Unganishwa

Search the region

22511 stories

Uncategorized · Issa Michuzi

Vodacom Tanzania PLC Yawafundisha Vijana wa UDSM Kutumia Teknolojia na Huduma za Kifedha za Kidijitali

Afisa wa Huduma Mpya za Kifedha wa Vodacom M-Pesa, Sylivester Lukeka(kulia), akielekeza wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wakati wa hafla ya UDSM Freshers Connect iliyofanyika chuoni hapo, Novemba 20, 2026. Kupitia hafla hiyo, Vodacom Tanzania iliwahamasisha wanafunzi wapya kutumia teknolojia na huduma za kidijitali kama nyenzo muhimu za kujenga ujuzi, kujiongezea kipato na kujiandaa kwa fursa za ajira na ujasiriamali. Aidha, kampuni hiyo iliwatambulisha wanafunzi kwenye mpango wa TECHSTART, unaowawezesha kupata mafunzo mbalimbali ya Microsoft bila malipo ili kuwajengea ujuzi wa kidijitali. Sambamba na hilo, wanafunzi walielimishwa kuhusu huduma ya M-Wekeza ya Vodacom M-Pesa, inayowapa fursa ya kuanza kuwekeza na kujenga utamaduni wa kuweka akiba kwa ajili ya maisha yao ya baadaye. Hatua hiyo ni sehemu ya dhamira ya Vodacom Tanzania ya kuwawezesha vijana kushiriki na kunufaika na fursa zinazotokana na ukuaji wa uchumi wa kidijitali nchini. Afisa wa Huduma Mpya za Kifedha wa Vodacom M-Pesa, Sylivester Lukeka (kushoto), akisikiliza swali kutoka kwa mmoja wa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wakati wa majadiliano yaliyofanyika katika hafla ya UDSM Freshers Connect, Novemba 20, 2026. Kupitia mazungumzo hayo, wanafunzi walipata ufafanuzi kuhusu huduma ya M-Wekeza na fursa za kujenga ujuzi wa kidijitali kupitia mpango wa TECHSTART, ikiwa ni sehemu ya juhudi za Vodacom Tanzania za kuwaandaa vijana kutumia fursa za ajira, ujasiriamali na uchumi wa kidijitali. Mkuu wa Idara ya Bei za Bidhaa na Makundi Maalumu ya Wateja wa Vodacom Tanzania, Gemma Vedasto Kamara akizungumza na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wakati wa hafla ya UDSM Freshers Connect iliyofanyika Novemba 20, 2026. Kupitia hafla hiyo, Vodacom Tanzania iliwahamasisha wanafunzi wapya kutumia teknolojia na huduma za kifedha za kidijitali kujenga ujuzi, kujiongezea kipato na kujiandaa kwa fursa za kiuchumi. Kampuni hiyo pia iliwatambulisha wanafunzi kwenye mpango wa TECHSTART, unaowawezesha kupata mafunzo ya Microsoft bila malipo, pamoja na huduma ya M-Wekeza inayowapa fursa ya kuanza safari ya uwekezaji na kujenga utamaduni wa kuweka akiba kwa ajili ya maisha yao ya baadaye. Mkuu wa Idara ya Bei za Bidhaa na Makundi Maalumu ya Wateja wa Vodacom Tanzania, Gemma Vedasto Kamara (kulia), pamoja na Afisa wa Huduma Mpya za Kifedha wa Vodacom M-Pesa, Sylivester Lukeka (kushoto), wakimkabidhi zawadi mmoja wa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (katikati), wakati wa hafla ya UDSM Freshers Connect iliyofanyika chuoni hapo Novemba 20, 2026. Kampuni hiyo pia iliwatambulisha wanafunzi kwenye mpango wa TECHSTART, unaowawezesha kupata mafunzo ya Microsoft bila malipo, pamoja na huduma ya M-Wekeza inayowapa fursa ya kuanza safari ya uwekezaji na kujenga utamaduni wa kuweka akiba kwa ajili ya maisha yao ya baadayea kupata mafunzo ya Microsoft bila malipo, pamoja na huduma ya M-Wekeza inayowapa fursa ya kuanza safari ya uwekezaji na kujenga utamaduni wa kuweka akiba kwa ajili ya maisha yao ya baadaye. Mkuu wa Idara ya Bei za Bidhaa na Makundi Maalumu ya Wateja wa Vodacom Tanzania, Gemma Vedasto Kamara (wa tano kutoka kushoto), akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam waliokamilisha mafunzo ya muda mfupi kupitia mpango wa TECHSTART, wakati wa hafla ya UDSM Freshers Connect iliyofanyika chuoni hapo, Novemba 20, 2026. Wanafunzi hao walionesha vyeti vyao kwa kutumia simu zao kama ishara ya mafanikio baada ya kukamilisha mafunzo hayo, yanayolenga kuwajengea ujuzi wa kidijitali kupitia kozi fupi za Microsoft. Kupitia hafla hiyo, Vodacom Tanzania iliendelea kuonesha dhamira yake ya kuwawezesha vijana kwa kuwapatia fursa za kujifunza, huku pia ikiwahamasisha kutumia huduma ya M-Wekeza kujenga utamaduni wa kuweka akiba na kuwekeza kwa ajili ya maisha yao ya baadaye. Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakiwahudumia wanafunzi katika banda la kampuni hiyo wakati wa hafla ya UDSM Freshers Connect iliyofanyika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Novemba 20, 2026. Kupitia hafla hiyo, Vodacom Tanzania ilitoa elimu kuhusu matumizi ya huduma zake za mawasiliano na fedha kwa njia ya kidijitali, ikiwahamasisha vijana kutumia teknolojia kurahisisha shughuli zao za kila siku, kujenga tabia ya kuweka akiba na kutumia fursa mbalimbali za kiuchumi.

Sat, 21 Nov 2026 13:08:35 +0000
Uncategorized · The Citizen

New Sh7 billion Mlandizi market to end risky roadside trading

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Citizen

Want to join the Tanzania Police Force? Here are the requirements

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Daily News

TAZARA revival promises stronger Tanzania-China ties and a new trade lifeline across Africa

A railway built through friendship is preparing for a new role in Africa. Fifty years after the Tanzania-Zambia Railway Authority…

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Ruto, CSs make appointments to State boards

The appointments were published in the Kenya Gazette, Volume CXXVIII, No. 207, dated November 20, 2026

Recently
Uncategorized · Daily News

Tanzania backs proposal for EAC Mutual Defence Pact to bolster regional security against cross-border threats

KAMPALA: TANZANIA has backed proposals for joint military exercises, implementation of the EAC Mutual Defence Pact and improved military training…

Recently
Health · The Citizen

Tanzanian scientist wins regional recognition for AI innovation against cervical cancer

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Citizen

L’Oréal-recognised Tanzanian scientist turns to augmented reality to support children with autism

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Citizen

Samia pledges new Constitution by 2029

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Attempted murder charge over councillor stabbing

Arfan Ali, 32, of Thornbury Avenue, is also charged with assault and possession of an offensive weapon in a public place.

Recently
Uncategorized · KBC

Ruto announces NYOTA grants for 200,000 more youths

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Standard

'Those were thugs': Ledama defends 'nitakupiga risasi' threat in viral video

Narok Senator Ledama Olekina defends his threat to shoot a man captured in a widely circulated video, claiming the individuals involved were goons.

Sat, 21 Nov 2026 15:18:26 +0300
National · Jamhuri Media

Serikali yazitaka taasisi kuimarisha utayari kukabiliana na El nino

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Ankole Times

The Sin of Moshi:.How Exile Elitism & Selfishness Locked Out Ugandans & Unleashed Paulo Muwanga

Read the full report from the original source.

Recently
Health · Jamhuri Media

Makamu wa Rais aipongeza TPDC kuchangisha milioni 500 kusaidia watoto wenye magonjwa ya moyo

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Two students injured as gunmen shoot at school bus

Police said the students from PCEA Tuum Girls Senior School were being transported from Tuum towards Maralal when the bus came under attack.

Recently
Sports · Azam TV Videos

Kocha Cedric Kaze akumbushia matokeo ya Yanga dhidi ya Kagera Sugar

KAGERA SUGAR vs TRA UNITED: “Kufungwa na Yanga sio aibu” Kocha wa Kagera Sugar, Cedrick Kaze anasema kupoteza mbele ya Yanga SC ni jambo la kawaida kwasababu timu hiyo ni kubwa na ina wachezaji wazuri. Kaze anasema pamoja na kupoteza lakini timu yake inacheza vizuri na mechi zilizopo mbele yao zipo kwenye kipimo chao. Kwa upande wake mchezaji wa Kagera Sugar, Abdul Bakari amewaomba mashabiki kujitokeza uwanjani kwenda kuipa nguvu timu yao na wao wanazihitaji pointi zaidi kuliko wapinzani wao. Kwa upande wa Kocha Hemed Suleiman Ali ‘Morocco’ wa TRA United, anasema hali ya hewa ya Bukoba ni nzuri na wamepata fursa ya kufanya mazoezi na wapo tayari kwa mechi. Na mchezaji Aripher Hassan anasema kwa namna walivyopewa maelekezo na makocha wao, kesho watachukua alama tatu. #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates

2026-11-21T11:47:06+00:00
Uncategorized · The Ankole Times

EDRINE BENESA: Understanding Gen. Saleh’s Consociational Democracy Agreement And What It Means For Uganda And The Ordinary Citizen

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Jamhuri Media

Mwigulu aagiza soko la Mlandizi kukamilika Desemba, aonya kupandisha gharama za vizimba

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · BBC Rwanda

Umuhungu w'Umunya-Ghana wiciwe muri Amerika 'yari akwiriye ibyiza cyane birenze' – 'Mayor' Mamdani wa New York

Mu muhango wo gushyingura uwo muhungu wari ufite imyaka 15 wishwe arashwe mu kwezi gushize, umukuru w'umujyi wa New York, Mamdani, yavuze ijambo ari kumwe na se w'uwo mwana n'abayobozi bakuriye imiryango iharanira uburen

Recently

Page 84 of 1126 · 22511 stories