Search the region
23032 stories
Met lists areas to receive rainfall in 24 hours
The Met also forecast strong southerly to southeasterly winds of more than 25 knots.
RecentlyOLBALBAL YATWAA RHINO CUP
TIMU ya Kata ya Olbalbal imetwaa ubingwa wa mashindano ya Rhino Cup baada ya kuifunga timu ya Kata ya Nainokanoka mabao 3-2 katika mchezo wa fainali uliochezwa leo, Oktoba 8, 2026, katika Uwanja wa Makao, Kata ya Ngorongoro mkoani Arusha. Mchezo huo wa fainali ulikuwa wa ushindani mkubwa, huku timu zote zikionyesha kiwango kizuri cha soka kabla ya Olbalbal kuibuka na ushindi na kutwaa taji hilo. Katika mchezo wa kutafuta mshindi wa nafasi ya tatu, timu ya Kata ya Endulen iliibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Kata ya Ngoile. Mchezo huo pia ulivutia kwa namna ya kipekee, baada ya kutawaliwa na mbinu na ufundi wa soka huku wanyamapori mbalimbali, wakiwemo twiga, ngiri, pundamilia na nyati, wakionekana pembezoni mwa uwanja wakishuhudia mchezo huo. Akikabidhi kombe la ushindi kwa niaba ya Kamishna wa Uhifadhi, Meneja wa Idara ya Maendeleo ya Jamii wa SACC, Gloria Bideberi, aliipongeza timu ya Olbalbal kwa kutwaa ubingwa huo. Bideberi alisema mashindano ya Rhino Cup yanalenga kuibua na kukuza vipaji vya michezo miongoni mwa jamii, kuhamasisha shughuli za uhifadhi pamoja na kuimarisha uhusiano kati ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro na jamii zinazoishi ndani ya eneo hilo. Katika zawadi za ubingwa, timu ya Olbalbal imekabidhiwa kombe, fedha taslimu pamoja na fursa ya safari ya kwenda Jijini Dar es Salaam kushuhudia mchezo wa watani wa jadi, Simba na Yanga, utakaochezwa Oktoba 10, 2026.
Thu, 08 Oct 2026 18:53:55 +0000South Africa: Anti-migrant protests turn violent
Read the full report from the original source.
RecentlyRuto threatens ‘hammer’ action over sugar board impasse
Ruto claimed individuals he had previously removed from the sugar sector had regrouped and were holding the industry hostage.
RecentlyVideo — The dead internet theory: fact or fiction?
To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video
RecentlyUS will not resume strikes on Iran before midterms — Trump
Read the full report from the original source.
RecentlyUkraine: UN condemns latest attacks and calls for civilian protection
Read the full report from the original source.
RecentlyEbola : le Kenya muscle sa riposte, des failles dénoncées
Read the full report from the original source.
RecentlyMOH intensfies preparations for 23rd AU Summit on local manufacturing
The Ministry of Health has stepped up preparations for the 23rd African Union Extraordinary Summit on Local Manufacturing. In a meeting on Thursday, Principal Secretary for Medical Services Dr. Ouma…
Recently“My Husband Became Distant And Our Marriage Nearly Fell Apart, But We Eventually Found Our Way Back – Jinja Woman Shares Her Story”
Read the full report from the original source.
RecentlyInside Wicknell Chivayo & wife's lavish burial in Zimbabwe
Read the full report from the original source.
Recently‘People eat hides there’: Ruto flags Kenyan hides trade
Ruto said the movement of hides through unofficial routes was among the challenges facing Kenya’s leather industry.
RecentlyEquity’s Mwangi to help chart global development roadmap
Read the full report from the original source.
RecentlyAudio — Journal 17hTU (08.10.26)
To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video
RecentlyQui pour succéder à Lionel Messi en Argentine ?
Read the full report from the original source.
RecentlyÀ Conakry, la pénurie d’eau préoccupe les populations
Read the full report from the original source.
RecentlyPRAU to mark 50 years with four-day summit in Jinja
KAMPALA — The Public Relations Association of Uganda (PRAU) will hold a four-day summit in Jinja City later this month to mark 50 years since its founding, the association announced in...
RecentlyUSALAMA WA RELI NI JUKUMU LA KILA MMOJA: LATRA YAWAKUMBUSHA WADAU MOROGORO
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imeendelea kutoa elimu kwa wadau ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Usalama wa Reli yanayofanyika katika nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) tarehe 4 hadi 10 Oktoba 2026. Maadhimisho hayo kwa upande wa Tanzania yamefanyika kwa uratibu wa Wizara ya Uchukuzi yakihusisha LATRA, Shirika la Reli Tanzania (TRC) na Mamlaka ya Reli ya Tanzania-Zambia (TAZARA). Mkoani Morogoro, wataalamu wa LATRA wakiongozwa na Bw. Salum Pazzy, Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano, aliyeambatana na Mha. John Shirima, Mkaguzi wa Reli LATRA, wameshiriki semina za kutoa elimu kwa watendaji wa Karakana ya Reli, Chuo cha Reli (TIRTEC) na Kituo cha Treni ya Kisasa (SGR) Jakaya Kikwete kwa lengo la kuwakumbusha wadau hao umuhimu wa kuzingatia usalama katika shughuli za usafirishaji kwa njia ya reli. Akizungumza katika semina hizo, Bw. Salum Pazzy, Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano LATRA, amewasihi wadau kuzingatia usalama wa reli katika nyanja zote ili kuepuka madhara yanayoweza kutokea ikiwa usalama utapuuzwa. “Usalama wa usafiri wa reli unaanza na wanaoongoza vitembea reli, mafundi mpaka kwa wananchi. Kila kitendo unachokifanya kitachangia kuleta athari hasi au chanya. Uzembe mdogo katika eneo lolote unaweza kuleta madhara makubwa ambayo ni hasara kwa Taifa, hivyo ni muhimu kukumbushana na kuzingatia dhana nzima ya usalama ili kuufanya usafiri wa reli nchini kuendelea kuwa salama na wa mfano,” amesema Bw. Pazzy. Kwa upande wake, Mha. Shirima amesema kuwa Maadhimisho ya Wiki ya Usalama wa Reli yalianzishwa kwa lengo la kupunguza ajali, hivyo watendaji wote wanapaswa kufanya kazi zao kwa kuzingatia sheria, kanuni na miongozo ya kazi zao na kujiepusha kufanya kazi kwa mazoea. Wiki ya Usalama wa Reli mwaka huu inaendelea kuhamasisha jamii kwa ujumla kuzingatia kaulimbiu isemayo, “Fikiria Usalama, Tenda kwa Usalama, Kuanzia Mahali pa Kazi hadi kwa Jamii. Kila Tendo lina Athari.”
Thu, 08 Oct 2026 17:45:16 +0000Ruto rebukes Sakaja for mumbling during a presentation
Read the full report from the original source.
RecentlyHow Kenya lost Sh20 billion in credit rating row
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 785 of 1152 · 23032 stories