Unganishwa

Search the region

23053 stories

Uncategorized · The Citizen

Tanzania offloads five tonnes of gold following a price surge

Read the full report from the original source.

Recently
National · Mwananchi

Watu 28 wafariki Morogoro, basi na lori zikigongana

Watu 28 wamefariki dunia papo hapo katika ajali iliyohusisha lori aina ya Scania lililokuwa limebeba miti aina ya milunda na basi la abiria lililokuwa likitoka Dar es Salaam kuelekea Mbeya.

Recently
Uncategorized · The Ankole Times

Police Investigate Death of Former Pastor Kakande Church Chef Jonah Kakaire

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · SoftPower News

PRAU to Hold Four-Day Golden Jubilee Summit in Jinja as Association Marks 50 Years

Read the full report from the original source.

Recently
National · UBC

Parliament presses Government on Rising Fuel Prices

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · UBC

Anita Rukundo Tayebwa to Link Uganda and The Bahamas Tourism Sectors

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Daily News

RC warns over moneyed mining meddlers

GEITA: GEITA Regional Commissioner Alexander Mnyeti has directed the newly appointed Chato District Commissioner, Maiko Kachoma, to take action against…

Recently
National · Issa Michuzi

WEO,VEO WAPATIWA MAFUNZO YA TAHADHARI YA KUKABILIANA NA EL NINO

Na Mwandishi Wetu-Longido Timu ya wataalamu kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Bunge Uratibu na Wenye Ulemavu), Mamlaka ya Hewa Tanzania TMA pamoja na Shirika la Chakula Dunia (WFP) wametoa mafunzo kuhusu tahadhari ya kukabiliana na madhara ya El niño kwa Watendaji wa Kata na Vijiji wa Halmashauri ya Wilaya ya Longido Mkoa wa Arusha. Mafunzo hayo yamefanyika leo tarehe 08 Octoba, 2026 katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Longido ambapo mada mbalimbali kuhusu mfumo wa tahadhari, utabiri wa hali ya hewa ziliwasilishwa kwa Watendaji hao. Kwa niaba Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Longido, Mkuu wa Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi wa Halmashauri hiyo, Bw. Robert Urassa, wakati akifunga mafunzo hayo amewataka Watendaji hao kutoa elimu kwa wananchi juu ya uwepo wa mvua za El Niño zinazotarajiwa kunyesha hivi karibuni ili waweze kuchukua tahadhari za mapema na kupunguza athari zinazoweza kujitokeza. "Tunashukuru kuona Longido imechaguliwa kunufaika na mafunzo haya, kwa kuwa tunatarajia kupata mvua za juu ya wastani, tunaomba Kamati za Maafa za Kata na Vijiji na Maafisa Ugani mkawafikie wananchi kwa kuwapa elimu na kuwahamasisha kuchukua tahadhari mapema ili kupunguza madhara yanayoweza kujitokeza," amesisitiza Bw. Urassa. Akiwasilisha mada kuhusu dhana ya usimamizi wa maafa na hatua za maandalizi ya kukabiliana na madhara ya El Niño Mratibu wa Maafa kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Roman Mushi ametoa wito kwa watendaji hao kuhakikisha wanaporejea katika maeneo yao wanatoa elimu kwa wananchi kuhusu uwepo wa mvua za El Niño na hatua stahiki za kuchukua kabla, wakatina baada ya mvua hizo ili kupunguza athari zinazoweza kujitokeza. Nae, Mtaalamu wa Hali ya Hewa kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Bi. Vaileth Masaba, akiwasilisha mada kuhusu huduma zinazotolewa na TMA, aina za utabiri wa hali ya hewa, maana ya El Niño, utabiri wa msimu, utabiri wa msimu kwa Halmashuri ya Wilaya ya Longido pamoja na namna ya kusambaza taarifa za hali ya hewa kwa jamii amesisitiza umuhimu na matumizi ya taarifa za tahadhari ya awali katika kujiandaa na kukabiliana na madhara ya mvua hizo. Mbali na hayo Shirika la Chakula Duniani (WFP) imegawa vipaza sauti kwa watendaji wa Kata 15 za Halmashauri ya Wilaya hiyo kwa lengo la kurahisisha utoaji wa elimu kwa wananchi na usambazaji wa taarifa za tahadhari ya awali kuhusu mvua hizo, aidha, Kata zilizonufaika na vipaza sauti hivyo ni Kata ya Ngereyani, Ketumbeine, Sinya, Namanga, Noondoto, Olmolog, Engarenaibor, Kimokouwa, Tingatinga, Ilorienito, Gelai Lumbwa, Gelai Meirugoi, Orbomba, Mundarara na Elang'atadapash. Mafunzo hayo yamewakutanisha watendaji wa kata na vijiji, maafisa maendeleo ya jamii, maafisa ugani pamoja na viongozi wa dini na kimila kwa lengo la kuimarisha matumizi ya taarifa za tahadhari ya awali na kuongeza uwezo wa jamii katika maandalizi na mwitikio dhidi ya maafa yanayoweza kusababishwa na mvua za El Niño.

Fri, 09 Oct 2026 06:40:24 +0000
Health · Issa Michuzi

Zungu: Tanzania Ready to Share Experience on Maternal and Newborn Health

By TBN Reporter, Arusha Tanzania is ready to share its experience in improving access to maternal and newborn healthcare, reproductive health, nutrition and youth wellbeing, Speaker of the National Assembly Hon. Mussa Azzan Zungu has said. Hon. Zungu was speaking on 8 October 2026 at the opening of a forum on maternal and child health organised by the Tanzanian Government for delegates attending the 153rd Assembly of the Inter-Parliamentary Union (IPU). The meeting is taking place at the Arusha International Conference Centre (AICC). He said the health and wellbeing of women, children and young people were essential to national development. Tanzania, he added, looked forward to sharing its experience and working with partners to turn political commitments into lasting results. “Every preventable death, every unmet health need and every barrier to accessing care demands sustained attention and political action,” Hon. Zungu said. He noted that President Samia Suluhu Hassan had prioritised reducing maternal deaths, child deaths and the number of unvaccinated children to zero. Through her role as African Union Champion for Maternal and Child Health, he said, the President was also encouraging action across the continent. Hon Zungu said parliaments had a responsibility to pass laws, ensure adequate funding and oversee implementation so that resources reached frontline services and communities. “Our priority must be equitable access to services, including maternal and newborn care, reproductive health, nutrition, and the health and wellbeing of young people,” he said. “Through this network, we can learn from one another, strengthen parliamentary accountability and advance practical action in our countries.” President Samia’s adviser on health, social welfare, women and children, Ms. Ummy Mwalimu, who represented the President, said Africa had made progress in reducing maternal deaths, but not enough. Maternal deaths in African Union member states fell by 42 per cent between 2000 and 2023, she said. However, the continent still accounts for about 70 per cent of maternal deaths worldwide. “At the current rate of progress, Africa will not achieve the Sustainable Development Goal target of reducing maternal deaths to 70 per 100,000 live births until around 2050,” Ms Mwalimu said. Chairperson of the IPU African Geopolitical Group, Ali Kolotou Tchaïmi, said parliamentarians had a duty to ensure health commitments reached ordinary citizens. He said lawmakers must pass legislation, approve budgets and hold governments to account, particularly in protecting people in vulnerable situations. South African National Assembly Speaker Hon Angela Thokozile Didiza also called for stronger political leadership, noting that maternal deaths and gaps in childhood vaccination remained major public health challenges.

Fri, 09 Oct 2026 06:43:42 +0000
Uncategorized · DW Rwanda

Malaysia shuts schools amid toxic haze from Indonesian fires

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · SoftPower News

Teachers at the Heart of Quality Education

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Daily News

Singida plans clean cooking for 400,000 homes

SINGIDA: SINGIDA Region is targeting 400,000 households to adopt clean cooking energy by 2034 as part of efforts to reduce…

Recently
Uncategorized · TechCabal East Africa

Why Moove is leaving the Nigerian market it was built in

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Daily News

Tanzania’s creative power to transform into economic engine

DAR ES SALAAM: TANZANIA is entering a new phase, in which culture and the creative industries are being positioned not…

Recently
Business · Daily News

Council urges residents to form loan groups

NZEGA: RESIDENTS in Nzega Town Council have been urged to form groups to enable them to access loans provided by…

Recently
Uncategorized · UBC

National Prayer Breakfast: Museveni calls on Ugandans to Multiply their Talents and Build Uganda

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Kigali Today

U Rwanda na Kenya: Ubu muri Kenya hari kuva inkuru nziza gusa, ntimutuvangire

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Gikaria fined Sh2.5m by IEBC as court throws out case

Court upheld IEBC sanctions over alleged voter bribery.

Recently
Uncategorized · Mwanaspoti

Ukweli hakuna Destiny’s Child bila Beyonce, Kelly

Ukiwazungumzia Destiny’s Child, moja kwa moja majina mawili yanayokujia kwa haraka ni Beyonce Knowles na Kelly Rowland, ingawa kundi hilo lililoanzishwa mwaka 1990 huko Texas, Marekani...

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

SPIKA ZUNGU: TANZANIA IPO TAYARI KUCHANGIA UZOEFU HUDUMA ZA MAMA NA MTOTO

Na Ripota wa TBN, Arusha. Sika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu amesema Tanzania ipo tayari kuchangia uzoefu wake katika kuimarisha upatikanaji wa huduma za mama na mtoto mchanga, afya ya uzazi, lishe na ustawi wa vijana. Mheshimiwa Zungu ameeleza hayo Oktoba 8, 2026, wakati akitoa hotuba ya ufunguzi katika mdahalo kuhusu masuala ya afya ya mama na mtoto uliondaliwa na Serikali ya Tanzania wa wajumbe wa Mkutano wa 153 Umoja wa Mabunge Duniani. Mkutano huo unaoendelea katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC). Mheshimiwa Spika amesema afya na ustawi wa wanawake, watoto na vijana ni msingi wa maendeleo ya Taifa na kwamba Tanzania inatarajia kuchangia uzoefu wake na kufanya kazi na washirika kugeuza dhamira ya kisiasa kuwa matokeo ya kudumu. “Kila kifo kinachozuilika, kila hitaji la kiafya lisilotimizwa na kila kikwazo cha kupata huduma,kinahitaji umakini na hatua endelevu za kisiasa. “Ndio maana Rais wangu Mhe. Rais Hassan ameweka kipaumbele cha kupunguza vifo vya wajawazito, kupunguza vifo vya watoto na idadi ya watoto wasiochanjwa hadi sifuri, si tu nchini Tanzania bali pia kuchochea hatua hizi kote barani Afrika kupitia wadhifa wake kama Kinara wa Afya ya Mama na Mtoto Barani Afrika,” amesema. Amesema Bunge lina jukumu la kuendeleza sheria, kuhakikisha fedha za kutosha zinatengwa na kusimamia utekelezaji kuhakikisha rasilimali zinafika kwenye huduma za mstari wa mbele na kwa jamii. “Kipaumbele chetu kiwe kwenye upatikanaji sawa wa huduma, ikiwemo huduma za mama na mtoto mchanga, afya ya uzazi, lishe, na afya na ustawi wa vijana. “Kupitia Mtandao huu, tunaweza kujifunza kutoka kwa kila mmoja, kuimarisha uwajibikaji wa kibunge na kuendeleza hatua za vitendo katika nchi zetu. Kwa upande wake Mshauri wa Rais anayeshughulikia masuala ya afya, ustawi wa jamii, wanawake na watoto, Ummy Mwalimu aliyemuwakilisha Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, alisema Afrika imepiga hatua katika kupunguza vifo vya kina mama japo bado haijatosha. Amesema vifo vya kina mama katika nchi wanachama wa Umoja wa Afrika vilipungua kwa asilimia 42 kati ya mwaka 2000 na 2023, lakini Afrika bado inachangia takribani asilimia 70 ya vifo vya kina mama duniani. “Kwa kasi iliyopo sasa Afrika haitaweza kufikia lengo la Maendeleo Endelevu la kuwa na vifo vya kina mama 70 kwa kila vizazi hai 100,000 hadi karibu mwaka 2050,” amesema Mwalimu. Mwenyekiti wa Kundi la Kijiografia la Afrika la IPU, Mhe. Ali Kolotou Tchaïmi amesema Wabunge wana wajibu wa kuhakikisha ahadi za afya zinawafikia wananchi wa kawaida. Amesema watunga sheria wana jukumu la kutunga sheria, kuidhinisha bajeti na kusimamia serikali, hususan katika kulinda makundi yaliyo katika mazingira hatarishi. Akitoa mchango wake katika mkutano huo, Spika wa Bunge la Afrika Kusini, Angela Thokozile Didiza, ametoa wito wa kuimarishwa kwa uongozi wa kisiasa, akibainisha kuwa vifo vya kina mama na chanjo za watoto bado ni changamoto kubwa za afya ya umma.

Fri, 09 Oct 2026 06:21:22 +0000

Page 779 of 1153 · 23053 stories