Search the region
22797 stories
Waziri Akwilapo atoa rai maandalizi ya El Nino kulinda makazi
Read the full report from the original source.
RecentlyHow Vodka Found Its Place in Uganda’s Evolving Cocktail Culture
Read the full report from the original source.
RecentlyFamily Bank signs Sh1.3bn AfDB facility to lend to SMEs
Banks · 4 hours ago
RecentlyMBUNGE MARIAM IBRAHIM AWAPIGA TAFU YA PIKIPIKI 10 WANAWAKE WA UWT PWANI
Na Victor Masangu, Pwani Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Pwani, Mhe. Mariam Ibrahim, ameunga mkono juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, za kuwawezesha wanawake kiuchumi kwa kuikabidhi Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Pwani pikipiki 10 zitakazotumika kama mradi wa kuwaongezea kipato. Mhe. Mariam amekabidhi pikipiki hizo wakati wa hafla iliyofanyika katika viwanja vya nje ya Ofisi ya Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha, ambapo amesema mradi huo utakuwa chachu ya kuwawezesha wanawake kujikwamua kiuchumi na kuondokana na utegemezi. Amesema pikipiki hizo zitagawanywa na kutumika katika jumuiya za wanawake katika wilaya mbalimbali za Mkoa wa Pwani, kwa lengo la kuanzisha na kuendesha shughuli zitakazowaongezea kipato. Aidha, Mhe. Mariam amesema lengo la mchango huo si kujinufaisha yeye binafsi, bali ni kusaidia jamii na jumuiya mbalimbali, huku akibainisha kuwa ameamua kutumia sehemu ya fedha za mshahara wake kutekeleza ahadi na kusaidia wanawake wa Mkoa wa Pwani. “Nimeamua kutumia fedha zangu za mshahara kwa ajili ya kusaidia wanawake wa Mkoa wa Pwani. Nimekabidhi pikipiki 10 ambazo zitasaidia jumuiya za wanawake katika wilaya mbalimbali na mradi huu utawawezesha kujikwamua kiuchumi na kuachana na utegemezi,” amesema Mhe. Mariam. Mbali na pikipiki hizo, Mhe. Mariam pia ametoa vifaa vya ujenzi vyenye thamani ya Sh milioni 20 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa nyumba ya mtumishi wa UWT Mkoa wa Pwani. Kwa upande wake, Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Pwani, Zainabu Vullu, amesema jumuiya hiyo imeweka mikakati ya kuhakikisha wanawake wanaondokana na utegemezi kwa kuanzisha na kuimarisha miradi mbalimbali ya maendeleo yenye tija. Amesema miradi hiyo inalenga kuwawezesha wanawake kuwa na vyanzo endelevu vya kipato na hivyo kuchangia maendeleo ya familia zao na jamii kwa ujumla. Naye Katibu wa UWT Mkoa wa Pwani, Aziza Omary, amempongeza Mhe. Mariam Ibrahim, ambaye pia ni Mjumbe wa Baraza Kuu la UWT Taifa, kwa msaada wa pikipiki hizo 10 pamoja na vifaa vya ujenzi vyenye thamani ya Sh milioni 20. Amesema msaada huo utasaidia kuimarisha shughuli za UWT katika ngazi ya Mkoa na wilaya, huku mradi wa pikipiki ukitarajiwa kuwa chachu ya kuwawezesha wanawake kiuchumi na kuongeza uwezo wao wa kujitegemea.
Mon, 05 Oct 2026 10:58:27 +0000Court orders IGP, Tanesco to pay Sh646m over missing equipment
Read the full report from the original source.
RecentlyBanks take battle to telcos over use of phone numbers for transactions
Read the full report from the original source.
RecentlyMyCredit commits Sh500mn to clean cooking in 150 Kenyan schools
Latest · Companies
RecentlyRwanda government vows stronger action against betting
Read the full report from the original source.
RecentlyIG: Administrative injustices account for 37% of complaints handled
KAMPALA — Delays in payment of salaries, pensions and gratuities, difficulties accessing government documents and workplace victimisation have emerged among the leading grievances handled by Uganda’s Inspectorate of Gove
RecentlyBritam: Why it is the right time to take insurance ahead of El Niño
Latest · Business
RecentlyTanzania enhances protective measures to communities against destructive jumbos
KILWA: THE Deputy Minister for Natural Resources and Tourism Hamad Hassan Chande has said the government will continue implementing various…
RecentlyWatamu ESP Market Fully Occupied as Over 200 Traders Benefit
NATIONAL NEWS · 4 hours ago
RecentlyEU commits Sh590 million to strengthen Kenya's carbon market
Read the full report from the original source.
RecentlyRuto: 20% of affordable homes reserved for teachers
Ruto said teachers would be able to make payments directly from their salaries.
RecentlyTanzania’s Ageing Future Demands Geriatric Care Now, Not Later
Read the full report from the original source.
RecentlyNatembeya: Opposition must unite to take on Ruto
Natembeya urged political leaders to focus on building a united team rather than competing against one another.
RecentlyGerman and US scientists win Nobel Prize in medicine
Read the full report from the original source.
RecentlyExiled by Amin, Lord Raval Returns to Attract Investment to Uganda
Read the full report from the original source.
RecentlyTop Ugandan General Says Africa Militaries Need Stronger Ties to Defeat Terrorism
Read the full report from the original source.
RecentlyLamu Port Welcomes Giant Vessel, Plans Record 5,200-Container Discharge
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 872 of 1140 · 22797 stories