Unganishwa

Search the region

23092 stories

Sports · Azam TV Videos

Magoli | Fountain Gate FC 1-2 JKT Tanzania | NBC PL 09/10/2026

#NBCPL Tazama magoli yote matatu, ‘Wajeda’ wakifanya come-back’ ya kishindo kwenye Dimba la Sheikh Amri Abeid, Arusha. Walitangulia wenyeji Fountain Gate kupitia kwa Sadick Ramadhan, lakini JKT wakatumia dakika tano za mwisho kupindua meza na kuchana nyavu kupitia kwa Karim Mfaume dakika ya 86 na Salum Khamis dakika ya 90+. FT: Fountain Gate 1-2 JKT Tanzania

2026-10-09T15:46:52+00:00
Uncategorized · DW Rwanda

Brussels: Rioters clash with police at anti-austerity rally

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Watchdog Uganda

SPECIAL REPORT: Beyond the Skyline — What Saudi Arabia’s Jeddah Tower Can Teach Uganda About Investment, Institutions, and the Next Generation

KAMPALA — Every generation inherits roads, markets, commercial buildings, laws, public institutions, and private enterprises created by those who came before it. The greater test is whether it adds to…

Recently
Uncategorized · Watchdog Uganda

64 years of Independence: President Museveni recounts Uganda’s economic recovery, sets sights on further transformation

President Yoweri Kaguta Museveni has outlined Uganda’s economic recovery journey since 1986, highlighting the country’s growth from an economy valued at approximately USD 3.9 billion to USD 69.3 billion, while…

Recently
Uncategorized · Watchdog Uganda

President Museveni hails historic Uganda-Russia military cooperation

President Yoweri Kaguta Museveni has commended Russia for its continued military support to Uganda, reaffirming the longstanding friendship and defence cooperation between the two countries. The President made the remark

Recently
Uncategorized · The Observer Uganda

When corporates swapped suits for running shoes to save mothers

Corporate suits were swapped for running shoes on Sunday as Uganda’s business community joined hundreds of runners at the second Independence Marathon, turning a morning…

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

Beyond the boardroom: CATA delegates experience the wonders of Ngorongoro

More than 100 tax administrators from across the Commonwealth have turned from policy to wildlife, spending time in one of Africa’s most celebrated landscapes. NGORONGORO, Tanzania: More than 100 delegates from the Commonwealth Association of Tax Administrators (CATA) visited the Ngorongoro Conservation Area after their meeting in Arusha, discovering its wildlife, dramatic landscapes and rich cultural and archaeological heritage. For Emery, a delegate from Rwanda, the visit was an unexpected highlight and left him eager to see what lay ahead in the world-famous Ngorongoro Crater. “Visiting Ngorongoro is a surprise for us, and I cannot wait to see more when I get down into the crater,” he said. Peter Robert of Gosheni Safaris, the safari organiser, said Ngorongoro was chosen for its natural beauty, diverse wildlife and significant archaeological discoveries, qualities that make it a destination for visitors seeking something extraordinary. The visit highlighted Ngorongoro’s global appeal as a place where nature, culture and human origins meet, and reinforced its standing as one of Tanzania’s leading tourist attractions.

Fri, 09 Oct 2026 15:55:30 +0000
Uncategorized · The Citizen

If you notice these signs, seek help from a mental health expert

Read the full report from the original source.

Recently
Entertainment · Issa Michuzi

Money In The Middle, Burudani Inaanza Kabla Ya Wengine

KUNA nyakati ambazo mchezaji hataki kusubiri mpaka kila mtu afike uwanjani ndipo aanze safari yake. Safari hiyo sasa imefika Meridianbet kupitia mchezo mpya wa kasino uitwao Money In The Middle, ambao umeanza kuonekana mapema kabisa kupitia ushirikiano maalum kati ya Meridianbet na Oryx Gaming. Hii ni nafasi ya kipekee kwa watumiaji wa Meridianbet kuonja ladha ya mchezo huu kabla haujaingia rasmi sokoni, huku burudani na msisimko vikichukua nafasi kubwa. Money In The Middle si sloti ya kawaida inayokupa tu mzunguko baada ya mzunguko. Mchezo huu umejengwa kwa mfumo wa alama unaoweza kuleta msisimko mkubwa kila unapocheza. Kila mpangilio wa alama unaweza kugeuza mchezo kuwa safari ya kusubiri kwa hamu kuona kitakachotokea kwenye hatua inayofuata. Ni aina ya mchezo inayomfanya mchezaji kufuatilia kila raundi kwa umakini, akitumaini kuona mchanganyiko unaoweza kumpeleka kwenye zawadi. Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi. Lakini safari haijaishia kwenye mchezo pekee. Ili kuifanya hatua hii kuwa kubwa zaidi, Meridianbet imeandaa promosheni maalum kwa ajili ya uzinduzi huu wa kipekee. Wachezaji wanaweza kukutana na mashindano maalum, mizunguko ya bure na promosheni zinazolenga kuongeza ladha ya ushindani. Hivyo, badala ya kucheza peke yako, kila hatua inaweza kuwa sehemu ya mbio za kutafuta nafasi nzuri zaidi na kujipatia zawadi katika kampeni hii maalum. Uzuri mwingine wa Money In The Middle ni namna ulivyoandaliwa kwa ajili ya simu. Ukiwa unatumia smartphone kupitia Meridianbet App au tovuti ya simu, mchezo umeboreshwa ili kutumia data kwa ufanisi huku ukifunguka kwa kasi. Hii inamaanisha hauhitaji kukaa mbele ya kompyuta ili kufurahia burudani hii, simu yako inatosha kukufungulia mlango wa mchezo. Iwe uko nyumbani au uko safarini, Money In The Middle ipo kuleta msisimko kwenye kiganja chako. Sasa ni wakati wako wa kuingia kwenye mchezo ambao umepewa nafasi ya kuonekana mapema kupitia Meridianbet . Mchezo tayari uko live, hivyo watumiaji wapya na waliopo wanaweza kuingia kwenye akaunti zao za Meridianbet kasino na kuanza kucheza. Usisubiri wengine wasimulie walichokiona, ingia Meridianbet, cheza Money In The Middle na ujionee mwenyewe msisimko wa mchezo huu mpya.

Fri, 09 Oct 2026 05:00:00 +0000
Uncategorized · The Star Kenya

Thwake Dam gets Sh12.83bn lifeline to completion

The dam is expected to supply water to 1.3 million people in Makueni and Kitui counties.

Recently
Sports · Issa Michuzi

Dortmund Kuikaribisha Werder Bremen Bundesliga

Borussia Dortmund itashuka dimbani leo Ijumaa, Oktoba 9, 2026, kuikabili Werder Bremen katika mchezo wa Ligi Kuu ya Ujerumani Bundesliga utakaopigwa katika Uwanja wa Signal Iduna Park kuanzia saa 21:30 usiku. Mchezo huo ni wa raundi ya tano kwa Dortmund msimu huu na utakuwa wa kwanza kwa timu hizo kurejea kwenye ligi baada ya mapumziko ya mechi za kimataifa. Dortmund inaingia kwenye mchezo huo ikiwa kileleni mwa msimamo wa Bundesliga baada ya kushinda michezo yote minne iliyocheza, ikikusanya pointi 12. Kikosi cha kocha Niko Kovac pia kimeonyesha uimara mkubwa kwenye ulinzi, kikifungwa mabao mawili pekee katika michezo yake minne ya ligi. Ushindi dhidi ya Bremen utaifanya Dortmund kuendelea na mwanzo wake mzuri na kuongeza presha kwa Bayern Munich pamoja na wapinzani wengine wa nafasi za juu. Kwa upande wa Werder Bremen , timu hiyo ipo nafasi ya nane ikiwa na pointi saba baada ya kupata ushindi mara mbili, sare moja na kupoteza mchezo mmoja. Bremen ilimaliza mchezo wake wa mwisho wa ligi kwa ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Augsburg baada ya kutoka nyuma kwa mabao mawili, hivyo inaingia Dortmund ikiwa na matumaini ya kufanya jambo kubwa dhidi ya vinara hao. Hata hivyo, Bremen itahitaji kuwa makini baada ya kufungwa 7-0 na Twente katika mchezo wa kirafiki wiki iliyopita. Macho pia yatakuwa kwa mshambuliaji Niclas Füllkrug, ambaye amerejea Werder Bremen baada ya kipindi chake cha kucheza Dortmund. Füllkrug amefunga bao katika kila mmoja wa michezo mitatu iliyopita ya Bundesliga , jambo linalomfanya kuwa mchezaji muhimu kwa Bremen katika mchezo huu. Meridianbet inasema kuna michezo kama Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli. Ingia katika kasino ya mtandaoni ya Meridianbet na ujiokotee mkwanja mapema. Jiunge sasa au Tembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi. Kwa upande wa Dortmund , Serhou Guirassy anatarajiwa kuongoza safu ya ushambuliaji, huku Maximilian Beier na Ethan Nwaneri wakiwa miongoni mwa wachezaji wanaoweza kuleta tishio mbele. Historia pia inaipa Dortmund matumaini makubwa, kwani haijapoteza dhidi ya Werder Bremen katika michezo saba iliyopita ya Bundesliga , ikiwa imeshinda mitano na kutoka sare mbili. Hata hivyo, mapumziko marefu ya mechi za kimataifa yameleta changamoto ya utimamu wa baadhi ya wachezaji wa Dortmund, huku Nico Schlotterbeck akiwa miongoni mwa wanaosubiriwa kujua kama watakuwa tayari kucheza. Kwa ujumla, Dortmund inaonekana kuwa na faida ya uwanja wa nyumbani, kiwango bora na rekodi nzuri dhidi ya Bremen .

Fri, 09 Oct 2026 04:00:00 +0000
Uncategorized · Business Daily

PwC fails to secure buyer for Koko’s carbon credits

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Azam TV Videos

Fountain Gate FC 1-2 JKT Tanzania | Highlights | NBC PL 09/10/2026

#NBCPL Tazama highlights, ‘Wajeda’ wakifanya come-back’ ya kishindo kwenye Dimba la Sheikh Amri Abeid, Arusha na kushinda 2-1 wakitokea nyuma. Walitangulia wenyeji Fountain Gate kupitia kwa Sadick Ramadhan, lakini JKT wakatumia dakika tano za mwisho kupindua meza na kuchana nyavu kupitia kwa Karim Mfaume dakika ya 86 na Salum Khamis dakika ya 90+. FT: Fountain Gate 1-2 JKT Tanzania

2026-10-09T15:39:12+00:00
Uncategorized · Citizen Digital

DJ Shiti slams Kenya's 'broken' healthcare system, faults SHA at father's funeral

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Muturi warns investors against questionable KPA deal, demands transparency

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Maraga’s 2027 promise: No favours, no one above the law

The ex-CJ has pledged to fight corruption, protect public funds.

Recently
Uncategorized · The Ankole Times

Leaked Audios Paint Besigye as Rebel Plotter—But Do They Add Up?

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Ankole Times

64TH INDEPENDENCE ANNIVERSARY: Minister Babalanda Pushes Economic Transformation and Stronger Fight Against Corruption

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Ankole Times

President Museveni Sets Sights on $74 Billion Economy by June 2027 as Uganda Marks 64 Years of Independence

Read the full report from the original source.

Recently
Business · Issa Michuzi

CMSA YATAKA ELIMU YA UWEKEZAJI KUWAFIKIA KWATU WENYE ULEMAVU

Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) imesisitiza umuhimu wa kuhakikisha elimu ya uwekezaji inawafikia wananchi wote bila kujali hali zao za kimwili au uwezo wa kiuchumi, ili kuongeza ushiriki wa wananchi katika masoko ya mitaji nchini. Akizungumza jijini Dar es Salaam leo wakati wa mafunzo ya elimu ya fedha kwa watu wenye ulemavu, Mkuu wa Uhusiano wa Umma wa CMSA, Charles Shirima, amesema kuwa kuwawezesha wananchi kupata maarifa ya kifedha ni hatua muhimu katika kuongeza akiba za ndani na kukuza uchumi jumuishi. "kampeni hii ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Wawekezaji Duniani (World Investor Week), mpango wa kimataifa unaoratibiwa na Shirika la Kimataifa la Tume za Dhamana (IOSCO) kwa lengo la kuongeza uelewa kuhusu uwekezaji salama na wenye taarifa sahihi",amesema Shirima Amesema kuhamasisha wananchi wengi zaidi kushiriki katika uwekezaji ni muhimu katika kujenga utajiri binafsi na kuimarisha uchumi wa taifa. Shirima amesema kuwa CMSA imeshirikiana na Shirikisho la Vyama vya Watu Wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA) kutoa mafunzo yatakayowawezesha washiriki kuelewa fursa mbalimbali za uwekezaji na namna ya kuzitumia kuboresha maisha yao. "Mafunzo hayo yamejikita katika namna masoko ya mitaji yanavyofanya kazi, utaratibu wa kununua hisa pamoja na mbinu bora za kusimamia fedha binafsi",amesema Shirima Aidha, Shirima amesema CMSA hutumia njia mbalimbali kufikisha elimu hiyo kwa wananchi, zikiwemo warsha za ana kwa ana, semina za mtandaoni na mitandao ya kijamii, huku makundi yanayolengwa yakijumuisha wanafunzi, walimu, viongozi wa maeneo na wananchi kwa ujumla. Amesema lengo ni kujenga mazingira jumuishi ya uwekezaji kwa kuhakikisha wananchi wa makundi mbalimbali wanapata maarifa na fursa za kushiriki katika masoko ya mitaji. Kwa upande wake, Katibu Mkuu wa SHIVYAWATA, Jonas Mbago, amesema mafunzo hayo yamesaidia kurahisisha dhana za kifedha ambazo awali zilionekana kuwa ngumu kueleweka, huku yakiwafahamisha washiriki njia mbadala za kusimamia na kukuza akiba zao. Mbago amesema watu wengi katika jamii wamekuwa na mazoea ya kuhifadhi fedha majumbani au kwenye akaunti za benki zenye riba ndogo, hali inayoweza kupunguza fursa za kukuza fedha zao. “Mafunzo haya yametutambulisha katika njia mpya za uwekezaji zinazoweza kuboresha usalama wetu wa kifedha,” amesema, huku akiiomba Serikali kupanua programu kama hizo ili kuwafikia wananchi wengi zaidi nchini. Naye Mwenyekiti wa chama kinachowakilisha watu wenye 'Psoriasis', ugonjwa sugu wa ngozi unaosababisha kutokea kwa mabaka mazito yenye magamba, Dorothy Malechela, amesema wananchi wanapaswa kuachana na tabia ya kuhifadhi fedha bila kuzizalisha na badala yake kujifunza fursa za uwekezaji zinazodhibitiwa kisheria. Amesema mipango sahihi ya kifedha inaweza kuwasaidia watu kukuza biashara zao, kuimarisha usalama wa kifedha na kufikia malengo yao ya muda mrefu.

Fri, 09 Oct 2026 09:27:38 +0000

Page 766 of 1155 · 23092 stories