Search the region
22691 stories
Johnnie Walker Blue Club hosts Inaugural Captain’s Putter at Serena Kigo
Read the full report from the original source.
RecentlyGovt Backs Medical Cannabis Investment, Warns Against Illicit Diversion
Read the full report from the original source.
RecentlyAliyedaiwa kufagia fedha na nywele saluni adakwa
Read the full report from the original source.
Recently𝙈𝘼𝙆𝘼𝙈𝙐 𝙒𝘼 𝙍𝘼𝙄𝙎 𝘼𝙎𝙃𝙐𝙃𝙐𝘿𝙄𝘼 𝙐𝙏𝙄𝘼𝙅𝙄 𝙎𝘼𝙄𝙉𝙄, 𝙈𝙋𝘼𝙉𝙂𝙊 𝙒𝘼 𝙐𝙎𝙃𝙄𝙍𝙄𝙆𝙄𝘼𝙉𝙊 𝙒𝘼 𝙏𝘼𝙉𝙀𝙎𝘾𝙊 𝙉𝘼 𝘾𝙍𝘿𝘽 𝙆𝙐𝙒𝘼𝙒𝙀𝙕𝙀𝙎𝙃𝘼 𝙒𝘼𝙉𝘼𝙉𝘾𝙃𝙄 𝙆𝙐𝙋𝘼𝙏𝘼 𝙐𝙈𝙀𝙈𝙀.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi ametoa wito kwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kwa kushirikiana na wadau husika wa sekta binafsi kuandaa mpango utakaowawezesha wananchi kununua umeme kwa mkopo kama ilivyo mikopo katika mitandao ya simu ili kuwasaidia wananchi wanapokuwa na uhitaji wa umeme lakini hawana fedha. Makamu wa Rais ametoa wito huo wakati wa hafla ya utiaji Saini Mkataba wa Uzinduzi wa Mpango wa Ufadhili wa Uunganishaji Umeme kwa Wananchi, kati ya Benki ya CRDB na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), iliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam. Amesema hatua hiyo itaweza kusaidia wananchi kuendelea kutumia huduma ya umeme na kufanya uzalishaji mali au mahitaji ya nyumbani hata pale wanapokuwa na changamoto ya fedha ya kununua umeme huo. Aidha, Makamu wa Rais ameitaka Wizara ya Nishati kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuendeleza mradi ulioanzishwa chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan wa kuhakikisha wananchi wanaoishi mazingira yanayofanana na kijijini lakini mipaka ya kiutawala inamtambua yupo mjini wanaunganishiwa huduma ya umeme kwa gharama ya shilingi 27,000 kama ya wananchi wa vijijini. Amesema yapo maeneo ambayo ni mipaka ya kiutawala inawatenganisha wananchi kati ya mijini na vijijini lakini wananchi hao maisha yao yanafanana. Makamu wa Rais, amesema azma hiyo, inalenga kufikia lengo la kitaifa, malengo ya “mission 300” pamoja na Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050, kuhakikisha huduma ya umeme inamfikia mtanzania kwa gharama nafuu. Makamu wa Rais ameipongeza TANESCO na Benki ya CRDB kwa hatua hiyo muhimu inayolenga kuimarisha na kuboresha maisha ya wananchi kwa kupata huduma ya umeme. Amesema ushirikiano huo ni mfano bora wa namna ya Taasisi za Umma na Sekta Binafsi zinavyoweza kuwaunganisha watanzania na kuwekeza nguvu na rasilimali ili kutatua changamoto zinazowagusa wananchi moja kwa moja. Kwa upande wake, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dkt. Abdulmajid Nsekela amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa maono na uwepo wa Dira ya Maendeleo 2050. Amesema Serikali na Sekta binafsi kupitia ubunifu itawezesha kutekelezwa na kufanikiwa kwa Dira 2050 inayolenga kujenga uchumi mkubwa, yenye kuzalisha ajira, wenye ushindaji, unaotumia teknolojia na kuboresha maendeleo ya wananchi. Amesema Benki ya CRDB imedhamiria kuwa mshirika wa maendeleo yan chi kwa kutumia uwezo wa kifedha, teknolojia iliyopo, rasilimali ya wataalamu waliopo, mtandao uliopo na ubunifu katika kusaidia kutatua changamoto ya maendeleo ya Taifa. Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, Razaro Twange amesema upatikaji wa umeme umeendelea kuongezeka nchini na ujenzi wa miundombinu ya kusafirisha umeme na kusambaza umeme ikiendelea kujengwa. Amesema Tanzania inafikia megawati 4500-4600 hivi sasa huku kukiwa na mtandao wa kiliometa 9000 za kusafirisha umeme, na mtandao wa zaidi ya kilometa 220,000 wa njia za kusambaza umeme. Utiaji wa Saini wa Mpango wa Ufadhili wa Uunganishaji Umeme kwa Wananchi, kati ya Benki ya CRDB na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), utawezesha wananchi wa maeneo ya vijiji kuunganishwa bure huduma ya umeme kutokana na ruzuku kutoka Benki ya CRDB, na kwa wananchi maeneo ya mijini watapewa huduma hiyo kwa mkopo wa riba nafuu ambao wataweza kuunganishwa umeme na kufanya shughuli za uzalishaji mali.
Fri, 02 Oct 2026 13:37:51 +0000Tourism Investors Urged to Leverage Patient Capital
Read the full report from the original source.
RecentlyStudy: County anti-radicalisation plans failing women
The study found that CAP implementation remained low in most counties, resulting in fragmented interventions and weak coordination
RecentlyArsenal yapata pigo, Tzolis aumia
ARSENAL imepata hofu baada ya winga wake kuumia wakati akiitumikia timu ya taifa ya Ugiriki katika mchezo wa Ligi ya Mataifa dhidi ya Uholanzi.
RecentlyZidane Vs Italia: Miaka 20 baada ya kichwa cha Materazzi
MIAKA 20, imepita tangu Zinedine Zidane alipoweka doa katika mechi yake ya mwisho kama mchezaji kwa kumpiga kichwa beki wa Italia, Marco Materazzi, katika fainali ya Kombe la Dunia 2006.
RecentlyRelief for 7 Supreme Court judges as High Court quashes JSC removal notices
Read the full report from the original source.
RecentlyArusha sees works on roads linking to the AFCON stadium hit 60 percent completion
ARUSHA: THE construction and upgrading of roads linking various areas to the AFCON stadium in Arusha has reached more than…
RecentlyNgorongoro and Serengeti parks’ beauty captivates visiting Indian travel agents
Read the full report from the original source.
RecentlyRaila’s story to light up KICC tower tonight
The projection will take place from 7 pm today.
RecentlyKISHINDO DC MPOGOLO AKIWASILISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM ILALA
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam HALMASHAURI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ilala imepokea na kuridhia Taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya CCM kwa kipindi cha Januari hadi Juni 2026, iliyowasilishwa na Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Jonas Mpogolo, huku ikitoa maazimio manane ya kuimarisha utekelezaji wa Ilani hiyo. Akizungumza baada ya kupokea taarifa hiyo jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ilala, Said Sultan Siddem, amemshukuru Mwenyekiti wa Chama hicho, Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kwa usimamizi na utekelezaji wa miradi ya maendeleo, akisema imegusa maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Ilala na kusaidia kupunguza changamoto zinazowakabili wananchi. Akisoma maazimio hayo, Katibu wa CCM Wilaya ya Ilala, Jesca Msangi, amesema azimio la kwanza ni kumpongeza Rais Dk. Samia kwa utendaji kazi, uongozi na utekelezaji wa miradi ya maendeleo nchini. Amesema azimio la pili ni kuwapongeza Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Elihuruma Mabelya, na Katibu Tawala wa Wilaya hiyo, Charangwa Selemani, kwa kuaminiwa na Rais Dk. Samia kuendelea kuwahudumia wananchi wa Ilala. “Azimio la tatu ni kwamba Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Ilala imepokea Taarifa ya Utekelezaji wa Ilani, maoni na ushauri wa Kamati ya Siasa ya Wilaya, ambayo ilifanya ziara ya ukaguzi wa miradi na imeridhishwa na kazi kubwa ya utekelezaji iliyofanywa na usimamizi wa Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mpogolo,” amesema Jesca. Amesema azimio la nne ni kuhimiza utunzaji wa miradi yote ya maendeleo iliyotekelezwa, ikiwemo barabara, ili kuzuia uharibifu wake muda mfupi baada ya kuanza kutumika. Amesema Serikali imewekeza fedha nyingi katika miradi hiyo, hivyo wananchi na viongozi wanapaswa kuwa na elimu ya uzalendo na kutambua umuhimu wa kutunza miundombinu iliyojengwa katika maeneo yao. Kwa mujibu wa Jesca, azimio la tano ni kusisitiza kuwepo kwa mipango madhubuti ya kukabiliana na athari za mvua za El Niño, ikiwemo kukamilisha kwa wakati miradi ya ujenzi wa barabara, madaraja na mitaro, kusafisha mifereji, kuzoa taka na kuwaelimisha wananchi, hasa wanaoishi maeneo hatarishi na mabondeni, kuchukua tahadhari. Azimio la sita ni kuitaka Serikali kukamilisha mchakato wa kufuta hati ya eneo la Kabimita, Mtaa wa Banguro, ili kuwawezesha wananchi kumiliki ardhi yao kihalali. Azimio la saba ni kuwapongeza wabunge na madiwani wote wa CCM kwa utekelezaji wa Ilani ya Chama, huku azimio la nane likisisitiza Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Ilala, kama chombo kikuu cha utekelezaji wa Ilani kwa mujibu wa Katiba ya Chama, kuendelea kutekeleza wajibu wake wa kukagua, kutoa ushauri na maelekezo, kutoa msukumo pamoja na kuutangaza utekelezaji wa shughuli mbalimbali za Serikali kwa wananchi. DC MPOGOLO Akiwasilisha taarifa hiyo, Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amesema mafanikio yaliyopatikana yanatokana na maono ya Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, pamoja na uwekezaji mkubwa wa Serikali katika miradi ya maendeleo. Amesema moja ya maeneo ya kipaumbele ni maandalizi ya kupokea ongezeko kubwa la wanafunzi wanaotarajiwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2028, maarufu kama Double Cohort. ELIMU Mpogolo amesema Wilaya ya Ilala imetenga Sh bilioni 19 kwa ajili ya ujenzi na uboreshaji wa miundombinu ya elimu, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kupokea wanafunzi wapatao 85,000 watakaojiunga na kidato cha kwanza. Amesema wilaya hiyo inaendelea na ujenzi wa shule za sekondari zenye majengo ya ghorofa, upatikanaji wa vifaa vya elimu pamoja na kuunda kamati maalumu itakayoratibu na kusimamia maandalizi hayo. EL NIÑO Kuhusu maandalizi ya kukabiliana na mvua za El Niño, Mpogolo amesema hatua mbalimbali zimeendelea kuchukuliwa, ikiwemo kuongeza kasi ya ujenzi wa barabara, madaraja na vivuko, kuzibua mitaro na mifereji pamoja na kutoa elimu kwa wananchi kuhusu hatua za kuchukua wakati wa mvua. “Tunataka kuhakikisha barabara zote zinazojengwa pamoja na madaraja vinakamilika kabla ya mvua hiyo kuanza kunyesha, likiwemo Daraja la Segerea–Majumba Sita na Daraja la Bonyokwa, ambayo yako katika hatua za mwisho za kukamilika,” amesema. Amesema hatua za kukabiliana na El Niño zinahusisha maandalizi kabla, wakati na baada ya mvua, huku Jiji la Dar es Salaam likishirikiana na taasisi, wadau na makundi mbalimbali katika kuokoa watu na mali zao. Amesema pia maeneo na vituo maalumu vinaandaliwa kwa ajili ya kutoa huduma mbalimbali, ikiwemo huduma za afya kwa waathirika wa mafuriko. Mpogolo amesema Jiji la Dar es Salaam tayari limetenga fedha kwa ajili ya kukabiliana na athari zinazoweza kusababishwa na mvua hizo, huku akiwataka wananchi wanaoishi maeneo hatarishi, hususan mabondeni, kuhama mapema. USAFI Akizungumzia suala la usafi, Mpogolo amesema Wilaya ya Ilala imeendelea kutekeleza maelekezo ya Rais Dk. Samia pamoja na Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi, kwa kulipa uzito mkubwa ajenda ya usafi. Amesema pamoja na kufanya usafi kwa kushirikiana na wananchi na wadau, wilaya imeboresha njia za kuingia na kutoka katika Dampo la Pugu Kinyamwezi na kuwapa wakandarasi wa uzoaji taka muda wa miezi mitatu kuhakikisha wanakuwa na vifaa vya kisasa vya kufanyia usafi. Amesema pia usimamizi wa sheria ndogo za usafi umeimarishwa kupitia kikosi maalumu kinachojumuisha vijana waliopata mafunzo katika Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Jeshi la Akiba pamoja na wataalamu wa mazingira. Kikosi hicho kina jukumu la kusimamia utekelezaji wa sheria za usafi, kuwakamata wanaokiuka sheria, kuwatoza faini na kuwafikisha mahakamani pale inapobidi. “Lengo ni kuhakikisha Jiji la Dar es Salaam linakuwa safi na wananchi wanajenga utamaduni wa kuwa wasafi wakati wote,” amesema. UWEZESHAJI WANANCHI Kuhusu uwezeshaji wananchi kiuchumi, Mpogolo amesema Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imetoa mikopo yenye thamani ya Sh bilioni 2.4 kwa vikundi vya wajasiriamali, vijana, wanawake na watu wenye ulemavu. Amesema Sh bilioni 22 zipo katika akaunti zikisubiri kukopeshwa kwa walengwa. “Pia Halmashauri imetenga Sh bilioni 6.4 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya kuwawezesha wajasiriamali, hususan wanaonufaika na fedha hizi. Katika Kata ya Pugu tunajenga Kituo Atamizi cha Wajasiriamali, ambacho ujenzi wake unagharimu Sh milioni 990.4, kitakachosaidia kutoa mafunzo kwa wajasiriamali hao na kuongeza thamani ya bidhaa zao,” amesema. MAPATO Akizungumzia suala la mapato, Mpogolo amemshukuru Rais Dk. Samia kwa kuwezesha kuimarika kwa ukusanyaji wa mapato katika kipindi cha miaka minne, ambapo amesema mapato yameongezeka kutoka Sh bilioni 81 hadi kufikia Sh bilioni 171. “Hii ndiyo siri ya ufanisi wa utekelezaji wa Ilani hii. Tunamshukuru Rais Dk. Samia, alipoingia madarakani alitupa utaratibu mzuri wa ukusanyaji wa mapato,” amesema. Amesema Wilaya ya Ilala na Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam zimejipanga kuendelea na utekelezaji wa bajeti ya mwaka wa fedha 2026/27, huku akiwashukuru viongozi wa CCM Wilaya ya Ilala kwa usimamizi wa utekelezaji wa Ilani ya Chama.
Fri, 02 Oct 2026 13:22:16 +0000Behind a Good Night Out Is an Industry Worth Taking Seriously
-1245 reflects on four years of bringing hospitality, music and people together in Dar es Salaam. In Dar, an evening can begin with dinner and end with the whole table singing along to the DJ. Somewhere in between, friends reconnect, someone celebrates a milestone, and plans for “just one drink” become a night worth remembering. For the guest, that experience should feel effortless. Behind it are people working to get the details right: the welcome, the food, the service, the sound and the timing. After four years in business, 1245 Bar, Restaurant & Lounge is reflecting on what it means to create those experiences consistently, and on the wider contribution of hospitality and entertainment to the city. ‘Opening the venue started with a vision. Sustaining it requires listening, adapting and giving people a reason to return. Guests have choices, and every visit is an opportunity to earn the next one. And that is what we strive for each year’ added Opeyemi Sodipe, Chief Operations Manager at 1245. Through its combination of dining, lounge experiences and entertainment programming, 1245 brings several parts of the industry together. Its role extends from hosting guests to creating a setting where music, service and social connection become a shared experience. For 1245, the lesson from four years is that the details matter. A strong lineup can bring people through the door; the experience across the evening shapes what they remember and whether they come back. This thinking is reflected in its upcoming programme, which connects Tanzanian talent with international entertainment while expanding the scale of the guest experience. On Friday, 2 October, a Bongo Flava Night powered by Johnnie Walker will feature Harmonize, Nandy, Abby Chams and Ommy Dimpoz, putting homegrown music at the centre of the programme. Later in the month, 1245 Outside will present 4PLAYS at Superdome Masaki on Saturday, 17 October, featuring Young Jonn and Ms DSF, with a South African dance troupe adding to the performance experience. The event marks the culmination of 1245’s fourth anniversary celebrations. The Alto White Party on Sunday, 18 October, celebrating its sister company, will round off the weekend. The celebrations are supported by Don Julio, Heineken, Air Tanzania and Clouds Media, bringing beverage, transport and media partners into the programme. For guests, the invitation is simple: make time for good company and an evening out. Table enquiries for 4PLAYS can be made through 1245’s official booking channels, with early-bird tickets available at 4plays.1245tz.com 0r +255 748 211 245 This is chess not checkers.
Fri, 02 Oct 2026 13:11:52 +0000Railways corporation, workers' compensation fund ink Sh65 billion four-star hotel, conference project
Read the full report from the original source.
RecentlyGovt Commits to Addressing Hospital Staffing Gaps as Radiographers Cry Out
Read the full report from the original source.
RecentlyMan, 72, drowns after falling into well in Homa Bay
Police said the man slipped and fell into the well while crossing through a homestead.
RecentlyVETA, BGC kushirikiana kukuza ujuzi
Read the full report from the original source.
RecentlyHouseholds face renewed strain as cost of living rises
Read the full report from the original source.
RecentlyKindiki to illicit alcohol sellers: Your days are numbered
He said says the government had intensified efforts to eliminate illicit and harmful alcoholic drinks from the market
RecentlyPage 915 of 1135 · 22691 stories