Unganishwa

Search the region

22726 stories

Uncategorized · KBC

Remembering Baba: Candlelight vigils held nationwide to honour Raila Odinga

Kenyans across the country gathered in candlelight vigils on Friday evening to commemorate the first anniversary of the death of former Prime Minister Raila Odinga. In Nairobi, ODM officials and…

Recently
Uncategorized · BBC Rwanda

Umupilote wungirije wa Flydubai yateye umupilote mukuru akoresheje ishoka – umutegetsi wo muri UAE

Uwo mugabo ushinjwa kugerageza kwigarurira iyo ndege yari irimo kujya muri Israel yatangajwe mu bitangazamakuru byinshi ko yitwa Hamam al-Hammami.

Recently
Uncategorized · Capital FM

17 killed in multi-vehicle crash on Kenyan highway

Latest · NATIONAL NEWS

Recently
Uncategorized · Watchdog Uganda

Namayingo Farmers Confront Sugar Council Over Delayed CN Sugar Licence

NAMAYINGO — Furious sugarcane farmers in Namayingo District have confronted members of the Sugar Council, demanding an explanation for the prolonged delay in licensing CN Sugar Company, whose factory project…

Recently
Uncategorized · Watchdog Uganda

FR LAZAR ARASU: From Assisi to the Amazon: What Saint Francis Teaches Us About Saving the Earth

Francis was the son of a wealthy cloth merchant, born in Assisi, Italy, in 1181. His father hoped he would follow in his footsteps and build a prosperous business, but…

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

US murderer unconscious and on ventilator after failed execution

As of Thursday night, Pike remained critically ill and is being treated at a hospital in Nashville, Tennessee.

Recently
Uncategorized · Chimpreports

Afwerki Heads to Egypt for Security Summit After Eritrea Severs Ties with Ethiopia

Eritrean President Isaias Afwerki left for Egypt early Saturday for a working visit and a summit on regional s..

Recently
Uncategorized · Chimpreports

Museveni Orders Action on Ankole Killings

KAMPALA — President Yoweri Museveni has directed the Ministry of Internal Affairs and security agencies to inv..

Recently
Uncategorized · Capital FM

Korean firms target Kenya’s cosmetics, food market

Latest · Business

Recently
Uncategorized · Mwananchi

Mwinyi apangua Baraza la Mawaziri, ateua wanne wa ACT

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Belgium's De Bruyne fires double to sink Turkey, France held by Italy

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Standard

Riara University probes alleged student assault in viral video

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

17 killed: NTSA sends team to probe Salama crash

NTSA says Mlima Kiu-Salama stretch is a blackspot as team investigates circumstances of crash

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

Mama Maria Nyerere Awapa Baraka Washiriki wa Vodacom Nyerere Cycling Tour

Mtoto wa Baba wa Taifa, hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Madaraka Nyerere akizungumza wakati wa hafla ya kuwaaga waendesha baiskeli wa Nyerere Cycling Tour na kutoa salamu za familia ya Mwalimu Nyerere. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam kabla ya kuanza safari ya Nyerere Cycling Tour kuelekea Butiama, mkoani Mara, ikiwa na lengo la kumuenzi Mwalimu Nyerere na kuunganisha mchezo wa baiskeli na jitihada za kuleta matokeo chanya katika jamii. Mama Maria Nyerere (katikati) akizungumza wakati alipokutana na waendesha baiskeli wa msafara wa Nyerere Cycling Tour ambapo Vodacom Tanzania Plc waliokwenda kumuaga na kupata baraka zake kabla ya kufanya mashindano ya Vodacom Coastal Classic pamoja na Nyerere Cycling Tour. Safari ya Nyerere Cycling Tour kutoka Dar es Salaam hadi Butiama, mkoani Mara, inalenga kumuenzi Baba wa Taifa, hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, kwa kuunganisha mchezo wa baiskeli na jitihada za kuleta matokeo chanya katika jamii. Kupitia safari hiyo, waandaaji na washirika wanatarajia kutekeleza shughuli mbalimbali zinazogusa elimu, afya, uhifadhi wa mazingira, elimu ya fedha na maendeleo ya jamii zikiwemo utoaji wa madawati 1,000, ujenzi wa madarasa 10, ukarabati wa madarasa 40 na upandaji miti, huku shughuli hizo zikitarajiwa kuwafikia zaidi ya watu 25,000. Tukio hilo lilishuhudiwa na Meneja mauzo mwandamizi wa Vodacom Tanzania PLC Caleb Majo(kulia), mtoto wa Mwalimu Nyerere - Madaraka Nyerere (wa pili kushoto) na Wilmot Ishengoma, Mkuu wa Kitengo cha Tahadhari wa Stanbic Bank Tanzania (kushoto) pamoja na wadau wengine wa mchezo wa baiskeli. Tukio hilo lilifanyika wikendi hii, jijini Dar es salaam. Meneja Mauzo na mkakati wa biashara wa kanda ya Dar es Salaam na Pwani wa Vodacom Tanzania Plc, Caleb Majo akizungumza na waendesha baiskeli wa Nyerere Cycling Tour wakati wa hafla ya kuwaaga na kupata baraka kutoka kwa Mama Maria Nyerere kabla ya kuanza mashindano ya Vodacom Coastal Classic pamoja na safari ya Nyerere Cycling Tour kutoka Dar es Salaam hadi Butiama, mkoani Mara. Safari hiyo inalenga kumuenzi Baba wa Taifa, hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, kupitia mchezo wa baiskeli na shughuli za maendeleo ya jamii. Waendesha baiskeli wa msafara wa Nyerere Cycling Tour wakimsikiliza Mama Maria Nyerere akizungumza wakati wa hafla ya kuwaaga na kupata baraka zake kabla ya kuanza mashindano ya Vodacom Coastal Classic pamoja na safari ya Nyerere Cycling Tour kutoka Dar es Salaam hadi Butiama, mkoani Mara. Safari hiyo inalenga kumuenzi Baba wa Taifa, hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, huku ikiunganisha mchezo wa baiskeli na jitihada za kuleta matokeo chanya katika jamii. Waendesha baiskeli wa msafara wa Nyerere Cycling Tour wakisikiliza wazungumzaji wakati wa kikao cha kuwaaga na kupata baraka kutoka kwa Mama Maria Nyerere kabla ya kuanza mashindano ya Vodacom Coastal Classic pamoja na safari ya Nyerere Cycling Tour kutoka Dar es Salaam hadi Butiama, mkoani Mara. Safari hiyo inalenga kumuenzi Baba wa Taifa, hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, huku ikiunganisha mchezo wa baiskeli na jitihada za kuleta matokeo chanya katika jamii. Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania Plc wakiwa katika picha ya pamoja na Mama Maria Nyerere, Madaraka Nyerere, Meneja Mauzo na Mkakati wa Biashara wa Kanda ya Dar es Salaam na Pwani wa Vodacom Tanzania Plc Caleb Majo na Mkuu wa kitengo cha tahadhari wa Stanbic Bank, Wilmot Ishengoma, baada ya hafla ya kuwaaga na kupata baraka kwa waendesha baiskeli wa Nyerere Cycling Tour jijini Dar es Salaam. Safari hiyo kutoka Dar es Salaam hadi Butiama, mkoani Mara, inalenga kumuenzi Baba wa Taifa, hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, kupitia mchezo wa baiskeli na shughuli za maendeleo ya jamii.

Sat, 03 Oct 2026 11:01:24 +0000
Uncategorized · Mwananchi

Jaji Mkuu, Jaji Kiongozi waburutwa kortini

Soma hapa...

Recently
Uncategorized · PML Daily

Katongole resigns as URA board chairman after six months

KAMPALA — Uganda Revenue Authority (URA) Board Chairman Emmanuel Katongole has resigned from his position barely six months after taking charge of the tax body. Katongole, who assumed the chairmanship on...

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

WATCH LIVE: Funeral Service for Mwalimu Jackson Karua, Martha Karua’s father, in Gichugu, Kirinyaga

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Capital FM

MPs Probe Petition Challenging telcos Over SIM Card Deactivation, Number Reassignment

NATIONAL NEWS · Quick read

Recently
Uncategorized · Capital FM

Gachagua Mourns 17 Catholic Pilgrims Killed in Salama Crash

NATIONAL NEWS · 6 hours ago

Recently
Uncategorized · Capital FM

Wiper Dismisses Claims Kalonzo Could Back Ruto in 2027

NATIONAL NEWS · 5 hours ago

Recently

Page 902 of 1137 · 22726 stories