Search the region
22851 stories
NASHCoP YAJENGA NGUVU YA JAMII KUPAMBANA NA HIV
Na Mwandishi wetu Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Ukimwi, Magonjwa ya Ngono na Homa ya Ini (NASHCoP) umeanza kutekeleza mradi wa miaka miwili unaolenga kuongeza ushiriki wa jamii katika kukabiliana na changamoto za afya, hususan maambukizi ya VVU na unyanyasaji wa kijinsia. Mradi huo unaofadhiliwa na Global Fund unatekelezwa katika mikoa ya Tanga, Morogoro, Geita, Dodoma na Singida, ukiwalenga viongozi na wadau kutoka ngazi za mikoa, halmashauri na jamii. Kupitia mafunzo ya Adaptive Leadership, washiriki wanajengewa uwezo wa kutambua changamoto zinazojitokeza katika maeneo yao na kuzitafutia suluhisho kwa kutumia mifumo na rasilimali zilizopo ndani ya Serikali, badala ya kuanzisha mifumo mipya. Akizungumza mjini Morogoro wakati wa mafunzo yaliyowakutanisha washiriki kutoka Morogoro na Geita, Afisa Mpango wa NASHCoP, Patricia Kuya, amesema mradi huo unalenga kuboresha namna mifumo iliyopo inavyofanya kazi ili iweze kukabiliana kwa ufanisi zaidi na changamoto za afya zinazolikabili jamii. Amesema bado kuna mtazamo kwa baadhi ya wananchi kwamba masuala ya afya ni jukumu la Serikali pekee, hivyo mradi huo unalenga kuwafanya wananchi na wadau wengine kuwa sehemu ya mchakato wa kutambua, kusimamia na kutatua changamoto za afya katika maeneo yao. Kwa upande wake, Mganga Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dkt. Best Magoma, baada ya kufungua mafunzo hayo amewataka washiriki wa mafunzo hayo kuhakikisha maarifa wanayoyapata yanatumika katika maeneo yao ya kazi ili kuongeza ufanisi katika mapambano dhidi ya HIV na magonjwa mengine ya kuambukiza. Dkt. Magoma amesema kila mshiriki ana nafasi ya uongozi katika eneo lake na hivyo ana wajibu wa kuhakikisha ujuzi anaoupata unaleta matokeo, akisisitiza pia umuhimu wa ushirikiano wa wadau kutoka sekta mbalimbali katika kukabiliana na changamoto za afya. “Kila mtu hapa ni kiongozi kwa level yake. Tunapopata mafunzo haya, tutambue kuwa tunaporudi katika maeneo yetu ya kazi tunapaswa kuyafanyia kazi yale tuliyojifunza,” amesema Dkt. Magoma.
Tue, 06 Oct 2026 12:48:18 +0000Electricity bill savings hit Sh8bn as more firms shift to off-peak operations
Read the full report from the original source.
RecentlyMore than 184,000 displaced as fighting intensifies in Yemen
Read the full report from the original source.
RecentlyKOX vs. Mzansi: Kenyans take early lead in ruthless online war with South Africa
Read the full report from the original source.
RecentlyNamboole Stadium works spark AFCON 2027 concerns
The stadium is among the key facilities that Uganda must have ready as part of the joint hosting arrangement with Kenya and Tanzania
RecentlyNMB Yapeleka Fursa za Uwekezaji Tanzania London
Benki ya NMB imepeleka ujumbe wa ngazi ya juu London, Uingereza, utakaoongozwa na Mkurugenzi Mtendaji, Ruth Zaipuna, kushiriki Tanzania Investment Forum 2026 inayofanyika Oktoba 8, ikiwa na lengo la kuunganisha fursa za uwekezaji nchini na mitaji ya kimataifa. NMB ni Mshirika Mkuu wa Kimkakati katika uandaaji wa jukwaa hilo. Jukwaa hilo litawakutanisha viongozi wa Serikali, wawekezaji, taasisi za fedha na viongozi wa biashara kujadili uwekezaji katika miundombinu, nishati, viwanda, teknolojia, madini, kilimo na sekta nyingine zenye nafasi kubwa katika utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Zaipuna amesema Tanzania ina fursa kubwa kwa wawekezaji wa muda mrefu kutokana na soko la watu zaidi ya milioni 65, nafasi yake ya kimkakati katika Afrika Mashariki na Kati pamoja na rasilimali na sekta mbalimbali zinazohitaji mitaji. Amesema NMB iko tayari kuwa kiungo kati ya wawekezaji wa kimataifa na fursa hizo kupitia uwezo wake wa kifedha na uelewa wa soko la ndani. NMB inaingia katika jukwaa hilo ikiwa na mali za takribani Sh18 trilioni, amana za wateja za karibu Sh13 trilioni na wateja zaidi ya milioni 10. Benki pia ina uzoefu wa masoko ya mitaji ya kimataifa kupitia Hati Fungani ya Jamii, ambayo sehemu yake ya dola milioni 73 iliingizwa katika masoko ya London Stock Exchange.
Tue, 06 Oct 2026 08:00:00 +0000Une pluie torrentielle, accompagnée de vents violents et de grêle, cause des dégâts matériels à Mugina
Read the full report from the original source.
RecentlyPatient zero: Kenya confirms first ever Ebola case
Read the full report from the original source.
RecentlyVers la promotion du PPP à l’horizon 2031
Read the full report from the original source.
RecentlyL’Initiative pour le développement mondial au service d’une prospérité partagée
Read the full report from the original source.
RecentlySing’oei allays fears of Ebola spread, says ‘mere contact does not lead to infection’
Latest · NATIONAL NEWS
RecentlyWiki ya Huduma kwa Wateja 2026, Shirika la Dawa Asilia na Ulinzi wa Mazingira latoa ujumbe maalum
Read the full report from the original source.
RecentlyPhase One sales hit market as Zanzibar community project takes shape
Zanzibar. Infinity Developments has officially launched Phase One sales at Infinity Hills, opening 350 residential units and 42 retail spaces to…
RecentlyZungu to Preside Over IPU Assembly as Ackson’s Successor Awaits Election
Tanzania’s Speaker of the National Assembly, Mussa Azzan Zungu, has been elected president of the 153rd Assembly of the Inter-Parliamentary Union (IPU), following a nomination by the Speaker of the UK House of Commons, Sir Lindsay Hoyle. Hoyle proposed Zungu during a session in Arusha after IPU President Dr Tulia Ackson invited delegates to elect a president for the assembly. Representatives from the United Arab Emirates and Uganda supported the nomination, which was then endorsed unanimously. “I am pleased and honoured to nominate the Speaker of Tanzania to be elected President of the 153rd Assembly,” Hoyle said, describing the move as a reflection of the friendship between the two countries. Zungu thanked delegates for their confidence and said Tanzania was proud to welcome them to Arusha. “I accept this responsibility wholeheartedly,” he said. “Tanzania is proud to welcome you to Arusha, and we will continue working together throughout this 153rd IPU Assembly.” Zungu’s election to lead the assembly does not make him president of the IPU. Ackson remains the organisation’s president, a position she has held since her election in October 2023. Her three-year term is due to end this month, and she will be succeeded after the IPU elects its next president. The IPU Governing Council is scheduled to elect Ackson’s successor on October 9 in Arusha. Three candidates are in the running: Sahiba Gafarova, Speaker of Azerbaijan’s National Assembly; Milton Dick, Speaker of Australia’s House of Representatives; and Chilean Senator Rojo Edwards Silva. The vote will be conducted by secret ballot. A candidate must win an absolute majority of votes cast; if no one reaches that threshold in the first round, another ballot will be held under the Council’s rules. The winner will serve a three-year term as the IPU’s political head.
Tue, 06 Oct 2026 12:29:30 +0000Allemagne : l’ex-chef du renseignement arrêté
Read the full report from the original source.
RecentlyLes commerçants du marché central de Rutana appelés à renforcer la prévention contre les incendies
Read the full report from the original source.
RecentlyKwale County acquires new equipment to boost road infrastructure
Read the full report from the original source.
RecentlyHow Kenya brought Ebola to its doorstep
Kenyas first confirmed Ebola case has revived fears that prompted opposition to a US-backed quarantine facility in Laikipia, as authorities race to trace contacts and prevent wider transmission.
Tue, 06 Oct 2026 14:59:00 +0300Vers le renforcement de la protection des droits de l’enfant
Read the full report from the original source.
RecentlyPolice arrest suspect in online fraud targeting foreign tourists
KAMPALA – Police have arrested a man suspected of defrauding foreign tourists through a fake car-hire and tour business operating online as FK Car Rental. Police identified the suspect as Faisal...
RecentlyPage 842 of 1143 · 22851 stories