Unganishwa

Search the region

22711 stories

Business · Issa Michuzi

TADB Yapaa Kimataifa Yatwaa Tuzo Ya Ufadhili Wa Kilimo

BENKI ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imetunukiwa tuzo ya Ubora katika Suluhisho za Ufadhili wa Kilimo Tanzania katika tuzo za Global Brand Awards, zilizofanyika Dubai hivi karibuni Tuzo hiyo inatambua juhudi za TADB katika kuendeleza suluhisho bunifu za kifedha kwa sekta ya kilimo, ikiwemo ufadhili wa kijani, unaolenga kukuza uwekezaji endelevu na kuimarisha uwezo wa sekta ya kilimo kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Akizungumza katika hafla hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa TADB, Frank Nyabundege, alisema tuzo hiyo itaendelea kuhamasisha benki kubuni na kutoa suluhisho za kifedha endelevu zinazochochea mageuzi ya kilimo na kuchangia utekelezaji wa malengo ya Dira ya Maendeleo ya Tanzania 2050. Tuzo hiyo ilipokelewa kwa niaba ya TADB na Frank Nyabundege, Mkurugenzi Mtendaji; Mkani Waziri, Mkurugenzi wa Mipango, Ushauri na Mahusiano ya Taasisi; na Irene John, Meneja wa Masoko, Huduma kwa Wateja na Mahusiano ya Taasisi.

Sat, 03 Oct 2026 04:15:20 +0000
Business · Issa Michuzi

MRADI WA UMWAGILIAJI IDUDUMO III KUINUA UZALISHAJI WA KILIMO

ONGEZEKO la mradi wa umwagiliaji Idudumo III  uliopo Nzega, mkoani Tabora kutoka hekta 173 hadi kufikia hekta 1,500 umepongezwa kwa kulenga kuchochea kasi ya uzalishaji wa mazao na kuleta tija ya kiuchumi kwa wakulima. Hayo yamesemwa tarehe 2 Oktoba 3026 na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo, Mhe. Deodatus Philip Mwanyika (Mb) wakati wa ziara ya kikazi mkoani humo.  Ameipongeza Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NiRC) chini ya uongozi wa Mkurugenzi Mkuu Raymond Mndolwa kwa kuhakikisha mradi huo unasimamiwa kwa  thamani halisi ya fedha  ambapo wanufaika ni wananchi wa Nzega, mkoani Tabora. “Miradi hii inagusa moja kwa moja maisha ya wananchi na kutoa fursa kubwa za kiuchumi. Ni muhimu wananchi watambue kuwa miundombinu hii ni ya kwao na wanapaswa kushiriki kikamilifu katika kuitunza na kuchangia huduma kwa mujibu wa sheria ili iweze kudumu na kuleta tija iliyokusudiwa,” amesema Mhe. Mwanyika. Kwa upande wake, Waziri wa Kilimo, Mhe. Daniel Chongolo, amesema kuwa kilimo cha umwagiliaji ni azma ya Serikali ya kuimarisha usalama wa chakula kwa kuleta mapinduzi katika Sekta ya Kilimo kupitia umwagiliaji, akibainisha kuwa uwekezaji huo unalenga kumkomboa mkulima mdogo na kukuza uzalishaji wenye tija.

Sat, 03 Oct 2026 04:09:53 +0000
Sports · Mwanaspoti

Wanajeshi kuipa makali Yanga

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Mwananchi

Nyuma ya pazia maisha Wicknell Chivayo, bilionea rafiki wa marais Afrika

Soma hapa...

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Henry Wooster approved as new US envoy to Kenya

His confirmation comes just in time as the election year is getting underway

Recently
Uncategorized · Business Daily

The 50-year-old building the body she wants at 80

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

Co-pilot on Flydubai flight was banned from flying by Oman

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Standard

Standard Group protest: Stranded demonstrators raise questions over who paid them

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Mwanaspoti

Ugumu ratiba EPL dhidi ya matokeo

Tunaangalia tena matarajio ya kabla ya msimu kwa klabu za Ligi Kuu England (EPL) katika mechi tano za kwanza na kutathmini zimefanya vizuri kwa kiwango gani ikilinganishwa na ugumu uliodhaniwa wa...

Recently
Uncategorized · The Standard

From anger to money and infighting: The comical attack on Standard Group

What was billed as an attack on the Standard Group offices in defence of President William Ruto ended as a shouting match among the protesters.

Sat, 03 Oct 2026 06:30:00 +0300
Uncategorized · The Standard

Kang'o ka Jaramogi emerges as a fortress of knowledge and history ahead of Raila's first anniversary

Read the full report from the original source.

Recently
Sports · Mwanaspoti

Fainali ya mabingwa Ngao ya Jamii

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Daily News

Tanzania steps up tourism promotion ahead of AFCON

DAR ES SALAAM: TANZANIA is continuing to use the Africa Cup of Nations (AFCON) as an opportunity to promote the…

Recently
Sports · Mwanaspoti

Huku ukizubaa tu umeachwa

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

US, Australia suspend consular services in Brazil

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Mwanaspoti

Kumtetea ‘goat’ Ronaldo ni kazi ngumu, tunaelekea kushindwa

Soma zaidi hapa

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

October crunch time puts political parties to the test

Sifuna, Owalo, Babu face strict electoral timelines

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Senators sound alarm over 2027 election violence

Lawmakers trade accusations as fears grow over goons, hate speech, voter registration and political incitement

Recently
Sports · Mwanaspoti

Mastaa Yanga wakwepa mtego

Soma zaidi hapa

Recently
Sports · Mwanaspoti

Keletso afichua jambo Simba SC

Soma zaidi hapa

Recently

Page 908 of 1136 · 22711 stories