Search the region
22863 stories
President Ruto orders enhanced response after Ebola case
Government says a total of 4,971 healthcare workers have been trained at national and subnational levels in Ebola prevention, detection and management.
RecentlyKenyans need at least Sh107, 000 for Dangote IPO shares
Read the full report from the original source.
RecentlyKenya Ebola case exposes screening lapses
Read the full report from the original source.
RecentlyMSHIKEMSHIKE - AZAM TV 06/10/2026
Azam TV
2026-10-06T19:33:10+00:00Ministry of Health: Uganda Remains Ebola-Free Despite Outbreak Report in Kenya
Read the full report from the original source.
RecentlyODM: Oburu is Well, Safe, and in Good Spirits
Read the full report from the original source.
RecentlyDjibouti faces ‘overlapping emergencies’ as Yemen’s refugee exodus continues
Read the full report from the original source.
RecentlyMakerere’s AirQo named Earthshot Prize finalist
Ugandan air quality monitoring initiative AirQo has been named among the 15 finalists for the 2026 Earthshot Prize, recognising its work to tackle air pollution…
RecentlyMV Liemba yarudi kazini baada ya miaka mitatu
Meli kongwe ya MV Liemba, iliyokuwa imesimama kutoa huduma kwa zaidi ya miaka mitatu, imerejea leo Jumanne, Oktoba 6, 2026, kutoa huduma za usafirishaji baada ya kufanyiwa maboresho makubwa.
RecentlyShare of women CEOs in Saccos increases to 37pc
Read the full report from the original source.
RecentlyBenki ya NMB Yapiga Hodi London.
Kama Muandaaji wa Kimkakati wa Jukwaa la Uwekezaji Tanzania 2026 (Tanzania Investment Forum 2026), Benki ya NMB itakua Uingereza kuungana na wawekezaji wa kimataifa, watunga sera na viongozi wakuu wa biashara kujadili fursa za uwekezaji nchini Tanzania. Benki ya NMB itawakilishwa na Mwenyekiti wa Bodi, David Nchimbi; Mkurugenzi Mtendaji na Afisa Mtendaji Mkuu, Ruth Zaipuna, Mkurugenzi wa Bodi na Afisa Mkuu wa Fedha, Juma Kimori pamoja na Mkurugenzi wa Uhusiano wa Uwekezaji, Uendelevu na Mawasiliano, Innocent Yonazi. Katika jukwaa hili, Benki ya NMB ikishirikiana kwa Karibu na Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza itatoa mawasilisho yanayolenga kuhamasisha mtaji, kufungua fursa za uwekezaji na kujenga ubia wenye matokeo chanya huku wakielezea nafasi ya sekta ya fedha katika kuharakisha ukuaji endelevu wa Tanzania. Kwa wawekezaji wa kimataifa, Tanzania iko tayari kwa Mitaji kupitia Uwekezaji, ubia na biashara. Wakiwa London, watajadili fursa zitakazo ongoza safari ya uwekezaji Tanzania. Tanzania ipo tayari kwa uwekezaji lakini Benki ya Nmb ipo tayari kushirikiana kibiashara na wawekezaji wanaotaka kuwekeza Tanzania.
Tue, 06 Oct 2026 13:00:00 +0000Patient waited 18 hours in casualty area for treatment
These are the stories making headlines in the Star newspaper
RecentlyWorld Bank buys Quickmart stake after Naivas exit
Read the full report from the original source.
RecentlyHow Oscar Ntambi recovered from a home setback to win the ARC2 title
Ugandan rally driver Oscar Ntambi has been crowned Africa Rally Championship 2 (ARC2) champion, after a season that began with victory on his World Rally Championship debut in Kenya and included...
RecentlyHow Oscar Ntambi recovered from a home setback to win the ARC2 title
Ugandan rally driver Oscar Ntambi has been crowned Africa Rally Championship 2 (ARC2) champion, after a season that began with victory on his World Rally Championship debut in Kenya and included...
RecentlyNSSF TANGA YASISITIZA HUDUMA BORA KWA VITENDO
Na Oscar Assenga, TANGA MFUKO wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umesisitiza umuhimu wa utoaji wa huduma bora kwa wateja kwa vitendo, ukieleza kuwa huduma hiyo ni msingi muhimu katika kuwafanya wanachama kuendelea kuwa na imani na mfuko huo. Hayo yameelezwa na Kaimu Meneja wa NSSF Mkoa wa Tanga Amina Mbuguni wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja, ambayo huadhimishwa kila mwaka kwa lengo la kutambua na kuthamini mchango wa wateja katika kuendelea kwa taasisi kutoa huduma zake. Alisema wiki hiyo ni fursa muhimu kwa NSSF kutafakari namna inavyowahudumia wateja, kusikiliza mahitaji yao na kuendelea kuboresha huduma zinazotolewa. “Kaulimbiu ya mwaka huu ya Huduma Bora kwa Vitendo inatukumbusha kwamba ubora wa huduma hauishii kwenye maneno, bali unapaswa kuonekana kwa vitendo katika kila hatua ambayo tunamhudumia mteja,” alisema. Kwa mujibu wa Kaimu meneja huyo, NSSF imeendelea kupiga hatua katika maeneo mbalimbali ikiwamo uandikishaji wa wanachama, ukusanyaji wa michango, uwekezaji na ulipaji wa mafao. Alisema hadi Juni 30, 2026, thamani ya Mfuko imefikia Sh trilioni 11.4, ikilinganishwa na Sh trilioni 9.84 katika mwaka wa fedha ulioishia Juni 2025. Aidha, alisema idadi ya wanachama imeongezeka kutoka milioni 1.6 hadi milioni 2.1 kufikia Juni 30, 2026, sawa na ongezeko la asilimia 33. Alifafanua kuwa kati ya wanachama milioni 2.1, wanachama milioni 1.5 wanatoka katika sekta rasmi, huku 592,791 wakiwa waliojiajiri waliojiunga kupitia Skimu ya Hifadhi. “Maendeleo haya yanaonyesha juhudi za kuimarisha Mfuko na kupanua wigo wa hifadhi ya jamii, ikiwamo kuwafikia wananchi waliojiajiri kupitia skimu mbalimbali,” alisema. Katika eneo la utoaji huduma, alisema NSSF imeendelea kuimarisha matumizi ya mifumo ya TEHAMA ili kurahisisha upatikanaji wa huduma na kuwawezesha wateja kupata huduma kwa urahisi zaidi. Alisema kupitia NSSF Portal, waajiri, wanachama na wastaafu wanaweza kupata huduma mbalimbali kwa njia ya mtandao, zikiwamo kufuatilia taarifa za michango, kujisajili, kufungua na kufuatilia madai ya mafao pamoja na kufanya uhakiki wa wastaafu kidijitali bila kulazimika kufika katika ofisi za NSSF. Alisema maboresho hayo yameendelea kuongeza ufanisi katika utoaji wa huduma na ulipaji wa mafao, ambapo wastani wa muda wa kulipa mafao umepungua kutoka siku 63 katika mwaka wa fedha 2021/22 hadi siku 19 katika mwaka wa fedha 2025/26. Kutokana na maboresho hayo, meneja huyo amewasihi wanachama kutumia huduma za kidijitali za Mfuko, hususan katika kufungua na kufuatilia madai ya mafao kwa njia ya mtandao. Alisema matumizi ya huduma hizo yatawasaidia wanachama kurahisisha upatikanaji wa huduma, kuokoa muda na kupunguza ulazima wa kufika katika ofisi za Mfuko. Aidha, alisema NSSF inaendelea kuwafikia wananchi waliojiajiri na wanaofanya shughuli mbalimbali za kiuchumi kwa ajili ya kuwaelimisha kuhusu umuhimu wa hifadhi ya jamii na kuwahamasisha kujiunga na Mfuko.
Tue, 06 Oct 2026 11:00:00 +0000Ruto orders enhanced response after Kenya’s first Ebola case
President directs National Security Council Committee to assess the situation
RecentlyElimu ya udhibiti yawafikia wenye ulemavu Tabora
Read the full report from the original source.
RecentlySenators celebrate Fred Machokaa’s 50 years in journalism
Read the full report from the original source.
Recently‘The reports of my death are greatly exaggerated,’ Oburu Oginga dismisses online rumours
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 833 of 1144 · 22863 stories