Unganishwa

Search the region

22359 stories

Uncategorized · The Star Kenya

Is Rigathi preparing Dorcas for major political role?

Her growing presence in Gachagua's political engagements, US tours and strategic meetings has fuelled speculation about her own political ambitions.

Recently
Uncategorized · The Ankole Times

Don’t Be Deceived! Gen Muhoozi Comes To My Home And Sometimes Stays For A Month – Gen Otema Reveals

Read the full report from the original source.

Recently
National · Issa Michuzi

MTENDAJI MKUU WA TEMESA AKAGUA MAENDELEO YA MATENGENEZO YA KIVUKO CHA MV.MAGOGONI NCHINI KENYA

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA), Bw. Kheri Mahimbali, amefanya ziara katika Jiji la Mombasa nchini Kenya kwa lengo la kukagua maendeleo ya matengenezo ya Kivuko cha MV. MAGOGONI kinachofanyiwa ukarabati jijini humo. Akiwa katika eneo la ukarabati, Bw. Mahimbali amekagua hatua zilizofikiwa katika utekelezaji wa ukarabati huo na kupata maelezo kutoka kwa wataalamu kuhusu maendeleo pamoja na kazi zilizobaki kukamilishwa kabla ya kivuko hicho kurejea katika utoaji wa huduma. Katika hatua nyingine, Mhandisi Mshauri wa mradi huo, Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI), kwa kushirikiana na Mdhibiti wa safari kwa njia ya Maji, Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), wamefanya ukaguzi wa pamoja kwa kukagua umbo la kivuko hicho kabla ya kurejeshwa majini kwa ajili ya kuanza majaribio ya mashine na mifumo mingine ya uendeshaji. Ukaguzi huo ulifanyika kuanzia tarehe 16 hadi 23 Novemba 2026. Akizungumzia maendeleo ya ukarabati huo, Mkurugenzi wa Uendeshaji na Ujenzi za Vivuko kutoka TEMESA, Mhandisi. Hassan Karonda, amesema kuwa kazi za ukarabati zinatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi Desemba 2026 na baada ya hapo, kivuko hicho kitafanyiwa majaribio pamoja na ukaguzi wa mwisho utakaofanywa na Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) kabla ya kurejea nchini mapema mwezi Januari 2027. “Tunatafajia kivuko hiki kirejee katika huduma zake mara tu ukarabati utakapokamilika mwezi Desemba 2027 na kuruhusu majaribio yatakayofanywa na wenzetu wa TASAC. Na baada ya hapo kivuko kitaanza kutoa huduma eneo la Magogoni Feri kama ilivyokuwa awali kwa ubora zaidi” amesema Mhandisi Karonda”. Kukamilika kwa matengenezo hayo na majaribio ya mifumo ya uendeshaji kutakuwa hatua muhimu katika kukiwezesha Kivuko cha MV. MAGOGONI kurejea nchini kikiwa katika hali nzuri ya kiutendaji na kuendelea kutekeleza jukumu lake la kutoa huduma za usafiri majini.

Wed, 25 Nov 2026 09:28:15 +0000
Uncategorized · The Star Kenya

KNH sets dates to clear staff dues after protests

KNH says it will begin settling outstanding staff deductions on November 27 as workers protest delayed payments and doctors threaten to join the strike

Recently
Uncategorized · The Standard

KeNHA warns transport operators against overloading vehicles

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

US to unveil plan for new tariffs on global trading partners

The new import taxes would hit many of America's biggest trading partners, with China, the European Union and Japan among at least 14 jurisdictions affected.

Recently
Uncategorized · Mwananchi

EAC yatangaza nafasi za ajira, omba hapa

Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) imetangaza nafasi 68 za ajira katika vyombo na taasisi zake, ikiwataka waombaji wenye sifa na uzoefu unaohitajika kuwasilisha maombi yao kupitia mfumo wa...

Recently
Uncategorized · DW Afrique

Audio — Fortes chaleurs : quelle prise en charge pour les femmes enceintes ?

To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

Europe's coalition trains for a role in postwar Ukraine

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Insight: Spain thought it had the 2030 World Cup final. Morocco had other plans

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Nollywood star Edochie dies aged 79

Read the full report from the original source.

Recently
Business · Issa Michuzi

Benki ya Exim Yaendeleza Juhudi za Kuwawezesha Wanawake Kiuchumi Kupitia Programu ya WEP

Kuanzisha biashara ni hatua muhimu, lakini kuijenga na kuhakikisha inaendelea kwa mafanikio kunahitaji zaidi ya mtaji. Kwa wanawake wengi wajasiriamali, changamoto za kusimamia fedha, kutunza kumbukumbu za biashara, kudhibiti gharama, kupata masoko na kufanya maamuzi ya kimkakati zinaweza kuathiri ukuaji wa biashara zao. Kukabiliana na changamoto hizo kunahitaji elimu ya vitendo kuhusu biashara pamoja na kuwajengea wanawake uwezo wa kutambua na kutumia fursa mbalimbali za kukuza shughuli zao za ujasiriamali. Kwa kuendeleza juhudi zake za kuwawezesha wanawake kiuchumi, Benki ya Exim Tanzania imezindua awamu nyingine ya mafunzo kupitia programu yake ya Women Empowerment Programme (WEP), itakayowanufaisha wanawake wajasiriamali wengine 50 wanaomiliki au kusimamia biashara ndogo na za kati. Tangu kuanzishwa kwake, programu ya WEP imeendelea kupanuka kwa kuwafikia wanawake wengi zaidi na kuongeza wigo wa mafunzo yake. Mwaka 2024, programu hiyo ilipanuliwa hadi mkoani Arusha, huku mwaka 2025 maudhui ya mafunzo yakiboreshwa na kujumuisha masuala ya uongozi, uimara wa kihisia na ujenzi wa mitandao ya kimkakati ya kibiashara. Kufikia mwaka huo, programu ilikuwa imenufaisha zaidi ya wanawake wajasiriamali 300, ikiakisi dhamira ya Benki ya Exim ya kuendeleza fursa za kiuchumi zenye manufaa na endelevu kwa wanawake. Mwaka 2026, Benki ya Exim Tanzania iliimarisha zaidi programu hiyo kupitia ushirikiano na Chemba ya Wanawake Wafanyabiashara Tanzania (TWCC), hatua iliyolenga kuboresha utekelezaji wake na kupanua fursa za washiriki kupata mitandao ya biashara na fursa za ukuaji. Baada ya kundi la kwanza la wanawake 50 kuhitimu mafunzo hayo Septemba mwaka huu, benki imeendeleza fursa hizo kwa kundi jingine la washiriki. Mafunzo hayo ya wiki sita yameandaliwa kuwapatia washiriki maarifa, nyenzo na ujuzi wa vitendo utakaowawezesha kuimarisha uwezo wao katika usimamizi wa fedha na biashara, kuboresha ufanisi wa shughuli za kibiashara na kufanya maamuzi sahihi yanayochochea ukuaji endelevu wa biashara zao. Mafunzo hayo yanajumuisha maeneo muhimu ya uendeshaji wa biashara, yakiwemo usimamizi wa mapato na matumizi, utunzaji sahihi wa kumbukumbu za fedha, uandaaji wa bajeti, udhibiti wa gharama za uendeshaji na upangaji wa bei zinazofaa. Washiriki pia wanajifunza namna ya kutambua fursa za masoko na kuweka mikakati ya kuwafikia wateja wengi zaidi. Ujuzi huo unatarajiwa kuwasaidia kusimamia rasilimali zao kwa ufanisi, kufanya maamuzi sahihi ya kibiashara, kuongeza mapato na kutambua fursa zaidi za kukuza biashara zao. Mbali na mafunzo ya darasani, washiriki watanufaika na ushauri elekezi pamoja na fursa za kujenga mitandao ya kibiashara. Kupitia fursa hizo, wataweza kubadilishana uzoefu, kupata mitazamo mipya na kujifunza mbinu za vitendo za kukabiliana na changamoto za biashara na kuimarisha shughuli zao. Meneja Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Exim Tanzania, Kauthar D’souza, akizungumza wakati wa ufunguzi rasmi wa mafunzo hayo, alisema kuwa kuwawezesha wanawake wajasiriamali kunahitaji kuwapatia maarifa na ujuzi wa vitendo utakaowawezesha kusimamia biashara zao kwa ufanisi na kutumia fursa zilizopo kukuza shughuli zao. Aliongeza kuwa kupitia WEP, benki inalenga kuimarisha uwezo wa wanawake katika ujasiriamali kwa kuwapatia nyenzo na msaada unaohitajika ili kukabiliana na changamoto za usimamizi wa biashara na kujenga biashara zenye ushindani na zinazoweza kudumu. Julieth Micky Msofe, mmiliki wa Dream Designs, biashara inayojihusisha na ubunifu na utengenezaji wa mavazi ya wanawake, alisema mafunzo hayo yanampa fursa ya kuongeza maarifa yatakayomsaidia kuendesha biashara yake kwa ufanisi zaidi, kuboresha mipango ya biashara na kutambua fursa zaidi za ukuaji. Aliongeza kuwa ujuzi wa kusimamia fedha, kudhibiti gharama za uendeshaji na kupata masoko ni muhimu katika kuimarisha ushindani na kuhakikisha biashara yake inakua na kudumu. Kwa upande wake, Irene Modesta Kambewe, mmiliki wa MIMII Quality Products, alisema mafunzo hayo yatamsaidia kuongeza uelewa wa masuala mbalimbali ya uendeshaji wa biashara, yakiwemo usimamizi wa fedha, utunzaji wa kumbukumbu na kuandaa mikakati ya kukuza biashara. Aliongeza kuwa maarifa atakayopata yatakuwa muhimu katika kuimarisha shughuli zake za kibiashara na kutumia fursa mpya zitakazojitokeza. Kupitia WEP, Benki ya Exim inaendelea kuonesha dhamira yake ya kwenda zaidi ya utoaji wa huduma za kawaida za kibenki kwa kuwekeza katika maarifa na uwezo wa wanawake wajasiriamali. Dhamira hiyo inalenga kuwawezesha kujenga biashara imara zinazoweza kuhimili changamoto, kuzalisha ajira na kuchangia maendeleo ya uchumi wa Tanzania. Meneja Mwandamizi wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Exim Tanzania, Kauthar D’souza, akizungumza na washiriki wa programu ya Women Empowerment Programme (WEP), wakati wa ufunguzi wa awamu mpya ya mafunzo ya wiki sita yanayoendeshwa na Benki ya Exim Tanzania. Katika awamu hii, wanawake 50 wanaomiliki na kusimamia biashara ndogo na za kati wanapatiwa mafunzo ya usimamizi wa biashara na fedha, upangaji wa bajeti na kukuza masoko, pamoja na ushauri elekezi na fursa za kujenga mitandao ya kibiashara. Kupitia programu hii iliyo chini ya mpango wa Exim Cares, Benki inalenga kuwawezesha wanawake kuimarisha biashara zao, kuongeza ushindani na kutumia fursa mpya za ukuaji.

Wed, 25 Nov 2026 06:30:00 +0000
Sports · Mwananchi

Bundi anayeitesa Yanga yupo hapa

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Daily News

Tanzania, China and Zambia ink cooperation agreement to advance, revive TAZARA prosperity

DAR ES SALAAM: TANZANIA, China and Zambia have agreed to strengthen cooperation to modernise and revive the Tanzania-Zambia Railway Authority…

Recently
Uncategorized · Techweez

How to Register on KIAMIS and Access Government Fertiliser, Seeds and Bonuses

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

State unveils team to probe school unrest, propose reforms

The team, drawn from various sectors, has been given 90 working days to examine the factors fuelling school unrest and propose solutions

Recently
Uncategorized · Rwanda News Agency

PLAN D’ACTION POUR LIBÉRER LE POTENTIEL : REPENSER LA LUTTE CONTRE LE MARIAGE DES ENFANTS

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

WATCH LIVE: National Assembly Committee reviews 2027 budget proposals for State House, IPOA and Internal Security

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Burundi Forum

De Bujumbura à Paris : la REGIDESO, fer de lance de la révolution hydrique burundaise, séduit les investisseurs français

Paris, 24 novembre 2026 ―À l’occasion de la 8e édition d’Ambition Africa, qui se tient à Paris les 24 et 25 novembre 2026, le Directeur Général de la REGIDESO, le Dr Ir Lieutenant-colonel Jean Albert Manigomba, porte la voix d’un Burundi qui...

Wed, 25 Nov 2026 08:29:40 +0000
Uncategorized · DW Rwanda

Colombian security forces storm supermarket, free hostages

Read the full report from the original source.

Recently

Page 9 of 1118 · 22359 stories