Search the region
22885 stories
Safaricom Launches Ziidi Shari’ah Money Market Fund on M-PESA
Read the full report from the original source.
RecentlyNameless, Mejja, Breeder LW Lead Star-Studded Safari Sevens Entertainment Line-Up
Latest · Entertainment
RecentlyGeopolitical crisis in the Middle East hurts Tanzania as its fuel prices hit heights
Read the full report from the original source.
RecentlyNCIC censures CS Ruku over divisive remarks, says CSs must exercise restraint
Latest · NATIONAL NEWS
RecentlyTanzania, Uganda move to share experience on local participation in oil and gas projects
DODOMA: TANZANIA and Uganda are set to deepen the exchange of experience on local participation in oil and gas projects,…
RecentlyAGA KHAN YABUNI TEKNOLOJIA YA AI KUBAINI MAGONJWA KUPITIA SAUTI YA KIKOHOZI
Na Mwandishi Wetu CHUO Kikuu cha Aga Khan kimekuja na Kikohozi Classifier, teknolojia inayotumia akili bandia (AI) kuchanganua sauti za kikohozi kwa lengo la kusaidia kubaini magonjwa ya mfumo wa upumuaji, ikiwamo Kifua Kikuu (TB), pumu na magonjwa sugu ya mapafu (COPD). Akizungumza kuhusu ubunifu huo, Msimamizi wa Mradi na Profesa Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Aga Khan, Dkt. Kahabi Isangula, amesema teknolojia hiyo imetengenezwa nchini Tanzania kwa lengo la kuwezesha uchunguzi wa magonjwa hayo kufanyika kwa urahisi, haraka na kwa gharama nafuu. Amesema mfumo huo unalenga kutengeneza kifaa kisichohitaji kuingizwa ndani ya mwili wa mgonjwa na ambacho kinaweza kutumika katika vituo vya afya vya ngazi za chini na maeneo ya jamii, hivyo kuongeza fursa ya wananchi kupata huduma za uchunguzi. Kwa mujibu wa Dkt. Isangula, watafiti wanatarajia kukusanya na kurekodi sauti za kikohozi za watu 30,000 kwa kutumia simu janja na vifaa maalumu vya kurekodia. Taarifa hizo zitatumika kujenga kanzidata kubwa ya sauti za kikohozi ambayo itasaidia katika uundaji wa mfumo wa AI. Amesema mfumo huo utachanganua sifa mbalimbali zinazopatikana katika sauti ya kikohozi na kuzihusianisha na viashiria vinavyoweza kuonyesha uwepo wa TB, pumu au COPD, hatua inayotarajiwa kusaidia wataalamu wa afya katika mchakato wa uchunguzi. Utekelezaji unafanyika kwa ushirikiano na Maabara ya Teknolojia Chipukizi za Afya (Emerging Technologies for Health) ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) pamoja na Chuo Kikuu cha Warwick cha Uingereza, kwa ufadhili wa UK Research and Innovation (UKRI) kupitia Medical Research Council (MRC). Dkt. Isangula amesema mpango huo umepitishwa na Wizara ya Afya pamoja na Programu ya Taifa ya Kudhibiti Kifua Kikuu na Ukoma, huku shughuli za utafiti zikifanyika katika maeneo ya Dar es Salaam, Dodoma, Shinyanga, Iringa na Kilimanjaro. Ameongeza kuwa baada ya kukamilika kwa utafiti na uchambuzi wa taarifa, hatua inayofuata ni kutengeneza programu ya simu janja, Kikohozi App, itakayounganishwa na mfumo wa AI na kufanyiwa majaribio kabla ya kuanza kutumika kwa upana. Kwa upande wake, Mtafiti Msaidizi kutoka Chuo Kikuu cha Aga Khan na Shule ya Uuguzi na Ukunga Kanda ya Afrika Mashariki (SONAM EA), Devotha Kibanga, amesema ukusanyaji wa sauti unahusisha wagonjwa wapya ambao hawajaanza kutumia dawa au walioanza matibabu ndani ya kipindi kisichozidi miezi mitatu. Amesema wakati wa zoezi hilo, mgonjwa huombwa kukohoa huku sauti ikirekodiwa kwa simu janja. Taratibu za usalama huzingatiwa, ikiwa ni pamoja na matumizi ya barakoa na usafishaji wa vifaa kwa sanitaiza baada ya zoezi. Ukusanyaji wa sauti hizo ulianza Machi mwaka huu na unatarajiwa kuendelea hadi Septemba 2027, wakati mradi mzima ukitarajiwa kukamilika mwaka 2028. Katika kipindi hicho, watafiti wataendelea kukusanya na kuchambua taarifa pamoja na kuendeleza mfumo huo kwa ajili ya matumizi yanayokusudiwa.
Wed, 07 Oct 2026 10:28:50 +0000Uganda Clears Dangote Refinery IPO Offer, Restricts Marketing to Wealthy Investors
Read the full report from the original source.
RecentlyCHIMP SPORT: Ntambi’s Journey from Safari Debut to ARC2 Champion
Read the full report from the original source.
RecentlyThe symbolism behind Raila Odinga’s pentagon-shaped mausoleum
Latest · News
RecentlyKadogosa orders contractor of Arusha–Kibaya–Kongwa road to meet contractual requirements
ARUSHA: THE Minister for Works, Masanja Kadogosa has ordered the contractor handling the 70-kilometre Mbauda–Losinyai and Tanganyika Packers–Losinyai sections of…
RecentlyKenya Airways confirms passenger death on Lagos flight
Read the full report from the original source.
RecentlyOppo F35: What to know about the new budget phone
Read the full report from the original source.
RecentlyWinnie: No political showground at Raila’s memorial
She urged leaders and supporters across the political divide to set aside their differences for the occasion
RecentlySnakebites: A bite that can kill or disable
International Snakebite Awareness Day is observed annually on September 19.
RecentlyMixx Tanzania Yatangaza Mabadiliko ya Uongozi, Angelica Pesha Aondoka
-Baada ya Miaka 15 ya Utumishi, Louis-Olivier Favot Mkurugenzi Mtendaji Mpya Mixx Tanzania imetangaza mabadiliko katika uongozi wake wa juu, huku Angelica Pesha akihitimisha safari yake ya zaidi ya miaka 15 katika kampuni hiyo na Louis-Olivier Favot akiteuliwa kuwa Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) mpya. Mabadiliko hayo yanaashiria mwisho wa safari ndefu ya Pesha katika kuijenga na kuiendeleza kampuni, tangu ilipoanza kama Tigo Pesa hadi kuwa kampuni kubwa ya teknolojia ya fedha (fintech) inayotoa huduma mbalimbali za kifedha kidijitali nchini Tanzania. Wakati huo huo, Mixx Tanzania imemteua Favot, kiongozi mwenye uzoefu mkubwa katika huduma za benki, huduma ndogo za fedha, fedha kwa njia ya simu na huduma nyingine za kifedha za kidijitali Miaka 15 ya Angelica Pesha: Kutoka Tigo Pesa hadi Mixx Tanzania Safari ya Pesha ilianza katika siku za mwanzo za Tigo Pesa, wakati huduma za fedha kwa njia ya simu zilipoanza kubadili namna Watanzania wanavyotuma, kupokea na kusimamia fedha zao. Kwa zaidi ya miaka 15, Pesha amekuwa na mchango mkubwa katika safari ya taasisi hiyo, kutoka kuwa huduma ya fedha kwa njia ya simu ndani ya Tigo hadi kuwa kampuni kinara ya teknolojia ya fedha inayotoa huduma mbalimbali za fedha mtandao. Katika kipindi chake cha uongozi, Pesha alishiriki katika kuanzisha na kuendeleza huduma mbalimbali za ubunifu, zikiwemo kuunganisha huduma za fedha kwa njia ya simu kati ya mitandao mbalimbali, uhamishaji wa fedha ndani na nje ya nchi, Applikesheni ya Tigo Pesa, kuunganisha huduma za benki na kampuni za simu, kupokea fedha kutoka nje ya nchi, malipo, akiba na mikopo ya kidijitali. Safari hiyo ilienda sambamba na mabadiliko makubwa katika sekta ya huduma za kifedha nchini, huku teknolojia ya simu za mkononi ikongeza ujumuishwaji wa kifedha kwa mamilioni ya Watanzania. Pesha aliteuliwa kuwa Afisa Mtendaji Mkuu mwaka 2020 na baadaye akaongoza kampuni katika kipindi muhimu cha mabadiliko kutoka Tigo Pesa hadi Mixx Tanzania. Katika kipindi hicho, alisimamia pia uimarishaji wa mifumo ya utawala, teknolojia, taratibu za kazi, miundo ya uongozi na uwezo wa wafanyakazi. Chini ya uongozi wake, Mixx iliendelea kutoa mchango mkubwa katika kukuza na kuendeleza huduma za kifedha za kidijitali nchini, na kutambuliwa kwa mafanikio hayo kupitia tuzo mbalimbali za ubora na ubunifu. Miongoni mwa tuzo hizo ni tuzo tatu ilizopokea katika Tuzo za TEHAMA mwezi Agosti 2026, zikiwemo Tuzo ya Ubunifu katika Huduma za Fedha kwa Njia ya Simu huku Pesha alitunukiwa Tuzo ya Uongozi wa Kike katika TEHAMA. Akizungumzia mabadiliko hayo, Erwan Gelebart, Mkurugenzi Mtendaji wa AXIAN Digibank & Fintech, alimshukuru Pesha kwa uongozi mahiri na mchango wake katika ukuaji wa Mixx kitaasisi, maendeleo endelevu na utekelezaji wa mikakati ya kampuni. “Angelica amekuwa sehemu muhimu ya safari ya Mixx Tanzania. Kwa kiasi kikubwa, yeye pamoja na timu yake wameijenga biashara hii kutoka mwanzo hadi kuwa kampuni kubwa na mshirika anayeaminika katika maisha ya kila siku ya Watanzania,” alisema Gelebart. Aidha alisema kuwa mchango wa Pesha haukuishia katika mafanikio ya kibiashara, bali ulihusisha pia kujenga, kuongoza na kuwawezesha watu na timu alizofanya nazo kazi. Louis-Olivier Favot Awa Afisa Mtendaji Mkuu Mpya Favot anajiunga na Mixx Tanzania akiwa na uzoefu wa miaka 17 katika sekta za benki, huduma ndogo za fedha, huduma za fedha kwa njia ya simu na huduma za kifedha za kidijitali. Kati ya hiyo, miaka 14 amefanya kazi katika nchi za Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara. Uzoefu wake unahusisha kupanua upatikanaji wa huduma za kifedha, kubuni bidhaa, kuendesha biashara, kuboresha uzoefu wa wateja, kusimamia utoaji wa huduma na kutumia teknolojia kuboresha mifumo na huduma. Kabla ya kujiunga na Mixx Tanzania, Favot alikuwa Afisa Mkuu wa Uendeshaji na baadaye Afisa Mtendaji Mkuu wa MVola, kampuni tanzu ya AXIAN inayotoa huduma za kifedha za kidijitali nchini Madagascar. Alijiunga na MVola mwaka 2020 kama Mkurugenzi wa Uendeshaji, akisimamia shughuli za kila siku za kampuni pamoja na maendeleo na utoaji wa huduma za kifedha za kidijitali. Uzoefu huo unamweka Favot katika nafasi nzuri ya kuongoza awamu inayofuata ya ukuaji wa Mixx Tanzania, huku akisaidia kupanua zaidi upatikanaji wa huduma za kifedha kwa Watanzania. Uteuzi wake unafanyika wakati Mixx ikiendelea kuimarisha nafasi yake katika sekta ya huduma za kifedha za kidijitali, ikitoa huduma za malipo na suluhisho mbalimbali za kifedha kwa watu binafsi, wafanyabiashara na kampuni. Akizungumza kuhusu uteuzi huo, Gelebart alimkaribisha Favot Mixx Tanzania na kumtakia mafanikio katika nafasi yake hiyo mpya. “Louis-Olivier, karibu sana Mixx Tanzania! Nakutakia kila laheri na mafanikio katika nafasi yako mpya.” Mabadiliko haya ya uongozi yanafanyika wakati Mixx Tanzania ikiendelea kutekeleza azma yake ya kutoa huduma za kifedha zinazopatikana kwa urahisi, bunifu na zinazotumia teknolojia ya kidijitali kurahisisha upatikanaji hudum kwa gharama nafuu. Louis-Olivier Favot - Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Mixx Tanzania
Wed, 07 Oct 2026 03:00:00 +0000Ruto unveils Raila Odinga mausoleum at Kang’o Ka Jaramogi
Read the full report from the original source.
RecentlyRuto: Raila is the father and guardian of our democracy
"In Raila Amolo Odinga, Kenya lost a leader extraordinaire, a man of uncommon courage"
RecentlyKongamano la kilimomisitu la Vi Agroforestry kuwashirikisha watu 8,000 Musoma
Read the full report from the original source.
RecentlyRoad construction dips by 62 percent in four years
Read the full report from the original source.
RecentlyKenya Takes Moscow: KikoRomeo Debuts ‘Ewala’ Collection On The Runway At Moscow Fashion Week
Events · 4 hours ago
RecentlyPage 820 of 1145 · 22885 stories