Search the region
22511 stories
Ruto fires back at opposition over IEBC criticism
The President defended constitutional institutions against what he termed attempts by politicians to interfere with their operations.
RecentlyGovernment begins construction of sports academy in Busia
Read the full report from the original source.
RecentlyMradi wa dhahabu Nyanzaga kuanza kazi Januari 2027
Read the full report from the original source.
RecentlyTanzania yalenga kuvytia wawekezaji viwanda vya madini
Read the full report from the original source.
RecentlySerikali yaweka mikakati kuongeza thamani ya madini
Read the full report from the original source.
RecentlyNafasi ni Yako Leo Kupiga Mkwanja Mrefu
JE unajua kuwa mkwanja mrefu unakusubiri wewe pekee siku ya leo?. Mechi zipo nyingi sana na machaguo unayoyataka pia yapo. Suka jamvi lako la ushindi na uibuke bingwa sasa. Ligi pendwa Duniani, EPL itaendelea ambapo mapema kabisa vijana wa Enzo Maresca Manchester City watakuwa Etihad kumenyana vikali dhidi ya Fulham ambao ni moja ya timu ngumu kweli kukabiliana nayo. City hii ni mechi ambayo wanahitaji kushinda na wanaitazama kwa jicho tofauti sana kwani wametoka kupoteza mechi 3 mfululizo kwenye ligi na kushuka hadi nafasi ya 3 huku wageni wao wakiwa nafasi ya 15 kwenye msimamo wa ligi wakiwa na pointi zao 10. Hii ni mechi ambayo Maresca na vijana wake inabidi waamke kwani mbio za ubingwa zinazidi kuwa ngumu, na Meridianbet wao wanampa nafasi kubwa ya kushinda City pale nyumbani kwake. Je wewe unampa nani?. Beti hapa. Pesa ipo kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi. Nao mabingwa watetezi wa ligi Arsenal watakuwa ugenini kusaka poinrti 3 muhimu dhidi ya Newcastle United ambao msimu huu haujawa mzuri sana kwao kwani mpaka sasa wamekusanya pointi 12 kwenye mechi 10 ambazo wamecheza. Mara ya mwisho kukutana The Gunners waliondoka na ushindi hivyo hii ni mechi ya wenyeji kulipa kisasi. Lakini je wataweza kuambulia hizo pointi 3 mbele ya vijana wa Arteta ambao wanasifika kuwa na safu bora ya ulinzi?. Tengeneza jamvi hapa. LALIGA pale tutaangazia mechi ya Real Madrid dhidi ya Celta Vigo ambapo vijana wa Mourinho wanatazamia kupata ushindi kwenye mechi hii ili waendelee kushikilia nafasi ya 2 ambayo wapo, huku wageni wao wanataka ushindi wavuke nafasi waliyopo. Vijana wa Mourinho wameendelea kuwa na tawkimu nzuri za kushinda na sasa hii ni mechi nyingine wanayotaka kupata matokeo ili kujiweka sawa kwenye mbio za ubingwa, huku mechi hii ikipewa machaguo zaidi ya 1000 pale Meridianbet. Je unangoja nini kutandika jamvi lako la ushindi?. Lakini pia unaweza ukapiga pesa nzuri kwenye mechi za ligii kuu ya ITALIA, yaani SERIE A ambapo vinara wa ligi Lazio watakuwa nyumbani kupepetana dhidi ya US Lecce hii ni moja ya mechi ambayo vijana wa Gattuso wanahitaji kupata ushindi kuendelea kujikita kileleni. Ikumbukwe kuwa Lazio msimu huu hawapo kwenye mashindano yoyote ya Ulaya hivyo nguzu zao zote wanaziwekeza kwenye ligi na mpaka sasa haijapoteza mechi yoyote kwenye ligi. Mgeni wake yupo nafasi ya 14 akiwa amepoteza mechi 7 hadi sasa kwenye ligi. ODDS KUBWA zipo kwenye mechi hii. Je wenyeji wataendelea kujikita kileleni kwa kupata ushindi na mechi hii?. Jisajili sasa. Kule LIGUE 1 Ufaransa mechi kibao zipo na sisi tutawatazama mabingwa watetezi wa ligi, PSG ambao watakuwa ugenini dhidi ya OGC Nice ambao wao wapo nafasi ya 6 kwenye msimamo wa ligi baada ya kukusanya pointi zao 17. Msimu uliopita vijana wa Enrique walishinda mechi zote mbili za ligi walizokutana, huku licha ya timu hiyo kuwa na majeraha za baadhi wa wachezaji muhimu bado inaendelea kuonesha ukubwa wake kwa kushinda mechi kubwa. Beti yako unampa nani leo?. Tandika jamvi hapa.
Sat, 21 Nov 2026 11:00:00 +0000Furaha Imewasili! Jolly Jolly Bonanza Ndani ya Meridianbet
BURUDANI ya kasino mtandaoni ndani ya Meridianbet inazidi kupamba moto kufuatia kuwasili kwa mchezo mpya wa Jolly Jolly Bonanza kutoka Expanse, unaoleta ladha mpya ya burudani kwa wapenzi wa michezo ya kasino. Mchezo huu unakuja na mazingira ya kuvutia yaliyojaa furaha, msisimko na matukio yanayoufanya kila mzunguko kuwa sehemu ya burudani na ushindi. Kupitia Jolly Jolly Bonanza , wachezaji wanapata nafasi ya kuingia katika ulimwengu wa burudani unaochanganya mvuto wa mchezo na msisimko wa kila unapocheza. Ni mchezo uliotengenezwa kwa lengo la kuongeza ladha ya kipekee katika safari yako ya kufurahia michezo mbalimbali inayopatikana ndani ya kasino ya Meridianbet. Kinachoufanya mchezo huu kuwa wa kuvutia zaidi ni jina lake lenyewe, Jolly Jolly, linaloashiria furaha na burudani. Kila unapofungua mchezo na kuanza kuzungusha, unajiandaa kufurahia mazingira yake ya kipekee huku ukigundua kile ambacho mchezo huu mpya umekuandalia. Expanse, kupitia ubunifu wake katika sekta ya michezo ya kasino, imeendelea kuleta chaguo mbalimbali za burudani kwa wachezaji. Safari hii, Jolly Jolly Bonanza inaongeza chaguo jipya ndani ya Meridianbet, ikiwapa wapenzi wa michezo ya kasino sababu nyingine ya kuchunguza burudani inayopatikana kwenye jukwaa hilo. Sasa ni wakati wa kuipa nafasi burudani mpya! Tembelea Meridianbet, fungua sehemu ya kasino na ugundue Jolly Jolly Bonanza. Ingia kwenye mchezo, jifunze namna unavyochezwa na ufurahie kila hatua ya safari hii mpya ya burudani. Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi. Usibaki nyuma wakati furaha imeanza rasmi! Jolly Jolly Bonanza imewasili na kukuletea msisimko mpya unaosubiri kugunduliwa. Chagua burudani yako, zungusha na ufurahie ladha ya mchezo huu mpya kutoka Expanse. Jolly Jolly Bonanza ipo ndani ya Meridianbet! Jiunge leo kwenye burudani, zungusha na ufurahie ushindi wa Jolly Jolly.
Sat, 21 Nov 2026 11:00:00 +0000CK4444 Bangladesh security guide: licensing, player protection & responsible gambling
Read the full report from the original source.
RecentlyCv666 App Guide – Bonuses, Payments, Mobile & Security for Bangladesh
Read the full report from the original source.
Recentlymanager_a4a7a7dc12560d24
Read the full report from the original source.
RecentlyDKT. MWIGULU: HUKUMU ZA MAHAKAMA LAZIMA ZIHESHIMIWE
▪️ Aeleza hatua tatu za kuharakisha miradi ya barabara nchini WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesisitiza kuwa hukumu za mahakama lazima ziheshimiwe na kutekelezwa kwa mujibu wa sheria, akisema mtu asiyeridhika na uamuzi wa mahakama anapaswa kutumia taratibu za kisheria kuupinga badala ya kuzuia utekelezaji wake. Ameyasema hayo leo, Jumamosi, Novemba 21, 2026, wakati akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Mtongani, Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha, mkoani Pwani. Kauli hiyo imefuatia malalamiko ya Omari Rajabu Mganga, mkazi wa Kata ya Janga, aliyedai kushinda kesi ya ardhi katika Mahakama Kuu lakini bado anakabiliwa na mgogoro baada ya eneo hilo kudaiwa kuuzwa kwa mtu mwingine. “Maelekezo ya mahakama hayawezi kupindishwa pindishwa kwa njia isiyo ya kisheria,” amesema Dkt. Mwigulu. Ameelekeza afisa wa sheria na Jeshi la Polisi kuhakiki nyaraka za kesi hiyo na, iwapo hukumu itathibitisha madai ya mlalamikaji, kushirikiana na Mkuu wa Wilaya kuhakikisha anakabidhiwa eneo hilo kwa mujibu wa sheria. Katika hatua nyingine, Waziri Mkuu amesema Serikali imeweka vipaumbele vitatu vya kuharakisha utekelezaji wa miradi ya barabara nchini, ambavyo ni kurejesha kasi ya miradi iliyokwama kutokana na changamoto za malipo, kutoa fedha za awali kwa wakandarasi wenye mikataba na kukamilisha taratibu za miradi ambayo wakandarasi wamepatikana lakini mikataba haijasainiwa. Amesema zaidi ya Sh. bilioni 330 zimepelekwa kwenye mifuko ya barabara katika kipindi cha takribani mwezi mmoja, kufuatia utaratibu wa kuelekeza fedha moja kwa moja kwenye mifuko hiyo ili kuharakisha utekelezaji wa miradi. Aidha, ameelekeza mkandarasi wa barabara ya Mlandizi–Stesheni ya SGR (Ruvu), yenye urefu wa kilometa 23, kulipwa fedha za awali ili kuharakisha kuanza kwa ujenzi, huku akizitaka mamlaka husika kukamilisha masuala ya uthamini na fidia ili kuondoa vikwazo vya utekelezaji wa mradi huo.
Sat, 21 Nov 2026 13:17:41 +0000How Kyambogo University Fresher Won UGX 250 Million from Fixed Games
Read the full report from the original source.
RecentlyChristmas Joy, Excitement as Two Masaka Women Win First Toyota Probox, TukTuk in MTN Kamata X-mas Promotion
Read the full report from the original source.
RecentlyMUHAS YATUMIA MATEMBEZI YA AFYA KUHAMASISHA MAPAMBANO DHIDI YA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA
Na Karama Kenyunko, Michuzi TV ONGEZEKO la magonjwa yasiyoambukiza limeendelea kuhitaji juhudi za pamoja katika kuhamasisha jamii kufanya mazoezi mara kwa mara, kuzingatia lishe bora na kufuatilia hali zao za kiafya ili kujikinga na magonjwa hayo. Katika kuunga mkono juhudi hizo, Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kimekusanya washiriki zaidi ya 700 katika matembezi na mbio za hisani za msimu wa tano zilizofanyika katika kampasi ya chuo hicho jijini Dar es Salaam. Akizungumza katika shughuli hiyo, Mganga Mkuu wa Serikali, Dkt. Bruno Sunguye, amepongeza uongozi wa MUHAS kwa kuandaa matembezi hayo akisema yamewakutanisha wahitimu wa miaka mbalimbali, wanafunzi, wafanyakazi na wadau wa afya kutoka maeneo mbalimbali nchini na nje ya nchi. Amesema shughuli hiyo inaunga mkono juhudi za Serikali kupitia Wizara ya Afya za kuhamasisha wananchi kufanya mazoezi, kuzingatia milo bora na kufahamu hali zao za kiafya ili kupunguza hatari ya magonjwa yasiyoambukiza. “Tunawapa hamasa iwe mfano kwa vyuo vingine kuweza kuwa na matukio kama haya ili kwa pamoja tuweze kutengeneza jamii ambayo inakuwa na afya njema na katika harakati za kupambana na magonjwa yasiyoambukiza,” amesema. Kwa upande wake, Makamu Mkuu wa MUHAS, Profesa Appolinary Kamuhabwa, amesema chuo hicho kitaendelea kutumia matembezi hayo kuhamasisha jamii kujali afya kwa kuwa magonjwa yasiyoambukiza yanaendelea kuongezeka. Amesema mwitikio wa washiriki umeendelea kuimarika, ambapo katika msimu huu wamefikia zaidi ya 700, wakiwemo washiriki kutoka Marekani, Ujerumani na Sweden. Amesema MUHAS pia inaendelea kuboresha miundombinu ya mazoezi katika kampasi yake ya Muhimbili, ikiwemo ujenzi wa uwanja wa kisasa wa michezo, ukumbi wa mazoezi (gym) pamoja na vyumba vya kuogea na kubadilishia nguo ili kurahisisha ushiriki wa watu katika mazoezi. Profesa Kamuhabwa amewahimiza wananchi kutumia huduma za uchunguzi wa afya zinazotolewa na taasisi za afya za chuo hicho ili kufahamu hali zao na kupata huduma wanapobainika kuwa na changamoto za kiafya. Naye Rais wa Convocation ya MUHAS, Marsha Macatta-Yambi, amesema matembezi hayo yana nafasi ya kuwaunganisha wahitimu, wanafunzi na wafanyakazi wa chuo hicho, huku yakiimarisha uhusiano wao na chuo hata baada ya kuhitimu. Amesema msimu wa tano umeonesha maboresho katika ushiriki na udhamini, huku washiriki wakifikia takribani 700 na vifaa vya ushiriki vikiuzwa vyote. Ameongeza kuwa mapato yanayopatikana kupitia shughuli hiyo huelekezwa katika kusaidia maendeleo ya chuo, ikiwemo kuimarisha mazingira ya wanafunzi na utekelezaji wa mipango mbalimbali kupitia Mfuko wa Uwekezaji wa Ali Hassan Mwinyi wa MUHAS (Ali Hassan Mwinyi MUHAS Endowment Trust Fund). Amesema matembezi hayo pia yamekuwa fursa ya wahitimu na wanafunzi kukutana, kukumbushana walikotoka na kuendelea kuchangia maendeleo ya chuo hicho. MUHAS imekuwa ikiandaa matembezi na mbio hizo za hisani kwa misimu mitano mfululizo, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuhamasisha jamii kufanya mazoezi na kujenga utamaduni wa kujali afya.
Sat, 21 Nov 2026 13:12:28 +0000MWIGULU AAGIZA SOKO LA MLANDIZI KUKAMILIKA DISEMBA 2026,AWATOA HOFU WAKANDARASI
Na Mwamvua Mwinyi, Kibaha Vijijini WAZIRI Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa soko la kisasa la Mlandizi, wilayani Kibaha Vijijini, mkoani Pwani, lenye thamani ya Sh bilioni 7.7, huku akimuagiza mkandarasi kukamilisha mradi huo ifikapo Desemba mwaka huu. Aidha, amewahakikishia wakandarasi nchini kuwa kuanzia sasa hakutakuwa na kisingizio cha kuchelewesha miradi kutokana na kutolipwa fedha, akisisitiza Serikali imeweka kipaumbele katika ulipaji wa madeni ya wakandarasi ili kuhakikisha miradi inakamilika kwa wakati. Akizungumza Novemba 21, 2026, wakati wa ziara ya kikazi wilayani Kibaha Vijijini na mkutano wa hadhara wa kusikiliza kero za wananchi, Mwigulu aliiagiza Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha kuhakikisha gharama za vizimba katika soko hilo hazipandishwi kupita kiasi ili kuepusha kuwakimbiza wafanyabiashara kwa gharama kubwa za upangishaji. Akizungumzia changamoto ya kusuasua kwa ujenzi wa barabara ya Makofia-Mlandizi-Mzenga, Waziri Mkuu aliagiza mkandarasi alipwe fedha zinazostahili ili kuendelea na kazi, akieleza kuwa fedha za miradi ya maendeleo, hususan barabara zinazotekelezwa na TARURA na TANROADS, zimeanza kupewa kipaumbele katika utaratibu wa malipo. “Kuanzia tulipoanza mwaka wa fedha Julai 2026, fedha za miradi ya maendeleo, hasa ya barabara za TARURA na TANROADS, zinakwenda kwenye mifuko ya barabara, hakutakuwa na kusuasua kwa mradi ulioanza utekelezaji, kipaumbele ni kuanza kulipa wakandarasi waliopo site, walioondoa mitambo na wale wanaostahili malipo ya awali,” alisema. Kuhusu fidia, Mwigulu alisisitiza umuhimu wa wananchi wanaopisha miradi kulipwa kwa wakati ili kupunguza migogoro inayoweza kukwamisha utekelezaji wa miradi, akifafanua kuwa Serikali inatambua umuhimu wa miundombinu, ikiwemo barabara, katika maendeleo ya wananchi. Alieleza kuwa ucheleweshaji wa baadhi ya miradi ya barabara haukutokana na uzembe, bali ulitokana na Serikali kuelekeza nguvu na rasilimali katika kukamilisha mradi mkubwa wa kimkakati wa Bwawa la Mwalimu Nyerere, Rufiji, uliokamilika kwa gharama ya Sh trilioni 6. Mhandisi wa Mkoa, Charles Kabeho, alisema ujenzi wa soko la Mlandizi umefikia asilimia 93, ukiwa na vizimba 770 na majengo manne, huku mradi huo ukitarajiwa kunufaisha wananchi 800. Alieleza kuwa hadi sasa Sh bilioni 5.132 zimetolewa kwa mradi huo, ambapo mkandarasi amelipwa Sh bilioni 4.543 na majengo yote yako katika hatua za umaliziaji. Naibu Waziri wa TAMISEMI (Afya), Jafar Seif, alisema mkandarasi ameongezewa muda wa utekelezaji kulingana na makubaliano, hadi Desemba 25 mwaka huu. Kwa upande wake, Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya, alisema barabara inayounganisha Mlandizi-Makofia hadi Maneromango yenye urefu wa kilomita 100 imegawanywa katika vipande vitatu vya utekelezaji, ambavyo ni Makofia-Mlandizi, Mlandizi-Ruvu na Ruvu-SGR-Maneromango. Alisema kipande cha Makofia kuunganisha barabara kuu, usanifu umekamilika na hatua ya ulipaji fidia imefikia Sh bilioni 8.959, huku Hazina ikiendelea na maandalizi ya malipo. Kasekenya alieleza kuwa kipande cha Mlandizi-SGR-Ruvu chenye urefu wa kilomita 23 kinatarajiwa kugharimu Sh bilioni 60.250, ambapo mkandarasi ameanza maandalizi na Serikali inaandaa malipo ya awali, huku kipande cha Ruvu-Maneromango usanifu wake ukiwa umekamilika na wananchi wakidai fidia ya Sh bilioni 13. Awali, Mbunge wa Kibaha Vijijini, Hamoud Jumaa, aliishukuru Serikali kwa juhudi za kuinua sekta mbalimbali na kutenga fedha kwa ajili ya kukamilisha miradi ya maendeleo jimboni humo, huku akitaja changamoto zinazowakabili wananchi kuwa ni ujenzi wa barabara ya Makofia-Mlandizi-Mzenga kwa kiwango cha lami, ulipaji fidia na mkandarasi kukamilishiwa malipo. Aliomba Ofisi ya Waziri Mkuu kuangalia ombi la Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha kupandishwa hadhi na kuwa Mamlaka ya Mji.
Sat, 21 Nov 2026 13:13:43 +0000Samia commissions new military academy graduates
Read the full report from the original source.
RecentlyL’éducation des aveugles au Burundi : un combat de vie pour Zingiza
L’éducation des enfants aveugles ne se limite pas à leur ouvrir les portes de l’école. Elle suppose aussi des outils adaptés, des enseignants formés et des supports pédagogiques accessibles. Au Burundi, Jean-Marie-Vianney Zingiza, ancien enseignant devenu pionnier du braille abrégé, […] L’article L’éducation des aveugles au Burundi : un combat de vie pour Zingiza est apparu en premier sur Yaga Burundi .
Sat, 21 Nov 2026 13:08:01 +0000Uganda Commissions Fourth Ebola Treatment Centre in DR Congo
Read the full report from the original source.
RecentlyWATCH LIVE: The Mwananchi Party Nairobi tour
Read the full report from the original source.
RecentlyGov’t warns medical practitioners against negligence during circumcision season
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 83 of 1126 · 22511 stories