Search the region
22878 stories
Shalulile: Staa wa Yanga anayeishi kwa nidhamu ya Kante, Ronaldo
Read the full report from the original source.
RecentlyClimate Change needs Action, Not Speeches, Tayebwa Tells MPs
Read the full report from the original source.
RecentlyKindiki: Thika-Nairobi Expressway reaches final design stage
Latest · News
RecentlyEbola fears? Call these government hotlines
Kenyans can call or text 719 or 0700719719 to report suspected infections and seek guidance from healthcare workers.
RecentlyGermany news: Government presents plan for railroad revamp
Read the full report from the original source.
RecentlyMZOZO MASHARIKI YA KATI WAPAISHA BEI YA MAFUTA BAADA YA KUSHUKA MIEZI MITATU
Na Mwandishi Wetu BAADA ya bei za mafuta kushuka kwa miezi mitatu mfululizo, bei za petroli, dizeli na mafuta ya taa nchini imeongezeka kuanzia leo, Jumatano, Oktoba 7, 2026, kutokana na kupanda kwa bei ya bidhaa hizo katika soko la dunia. Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli zitakazotumika nchini kuanzia saa 6:01 usiku wa leo. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, ongezeko hilo limetokana na mabadiliko ya bei katika soko la dunia, ikiwamo kuibuka upya kwa mgogoro wa kisiasa katika eneo la Mashariki ya Kati, ambako Tanzania hununua sehemu kubwa ya bidhaa zake za mafuta. Mzozo huo umeathiri uzalishaji, upatikanaji na usafirishaji wa mafuta duniani, hali iliyosababisha kupanda kwa bei ya bidhaa za mafuta yaliyosafishwa katika soko la kimataifa. Kutokana na mwenendo huo, bei za petroli, dizeli na mafuta ya taa nchini kwa mwezi Oktoba 2026 zimeongezeka ikilinganishwa na mwezi uliopita. Serikali imesema inaendelea kuweka mkazo katika kuhakikisha bidhaa za mafuta zinaendelea kupatikana nchini kwa uhakika, licha ya mabadiliko ya bei katika soko la dunia. Aidha, Serikali imeeleza kuwa inaendelea kufuatilia kwa karibu mwenendo wa soko la mafuta duniani na kuchukua hatua mbalimbali kuhakikisha upatikanaji endelevu wa bidhaa hizo pamoja na bei himilivu kwa wananchi. Kwa mujibu wa bei mpya za EWURA, jijini Dar es Salaam, bei kikomo ya rejareja kwa lita moja ya petroli ni Sh4,057, dizeli Sh4,086 na mafuta ya taa Sh4,067. Mkoani Tanga, bei kikomo ya rejareja kwa lita moja ya petroli ni Sh4,123, dizeli Sh4,152 na mafuta ya taa Sh4,133. Mtwara, bei kikomo ya rejareja kwa lita moja ya petroli ni Sh4,170, dizeli Sh4,199 na mafuta ya taa Sh4,180. EWURA imewakumbusha wananchi kuhakikisha wanachukua risiti kila wanaponunua mafuta ili kuwa na uthibitisho wa manunuzi yao.
Wed, 07 Oct 2026 06:16:35 +0000WAZIRI SANGU-MKUTANO WA PILI WA DOHA DIALOGUE WAJA NA FURSA ZAIDI ZA AJIRA
Waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu-kazi, ajira na mahusiano, mhe. Deus sangu (kulia) akiteta jambo na waziri wa kazi nchini Qatar, Mhe. Dkt. Ali Bin Samikh Ali Mari, mwishoni mwa Mkutano wa Pili wa ‘Doha Dialogue’ kuhusu Uhamaji wa Wafanyakazi, uliofanyika Oktoba 6, 2026, jijini Dar es Salaam. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Husserin Ali Mwinyi (Wapili kushorto), akipokea zawadi kutoka kwa Waziri wa Kazi wa nchini Qatar, Mhe. Dkt. Ali Bin Samikh Ali Mariri, huku Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Ajira na Mahusiano Mhe. Deus Sangu, akishuhudia wakati w aufunguzi wa mkutano wa pili wa majadiliano ya Doha (Doha Dialogue) Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), Bw. Fortunatus Magambo (Wakwanza Kulia) akiwa na viongozi wenzake, katika ufunguzi wa Mkutano wa Pili wa ‘Doha Dialoguie’ Jijini Dar Es Salaaam, Oktoba 6, 2026 ✅ Abainisha Makubaliano ya Mkutano huo katika kuimarisha Uhamaji wa Nguvu Kazi Na: OWM (KAM), Dar es Salaam WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Sangu, amesema Mkutano wa Pili wa Doha Dialogue II 2026 umefungua fursa zaidi za ajira kwa Watanzania na wananchi wa nchi nyingine za Afrika, kupitia kuimarishwa ushirikiano wa uhamaji wa nguvu kazi kati ya Afrika na nchi za Ghuba (GCC+). Mhe. Sangu amesema hayo akizungumza na Waandishi wa Habari mwishoni mwa mkutano huo uliofanyika leo Oktoba 6, 2026 Jijini Dar es Salaam. Amesema, kama taifa tumepata fursa ya nchi za GCC+ kuja nchini ili kujadili na kutafakari uhamaji wa nguvu kazi kutoka Barani Afrika kwenda katika nchi za Ghuba (GCC+). “ Kupitia mkutano huu tumejadili na nchi mbalimbali za Ghuba kuona namna gani wanaweza kuongeza fursa za ajira ikiwemo za kitaalamu (Skilled labour) zinazohusisha madaktari, manesi, wafamasia, mafundi na mainjinia,” Aidha, Mhe. Sangu amesema vijana wa Kitanzania waliopelekwa kwenye nchi hizo kufanya kazi wameonyesha uhodari katika kuchapa kazi na uaminifu. Kadhalika, amesema katika mkutano huo nchi za Ghuba zimeihakikishia mkutano huo uliowaleta pamoja wajumbe kutoka mataifa mbalimbali barani Afrika uzingatiaji wa mikataba waliyoingia (Bilateral Agreements) ambayo inazingatia haki na maslahi ya wafanyakazi hasa katika suala la hifadhi ya jamii. “ Tumekubaliana kimsingi sasa, suala la hifandhi ya jamii ni kipaumbele katika mikataba yote tutakayoingia na nchi hizo, tumejadili kuhusu bima ya afya kwa wanaokwenda kufanya kazi na malipo ya mishahara,” amesema
Wed, 07 Oct 2026 06:13:16 +0000TAL reopens applications for inaugural 2027 cohort
Cape Town, South Africa — The Transformative African Leadership (TAL) programme has reopened applications for its inaugural 2027 cohort, following strong interest from professionals across Africa. Applications were recei
RecentlyCS Wandayi tells Lamu refinery critics to direct questions to him, not Ruto
NATIONAL NEWS · 4 hours ago
RecentlyAmoth: Avoid gatherings, hugging to combat Ebola
Amoth has urged Kenyans to adopt alternative ways of greeting such as waving
Recently👨🏿🚀TechCabal Daily – Banks want their crypto cake
Read the full report from the original source.
RecentlyWhat prediction markets must fix to remove the “gambling” label
Read the full report from the original source.
RecentlyMastaa hawa wameishika dabi, makocha wazungumza
Soma zaidi hapa
RecentlyCourt orders return of school playground land to three learning institutions
Business · Quick read
RecentlySouth Sudan rejects claims of foreigners’ expulsion order
Latest · News
RecentlyMama Kamm alivyowafinyanga ‘watundu’wa Weruweru
Kwa waliopata kusoma katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Weruweru, iliyokuwa ikijulikana awali kama Assumpta College, iliyopo wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, jina la Mama Kamm ni miongoni...
RecentlyNIKWAMBIE MAMA: Tuache kupimana kwa vyeti
Read the full report from the original source.
RecentlySpain rally to beat Croatia, Kane shines for England in Nations League
Read the full report from the original source.
RecentlyVance says Iran must cut enrichment to end war
Read the full report from the original source.
RecentlyPedro awatuma kazi mastaa Yanga Dabi ya Kariakoo
Soma zaidi hapa
RecentlyPage 828 of 1144 · 22878 stories