Unganishwa

Search the region

22682 stories

National · Isango Star

INGINGO Z'INGENZI Z'IMPAMVU YO GUSABA GUHINDUZA AMAZINA

Fri, 02 Oct 2026 13:24:22 +0200
National · Issa Michuzi

NICKSON SIMON AKABIDHI OFISI KWA MKUU WA WILAYA YA KIBAHA

Na Mwandishi Wetu, Kibaha Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kibaha, Mhe. Nickson John Simon, amekabidhi rasmi ofisi kwa Mkuu mpya wa Wilaya hiyo, Mhe. Fadhil Nkurlu, aliyeteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, kushika nafasi hiyo. Makabidhiano hayo yamefanyika leo, Oktoba 2, 2026, na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali, Chama Cha Mapinduzi (CCM), Idara za Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha, Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Vijijini pamoja na viongozi wa taasisi mbalimbali zilizopo wilayani humo. Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo, Mhe. Simon, ambaye amehamishiwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Songwe mkoani Songwe, amesema anaondoka Kibaha akiwa ameacha kumbukumbu nzuri, ikiwemo kusimamia kwa karibu shughuli za ukusanyaji wa mapato ya ndani katika Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha na Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Vijijini. Amesema pamoja na kuondoka Kibaha kiutendaji na kiutumishi, moyo wake utaendelea kuwa na upendo mkubwa kwa wananchi wa Wilaya hiyo, ambao amesema walimpokea, wakamlea na kumpa ushirikiano mkubwa katika kipindi chote alichohudumu. “Naondoka Kibaha kiutendaji na kiutumishi, lakini moyo wangu umejaa upendo mkubwa kwa wana Kibaha ambao walinipokea, kunilea na kunifundisha. Kwa hakika, watu hawa watabaki kuwa sehemu muhimu ya historia ya maisha yangu,” amesema Mhe. Simon. Kwa upande wake, Mkuu mpya wa Wilaya ya Kibaha, Mhe. Fadhil Nkurlu, amesema mafanikio ya Wilaya hiyo yatahitaji ushirikiano wa viongozi wote pamoja na wananchi, akisisitiza kuwa lengo kuu ni kuharakisha maendeleo. Mhe. Nkurlu amesema atahakikisha utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) unaendelea kusimamiwa ipasavyo, huku akisisitiza umuhimu wa viongozi wote kufanya kazi kwa umoja. Amesema maono yake ni kuendeleza kazi nzuri zilizoachwa na Mkuu wa Wilaya aliyemtangulia, huku akiahidi kushirikiana na viongozi wa Serikali, chama, madiwani na watendaji wa Halmashauri zote mbili za Kibaha. “Jambo kubwa ni kuendelea kushirikiana kwa lengo moja la kuleta maendeleo. Tutaendelea pale alipoishia Mkuu wa Wilaya aliyepita na tunatarajia kupata ushirikiano kutoka kwa viongozi mbalimbali wa chama na watendaji wa Halmashauri zote mbili,” amesema Mhe. Nkurlu. Naye Naibu Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha, Mhe. Aziza Mruma, amemkaribisha Mkuu huyo mpya wa Wilaya na kumuahidi ushirikiano kutoka kwa Baraza la Madiwani katika kusimamia na kutekeleza mipango mbalimbali ya maendeleo ya Manispaa ya Kibaha.

Fri, 02 Oct 2026 11:20:46 +0000
Uncategorized · KT Press

Rwanda Moves to Protect Rwf54 Billion Held by Nearly 15,000 Savings Groups

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Capital FM

Kindiki Warns Illicit Alcohol Dealers of Arrests in Intensified Crackdown

NATIONAL NEWS · 5 hours ago

Recently
Uncategorized · Capital FM

Junior Starlets targeting deeper World Cup run

Latest · Harambee Starlets

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

MAWAKALA WA UTALII KUTOKA INDIA WAVUTIWA NA HIFADHI ZA NGORONGORO NA SERENGETI

Mawakala wa utalii kutoka Jamhuri ya India wameelezea kuridhishwa na kuvutiwa na uzuri  wa Hifadhi ya Ngorongoro na Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, kufuatia ziara ya mafunzo (Fam Trip) iliyoandaliwa na Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) kwa kushirikina na Ubalozi wa Tanzania Nchini India Ziara hiyo yenye lengo la kuitangaza Tanzania katika soko la kimataifa la utalii, imewajumuisha mawakala 13  kutoka majiji mbalimbali ya India. Wakizungumza mara baada ya ziara katika hifadhi ya  Kreta ya Ngorongoro iliyotangazwa kama Ajabu ya Nane ya Dunia, walisema Tanzania imebarikiwa kuwa na vivutio vya utalii vya kipekee duniani. “Tumetembea nchi nyingi duniani, lakini kile tulichokiona hapa Ngorongoro ni cha tofauti sana. Muunganiko wa mandhari ya kuvutia, wingi wa wanyamapori katika eneo moja na uhifadhi uliotukuka ni jambo linaoonesha upekee wake, Hakika hii ni sehemu ambayo kila Mhindi anatakiwa kuja kuiona angalau mara moja maishani mwake,” Kwa upande wa Serengeti, mawakala hao walipata fursa ya kushuhudia moja ya maajabu makubwa ya wanyamapori duniani, yakiwemo maelfu ya nyumbu na pundamilia katika harakati za uhamaji, pamoja na wanyama wakubwa watano (Big Five). Mmoja wa mawakala hao  alisema Serengeti imezidi matarajio yao. “Tulikuwa tumesikia mengi kuhusu Serengeti kwenye filamu, lakini kuiona kwa macho yetu wenyewe ni hisia tofauti kabisa. Ni mbuga kubwa, ya asili na iliyohifadhiwa vizuri. Tuliona simba, chui na tembo kwa ukaribu. Huduma za malazi na ukarimu wa Watanzania ni wa hali ya juu,” alieleza. Naye Afisa Masoko wa TTB Bwana  Michael Ndaisaba alisema soko la India ni muhimu na linaendelea kukua kwa kasi, ambapo Ujio wa mawakala hao utachangia kwa kiasi kikubwa kuongeza idadi ya watalii kutoka Bara la Asia. Ziara ya mawakala hao inatarajiwa kuhitimishwa jijini Zanzibar kwa kutembelea vivutio vya utalii wa fukwe na utamaduni.

Fri, 02 Oct 2026 11:15:57 +0000
Uncategorized · The Star Kenya

Pike in critical condition after surviving two lethal injections

Pike’s lawyers have asked for her death sentence to be commuted following the botched execution.

Recently
Sports · Citizen Digital

KPA sink TH3 Swish, edge closer to Women's basketball final

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

14 suspects arrested over alleged money laundering detained for 14 days

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Lumakanda OCS denied bail in case involving alleged defilement of 14-year-old child

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Azam TV Videos

Derby ya Kariakoo kila siku ni mpya, wachambuzi wafunguka.

Wachambuzi wa soka Ramadhani Mbwaduke, Godlisten Muro na Jabir Aziz 'Stima' kuwa hakuna Dabi inayofanana na nyingine, wakieleza kuwa presha, historia na matukio yanayoambatana na mchezo huo huifanya kila mechi kuwa na sura yake. Kwa upande wake Jabir amesema mazingira ya kambi yenye utulivu kama Polokwane yanaweza kuwa rafiki kwa wachezaji kuelekea mechi hizo, kwa kuwa yanawapa nafasi ya kutulia kiakili na kujiepusha na presha inayozunguka Kariakoo Dabi. Ameongeza kuwa kutokana na ushindani wa Simba na Yanga wakati mwingine hisia huenda mbali kiasi cha baadhi ya watu kufikia hatua ya kusahau utu na ubinadamu. Azam TV

2026-10-02T10:32:22+00:00
Uncategorized · Isango Star

Abanyeshuri n’abapolisi bahanganiye mu myigaragambyo ikomeje mu Bufaransa

Abapolisi bashinzwe guhosha imvururu bahanganye n'abanyeshuri bari mu myigaragambyo i Saint-Denis ku wa Kane mu myigaragambyo yamaze gukwira mu gihugu cy'Ubufaransa. Ni mu gihe abanyeshuri bakomeje kwigaragambya bamagana ibibazo bibugarije birimo ibura ry'abarimu.

Fri, 02 Oct 2026 11:29:12 +0200
Uncategorized · PML Daily

Sudhir takes on Rabobank for 820 billion compensation as Crane Bank sale fallout takes new twist

KAMPALA — Ugandan tycoon Sudhir Ruparelia has opened a fresh front in the long-running Crane Bank dispute, taking Rabobank and two of its former senior bankers before a London court over...

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Parties registrar reserves Linda Mwananchi name

The decision follows a judgment delivered by the Political Parties Disputes Tribunal

Recently
Uncategorized · DW Afrique

L'Allemagne l'emporte face à la Serbie

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · TechCabal East Africa

Dangote is testing the market Nigerian startups need to exit

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Capital FM

Lumakanda OCS Denied Bail Over Alleged Defilement of 14-Year-Old

NATIONAL NEWS · 4 hours ago

Recently
Uncategorized · Capital FM

How COVID-19 Turned The Swingin’ Hermlins Into A Global Musical Community

Entertainment · 4 hours ago

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

CA orders emergency SMS to all subscribers ahead of El Niño

The Authority directed the operators to facilitate test runs scheduled for October 2

Recently
Uncategorized · BBC Rwanda

Trump agabisha Irani ko izokwibonerako ni vyaboneka ko ifise uruhara ku vyabereye mu ndege Flydubai

Perezida Donald Trump yaraye agabishije Irani ko ishobora "gukubitwa bikomeye cane" mu gihe vyokwemezwa ko ifise uruhara mu gitero cabaye mu ndege ya Flydubai yatera ija i Tel Aviv.

Recently

Page 918 of 1135 · 22682 stories