Search the region
22723 stories
Gachagua claims President Ruto’s media outburst stemmed from foiled Mrima Hill Mineral deal
Read the full report from the original source.
RecentlyNgozi Okonjo-Iweala: The African woman at the centre of new global trade order
Read the full report from the original source.
RecentlyNtungamo warns against low immunisation as uptake measles-rubella campaign targets 90,000 children
Read the full report from the original source.
RecentlyCCM YARIDHISHWA NA UJENZI WA SKULI YA SEKONDARI KAMA
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Ndugu Abdi Mahamoud Abdi, amesema CCM imeridhishwa na hatua iliyofikiwa katika ujenzi wa Skuli ya Sekondari Kama, akieleza kuwa mradi huo ni sehemu ya utekelezaji wa Ilani ya CCM kwa vitendo. Ndugu Abdi ameyasema hayo leo, Oktoba 3, 2026, wakati akiendelea na ziara yake ya kukagua uhai wa Chama hicho pamoja na kusikiliza changamoto za wananchi, ambapo ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Skuli ya Sekondari Kama. Amesema ujenzi wa miundombinu ya kisasa ya elimu ni miongoni mwa jitihada za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika kutekeleza Ilani ya CCM, hatua ambayo inalenga kurahisisha upatikanaji wa huduma za elimu na kuboresha mazingira ya kujifunzia kwa wanafunzi. Ndugu Abdi ameipongeza Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inayoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, kwa kuendelea kutekeleza Ilani ya CCM kwa vitendo kupitia miradi mbalimbali ya maendeleo, ikiwemo sekta ya elimu. Aidha, amesema CCM itaendelea kufuatilia na kusimamia kwa karibu utekelezaji wa miradi inayotekelezwa na Serikali, huku akiwataka walimu, wananchi na wasimamizi wa mradi huo kuhakikisha ujenzi unakamilika kwa wakati ili skuli hiyo ianze kutoa huduma kwa wananchi. Kwa upande wake, Mshauri wa Kazi wa mradi huo, Ndugu Abeli Beni, amesema ujenzi wa Skuli ya Sekondari Kama umefikia asilimia 80 na kwamba mradi huo unakadiriwa kugharimu Sh bilioni 3 hadi kukamilika. Amesema mradi huo unatarajiwa kukamilika mwezi Novemba mwaka huu. Naye Mkuu wa Wilaya ya Magharibi A, Ndg. Laila Burhan Ngozi, amesema mradi huo unaendelea vizuri na kwamba ameridhishwa na hatua iliyofikiwa katika ujenzi wake. Amesema kukamilika kwa skuli hiyo kutasaidia kupunguza changamoto ya msongamano wa wanafunzi madarasani na hivyo kuboresha mazingira ya utoaji na upatikanaji wa elimu katika eneo hilo.
Sat, 03 Oct 2026 09:44:17 +0000Ruto mourns 17 pilgrims killed in Salama road accident
President William Ruto has sent condolences to the families of 17 pilgrims who died in a road accident at Salama along the Nairobi-Mombasa Highway in Makueni County. The victims were…
RecentlyDk Mwigulu akagua mradi wa Hospitali ya Wilaya Bunda
Read the full report from the original source.
RecentlyThe $100 sandal that sparked a Ghanaian e-Commerce engine
Read the full report from the original source.
RecentlyMAGHEMBE AZINDUA KITABU CHA MT. FRANSISKO WA ASIZI, AHIMIZA WATANZANIA KUHIFADHI URITHI WA WAFRANSISKANI
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Ngwaru Jumanne Maghembe (Mb.), amezindua kitabu “Saint Francis of Assisi in Tanzania: A Living Presence – Mtakatifu Fransisko wa Asizi: Uwepo Ulio Hai Tanzania”, akieleza kuwa ni nyenzo muhimu ya kuhifadhi historia na mchango wa Wafransiskani katika maendeleo ya Tanzania, hususani katika elimu, afya na huduma za kijamii. Hafla ya uzinduzi ilifanyika tarehe 2 Oktoba 2026 katika ukumbi wa Padre Pio Shrine Pastoral Centre, Msimbazi, jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 800 tangu kifo cha Mtakatifu Fransisko wa Asizi. Kitabu hicho kinaelezea historia ya Wafransiskani pamoja na mchango wao katika kuleta maendeleo ya jamii nchini Tanzania. Akizungumza katika hafla hiyo Mhe. Maghembe amesema Tanzania inathamini mchango wa Wafransiskani katika kuleta maendeleo ya jamii na amesisitiza dhamira ya Serikali ya kuendelea kushirikiana na taasisi za dini katika utoaji wa huduma na kuimarisha ustawi wa wananchi, huku historia ya Wafransiskani ikiendelea kuwa sehemu muhimu ya urithi wa Tanzania. Uzinduzi huo pia umeangazia nafasi ya urithi wa Wafransiskani katika kujenga madaraja ya urafiki na kuimarisha mahusiano kati ya Tanzania na Italia, kupitia uhusiano wa watu na taasisi katika nyanja za kijamii, kiutamaduni na maendeleo. Naye Balozi wa Italia nchini Tanzania, Mhe. Giuseppe Coppola, alieleza kuwa kitabu hicho kinaonesha namna urithi wa Mt. Fransisko ulivyojenga daraja la urafiki wa kindugu kati ya Tanzania na Italia, pamoja na kuonesha mchango wa familia ya Wafransiskani katika maendeleo ya kijamii na kiutamaduni nchini. Kwa upande wake, Balozi wa Uswisi nchini Tanzania, Mhe. Nicole Providoli, alieleza historia ya Wafransiskani kutoka Uswisi waliofika Tanganyika mwaka 1921 na mchango wao katika sekta za elimu, afya na maendeleo ya jamii. Alisema mchango huo umekuwa sehemu muhimu ya kuimarisha uhusiano wa kihistoria na ushirikiano kati ya Uswisi na Tanzania.
Sat, 03 Oct 2026 09:26:16 +0000Financial literacy gap leaves two in three Tanzanians struggling
Read the full report from the original source.
RecentlyKadogosa : Uwanja wa Msalato ukamilike kwa muda uliopangwa
Read the full report from the original source.
RecentlySerikali yaokoa bilioni 13.77/- katika ugomboaji wa mizigo
Read the full report from the original source.
RecentlySenate Leaders Call for Skills Audit Ahead of Proposed Lamu Oil Refinery
Latest · Africa
RecentlyHow growing demand for internet is creating new businesses in Tanzania
Read the full report from the original source.
RecentlyRuto mourns 17 pilgrims killed in Salama crash
The pilgrims were travelling to Subukia National Shrine for the National Prayer Day
RecentlyDKT. MWIGULU AKAGUA MRADI WA HOSPITALI YA WILAYA YA BUNDA.
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Oktoba 03, 2026 amekagua mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Bunda mkoani Mara ambapo mpaka sasa kiasi cha shilingi bilioni 5.3 kimeshatolewa hadi sasa kwa ajili ya ujenzi wa hospitali hiyo. Akizungumza na watumishi wa hospitali hiyo, Dkt. Mwigulu amesema kuwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anatambua kazi kubwa inayofanywa na watumishi katika sekta ya afya kwenye kuwahudumia Watanzania. Aidha, Dkt. Mwigulu amesema kuwa Serikali itaendelea kuweka mkazo katika kuboresha mazingira ya huduma za afya. “Lakini pia tutaendelea kuboresha na kuhakikisha kwamba watumishi hawakwamishwi na vitendea kazi wala mazingira ya kazi katika uhudumiaji katika sekta hiyo ya afya”. Lengo kuu la mradi huo ni kutoa huduma za ngazi ya Hospitali ambazo hazikua zikipatikana maeneo haya na wananchi walilazimika kuzifuata mbali kama Bunda Mjini au Mugumu-Serengeti .
Sat, 03 Oct 2026 09:08:35 +0000Tanzania brings forward school closing date over heavy rain concerns
Read the full report from the original source.
RecentlyMPs summon Murkomen, Kanja over Samburu livestock killings
Parliament has summoned Interior CS Kipchumba Murkomen and IG Douglas Kanja over a security operation in Samburu in which residents say more than 700 livestock were killed.
Sat, 03 Oct 2026 11:43:56 +0300Meya wa Kyiv avuga ko Uburusiya bwarashe iteme rinini rya kabiri ryo muri uwo mujyi
Igitero ku Iteme ry'Amajyaruguru kibaye nyuma y'ibitero byinshi byibasiye irindi teme rinini mu minsi ya vuba aha ishize.
RecentlyUganda Cranes Beat DR Congo 2–0 in Johannesburg
Read the full report from the original source.
RecentlyAnalysts link revenue growth to new collection measures
DAR ES SALAAM: THE Tanzania Revenue Authority (TRA) and Zanzibar Revenue Authority (ZRA) exceeded their revenue collection targets for the…
RecentlyPage 904 of 1137 · 22723 stories