Unganishwa

Search the region

22809 stories

Uncategorized · PML Daily

UEDCL commissions Shs240m power projects in Butebo

Uganda Electricity Distribution Company Limited (UEDCL) has commissioned two projects worth more than Shs240 million to improve electricity supply in Butebo District, connecting a primary school to the national grid and.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

MAKAMU WA RAIS KUFUNGUA MKUTANO WA 46 WA CATA JIJINI ARUSHA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius John Ndejembi, amewasili mkoani Arusha leo, Jumatatu, Oktoba 5, 2026, kwa ajili ya kufungua Mkutano wa 46 wa Chama cha Wasimamizi wa Kodi wa Jumuiya ya Madola (CATA). Makamu wa Rais amewasili kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), ambako amepokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. CPA Amos Gabriel Makalla, pamoja na viongozi wengine wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Serikali. Mkutano huo utafanyika katika Ukumbi wa Grand Melia jijini Arusha na unatarajiwa kuwakutanisha viongozi na wataalamu zaidi ya 400 kutoka mataifa 48.

Mon, 05 Oct 2026 15:55:57 +0000
Uncategorized · DW Rwanda

Nigeria military plane crashes with 32 on board

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

Ukraine says Russian drones behind Turkish ship sinking

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Business Daily

Sweet potatoes move from farm into the living room

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Watchdog Uganda

NARO Steps Up Cassava Multiplication to Boost Food Security in Drought-Prone Karamoja

NAPAK | October 5, 2026 –As drought and climate variability continue to threaten food security in Karamoja, the National Agricultural Research Organisation (NARO), through the Uganda Climate-Smart Agricultural Transforma

Recently
Uncategorized · Watchdog Uganda

Nestor Basemera, PhD: Bye-Bye Morals, Welcome Vulgarity: Uganda’s New Normal

Step inside any packed taxi near Jinja Road in Kampala, and you will hear a massive shift in how people talk. A youthful conductor casually lets out a string of…

Recently
National · Issa Michuzi

SERIKALI YAITAKA CRDB KUONGEZA FURSA ZA KIUCHUMI KWA WANAWAKE, VIJANA

Na Janeth Raphael - MichuziTv Serikali imeitaka CRDB Bank kuongeza zaidi fursa za kiuchumi kwa wanawake, vijana na watu wenye ulemavu, kwa kuwawezesha kupata mitaji, mikopo na huduma za kifedha zitakazowasaidia kujikwamua kiuchumi na kukuza shughuli zao za uzalishaji. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule, ametoa rai hiyo wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja, ambapo amesisitiza umuhimu wa taasisi za kifedha kuendelea kuboresha huduma zao na kwenda hatua ya ziada ili kukidhi mahitaji ya wananchi. Senyamule amesema taasisi za kifedha zina nafasi kubwa katika kuchochea maendeleo ya wananchi, hususan vijana na wanawake, kwa kuwawezesha kupata rasilimali zitakazowawezesha kushiriki kikamilifu katika shughuli za kiuchumi, ikiwamo kilimo na sekta nyingine za uzalishaji. Amesema utoaji wa huduma bora haupaswi kuishia katika kuongeza idadi ya bidhaa au huduma, bali unapaswa kuzingatia namna taasisi zinavyoweza kurahisisha maisha ya wateja na kuwapatia suluhisho linaloendana na mahitaji yao. “Ni muhimu kila mmoja wenu kuwa sehemu ya taswira na sifa ya taasisi hii. Jiulizeni ni huduma gani mpya inaweza kuanzishwa ili kwenda hatua ya ziada katika kuwahudumia wateja,” amesema Senyamule. Ameongeza kuwa Wiki ya Huduma kwa Wateja inapaswa kuwa fursa kwa watumishi wa CRDB kujitathmini, kubaini maeneo yenye changamoto na kuweka mikakati ya kuboresha huduma ili kuhakikisha wananchi wanapata huduma kwa ufanisi na kwa wakati. Kwa upande wake, Meneja Biashara CRDB Kanda ya Kati, Andrew Kihenzia, amesema benki hiyo inaendelea kufanya maboresho ya huduma, mifumo na bidhaa zake kwa lengo la kuwafikia wateja kwa urahisi zaidi na kuwapatia suluhisho zinazokidhi mahitaji yao. Kihenzia amesema CRDB imeendelea kuweka mazingira wezeshi kwa vikundi vya wajasiriamali, wanawake na vijana kupata mikopo inayolenga kuwawezesha kuanzisha, kuendeleza na kupanua shughuli zao za kiuchumi. “Tunatoa fursa kwa vijana na wanawake kuhakikisha wanainuka kiuchumi kupitia mikopo ya vikundi. Tunapoendelea kusherehekea Wiki ya Huduma kwa Wateja, tunaendelea kuboresha huduma zetu kila siku,” amesema. Amesema CRDB pia inaendelea kushirikiana na Serikali katika kuboresha mifumo inayowawezesha wafanyakazi kupata huduma za kifedha na mikopo kwa urahisi, huku ikiendelea kupanua wigo wa huduma zake kupitia matawi na vituo mbalimbali ili kuwafikia wananchi wengi zaidi. Kihenzia amesema kwa mwaka huu CRDB imetenga Shilingi bilioni 6.5 kwa ajili ya makundi maalum, akisisitiza kuwa fursa hizo zinapaswa kutolewa kwa uwazi na kuhakikisha zinawafikia walengwa wanaokusudiwa. Amesema hatua hiyo ni sehemu ya dhamira ya benki hiyo ya kuhakikisha huduma za kifedha zinakuwa chachu ya uwezeshaji wa wananchi na kuongeza ushiriki wa makundi mbalimbali katika shughuli za kiuchumi. Aidha, amesema kaulimbiu ya Wiki ya Huduma kwa Wateja ya mwaka huu, “Piga Hatua Mbele,” inaendana na dhamira ya CRDB ya kuendelea kuboresha huduma, mifumo na bidhaa zake ili kuongeza ufanisi na kuhakikisha wateja wanapata huduma zinazokidhi mahitaji yao.

Mon, 05 Oct 2026 15:48:01 +0000
Uncategorized · PML Daily

Read article: Furaha’s bank-backed model takes school fees lending to 100,000 learners

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Observer Uganda

Two state spies plead guilty to staging deadly Munyonyo, Kalerwe bombs

The General Court Martial in Makindye has convicted two former security informers, Hamza Lyavaala and Walusansa Adiil, after they pleaded guilty to two counts of…

Recently
Uncategorized · TechCabal East Africa

Why VOA spends six months inside startups before deciding to invest

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Teenager's hand blown off during demos in France

Around 500 schools were partially or totally closed across the country on Monday

Recently
Uncategorized · BBC Rwanda

Amabombe yabujije igipolisi ca Nigeria gutabara abanyurujwe

Umuvyeyi w'umwe mu banyurujwe, avuga ko ata mahoro afise kandi ko amaze imisi itatu adafunguye

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

VIJANA WAHAMASISHWA KUSHIRIKI WIKI YA VIJANA, KUTAMBUA FURSA

Na Mwandishi Wetu, Rukwa SERIKALI imewahamasisha vijana mkoani Rukwa kushiriki kikamilifu katika Wiki ya Vijana Kitaifa 2026, ili kupata maarifa, kujifunza na kufanya maamuzi sahihi ya kutumia fursa zilizopo katika maeneo yao kwa ajili ya kujikwamua kiuchumi na kushiriki katika maendeleo ya Taifa, badala ya kusubiri ajira pekee. Kauli hiyo imetolewa leo, Oktoba 5, 2026, na Katibu Tawala wa Mkoa wa Rukwa, Msalika Makungu, kwa niaba ya Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais–Maendeleo ya Vijana, Jenifa Christian Omolo, wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake kuhusu maandalizi ya Wiki ya Vijana Kitaifa 2026. Makungu amesema kuanzia Oktoba 8 hadi 14, 2026, kutakuwa na maonyesho katika viwanja vya Shule ya Msingi Ndua, Manispaa ya Sumbawanga, yatakayoshirikisha taasisi za Serikali, sekta binafsi, washirika wa maendeleo, mashirika ya vijana, wabunifu, wajasiriamali na watoa huduma mbalimbali. Amesema ufunguzi rasmi wa kongamano hilo utafanyika Oktoba 10, 2026, ambapo Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi. Aidha, amesema Oktoba 11 na 12, 2026, kutakuwa na Kongamano la Vijana litakalowakutanisha vijana 1,500 kila siku kutoka Tanzania Bara na Zanzibar. Kwa mujibu wa Makungu, kongamano hilo litatoa fursa kwa vijana kujadili masuala mbalimbali yanayohusu maendeleo yao, kupata taarifa kutoka kwa wataalamu, taasisi za Serikali, sekta binafsi na washirika wa maendeleo, pamoja na kutoa maoni na mapendekezo kuhusu masuala yanayowahusu. Amesema maonyesho hayo pia yatahusisha shughuli mbalimbali, ikiwemo kongamano la vijana, maonesho ya bidhaa na huduma, pamoja na utoaji wa taarifa kuhusu fursa na huduma zinazowahusu vijana. “Kongamano hili linatarajiwa kuwapa vijana nafasi ya kujifunza, kubadilishana uzoefu na kukutana na wadau mbalimbali wa maendeleo,” amesema. Aidha, Makungu amesema kilele cha maadhimisho hayo kitafanyika Oktoba 14, 2026, sambamba na kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru pamoja na kumbukizi ya miaka 27 ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere. Amesema shughuli hizo zitafanyika katika Uwanja wa Nelson Mandela, Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga, ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi. Kaulimbiu ya Wiki ya Vijana Kitaifa 2026 ni “Mazingira Tofauti, Fursa Sawa kwa Vijana”, inayolenga kuhamasisha vijana kutoka maeneo mbalimbali kutambua fursa zilizopo, kupata maarifa na kushiriki kikamilifu katika shughuli za maendeleo ya Taifa.

Mon, 05 Oct 2026 15:38:16 +0000
Uncategorized · PML Daily

Plascon pledges 100 child heart surgeries, 1,000 cataract operations at India Day

Kansai Plascon Uganda and its partners have pledged to support 100 heart surgeries for Ugandan children under the age of five and 1,000 cataract operations, with proceeds from Plascon India Day...

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

Hundreds of French schools shut, teen loses hand in protests

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · CEO East Africa

NEW CAR REVIEW: Toyota Land Cruiser FJ — Six Questions to Ask Before You Buy The New Compact Land Cruiser from Toyota by CFAO Uganda

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · CEO East Africa

The Sound of Uganda: What 64 years of independence and 62 years of dfcu Bank have taught us about a country in motion

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · CEO East Africa

Why the Shilling Is Sliding: BoU Explains Dollar Surge Past UGX4,000

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Capital FM

Sweden moves to implement new five-year Kenya Development Strategy

Latest · DIPLOMACY

Recently

Page 864 of 1141 · 22809 stories