Search the region
23141 stories
Museveni Orders Correction of Medical Internship Policy
Read the full report from the original source.
RecentlySimba yafuta uteja ikiitandika Yanga 2-1
KISASI NI HAKI! ndivyo unavyoweza kusema baada ya Simba kuvunja uteja wa muda mrefu wa Yanga kwa kuifunga leo mabao 2-1, katika mechi ya Kariakoo Derby, iliyopigwa kwenye Uwanja wa Uhuru, jijini,...
RecentlyFire engulfs Goico Market in Musanze
Read the full report from the original source.
RecentlyKalonzo-led opposition accuses Gov't of laxity in Ebola preparedness
Read the full report from the original source.
RecentlyMahama hails Ruto’s housing programme
Ghana’s President says Kenya’s pace of housing construction has impressed him.
RecentlyKuwa Tayari Kuingia Kwenye Dunia Ya Mwanga Ya Tropiglow Power Frame
MASHABIKI wa michezo na burudani za kasino mtandaoni wana sababu nyingine ya kuongeza msisimko wao, baada ya Tropiglow Power Frame kuwasili kwa awamu maalum ya mapema kupitia Meridianbet . Mchezo huu mpya umefungua milango kwa wachezaji wanaotaka kuwa miongoni mwa watu wa kwanza kuonja burudani yake kabla haujaingia rasmi sokoni. Awamu hii maalum itaendelea hadi 14 Oktoba 2026, hivyo muda wa kuutazama mchezo huu kwa karibu ni sasa. Tropiglow Power Frame unakuja na taswira yenye nguvu na mazingira yaliyojaa rangi na mvuto, yakimkaribisha mchezaji kuingia katika dunia yenye msisimko wa kipekee. Lengo ni rahisi tu, chunguza ulimwengu huo wa kuvutia, tafuta nafasi zako na power up your glow unapofurahia kila hatua ya mchezo. Hii ni burudani inayolenga kumpa mchezaji uzoefu wenye kasi na msisimko kutoka mwanzo hadi mwisho. Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi. Uzuri zaidi ni kwamba watumiaji waliosajiliwa Meridianbet hawahitaji kuanza kwa kuweka dau mara moja. Wanaweza kutembelea ukurasa wa Tropiglow Power Frame Sloti ndani ya Meridianbet na kuanza kwa kutumia Demo, ambapo wanaweza kuijaribu bure na kujifunza namna mchezo unavyofanya kazi. Baada ya hapo, kwa wale wanaotaka kuongeza msisimko, kuna fursa ya kucheza kwa fedha halisi. Hivyo, kila mchezaji anaweza kuanza kwa hatua anayojisikia kuwa tayari nayo. Kwa Meridianbet, kuleta Tropiglow Power Frame mapema ni sehemu ya kuhakikisha wachezaji wanapata burudani mpya na fursa ya kujaribu michezo kabla ya wengine. Ikiwa unapenda michezo yenye mandhari ang’avu, kasi na burudani inayokufanya uendelee kutaka kuona kinachofuata, huu unaweza kuwa wakati wako wa kuingia kwenye ulimwengu wa Tropiglow. Kwa hiyo, usisubiri hadi kila mtu aanze kuzungumzia Tropiglow Power Frame ndipo uingie. Hadi 14 Oktoba, Meridianbet inakupa nafasi ya kuwa miongoni mwa wa kwanza kuuchunguza mchezo huu kupitia awamu yake maalum ya mapema. Ingia Meridianbet , tembelea ukurasa wa kasino , chagua Tropiglow Power Frame, anza kucheza na ujionee mwenyewe kinachofanya mchezo huu kuwa na mvuto.
Sat, 10 Oct 2026 05:57:00 +0000Video — How true is spy fiction - the German Secret Service
To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video
RecentlyTrump says Ukraine should elect a new president
Read the full report from the original source.
RecentlyArsenal Kuanza Safari ya Kutetea Ubingwa Dhidi ya Leeds
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu England , Arsenal, wanatarajiwa kurejea dimbani leoJumamosi, Oktoba 10, 2026, watakapowakaribisha Leeds United katika mchezo wa sita wa msimu wa Premier League. Mchezo huo utapigwa katika dimba la Emirates Stadium kuanzia saa 14:30 mchana, huku Arsenal wakitafuta ushindi utakaowasaidia kuendelea na mbio za kileleni mwa msimamo. Arsenal wanaingia katika mchezo huo wakiwa katika nafasi ya pili kwenye msimamo, baada ya kushinda michezo minne kati ya mitano ya mwanzo na kupoteza mmoja. Kikosi cha Mikel Arteta kilipata matokeo mazuri mwanzoni mwa msimu kabla ya kukumbana na kipigo cha mabao 3-0 kutoka kwa Brighton katika mchezo wao wa mwisho kabla ya mapumziko ya kimataifa. Hivyo, mchezo dhidi ya Leeds utakuwa nafasi muhimu kwa Arsenal kurejea kwenye ushindi. Kwa upande wa Leeds United , timu hiyo imeanza msimu kwa kiwango cha kuvutia na bado haijapoteza mchezo katika mechi tano za ligi. Leeds imekusanya pointi tisa kupitia ushindi mara mbili na sare tatu, ikiwemo sare ya bila kufungana dhidi ya Crystal Palace katika mchezo wao wa mwisho. Kikosi hicho kinachonolewa na Daniel Farke kinatarajiwa kwenda Emirates kikiwa na matumaini ya kuendeleza rekodi hiyo dhidi ya mabingwa watetezi. Meridianbet inasema kuna michezo kama Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli. Ingia katika kasino ya mtandaoni ya Meridianbet na ujiokotee mkwanja mapema. Jiunge sasa au Tembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi. Mchezo huo pia unatarajiwa kuwa mtihani kwa Arteta kutokana na changamoto za majeraha ndani ya kikosi chake. William Saliba anaendelea kuwa nje kutokana na tatizo la mgongo, Arsenal pia watakuwa wakitegemea uwezo wa nyota kama Bukayo Saka katika kuongeza nguvu kwenye safu yao ya ushambuliaji. Historia ya hivi karibuni ya kukutana kwa timu hizi inaipa Arsenal nafasi nzuri, kwani imekuwa na matokeo bora dhidi ya Leeds katika mechi zao za mwisho za ligi. Hata hivyo, Leeds ya msimu huu imeonyesha ushindani mkubwa na bado haijapoteza mchezo, jambo linalofanya pambano hilo kuwa na mvuto zaidi. Arsenal watakuwa wakisaka pointi tatu nyumbani ili kuendelea kumfukuzia kiongozi wa ligi Manchester City , huku Leeds ikilenga kufanya jambo kubwa Emirates na kuendeleza mwanzo wake mzuri wa msimu.
Sat, 10 Oct 2026 05:45:00 +0000US murderer discharged from hospital days after failed execution
Pike's lawyers say she is "grateful" to the medical team who cared for her after she survived.
RecentlyUS murderer discharged from hospital days after failed execution
Pike's lawyers say she is "grateful" to the medical team who cared for her after she survived.
RecentlyRuto accuses Natembeya of blocking development projects in Trans Nzoia
Read the full report from the original source.
RecentlyGoli la Peter Shululile akiitanguliza Yanga dhid ya Simba; Kariakoo Derby 10/10/2026
SIMBA SC vs YANGA SC: Ni mechi ya Ligi Kuu ya NBC ikipigwa kwenye Dimba la Uhuru Dar es Salaam. Hivi ndivyo Yanga ilIvyotangulia kwa goli la Peter Shalulile...
2026-10-10T17:20:00+00:00Michael Katungi Appears in US Court After Extradition From Uganda
Read the full report from the original source.
RecentlyAudio — Flash info 17:00 TU (10.10.2026)
To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video
RecentlyRwanda’s mental health survivors call for better access to treatment, jobs
Read the full report from the original source.
RecentlyMuyinga : la pénurie de carburant fait flamber les tarifs de transport
Read the full report from the original source.
Recently‘We will not yield’: ICC president responds to US sanctions
Judge Akane said the court would continue pursuing its mandate independently and impartially despite US sanctions.
RecentlyWhy President Museveni Should Consider Phasing Out the Operations of the IGG and Internal Auditors
Read the full report from the original source.
RecentlyMazingira Day: Interior PS Omollo leads planting of 6,000 indigenous trees in Homa Bay
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 749 of 1158 · 23141 stories