Search the region
22720 stories
Salama road crash kills 17 pilgrims heading to Subukia
The accident occurred on Saturday, October 3, shortly after midnight when a lorry reportedly lost control after its brakes failed and rammed into several vehicles, including a 14-seater matatu.
RecentlyGashikanwa : chronique d’une femme qui s’accroche à une justice qui la fuit
Se résigner face à l’injustice, se cacher derrière les inégalités de genre, se complaire dans une coutume discriminante, c’est souvent le choix que font la plupart des femmes qui préfèrent subir l’injustice, soi-disant pour préserver l’harmonie et l’entente au sein […] L’article Gashikanwa : chronique d’une femme qui s’accroche à une justice qui la fuit est apparu en premier sur Yaga Burundi .
Sat, 03 Oct 2026 07:20:54 +0000Omani co-pilot on Flydubai attempted 'terrorist' act — UAE
Read the full report from the original source.
RecentlyV&A gives Miss Uganda finalist one night to unwind ahead of grand finale
As the Miss Uganda Grand Finale draws closer, the intensity is building, with finalists navigating rigorous training, rehearsals, challenges and the growing pressure that comes with competing for the crown. V&A...
RecentlyCHIMP SPORT: Cranes Stun DR Congo in First Friendly
Read the full report from the original source.
RecentlyCHIMP SPORT: Uganda Names 25 Athletes for Dakar 2026 Youth Olympic Games
Read the full report from the original source.
RecentlyPSG's Torres latest Spain injury concern
Read the full report from the original source.
RecentlyRegional intrigue as Uganda’s Military Chief Gen. Muhoozi backs Ruto for 2027 re-election
Read the full report from the original source.
RecentlyKsh. 6.4B boost for NYS as Gov't targets 100,000 youth
Read the full report from the original source.
Recently17 pilgrims killed in multiple-vehicle crash on Nairobi-Mombasa Highway
17 people have been killed in a road accident at Salama along the Nairobi-Mombasa Highway in Makueni County. The accident occurred on Saturday, October 3, shortly after midnight when a…
RecentlyHistory awaits as Kenya names squad for Pan African Karting Championships
Latest · Motorsport
RecentlyAnne Juuko takes charge at EADB as regional lender begins new leadership era
KAMPALA — Ugandan banker Anne Juuko has assumed the top executive position at the East African Development Bank (EADB), taking charge of the regional lender as it moves to strengthen its...
RecentlyAmajwi, Imvo n'Imvano: Kuki bishobora kutoroha gutuza inzoga zitubahiriza amategeko mu Burundi? , Umwanya bimara 59,00
Nk'uko biherutse kuba mu Rwanda, mu Burundi reta ku ndwi iheze yasohoye ingingo yo kubuza icuruzwa ry'inzoga n'inganda zizikora zagirizwa kurenza urugero zari zemerewe.
RecentlyDkt. Shekalaghe Aongoza Kikao Kazi Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali
Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Dkt. Seif Shekalaghe akikaribishwa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kuendesha kikao kazi na wajumbe wa menejimenti wa Ofisi hiyo kilichofanyika jijini Dar es salaam. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Mhe. Balozi Baraka Luvanda akikaribishwa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kushiriki kikao kazi na wajumbe wa menejimenti ya Ofisi hiyo kilichofanyika jijini Dar es salaam. Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Dkt. Seif Shekalaghe akisalimiana na watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati anawasili kuendesha kikao kazi na menejimenti ya Ofisi hiyo kilichofanyika jijini Dar es salaam. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Mhe. Balozi Baraka Luvanda akisalimiana na watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati anawasili kushiriki kikao kazi na menejimenti ya Ofisi hiyo kilichofanyika jijini Dar es salaam. Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akimkaribisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Dkt. Seif Shekalaghe Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kuendesha kikao kazi na menejimenti ya Ofisi hiyo kilichofanyika jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Dkt. Seif Shekalaghe akizungumza na uongozi na menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati wa kikao kazi kilichofanyika jijini Dar es salaam. Baadhi ya wajumbe wa menejimenti wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakijitambulisha kabla ya kikao kazi cha Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Dkt. Seif Shekalaghe (hayupo pichani) kilichofanyika jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Dkt. Seif Shekalaghe akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kuendesha kikao kazi na menejimenti ya Ofisi hiyo jijini Dar es salaam. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Mhe. Balozi Baraka Luvanda akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kushiriki kikao kazi na menejimenti ya Ofisi hiyo jijini Dar es salaam. Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Dkt. Seif Shekalaghe akipokea nyaraka mbalimbali za utendaji kazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali baada ya kikao kazi hicho na menejimenti ya Ofisi hiyo kilichofanyika jijini Dar es salaam. Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Dkt. Seif Shekalaghe akiwa kwenye picha ya pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Mhe. Balozi Baraka Luvanda, Wakili Mkuu Wa Serikali, Dkt. Ally Possi na Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi.Alice E. Mtulo baada ya kikao kazi kilichofanyika jijini Dar es salaam. Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati wa kikao kazi baina ya menejimenti ya Ofisi hiyo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Dkt. Seif Shekalaghe (hayupo pichani) kilichofanyika jijini Dar es Salaam. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikal, Bi. Prisca Ulomi akiongoza ratiba ya kikao kazi baina ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Dkt. Seif Shekalaghe (hayupo pichani) na menejimenti ya Ofisi hiyo jijini Dar es Salaam. Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi na Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo wakiagana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Dkt. Seif Shekalaghe na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mhe. Balozi Baraka Luvanda baada ya kikao kazi kilichofanyika jijini Dar es salaam. Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Dkt. Seif Shekalaghe akiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali baada ya kikao kazi kilichofanyika jijini Dar es salaam.
Sat, 03 Oct 2026 06:58:04 +0000Kayunga Schools Resist Measles Vaccination Campaign
Read the full report from the original source.
RecentlyGovernment Emergency SMS to Bypass DND and Opt-Out Requests for El Niño Alerts
Read the full report from the original source.
RecentlyKaran makes history in Tanzania after clinching third African title
Latest · Motorsport
RecentlyUWT PWANI YAADHIMISHA WIKI YA WANAWAKE KWA MATENDO YA HURUMA
Na Victor Masangu, Pwani UMOJA wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Pwani umeadhimisha Wiki ya Wanawake kwa kufanya matendo ya huruma kwa akina mama katika Kituo cha Afya Mkoani, kilichopo Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha, huku ukifanya usafi wa mazingira katika baadhi ya maeneo. Maadhimisho hayo yameongozwa na Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Pwani, Zainabu Vullu, ambaye aliambatana na viongozi mbalimbali wa jumuiya hiyo kutoka ngazi ya Mkoa, Wilaya na Kata. Katika kuadhimisha wiki hiyo, viongozi hao walitembelea Wodi ya Wazazi katika Kituo cha Afya Mkoani na kutoa mahitaji mbalimbali ya msingi kwa wanawake wajawazito na waliojifungua, ikiwemo sabuni za kuogea na kufulia, mafuta ya kupaka, maji, juisi pamoja na mahitaji mengine. Akizungumza baada ya zoezi hilo, Vullu alisema amefarijika kuungana na wanawake wenzake katika kuadhimisha wiki hiyo kwa kufanya matendo yenye kugusa maisha ya jamii. “Kwa kweli nimefarijika sana kuungana na wanawake wenzetu katika siku hii muhimu ya wiki yetu. Tumeamua kufanya maadhimisho haya katika Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha kwa kufanya matendo ya huruma katika Kituo cha Afya Mkoani pamoja na usafi katika nyumba za Katibu wa UWT Mkoa na Katibu wa UWT Wilaya,” alisema. Kwa upande wake, Katibu wa UWT Mkoa wa Pwani, Aziza Omary, aliwataka wanawake kuwa na upendo na mshikamano, huku akiwahimiza kushirikiana katika shughuli mbalimbali za jumuiya na kuachana na makundi. Alisema baada ya kukamilika kwa chaguzi mbalimbali, ni wakati wa wanawake kuunganisha nguvu na kushirikiana katika kuimarisha jumuiya hiyo. Naye Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Kibaha Mjini, Elina Mgonja, alisema maadhimisho hayo yamewapa fursa ya kufanya shughuli za kijamii, ikiwemo usafi na matendo ya huruma. Aliwahimiza wanawake kuendelea kuwa mstari wa mbele katika kuijenga jumuiya hiyo kuanzia ngazi za chini, huku akiwataka kufanya kazi kwa bidii ili kuchangia maendeleo ya jamii. Awali, akitoa taarifa ya utekelezaji wa shughuli za maadhimisho hayo, Katibu wa UWT Wilaya ya Kibaha Mjini, Cesilia Ndaru, alisema jumuiya hiyo imefanya shughuli mbalimbali za kijamii kuanzia ngazi za matawi na mashina. Alisema pia wamewahimiza wanawake kuweka mikakati endelevu ya kuongeza wanachama wapya kwa lengo la kuimarisha jumuiya pamoja na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kwa upande wake, Katibu wa Kituo cha Afya Mkoani, Saimon Swai, aliwashukuru viongozi wa UWT Mkoa na Wilaya ya Kibaha Mjini kwa kuchagua kutumia maadhimisho hayo kutoa msaada kwa wanawake waliopo katika Wodi ya Wazazi. Swai alisema msaada huo utasaidia kukidhi baadhi ya mahitaji ya akina mama pamoja na watoto wanaopatiwa huduma katika kituo hicho. Maadhimisho hayo yamehitimishwa kwa kufanya matendo ya huruma katika Kituo cha Afya Mkoani pamoja na zoezi la usafi katika nyumba za Katibu wa UWT Mkoa na Katibu wa UWT Wilaya ya Kibaha Mjini.
Sat, 03 Oct 2026 06:52:42 +0000DC MPYA PANGANI AAHIDI KUWAFIKIA WANANCHI, KUSIMAMIA FURSA ZA MAENDELEO
Na Oscar Assenga, Tanga MKUU mpya wa Wilaya ya Pangani, Mwanaidi Adadi Rajabu, ameahidi kuwatumikia wananchi kwa uaminifu na kusimamia kikamilifu miradi ya maendeleo pamoja na fursa mbalimbali zilizopo wilayani humo kwa lengo la kuongeza kasi ya maendeleo. Mwanaidi ametoa ahadi hiyo mara baada ya kuapishwa rasmi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Pangani katika hafla iliyofanyika mkoani Tanga, akimshukuru Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuwaamini vijana na kuwapa nafasi za uongozi katika taifa. Alisema Pangani ina fursa nyingi za maendeleo na uwekezaji ambazo zinahitaji kusimamiwa kwa karibu ili ziweze kuwanufaisha wananchi na kuchangia ukuaji wa uchumi wa wilaya hiyo. “Katika wilaya ya Pangani kuna fursa nyingi sana ambazo tunakwenda kuzisimamia, ikiwemo miradi ya Serikali iliyopo na ambayo itaendelea kuletwa katika wilaya yetu,” alisema. Mwanaidi pia alimpongeza Rais Samia kwa namna anavyoendelea kuiunga mkono Tanga, hususan Wilaya ya Pangani, kupitia utekelezaji wa miradi na uwekezaji mbalimbali wa maendeleo. Alisema miongoni mwa fursa zilizopo Pangani ni Hifadhi ya Taifa ya Saadani, bahari, kilimo cha minazi pamoja na uwekezaji katika miundombinu, ikiwemo ujenzi wa daraja kubwa unaotekelezwa kwa uwekezaji wa Serikali. “Maendeleo ni mengi Pangani na fursa za uwekezaji ni nyingi. Tunamshukuru Rais kwa kuendelea kutuona wana-Pangani na kuendelea kuleta maendeleo katika eneo letu,” alisema. Akizungumzia namna atakavyowatumikia wananchi, Mwanaidi alisema atahakikisha anakuwa karibu nao kwa kuwafikia walipo na kusikiliza kero zinazowakabili, akieleza kuwa atatumia uzoefu alioupata katika uongozi wake wa awali wilayani Korogwe. Alisema elimu ni miongoni mwa maeneo atakayoyapa kipaumbele, huku akieleza kuwa tayari wamejipanga kuboresha mazingira ya kujifunzia, ikiwemo ujenzi wa madarasa na upatikanaji wa madawati. Aliwataka wanafunzi kusoma kwa bidii kwa kuwa wao ndio taifa la kesho, huku akisisitiza umuhimu wa jamii kushirikiana katika kuboresha elimu kwa ajili ya maendeleo ya Pangani na taifa kwa ujumla.
Sat, 03 Oct 2026 06:49:07 +0000BODI YA UTALII YATUMIA MICHUANO YA AFCON KUTANGAZA TANZANIA KIMATAIFA
Na Mwandishi Wetu NCHI ya Tanzania inaendelea kutumia fursa ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) kujitangaza kimataifa kupitia kampeni ya Destination Tanzania. Kupitia kampeni hiyo imewaalika wanahabari na watengeneza maudhui kutoka mataifa mbalimbali kuja kujionea vivutio vya utalii, utamaduni na maandalizi ya Tanzania kuelekea michuano hiyo. Akizungumza jijini Dar es Salaam wakati wa kuwapokea wanahabari na watengeneza maudhui kutoka Marekani, Canada, Afrika Kusini, Ufaransa na Uingereza, Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk. Hassan Abbas, amesema ziara hiyo ya siku saba inalenga kuwawezesha wageni hao kutembelea vivuti vya utalii. Pamoja na kuona maandalizi yanayofanyika kuelekea AFCON, ili kutumia majukwaa yao kufikisha ujumbe kuhusu Tanzania katika masoko ya kimataifa. “Kupitia ziara hii, Tanzania inalenga kutumia ushawishi wa wanahabari na watengeneza maudhui hawa kufikisha ujumbe kuhusu utalii, michezo, utamaduni na fursa nyingine zilizopo nchini kwa hadhira kubwa nje ya Tanzania,” amesema Dk. Abbas. Katika mazungumzo yake na wageni hao, Dk. Abbas amewaalika kurejea nchini kwa mara nyingine ili kushuhudia na kutangaza mashindano ya AFCON pamoja na uzoefu wa Tanzania kama mwenyeji. Kwa upande wake, Kaimu Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Dk. Theresa Mugobi, amesema kampeni ya Destination Tanzania inalenga kuongeza uelewa kuhusu vivutio na fursa mbalimbali za utalii zilizopo nchini. Amesema ushiriki wa wanahabari na watengeneza maudhui katika kutangaza Tanzania unaweza kusaidia kufikisha ujumbe wa utalii katika masoko mbalimbali kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii. Awali John Jackson ambaye ni Mtanzania aliyehusika kuwaalika wageni hao nchini, amesema ziara hiyo inalenga kuwawezesha kuifahamu Tanzania kwa karibu na kupata uzoefu wa moja kwa moja utakaowawezesha kutengeneza maudhui yenye kuvutia kwa hadhira zao. “Wageni hawa katika kipindi cha siku saba watatembelea maeneo mbalimbali ya utalii, ikiwamo Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, Ngorongoro, Mlima Kilimanjaro na Zanzibar, huku pia wakipata fursa ya kuona miundombinu ya michezo,” amesema Jackson. Amewataja wageni hao ni Sara Poraria kutoka Canada, Karina Bermudez kutoka Marekani, Geneefah Lee kutoka Afrika Kusini, Alizee Morat kutoka Ufaransa, pamoja na Adam Britton na Cameroon James kutoka Uingereza.
Sat, 03 Oct 2026 06:40:17 +0000Page 906 of 1136 · 22720 stories