Unganishwa

Search the region

23038 stories

Uncategorized · The Standard

Contact tracing: Brace for the worst Ebola scenario

Health experts are warning that gaps in Ebola contact tracing and border surveillance could allow further infections, urging Kenya to strengthen monitoring and prepare for a wider outbreak.

Fri, 09 Oct 2026 00:00:00 +0300
Uncategorized · DW Rwanda

Afghan women facing arrest for dress code violations: UN

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Standard

Ruto warns sugar cartels

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

Afghan women face arrest for alleged dress code violation

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

‘Kenya is now Africa’s largest milk producer,’ Ruto says as he highlights agriculture gains

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · UN News Burundi

‘Overshoot is not a reason to surrender’: UN calls for accelerated climate action ahead of COP31 summit

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Daily News

Tanzania to showcase SACCOS strength at SACCA Congress

DODOMA: TANZANIA will use the 2026 SACCA Congress to showcase the strength of its cooperative sector, attract investment and strengthen…

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

US suspends Microsoft, Adobe from filing for green cards

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Standard

Ruto says digital farmer register shut fertiliser cartels

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Azam TV Videos

MSHIKEMSHIKE - AZAM TV 08/10/2026

Azam TV

2026-10-08T19:49:25+00:00
Business · Issa Michuzi

NDEJEMBI: BAHARI YA HINDI INA UWEZO MKUBWA WA KIUCHUMI

Na Karama Kenyunko, Michuzi TV MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Deogratius Ndejembi, amesema Bahari ya Hindi ya Magharibi ina thamani ya zaidi ya dola bilioni 300 na kuzalisha takribani dola bilioni 20.8 kwa mwaka. Aidha, amesisitiza umuhimu wa kutumia fursa hizo kuchochea uchumi na ajira huku ukilinda mazingira ya bahari na pwani. Dkt. Ndejembi amesema hayo leo, Oktoba 8, 2026, jijini Dar es Salaam wakati akifungua Mkutano wa 12 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi (COP12). Amesema huduma za mifumo ya ikolojia ya bahari hiyo zina thamani ya takribani dola bilioni 25 kwa mwaka, huku utalii ukichangia zaidi ya asilimia 70 ya bidhaa hiyo ya kiuchumi. Amesema zaidi ya watu milioni 65 katika ukanda wa Bahari ya Hindi ya Magharibi wanategemea moja kwa moja bahari kwa chakula na maisha, akisisitiza kuwa afya ya mifumo ya ikolojia ni msingi wa ustawi wa kiuchumi wa jamii hizo. Kwa mujibu wa Dkt. Ndejembi, ukanda huo una zaidi ya asilimia 30 ya miamba muhimu ya matumbawe, mikoko na nyasi bahari duniani, huku Tanzania ikiwa na zaidi ya hekta 158,000 za mikoko zinazosaidia kuzalisha mazalia ya samaki, kulinda maeneo ya pwani na kuchuja uchafuzi. Amesema Tanzania imekuwa ikichukua hatua za kuhifadhi rasilimali hizo, ikiwemo kurejesha zaidi ya hekta 3,000 za mikoko katika kipindi cha miaka mitano iliyopita chini ya Mkataba wa Nairobi. Ameonya kuwa fursa hizo ziko hatarini kutokana na mabadiliko ya tabianchi, uchafuzi, uvuvi haramu na usio endelevu, upotevu wa makazi ya viumbe na maendeleo yasiyopangwa, hali inayohitaji ushirikiano wa nchi za ukanda huo. Amesema Tanzania itaendelea kusimamia uwiano kati ya uhifadhi na maendeleo kupitia mipango kama upangaji wa matumizi ya maeneo ya bahari, maeneo tengefu ya baharini, uvuvi endelevu, biashara ya kaboni, ufugaji wa viumbe vya baharini, utalii na usafiri wa majini. Kwa upande wake, Mkuu wa Sekretarieti ya Mkataba wa Nairobi, Dkt. Jared Bosire, amesema Tanzania pia imeandaa Jukwaa la Biashara, Tukio la Vijana, matukio ya pembeni zaidi ya 50 pamoja na maonyesho, huku kukiwa na tukio la wanawake katika uchumi wa buluu na Majadiliano ya Kiwaziri. Alisema kiwango hicho cha maandalizi kimeifanya Tanzania kufanya COP12 kwa ukubwa na ubora wa hali ya juu, hali ambayo imeweka changamoto kwa nchi itakayokuwa mwenyeji wa Mkutano wa 13 wa Nchi Wanachama wa Mkataba huo. “Tanzania imefanya kweli, imefanya kwa ukubwa na kwa ubora wa hali ya juu, na kuweka rekodi ambazo zitakuwa changamoto kwa COPs zote zijazo. Rais ajaye wa Kamati ya Mkataba atakayeandaa COP ya 13 atakuwa na kazi kubwa sana ya kufanya,” alisema Bosire.

Thu, 08 Oct 2026 19:59:44 +0000
Uncategorized · Issa Michuzi

NDEJEMBI ATAJA VIPAUMBELE SITA COP12

Na Karama Kenyunko Michuzi Tv MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Deogratius John Ndejembi, ametaja vipaumbele sita vinavyopaswa kupewa uzito na nchi wanachama wa Mkataba wa Nairobi ili kuimarisha uhifadhi wa mazingira ya bahari na kukuza uchumi endelevu wa buluu katika ukanda wa Bahari ya Hindi ya Magharibi. Dkt. Ndejembi amesema vipaumbele hivyo ni kutekeleza Mkataba wa Nairobi na itifaki zake kupitia sheria, taasisi na bajeti za kitaifa; kuimarisha hatua za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi; kuongeza mapambano dhidi ya uchafuzi wa bahari; kulinda bioanuwai huku uwekezaji ukiongozwa kwa uwajibikaji; kuwekeza katika sayansi, takwimu na fedha endelevu; pamoja na kuwashirikisha kikamilifu sekta binafsi, wanawake na vijana. Akifungua Mkutano wa 12 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi (COP12) leo Oktoba 8, 2026 jijini Dar es Salaam, Dkt. Ndejembi amesema utekelezaji wa vipaumbele hivyo ni muhimu katika kuifanya miaka 40 ijayo ya mkataba huo kuwa kipindi cha hatua madhubuti za kulinda bahari na kuboresha maisha ya jamii za pwani. Amesema nchi wanachama zinapaswa kuhakikisha maazimio ya mkataba, itifaki na mikutano ya nchi wanachama yanatafsiriwa kuwa sheria, taasisi, bajeti na mifumo ya utekelezaji, huku ikiwekwa mifumo ya wazi ya kupima na kuripoti maendeleo na changamoto. Kuhusu mabadiliko ya tabianchi, amesema nchi hizo zinapaswa kuharakisha urejeshwaji wa mikoko, nyasi bahari na miamba ya matumbawe, kukabiliana na ongezeko la tindikali baharini na kuhakikisha masuala ya bahari yanaingizwa katika mikakati ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Dkt. Ndejembi amesema uchafuzi wa bahari nao unahitaji hatua za pamoja, ikiwemo kudhibiti taka za plastiki, kemikali na maji taka kupitia mfumo unaounganisha vyanzo vya uchafuzi hadi baharini, pamoja na kuimarisha maandalizi ya kikanda kukabiliana na majanga makubwa ya baharini. Amesema kulinda bioanuwai kunapaswa kwenda sambamba na uwekezaji unaowajibika, akisisitiza matumizi ya mipango ya matumizi ya maeneo ya bahari, tathmini za mifumo ya ikolojia na maeneo ya uhifadhi katika kuongoza shughuli za uvuvi, bandari, utalii na nishati. Aidha, amesisitiza umuhimu wa kuwekeza katika utafiti, akili bandia (AI), ufuatiliaji, takwimu zinazoshirikishwa na taasisi za utafiti na elimu, pamoja na kuongeza upatikanaji wa fedha endelevu kwa ajili ya miradi ya uhifadhi na uchumi wa buluu. Amesema sekta binafsi, wanawake na vijana wanapaswa kuwa sehemu muhimu ya utekelezaji wa ajenda hiyo, akifurahishwa na kuanzishwa kwa mara ya kwanza katika COP12 kwa Jukwaa la Biashara, Jukwaa la Vijana na ushiriki wa wanawake, akitaka utaratibu huo uwe wa kudumu katika mikutano ijayo ya nchi wanachama. Wakati huo huo, Aidha Kaimu Katibu Mkuu Msaidizi wa Umoja wa Mataifa na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Mazingira (UNEP), Elizabeth Mrema, alizitaka nchi wanachama wa Mkataba wa Nairobi kutumia jukwaa hilo kugeuza ahadi za kimataifa kuhusu mazingira kuwa hatua zinazotekelezeka katika Bahari ya Hindi ya Magharibi. Mrema alisema hatua hiyo ni muhimu wakati eneo hilo likikabiliwa na changamoto zinazohusisha mabadiliko ya tabianchi, kupotea kwa viumbe hai na uchafuzi wa mazingira, ambazo zinahitaji ushirikiano wa nchi kwa kuwa haziwezi kutatuliwa na taifa moja.

Thu, 08 Oct 2026 20:03:06 +0000
Uncategorized · Watchdog Uganda

Education stakeholders urged to build schools that thrive beyond their founders

For Sam Kuloba, a retired Commissioner for Secondary Schools in the education ministry, a school's true test of success is whether it can keep thriving long after its founder or…

Recently
Uncategorized · Kigali Today

Abanyarwanda 367 batahutse

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Standard

Suspected Ebola patient tests negative in Wajir

Wajir Governor Ahmed Abdullahi said preliminary laboratory results from samples had ruled out Ebola in the patient.

Thu, 08 Oct 2026 22:29:49 +0300
Uncategorized · UN News Burundi

UN rights chief: Legacy of slavery and colonialism is still fuelling racism

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Kigali Today

Perezida Kagame yakiriye Minisitiri w'Ububanyi n'Amahanga wa Senegal

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · UN News Burundi

Myanmar: Poverty deepens as families face multiple shocks with limited resources

Read the full report from the original source.

Recently
Health · The Nile Post

Mubende Hospital limits patients to one attendant, bans hawkers

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

‘She stabbed me multiple times’: John Matara tells court he did not kill Starlet Wahu

Read the full report from the original source.

Recently

Page 784 of 1152 · 23038 stories