Unganishwa

Search the region

22694 stories

Uncategorized · DW Rwanda

Argentina launches cash-for-citizenship scheme

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Daily News

VP Ndejembi sees Tanzania lead Africa in connecting power to its citizens as per World Bank statistics

Read the full report from the original source.

Recently
National · Issa Michuzi

WATAKA SERIKALI KUENDELEZA MAKONGAMANO YA VIJANA KUJIFUNZA FURSA ZA KIUCHUMI

Jane Mwakyoma, okt 2, 2026 | Rukwa VIJANA wa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa wameitaka Serikali kuendelea kuandaa makongamano ya uwezeshaji wananchi kiuchumi, yanayowakutanisha vijana kujifunza na kutambua fursa zinazowazunguka katika jamii ili kuwa na vyanzo endelevu vya kipato. Wakizungumza katika Kongamano la Pili la Fursa kwa Vijana lililofanyika leo katika Manispaa hiyo, walisema makongamano hayo yanawasaidia kupata elimu na maarifa ya kutambua na kutumia fursa za kiuchumi zilizopo katika maeneo yao. Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga, Nasir Kilusha, alisema kongamano hilo pia linalenga kutoa elimu ya uraia na kuwahamasisha vijana kushiriki katika ujenzi wa Taifa, kutambua wajibu wao kama raia na kujenga uzalendo. Akifungua kongamano hilo, Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Charles Makongoro Nyerere, aliwataka vijana kutumia fursa hiyo kupata elimu itakayowasaidia kufungua fursa za kiuchumi, akiwataka pia kuwekeza katika sekta za uvuvi na ufugaji kama njia ya kujipatia kipato. Makongoro alisisitiza pia umuhimu wa vijana kulinda amani ya nchi, akisema maendeleo yanahitaji amani, utulivu na mshikamano. Kwa upande wake, Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga, Nyakia Ally Chirukile, aliwataka vijana kuendelea kuhudhuria makongamano ya uwezeshaji wananchi kiuchumi na kutumia elimu wanayoipata kujikwamua kiuchumi. Aidha, Chirukile aliwataka vijana kuchangamkia fursa ya mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na Halmashauri kupitia vikundi kwa ajili ya kuwawezesha kukuza shughuli zao za kiuchumi. Alisema vijana pia wanapaswa kushiriki katika Kongamano la Vijana Kitaifa litakaloanza Oktoba 8, 2026, katika viwanja vya Shule ya Msingi Ndua, ambalo litaambatana na kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa kinachotarajiwa kufanyika Oktoba 14 katika Viwanja vya Nelson Mandela. Kongamano hilo limefanyika chini ya kauli mbiu “Vijana Tuyajenge, Tanzania ni Yetu Sote”, likiwa na lengo la kuhamasisha uungwaji mkono na uendelezaji wa fursa kwa vijana pamoja na kuwajengea uwezo wa kutambua na kutumia fursa za kiuchumi zilizopo katika maeneo yao.

Fri, 02 Oct 2026 14:21:20 +0000
Uncategorized · SoftPower News

Music Vibes and Don Julio rule Meditterraneo Tequila Sundowner

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Uhuru Park packed ahead of Raila candlelight vigil

Nationwide candle-lighting ceremony marks start of month-long Mwezi wa Baba programme.

Recently
Uncategorized · Daily News

344 residents in Kigoma accept compensation for SGR project

KIGOMA: A total of 344 residents of Mgeo Street in Buhanda Ward in Kigoma region have accepted compensation and signed…

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

DED WARDA AKABIDHIWA MANISPAA KIBAHA YENYE UKWASI WA SH BILIONI 16.369-SHEMWELEKW

Na Mwamvua Mwinyi, Kibaha ALIYEKUWA Mkurugenzi wa Manispaa ya Kibaha, Dkt. Rogers Shemwelekwa, amekabidhi ofisi kwa Mkurugenzi mpya, Warda Abeid Maulid, akiwa ameiacha Manispaa hiyo ikiwa na zaidi ya Sh bilioni 16 benki, hali inayoonesha kuwa ina ukwasi mkubwa na uwezo mzuri wa kifedha. Shemwelekwa amesema tangu alipoingia katika Halmashauri ya Kibaha Mjini, makusanyo ya mapato yameongezeka kutoka Sh bilioni 7 mwaka 2024/2025 hadi kufikia Sh bilioni 18, sawa na ongezeko la Sh bilioni 11. Amesema kwa mwaka wa fedha 2026/2027, kuanzia Julai hadi Septemba 30, Manispaa tayari imefikia asilimia 50 ya makusanyo, huku akieleza kuwa anaamini Mkurugenzi mpya ataendeleza kasi hiyo na kufikia malengo yaliyowekwa. Ameongeza kuwa Manispaa imejiwekea lengo la kukusanya Sh bilioni 30 ifikapo 2030, sambamba na kuanzisha vyanzo vipya vya mapato katika eneo lenye ukubwa wa ekari 26, ambako Sh bilioni 1.18 zimetengwa kwa ajili ya maegesho ya magari, kituo cha mafuta na shughuli nyingine za kiuchumi. Kwa upande wake, Mkurugenzi , Warda Abeid Maulid, amemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kumuamini na kuahidi kufanya kazi kwa uadilifu na kushirikiana na watumishi katika kuendeleza maendeleo ya Manispaa hiyo. Naye Mbunge wa Kibaha Mjini, Silvestry Koka, amesema matarajio ni kuwa Warda ataongeza chachu ya maendeleo kwa wananchi, huku akimpongeza Shemwelekwa kwa mchango wake katika kuongeza mapato na kuimarisha Manispaa hiyo.

Fri, 02 Oct 2026 14:15:18 +0000
Uncategorized · Chimpreports

CHIMP SPORT: Asefa takes over Crested Cranes Job

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Chimpreports

dfcu Urges Risk-Sharing Mechanism to Unlock Mining Finance

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · HabariLeo

Ndejembi: Umeme chachu maendeleo ya kiuchumi

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Daily News

Ndejembi graces the launch of TANESCO-CRDB Bank deal to expand Tanzanians’ access to power

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Ruto: No billions for absentee landlords at Coast

Ruto says residents will not be evicted as landowners demand billions.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Regulated Saccos - dormant vs total membership

Dormant membership grew by 14.1% to 1.9 million

Recently
Uncategorized · HabariLeo

Hisa wanazomiliki Waatanzania kampuni migodini kuchunguzwa

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · BBC Rwanda

Ni iki cyatumye Nike itakaza ubudahangarwa ku isoko mpuzamahanga y'imyambaro ya sport?

Amakosa yatewe ahanini n'ibyemezo byayo bwite yatumye Nike, ikigo cya mbere ku isi mu bikoresho bya siporo, isubira inyuma mu myaka ishize.

Recently
Uncategorized · Jamhuri Media

JET yaahidi kushiriki kikamilifu kutekeleza miradi ya maendeleo

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Daily News

Tanzania woos Italian investors for value addition

ITALY: TANZANIA has opened its doors wider to Italian investors, seeking capital, technology and expertise to drive production, value addition…

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

Four Years of 1245: Building Experiences at the Heart of Dar’s Social Scene

-1245 reflects on four years of bringing hospitality, music and people together in Dar es Salaam. In Dar, an evening can begin with dinner and end with the whole table singing along to the DJ. Somewhere in between, friends reconnect, someone celebrates a milestone, and plans for “just one drink” become a night worth remembering. For the guest, that experience should feel effortless. Behind it are people working to get the details right: the welcome, the food, the service, the sound and the timing. After four years in business, 1245 Bar, Restaurant & Lounge is reflecting on what it means to create those experiences consistently, and on the wider contribution of hospitality and entertainment to the city. ‘Opening the venue started with a vision. Sustaining it requires listening, adapting and giving people a reason to return. Guests have choices, and every visit is an opportunity to earn the next one. And that is what we strive for each year’ added Opeyemi Sodipe, Chief Operations Manager at 1245. Through its combination of dining, lounge experiences and entertainment programming, 1245 brings several parts of the industry together. Its role extends from hosting guests to creating a setting where music, service and social connection become a shared experience. For 1245, the lesson from four years is that the details matter. A strong lineup can bring people through the door; the experience across the evening shapes what they remember and whether they come back. This thinking is reflected in its upcoming programme, which connects Tanzanian talent with international entertainment while expanding the scale of the guest experience. On Friday, 2 October, a Bongo Flava Night powered by Johnnie Walker will feature Harmonize, Nandy, Abby Chams and Ommy Dimpoz, putting homegrown music at the centre of the programme. Later in the month, 1245 Outside will present 4PLAYS at Superdome Masaki on Saturday, 17 October, featuring Young Jonn and Ms DSF, with a South African dance troupe adding to the performance experience. The event marks the culmination of 1245’s fourth anniversary celebrations. The Alto White Party on Sunday, 18 October, celebrating its sister company, will round off the weekend. The celebrations are supported by Don Julio, Heineken, Air Tanzania and Clouds Media, bringing beverage, transport and media partners into the programme. For guests, the invitation is simple: make time for good company and an evening out. Table enquiries for 4PLAYS can be made through 1245’s official booking channels, with early-bird tickets available at 4plays.1245tz.com 0r +255 748 211 245 This is chess not checkers.

Fri, 02 Oct 2026 13:53:26 +0000
Uncategorized · The Star Kenya

Raila family picks Migwena grounds for 1st anniversary

It indicated a mausoleum for Raila is also being constructed at the site

Recently
Uncategorized · Daily News

Kigoma RC orders newly-appointed DCs to address land conflicts, illegal immigration

KIGOMA: KIGOMA Regional Commissioner, Simon Sirro, has sworn in the newly-appointed District Commissioners in the region and directed them to…

Recently

Page 914 of 1135 · 22694 stories