Unganishwa

Search the region

22861 stories

Uncategorized · The Star Kenya

The top 10 causes of death globally

The world’s 10 leading causes of death claimed an estimated 33 million lives in 2023.

Recently
Uncategorized · PML Daily

MP Namara denies withdrawing Bill on election of Opposition leader

Buyaga West County MP Dennis Namara has dismissed reports on social media that he has abandoned his proposed law to change how the Leader of the Opposition (LoP) in Parliament is...

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Man arrested over alleged Ksh.1.08M land scam in Trans Nzoia

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Observer Uganda

US pledges deeper health, investment ties with Uganda

The United States has pledged to deepen cooperation with Uganda in health, trade, technology, energy and security, with its top diplomat in Kampala describing the…

Recently
Uncategorized · The Standard

WHO backs Kenya, DRC and Uganda in Ebola response

The support includes contact tracing, surveillance, screening and other response measures.

Tue, 06 Oct 2026 19:36:21 +0300
Uncategorized · The Nile Post

Obongi Gets Six Portable Ultrasound Machines to Improve Antenatal Care

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · KBC

WHO advises against travel curbs after Kenya Ebola case

The World Health Organisation (WHO) has advised against any restrictions on travel to or trade with Kenya, the Democratic Republic of Congo (DRC) and Uganda following the reported imported case…

Recently
Business · Issa Michuzi

Letshego Faidika yazindua kampeni ya kukuza amana

Na Mwandishi wetu Letshego Faidika Bank Tanzania Limited (LFB) imezindua kampeni ya kukuza amana iitwayo “Weka. Tukuwekee!”, inayolenga kuwahamasisha Watanzania kuongeza akiba na kutumia huduma rasmi za kibenki. Kampeni hiyo itakayodumu kwa wiki 12, imeanza tangu Oktoba 5 na inatarajiwa kumalizika Desemba 27, 2026, ikiwa inatekelezwa katika kanda tano nchini ambazo ni Kanda, Kati, Kusini, Magharibi, Ziwa na Kaskazini. Kupitia kampeni hiyo, benki imeandaa zawadi mbalimbali kwa wateja wanaoweka fedha katika akaunti zao za “LetsGo “, huku washindi wakipatikana kila wiki na kila mwezi. Wateja watagawanywa katika makundi matatu kulingana na kiasi cha fedha wanachoweka, ambapo mteja atakayekuwa ameweka kiasi kikubwa zaidi katika kundi lake atakuwa mshindi wa wiki. Katika kundi la “Wathubutu”, linalohusisha wanaoweka hadi Sh50,000, mshindi wa wiki atapata Sh50,000. Kundi la “Wajenzi”, linalohusisha wanaoweka kati ya Sh50,000 na Sh500,000, mshindi atapata Sh100,000, huku kundi la “Wakubwa”, kwa wanaoweka zaidi ya Sh500,000, mshindi akipata Sh200,000. Mbali na zawadi hizo, kila mwezi mteja atakayekuwa ameweka fedha nyingi zaidi katika kipindi husika atashinda bodaboda mpya. Mwisho wa kampeni, mteja mwenye jumla kubwa zaidi ya amana katika kipindi chote atazawadiwa “guta la mizigo”. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Letshego Faidika Baraka Munisi, alisema mpango huo unalenga kufanya uwekaji akiba kuwa rahisi na wenye manufaa kwa Watanzania. “Kampeni ya Weka. Tukuwekee! ni ahadi yetu ya kufanya uwekaji akiba uwe rahisi, wenye thamani na wa karibu kwa kila Mtanzania. Tunapanua njia za kuweka pesa na kupeleka huduma zetu moja kwa moja kwenye jamii,” alisema. Katika kuimarisha upatikanaji wa huduma hizo, benki imesema wateja wanaweza kuweka fedha kupitia matawi na vituo vya LFB, mawakala wa benki hiyo, pamoja na mitandao ya simu ya M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa na HaloPesa. Wateja pia wanaweza kuhamisha fedha kutoka benki nyingine kwenda kwenye akaunti zao za LFB. Kwa mara ya kwanza, wateja wa LFB wanaweza pia kuweka fedha kupitia mawakala wa CRDB na matawi ya TCB, huku fedha hizo zikiingia moja kwa moja kwenye akaunti zao za LFB bila makato ya ziada. Benki hiyo inatoa aina nane za akaunti za akiba ambazo ni LetsGo Personal, Business, Flex Business, Mjasiriamali, Flex Dunduliza, Kids, Group na Mstaafu. Kwa mujibu wa benki hiyo, akaunti ya Flex Dunduliza inatoa riba ya hadi asilimia 10 kwa mwaka, huku akaunti zote zikiwa sehemu ya kampeni hiyo. Wateja wapya wanaweza kufungua akaunti ndani ya dakika tano kupitia “LetsGo App”, huku magari maalumu ya kampeni yakizunguka maeneo mbalimbali kuwafikia wananchi na kutoa huduma za ufunguaji akaunti, utoaji na uanzishaji wa kadi papo hapo. Afisa Mkuu Mtendaji wa benki ya Letshego Faidika, Baraka Munisi (katikati), akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya wiki 12 ya kuhamasisha uwekaji wa akiba iliyopewa jina la “Weka. Tukuwekee!”, inayowapa wateja fursa ya kushinda zawadi za fedha kila wiki, bodaboda kila mwezi na zawadi kuu ya bajaji ya mizigo. Kulia ni Mkuu wa Biashara wa benki hiyo, Eddie Mhina na kushoto ni Meneja Uhusiano Wateja wa Kuweka, Neema Soka. Meneja Uhusiano Wateja wa Kuweka wa benki ya Letshego Faidika Neema Soka (wa pili kushoto) akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya wiki 12 ya kuhamasisha uwekaji wa akiba iliyopewa jina la “Weka. Tukuwekee!”, inayowapa wateja fursa ya kushinda zawadi za fedha kila wiki, bodaboda kila mwezi na zawadi kuu ya bajaji ya mizigo. Wa pili kulia ni Afisa Mkuu Mtendaji wa benki ya Letshego Faidika, Baraka Munisi na wa kwanza kulia ni Mkuu wa Biashara wa benki hiyo, Eddie Mhina. Wa kwanza kushoto ni Meneja Amana na Mtandao wa Matawi wa benki hiyo Martine Mosha, Mkuu wa Biashara wa benki ya Letshego Faidika, Eddie Mhina (kulia) akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya wiki 12 ya kuhamasisha uwekaji wa akiba iliyopewa jina la “Weka. Tukuwekee!”, inayowapa wateja fursa ya kushinda zawadi za fedha kila wiki, bodaboda kila mwezi na zawadi kuu ya bajaji ya mizigo. Pia katika picha ni Afisa Mkuu Mtendaji wa benki ya Letshego Faidika, Baraka Munisi. Meneja Amana na Mtandao wa Matawi wa benki ya Letshego Faidika Martine Mosha akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya wiki 12 ya kuhamasisha uwekaji wa akiba iliyopewa jina la “Weka. Tukuwekee!”, inayowapa wateja fursa ya kushinda zawadi za fedha kila wiki, bodaboda kila mwezi na zawadi kuu ya bajaji ya mizigo. Meneja Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Letshego Faidikia, Kenneth Misigaro (kulia) akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya wiki 12 ya kuhamasisha uwekaji wa akiba iliyopewa jina la “Weka. Tukuwekee!”, inayowapa wateja fursa ya kushinda zawadi za fedha kila wiki, bodaboda kila mwezi na zawadi kuu ya bajaji ya mizigo. Kushoto ni Meneja Amana na Mtandao wa Matawi wa benki ya Letshego Faidika Martine Mosha. Meneja wa mikopo wa Benki ya Letshego Faidikia Gloria Maige (wa kwanza kulia) akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya wiki 12 ya kuhamasisha uwekaji wa akiba iliyopewa jina la “Weka. Tukuwekee!”, inayowapa wateja fursa ya kushinda zawadi za fedha kila wiki, bodaboda kila mwezi na zawadi kuu ya bajaji ya mizigo. Kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa benki hiyo, Baraka Munisi na katikati ni Mkuu wa Biashara wa benki ya Letshego Faidika Eddie Mhina

Tue, 06 Oct 2026 13:00:00 +0000
Uncategorized · TechCabal East Africa

The biggest AI security risk may already be inside your company

Read the full report from the original source.

Recently
Business · Issa Michuzi

WAZIRI MKUU KUFUNGUA JUKWAA LA UWEKEZAJI TANZANIA NCHINI UINGEREZA.

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameondoka nchini leo, Oktoba 6, 2026, kuelekea Uingereza kwa ziara ya kikazi ya siku tano, ambapo atafungua Jukwaa la Uwekezaji la Tanzania nchini Uingereza. Katika ziara hiyo, Waziri Mkuu pia ataongoza ujumbe wa Tanzania kukutana wadau, wawekezaji na viongozi wa kampuni mbalimbali katika sekta za madini, benki, Teknolojia, usafirishaji na miundombinu, kwa lengo la kuimarisha na kutangaza fursa za Biashara na Uwekezaji. Jukwaa hilo litatoa fursa kwa Tanzania kutangaza vipaunbele vya Dira 2050 katika nyanja za uwekezaji na kueleza hatua zinazochukuliwa na serikali kuboresha mazingira ya biashara. Ikiwa ni pamoja na kuhamasisha na kuwakaribisha, Wadau, Wawekezaji na wafanya biashara kushiriki katika miradi mbalimbali nchini. Jukwaa hilo limelenga kuvutia mitaji na teknolojia, kukuza ujuzi na kuongeza fursa za ajira kwa Watanzania, pamoja na kuchangia ukuaji wa uchumi na maendeleo ya miundombinu ikiwa ni utekelezaji wa Dira 2050 Ziara hiyo ni sehemu ya juhudi za serikali chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan za kuimarisha diplomasia ya uchumi, kuvutia uwekezaji na kusimamia Sera ya maendeleo kwa manufaa ya Watanzania.

Tue, 06 Oct 2026 16:37:07 +0000
Uncategorized · BBC Afrique

J'ai interviewé Christa Pike il y a 20 ans et je ne peux m'empêcher de penser à elle

La journaliste britannique Helen Roberts a déclaré à la BBC que Christa Pike présentait deux facettes distinctes : une facette personnelle et une facette criminelle.

Recently
Uncategorized · Chimpreports

UPDF Warns of Truck Auction Over Repeat Charcoal Offences

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Chimpreports

PFF Denies Talks With Salim Saleh Over Besigye’s Release

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Chimpreports

PLU Threatens to Reconsider NRM Alliance

The Patriotic League of Uganda (PLU) has threatened to reconsider its alliance with the ruling National Resist..

Recently
Business · Jamhuri Media

Waziri Mkuu kufungua Jukwaa la Uwekezaji Tanzania nchini Uingereza

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · HabariLeo

Mradi mpya wa makazi mapinduzi sekta ya nyumba Zanzibar

Read the full report from the original source.

Recently
National · Mwananchi

Madeleka apinga mashtaka ya kudharau amri ya Mahakama

Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imeipa Jamhuri siku nane kuwasilisha kiapo kinzani kujibu madai ya Wakili Peter Madeleka, katika shauri la maombi ya mapitio ya kesi ya jinai inayomkabili.

Recently
Uncategorized · BBC Rwanda

Rwanda: Abunganira Victoire Ingabire basabye urukiko rukuru gutesha agaciro ibyo aregwa

Abo banyamategeko bavuga ko bimwe mu byo Victoire Ingabire aregwa byashaje, ibindi bikaba byaratanzwe mu buryo bunyuranyije n'amategeko.

Recently
Uncategorized · SoftPower News

Uganda Fintech Sector Calls for Interoperability, Shared Infrastructure to Drive Inclusive Growth

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

WATCH LIVE...CS Wandayi Press conference Kisumu

Read the full report from the original source.

Recently

Page 836 of 1144 · 22861 stories