakini Simba wakacharuka na kusawazisha kwa goli la Neo Maema na kupata la ushindi dakika tatu baadaye kupitia kwa Elie Mpanzu.
2026-10-10T18:24:01+00:00Page 748 of 1158 · 23144 stories