Search the region
22510 stories
Senator Chesang calls for probe into rising ethnic tensions in Trans Nzoia
Read the full report from the original source.
RecentlyMilimani Magistrate Rose Ndombi tops Judiciary's case resolution chart
Read the full report from the original source.
RecentlyMexican drug lord on FBI's 10 most wanted list arrested
Meza Flores was wanted in Mexico on organised crime charges, while he has been accused of "flooding US with fentanyl, cocaine, heroin and other deadly drugs".
RecentlyPrésidentielle 2027 : Francis Rohero, candidat : « Il faut une alternance »
C’est ce samedi 21 novembre 2026, que Francis Rohero, candidat déclaré du parti FPI a déposé son dossier pour la présidentielle 2027. Une occasion de donner sa lecture de la situation actuelle du pays.
Sat, 21 Nov 2026 15:27:48 +0000EU and Indonesia sign landmark trade deal
Read the full report from the original source.
RecentlyHow to Register on Hibajee: Step‑by‑Step Guide for Bangladeshi Players
Read the full report from the original source.
RecentlyKu99 account verification guide for Bangladesh players
Read the full report from the original source.
RecentlyTooro Premier Rwomiire Resigns over ‘Deep Divisions’ Within Kingdom
Read the full report from the original source.
RecentlyWanga backs IEBC talks with parties ahead of 2027
“I'm happy that IEBC has created a forum to meet every candidate, to meet every formation. Nimeona wanakutana na wale wa upinzani na ni sawa kabisa,” she said
RecentlyWanga backs IEBC dialogue with parties ahead of 2027
“I'm happy that IEBC has created a forum to meet every candidate, to meet every formation. Nimeona wanakutana na wale wa upinzani na ni sawa kabisa,” she said
RecentlyPrésidentielle 2027 : Agathon Rwasa dépose son dossier de candidature comme indépendant
A veille de la fin de la période de dépôt des candidatures, Agathon Rwasa, ex-président du parti CNL a déposé son dossier, ce samedi 21 novembre 2026, auprès de la CENI en qualité d’indépendant.
Sat, 21 Nov 2026 15:20:31 +0000Homes abandoned, harvests failing: Haiti’s farmers rebuild amid violence, hunger and El Niño
Read the full report from the original source.
RecentlyNew EU budget proposal aims at tax gobal tech giants
Read the full report from the original source.
RecentlyMotsepe: East Africa will host Afcon's best editions
“There'll always be challenges, but we believe in the capacity of us as Africans to confront those challenges and and host very successful competitions"
Recently11 dead, over 180 hospitalised after drinking illicit alcohol in India
Read the full report from the original source.
RecentlyTANZANIA YAONGEZA KASI YA UTEKELEZAJI WA AZIMIO LA KAMPALA (CAADP)
KAIMU Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Mhandisi Athumani Kilundumya, amesema kuwa Tanzania itaendelea kuimarisha utekelezaji wa Azimio la Kampala chini ya Mpango Kabambe wa Maendeleo ya Kilimo Barani Afrika (CAADP), kwa lengo la kuongeza uzalishaji, kuimarisha usalama wa chakula, kukuza ajira na kuongeza mchango wa Sekta ya Kilimo katika uchumi wa Taifa. Akizungumza wakati wa hitimisho la Ziara ya Uhamasishaji wa Utekelezaji wa Azimio la Kampala, tarehe 20 Novemba 2026 katika Hoteli ya Best Western jijini Dodoma, Mhandisi Kilundumya amesisitiza kuwa azimio hilo linaendana na vipaumbele vya Serikali vya kuleta mageuzi katika Sekta ya Kilimo kupitia sera, mikakati na uwekezaji unaolenga kuongeza tija na ushindani wa mazao ya kilimo. Mhandisi Kilundumya, ambaye amemwakilisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Bw. Gerald Mweli, amewashukuru wajumbe kutoka Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AUC), Sekretarieti ya SADC, Serikali ya Sudan Kusini, Wizara mbalimbali za Serikali, Taasisi za Umma, Sekta Binafsi, Mashirika yasiyo ya Kiserikali pamoja na Wadau wa Maendeleo kwa ushirikiano na michango yao iliyochangia mafanikio ya ziara hiyo. Alieleza kuwa ziara hiyo imeongeza uelewa kuhusu malengo ya Azimio la Kampala na kutoa fursa kwa wadau kujadili hatua za kuharakisha utekelezaji wa ajenda ya mageuzi ya kilimo inayolenga uzalishaji wenye tija, biashara ya mazao, maendeleo ya viwanda vinavyotegemea kilimo, pamoja na kuimarisha mifumo himilivu ya chakula na lishe. Aidha, amebainisha kuwa Serikali itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali katika kutekeleza agenda ya CAADP kwa kuimarisha uwekezaji katika umwagiliaji, matumizi ya zana na teknolojia za kisasa za kilimo, upatikanaji wa masoko na huduma za ugani, hatua ambazo ni muhimu katika kufikia malengo ya maendeleo ya Sekta ya Kilimo na ustawi wa wananchi. Azimio la Kampala linatoa dira mpya ya maendeleo ya kilimo barani Afrika kwa kuhimiza nchi wanachama kuongeza kasi ya mageuzi ya Sekta hiyo ili kuchochea ukuaji wa uchumi, kuongeza ajira kwa vijana na wanawake, kuhakikisha usalama wa chakula na kujenga mifumo endelevu ya uzalishaji wa kilimo inayostahimili mabadiliko ya tabianchi.
Sat, 21 Nov 2026 14:52:11 +0000Abagabo bakwiye kureka abagore bakagira uruhare mu miyoborere y'inzego z'ibanze
Read the full report from the original source.
RecentlyRAIS SAMIA ATUNUKU KAMISHENI KWA MAAFISA WAPYA WA JWTZ MONDULI
Na Pamela Mollel, Arusha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametunuku kamisheni kwa maafisa wanafunzi wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kutoka kundi la 07/23 la Shahada ya Sayansi ya Kijeshi na kundi la 73/25 Regular, hafla iliyofanyika leo, Novemba 21, 2026, katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli, wilayani Monduli, Mkoani Arusha Maafisa hao wanatunukiwa kamisheni baada ya kukamilisha mafunzo yao ya kijeshi na kupangiwa kuanza utumishi katika cheo cha Luteni Usu,Kwa mujibu wa taarifa ya Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli, kundi la 07/23 la Shahada ya Sayansi ya Kijeshi limepata mafunzo kwa muda wa miaka mitatu, huku kundi la 73/25 Regular likipata mafunzo kwa mwaka mmoja Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli, Meja Jenerali Jackson Jairos Mwaseba, anabainisha kuwa baadhi ya maafisa wanafunzi wamepata mafunzo katika nchi rafiki ndani na nje ya bara la Afrika Mafunzo hayo ni sehemu ya maandalizi ya maafisa hao katika kutekeleza majukumu yao ya kijeshi kwa weledi na kuzingatia misingi ya utumishi Katika hafla hiyo, maafisa wanafunzi waliofanya vizuri katika maeneo mbalimbali ya mafunzo wanatambuliwa na kukabidhiwa zawadi na Rais Samia Kwa kundi la 07/23, Afisa Mwanafunzi Nelson Kisomba anafanya vizuri zaidi katika fani zote kwa ujumla, Abdul-Halim Mohamed Othman anafanya vizuri zaidi katika taaluma, huku Jaquiline Kassian akifanya vizuri zaidi katika medani Kwa upande wa kundi la 73/25 Regular, Afisa Mwanafunzi Steven Stanley Ubamba anatambuliwa kwa kufanya vizuri zaidi katika fani zote kwa ujumla, Vincent Benedict Mwakalila akifanya vizuri zaidi katika medani, huku Renatha Renatus Masunde akifanya vizuri zaidi katika taaluma Aidha, Afisa Mwanafunzi Wickliffe Otiato Abeta kutoka Jamhuri ya Kenya anatambuliwa kwa kufanya vizuri zaidi miongoni mwa maafisa wanafunzi kutoka nchi rafiki Hafla hiyo inahudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali na Jeshi, akiwemo Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Rhimo Nyansaho; Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Jacob John Mkunda pamoja na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi, Luteni Jenerali Salum Haji Othman huku viongozi wengine ni makamanda, maafisa waandamizi wa JWTZ, wawakilishi wa nchi rafiki na wazazi pamoja na walezi wa maafisa wanafunzi Kukamilika kwa mafunzo hayo na kutunukiwa kamisheni kwa maafisa wapya ni hatua muhimu katika kuwaandaa kutekeleza majukumu yao ndani ya JWTZ Aidha Ujuzi na maarifa waliyopata vinatarajiwa kuwa msingi wa utendaji wao katika kulitumikia taifa kwa nidhamu, uzalendo, uadilifu na uwajibikaji, kwa kuzingatia majukumu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania katika kulinda uhuru na usalama wa nchi.
Sat, 21 Nov 2026 14:48:57 +0000Rupia, Heche walivyopinga kauli za Lissu kuwa wito wa vurugu
Soma hapa..
RecentlyRussia strikes Zelenskyy's hometown, killing 2
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 81 of 1126 · 22510 stories