Unganishwa

Search the region

23026 stories

Uncategorized · Capital FM

Ruto certifies 3,772 informal workers under skills recognition programme

Latest · Business

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

WATAALAMU KUTOKA NCHI 18 WAKUTANA ARUSHA KUJADILI USALAMA WA NYUKLI

Na. Vero Ignatus,Michizi TV- ARUSHA. Tanzania imeendelea kuimarisha nafasi yake katika juhudi za kikanda na kimataifa za usalama wa nyuklia baada ya Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) kwa kushirikiana na Wakala wa Kimataifa wa Nguvu za Atomu (IAEA) kuwakutanisha wataalamu na washiriki kutoka nchi 18 katika warsha ya kikanda inayolenga kuimarisha uwezo wa rasilimali watu katika masuala ya usalama wa nyuklia. Akifungua warsha hiyo, Mkurugenzi Mkuu wa TAEC ambaye pia ni Mratibu wa Kitaifa wa Tanzania na IAEA (National Liaison Officer – NLO), Prof. Najat Kassim Mohamed, amesema mkutano huo unalenga kujadili namna Vituo vya Usaidizi wa Usalama wa Nyuklia (Nuclear Security Support Centres – NSSCs) vinavyoweza kusaidia nchi kujenga na kudumisha wataalamu wenye uwezo wa kusimamia masuala ya usalama wa nyuklia. Prof. Najat amesema maendeleo ya rasilimali watu ni jukumu endelevu linalohitaji nchi kutambua ujuzi unaohitajika na mahitaji ya mafunzo, ili kuwa na uwezo wa kuendesha na kudumisha mifumo ya usalama wa nyuklia, pamoja na kuzuia, kugundua na kukabiliana na matukio yanayohusiana na usalama huo. Aidha, amesema washiriki wa warsha hiyo wanajadili mipango ya maendeleo ya wataalamu katika mazingira ya usalama wa nyuklia duniani, mifumo ya kitaifa ya ulinzi, utambuzi na mwitikio, pamoja na usimamizi wa maarifa ili kuhakikisha taarifa na uzoefu muhimu vinakusanywa, vinahifadhiwa na kushirikishwa kwa wakati unaofaa. Prof. Najat amesema Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazotumia teknolojia ya nyuklia katika sekta mbalimbali, ikiwemo afya, kilimo, utafiti na uchunguzi, huku akieleza kuwa baadhi ya nchi za Afrika Mashariki, ikiwemo Kenya, Rwanda, Uganda na Tanzania, zimeonesha nia ya kuendeleza matumizi ya teknolojia ya nyuklia kwa ajili ya uzalishaji wa umeme. Amesema Afrika Kusini ina uzoefu wa muda mrefu katika uzalishaji wa umeme wa nyuklia, huku Misri ikiendelea na mradi wake wa kuzalisha umeme wa nyuklia. Kwa upande wake, Judith Aloch Okor, Mkaguzi wa Nyuklia kutoka Mamlaka ya Udhibiti wa Nyuklia ya Kenya (KNRA), amesema ameshiriki mafunzo hayo kwa lengo la kujifunza mbinu za kutambua mapungufu ya umahiri na kutathmini mahitaji ya mafunzo, pamoja na kupata maarifa na uzoefu utakaosaidia kuimarisha maendeleo ya rasilimali watu katika eneo la usalama wa nyuklia. Akizungumzia hofu kuhusu madhara yanayoweza kutokana na matumizi ya teknolojia ya nyuklia, ikiwemo silaha za nyuklia, Judith amesema nchi za Afrika zimejikita katika matumizi ya teknolojia hiyo kwa madhumuni ya amani na usalama, akieleza kuwa sayansi na teknolojia ya nyuklia inatumika katika maeneo mbalimbali ikiwemo utafiti wa kisayansi, kilimo, viwanda na tiba.

Thu, 08 Oct 2026 16:50:13 +0000
Uncategorized · The Star Kenya

Ruto: I get sick if I don't go to the farm for weeks

The President said his administration had made deliberate commitments on agriculture and food systems in 2022.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

TANZANIA YATOA WITO KWA MATAIFA KUUNGANISHA NGUVU KULINDA UTAJIRI WA DOLA BILIONI 300 WA BAHARI YA HINDI

Tanzania imeyatolea wito mataifa ya ukanda wa Magharibi mwa Bahari ya Hindi kuimarisha ushirikiano wa kisiasa, kiuchumi na kimazingira ili kulinda rasilimali za bahari zenye thamani ya zaidi ya dola bilioni 300 za Marekani dhidi ya athari za mabadiliko ya tabianchi, uchafuzi wa mazingira na matumizi yasiyo endelevu. Wito huo umetolewa na Makamu wa Rais, Mhe. Deogratius Ndejembi, wakati akimwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa Mkutano wa 12 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi (COP12), unaofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere, Dar es Salaam. Makamu wa Rais amezitaka nchi wanachama kutafsiri makubaliano ya kimazingira katika hatua madhubuti za kisera, kisheria na kibajeti, huku akisisitiza kuwa ukuaji wa uchumi wa buluu lazima uende sambamba na uhifadhi wa mazingira, uzalishaji wa ajira na mgawanyo wa haki wa manufaa kwa wananchi. Ameeleza kuwa zaidi ya watu milioni 65 wanategemea bahari moja kwa moja kwa maisha yao, huku ukanda huo ukizalisha takribani dola bilioni 20.8 kila mwaka na huduma za mifumo ya ikolojia zikiwa na thamani ya dola bilioni 25 kwa mwaka. Aidha, ameainisha vipaumbele sita vya kuimarisha usimamizi wa bahari, vikiwemo kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, kudhibiti uchafuzi, kuhifadhi bioanuai, kuwekeza katika sayansi na teknolojia pamoja na kuongeza ushiriki wa sekta binafsi, wanawake na vijana katika uchumi wa buluu. Kwa upande wake, Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa UNEP, Bi. Elizabeth Maruma Mrema, amesisitiza umuhimu wa mshikamano wa kikanda na ushirikishwaji wa taasisi za fedha katika uwekezaji wa uchumi endelevu wa buluu, huku Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Masauni, akieleza kuwa Tanzania imenufaika na msaada wa kitaalamu, udhibiti wa uchafuzi na ushirikiano wa kimazingira kupitia Mkataba wa Nairobi. Mkutano wa COP12, unaoadhimisha miaka 40 ya Mkataba wa Nairobi, unawakutanisha washiriki zaidi ya 1,500 kutoka nchi mbalimbali duniani, zikiwemo nchi 10 wanachama, kuanzia Oktoba 6 hadi 9, 2026.

Thu, 08 Oct 2026 16:45:52 +0000
Uncategorized · Iwacu

Région Sud/Burunga : Appel au dialogue pour la stabilisation des enseignants

La Coalition des syndicats pour la solidarité nationale en province de Burunga appelle à un dialogue pour la stabilisation des enseignants suite à l’ampleur des désertions qui s’observent dans cette localité. Des sources proches de la Direction provinciale de l’Education confirment ces informations et indiquent que les enseignants déserteurs sont remplacés.

Thu, 08 Oct 2026 16:40:48 +0000
Uncategorized · Business Daily

China gives Kenya Sh259m for Ebola, drought preparedness

Read the full report from the original source.

Recently
National · Mwananchi

Mahakama ya Rufani yaamuru Madeleka arejeshewe faini, fidia za ‘plea bargain’

Soma zaidi hapa...

Recently
Uncategorized · Isango Star

Kenya yatangiye gukurikirana abantu 57 nyuma y’uko Ebola igaragaye mu gihugu

Kenya yatangaje ko iri gukurikirana abantu 57 bashobora kuba barahuye n’umuntu wanduye Ebola, nyuma y’uko iki gihugu cyemeje ko habonetse umuntu wa mbere wayanduye, akaza guhitanwa na yo nyuma y’iminsi itatu. Ni mu gihe inzego z’ubuzima zashyizeho ingamba zo gukumira ikwirakwira ry’iyi ndwara.

Thu, 08 Oct 2026 18:21:00 +0200
Uncategorized · The Observer Uganda

Uganda at 64: Our People Are the Destination

On 9th October 1962, the Union Jack came down, and the Uganda flag was hoisted. It has been 64 years of the Uganda flag flying…

Recently
Business · The Star Kenya

WATCH LIVE: Ruto's Town Hall on Agriculture

The forum brings together key players in the agriculture sector to discuss challenges facing farmers.

Recently
Uncategorized · The Standard

IEBC urges Nakuru Town East MP to pay Sh2.5m fine after court dismisses challenge

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Top 10 importers of medical consumables in Africa

Kenya can be a regional hub to meet fast-growing African demand.

Recently
Uncategorized · Business Daily

What a family business successor learned about wealth, leadership and legacy

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · BBC Afrique

Les pics de glycémie ne sont pas forcément mauvais pour vous

On a tendance à s'inquiéter des pics de glycémie, mais ceux-ci peuvent constituer une réaction normale après un repas. Voici dans quels cas vous n'avez pas à vous inquiéter.

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

US prosecutors add new torture charge against Maduro

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · TechCabal East Africa

Billionaires online, broke offline: Nigerians escape reality inside viral games

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Maraga accuses President Ruto of overseeing destruction of Kenya’s forests

Read the full report from the original source.

Recently
National · Issa Michuzi

MBUNGE KOKA AANZISHA KAMPENI KABAMBE YA TOKOMEZA ZERO NA PUNGUZA DIVISHENI 4

Na Victor Masangu,Kibaha Mbunge wa Jimbo la Kibaha mjini Mhe.Silvestry Koka katika kuweka mikakati ya kuboresha sekta ya elimu na kuongeza ufaulu kwa wanafunzi amekuja na kampeni kabambe aliyoipa jina la Tokomeza zero punguza divisheni 4. Mh.Koka ametoa kauli hiyo wakati wa mahafali ya nne ya kuhitimu wanafunzi wa kidato cha nne katika shule ya sekondari picha ya ndege iliyopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha. Aidha Koka amebainisha kwamba lengo lake atashirikiana bega kwa bega na wazazi na walezi katika kuweks misingi imara ambayo itasaidia wanafunzi kuweza kuongeza kasi ya ufaulu. "Mimi kama mbunge wa Jimbo la Kibaha mjini katika kukuza sekta ya elimu nimeona kuja na kampeni maalumu ambayo itakwenda kwa jina la Tokomeza zero punguza divisheni four.,"amebainisha Mhe.Koka. Aidha Koka akijibu risala iliyosomwa na mwalimu mkuu shule hiyo ameahidi kutoa mashine ya kutoa nakala ( Photocopy mashine) pamoja na mashine ya printer lengo ikiwa ni kukuza sekta ya elimu na kuongeza kasi ya ufaulu kwa wanafunzi. Pia amesema ataendelea kushirikiana na Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha na wadau wa maendeleo katika kuendeleza masomo ya sayansi kwa wanafunzi kwa kuboresha vifaa mbali mbali katika maabara katika shule hiyo ya sekondari picha ya ndege. Katika hatua nyingine Mbunge huyo amechangia kiasi cha shilingi laki tano ambazo zitaweza kusaidia katika mahitaji mbali mbali ya shule hiyo. Naye Mwalimu mkuu wa shule hiyo Omary Mtaka amemshukuru kwa dhati Mbunge huyo kwa kuweza kusapoti kwa hali na kuchochea maendeleo katika shule hiyo. Jumla ya wanafunzi wapatao 188 wameweza kuhitimu kidato cha nne katika shule ya sekondari picha ya ndege iliyopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha.

Thu, 08 Oct 2026 16:29:00 +0000
Uncategorized · DW Rwanda

EU pulls sponsorship from disinformation event in Lithuania

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Chimpreports

11 Taxi Drivers Arrested for Loading Passengers at Northern Bypass Intersections

Read the full report from the original source.

Recently

Page 787 of 1152 · 23026 stories