Unganishwa

Search the region

22910 stories

Uncategorized · UBC

Tayebwa Challenges Businesses to Drive Uganda’s Economic Transformation

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

U.S says no Ebola patients at Laikipia facility, announces Ksh.1.2B support for Kenya

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Standard

Wajir patient isolated over suspected viral haemorrhagic fever

The patient was also found to have severe anaemia, with a haemoglobin level of 4g/dL.

Wed, 07 Oct 2026 20:45:56 +0300
Uncategorized · The Star Kenya

Raila’s family leans towards Ruto ’27 bid

These are the stories making headlines in the Star newspaper

Recently
Uncategorized · UN News Burundi

Reform, or lose trust: Governments press the UN to reflect the world as it is

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · TechCabal East Africa

M-KOPA acquires Finnish device-locking company KilpiTek Oy for $8 million

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Mama Ida’s blessing: Raila’s family leans towards Ruto ’27 bid

These are the stories making headlines in the Star newspaper

Recently
Uncategorized · Business Daily

Stockbrokers lower minimum investment in Dangote IPO

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Business Daily

Rent-to-own option traps affordable homes billions

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Mwananchi

Chivayo, mkewe kuzikwa kesho wakiwa kwenye majeneza yenye muundo wa magari

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

SHA introduces one-month waiver on five KYC documents

Waiver covers Know Your Customer (KYC) documents required when healthcare providers contract with SHA

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

Evicted Spanish woman who sparked housing protests has died

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

IEBC warns of goonism, AI misuse ahead of 2027 General Election

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Katie Price messaged ex's rape accuser, court told

Price's ex-husband Kieran Hayler is accused of raping and sexually assaulting a 13-year-old in 2016

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

TCAA YAADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA KWA KUIMARISHA USIKIVU NA UTOAJI HUDUMA

MAMLAKA ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) inaadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja kuanzia tarehe 5 hadi 9 Oktoba 2026, kwa kusikiliza na kuhudumia wateja, kupokea maoni na kutoa ufafanuzi kuhusu huduma zake. Shughuli hizo zinafanyika wiki hii yote katika Makao Makuu, ofisi za Kanda ya Pwani, Kanda ya Kati, Kanda ya Ziwa, Kanda ya Kaskazini, Nyanda za Juu Kusini na Ofisi ya Zanzibar, kwa lengo la kuimarisha ubora wa huduma na mahusiano. Maadhimisho yalianza kwa watumishi kupewa mafunzo ya huduma kwa mteja. Akiwasilisha mada, Juma Fimbo alisisitiza umuhimu wa usikivu na kujituma katika utoaji wa huduma. “Huduma bora kwa mteja inaanza na kumsikiliza, kuelewa mahitaji yake na kuchukua hatua kwa wakati. Kauli mbiu ya ‘The Extra Mile’ inatukumbusha kujituma zaidi katika kumsaidia mteja, kumpa taarifa sahihi na kuhakikisha anapata huduma kwa heshima na ufanisi na kumfutilia baada ya kutoa huduma husika,” alisema Fimbo. Bw. Fimbo pia alisisitiza kuwa mwajiri wetu ni mteja tunayempatia huduma na TCAA ni mwakilishi tu wa mwajiri wetu. TCAA itaendelea kutoa huduma bora hata baada ya maadhimisho haya, kwa kuimarisha usikivu na mwitikio kwa mahitaji ya wateja. Katika kutekeleza dhamira hiyo, Mamlaka ilianzisha Dawati la Huduma kwa Wateja linalopokea maswali, maoni na malalamiko, pamoja na kutoa taarifa na mwongozo kuhusu huduma zake. Dawati hilo linafikiwa kupitia WhatsApp +255 771 564 070, simu ya bure 0800 110 193, au barua pepe helpdesk@tcaa.go.tz na dawatilahuduma@tcaa.go.tz. Aidha, ujio wa huduma za Mamlaka ya Usafiri wa Anga kupitia mfumo wa CASP (Civil Aviation Services Portal) unaimarisha upatikanaji wa huduma kidijitali. Kupitia portal.tcaa.go.tz, wateja wanaweza kuwasilisha maombi, kupakia nyaraka, kufanya malipo na kufuatilia hatua za maombi yao, hatua inayorahisisha upatikanaji wa huduma na kuokoa muda.

Wed, 07 Oct 2026 18:45:08 +0000
Uncategorized · DW Afrique

Des Maliens ambitionnent de retourner dans la ville de Kidal

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · KT Press

Kagame Meets AU Panel in Latest Push for DRC Peace Process

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · PML Daily

Museveni meets Commonwealth Secretary-General Shirley Botchwey

ENTEBBE – President Yoweri Museveni has called for African partnerships to be built around continental unity under the African Continental Free Trade Area (AfCFTA) rather than former colonial ties, during a...

Recently
Uncategorized · HabariLeo

Tanzania yashuka ubora viwango Fifa

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

ABDI: CCM ITAENDELEA KUWASIMAMIA VIONGOZI KUTEKELEZA ILANI

Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Ndugu Abdi Mahamoud Abdi, amesema chama hicho kitaendelea kuwasimamia viongozi wa majimbo kuhakikisha wanatekeleza Ilani ya CCM kwa vitendo na kuwaletea maendeleo wananchi. Ndugu Abdi ameyasema hayo Oktoba 7, 2026, wakati akiendelea na ziara ya kukagua uhai wa CCM kuanzia ngazi ya matawi katika Jimbo la Pangawe, Zanzibar, pamoja na kusikiliza changamoto zinazowakabili wanachama na kutafuta namna ya kuzitatua. Amesema CCM ina mpango wa kuhakikisha wanachama wake wanawezeshwa kiuchumi, ikiwemo kuwawezesha kupata mitaji itakayowasaidia kuanzisha na kuendeleza shughuli mbalimbali za biashara na kujikwamua kiuchumi. Aidha, amewataka viongozi wa CCM katika majimbo kuwa karibu na wanachama, kusikiliza changamoto zao na kuzifanyia kazi kwa wakati, akisisitiza kuwa hatua hiyo ni muhimu katika kuimarisha uhai na mshikamano wa chama. Kwa upande wake, Mnadhimu wa Wawakilishi wa CCM Zanzibar, Ndugu Machano Othman Said, amesema wanachama wa CCM katika Jimbo la Pangawe wana dhamana kubwa ya kuendeleza umoja na mshikamano ili kuhakikisha chama kinaendelea kusonga mbele. Ndugu Machano amewahimiza wanachama kuachana na makundi ndani ya chama na badala yake kujenga umoja, mshikamano na ushirikiano kwa maslahi ya CCM na wananchi kwa ujumla. Aidha, amewataka wanachama kuendelea kulipa ada za uanachama kwa wakati, akieleza kuwa ada hizo ni muhimu katika kuimarisha shughuli za chama na kuhakikisha CCM inaendelea kutekeleza majukumu yake kwa maslahi ya wanachama na taifa kwa ujumla. Katika ziara hiyo, Ndugu Abdi ametembelea matawi mbalimbali ya CCM ndani ya Jimbo la Pangawe, yakiwemo Tawi la CCM Pangawe, Tawi la CCM Pangawe Bondeni na Tawi la CCM Muembe Majogoo, ambako amepata fursa ya kuzungumza na wanachama na kusikiliza changamoto zinazowakabili. Mbali na kutembelea matawi, Ndugu Abdi pia amewatembelea na kuwajulia hali Wazee wa CCM, akiwemo Ndugu Kassima Haji Ameir nyumbani kwake Pangawe na Ndugu Daudi Mussa Daudi nyumbani kwake Pangawe Bondeni. Ziara hiyo imeelezwa kuwa sehemu ya kuendeleza utamaduni wa CCM wa kuwajali na kuwaheshimu wazee, pamoja na kuimarisha mshikamano na uhusiano kati ya viongozi na wanachama wa chama.

Wed, 07 Oct 2026 18:44:17 +0000

Page 808 of 1146 · 22910 stories