Unganishwa

Search the region

22672 stories

Technology · Citizen Digital

Smartphone usage surges in Kenya as connected devices reach 52.3 Million

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Jamhuri Media

GGML inashiriki CSR kwa jamii nchini – Mworia

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Capital FM

COFEK Seeks Review of Sh2.2tn Dangote Lamu Refinery Project

Latest · Business

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

WATCH LIVE: High-Level Meeting on Realisation of the Two-Third Gender Rule

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Man sentenced to 35 years in prison for the murder of his aunt in Kisumu

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Jamhuri Media

Homera ataka kasi na weledi katika utendajikazi

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Jamhuri Media

TPDC Yawawezesha wanafunzi kujifunza sekta ya gesi asilia kwa vitendo

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Citizen

How Wicknell Chivayo became a familiar name in East Africa

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Citizen

Weatherman forecasts rain for Dar, other coastal areas

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Isango Star

Raporo yagaragaje uko ibikorwa bya AFC/M23 byo kurwanya FDLR bikomeje kugira ingaruka ku baturage

Raporo y’umuryango w’Abibumbye yagaragaje ko ibikorwa bya AFC/M23 byo kurwanya abarwanyi ba FDLR muri Masisi, muri Kivu y’Amajyaruguru, bikomeje kwibasira abaturage, bigateza impfu no kuva mu byabo. Ni mu gihe imirwano hagati y'impande zombi ikomeje.

Fri, 02 Oct 2026 09:51:50 +0200
Uncategorized · The Star Kenya

Two men sentenced to 20 years for defilement

The two men were convicted in separate cases involving 13-year-old schoolgirls

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

WANAFUNZI WAFURIKA BANDA LA WAKALA WA VIPIMO MAONESHO YA MADINI GEITA

Na WMA - GEITA Banda la Wakala wa Vipimo (WMA) limekuwa kivutio kikubwa kwa wanafunzi wa shule za msingi, sekondari na vyuo katika Maonesho ya Teknolojia ya Madini yanayoendelea Mkoani Geita, baada ya mamia ya wanafunzi kuendeleq kufurika kujifunza elimu ya matumizi sahihi ya vipimo. Wanafunzi hao kutoka shule mbalimbali za Geita wameonesha shauku kubwa ya kutaka kufahamu jinsi vipimo vinavyolinda haki zao kama walaji, hususan katika ununuzi wa bidhaa za kila siku kama vile gesi ya kupikia, mafuta na hata mizani inayotumika masokoni na madukani. Akizungumza na wanafunzi hao, Meneja wa WMA Mkoa wa Mara Bw. Balisco Kapesa, ambaye ni mmoja wa Watumishi wa WMA walioko katika maonesho hayo, aliwasisitiza wanafunzi kuwa na utamaduni wa kuhoji na kujiridhisha kama kifaa cha kupimia kimehakikiwa na WMA kabla ya kununua bidhaa yoyote, huku akiwaonesha kwa vitendo jinsi ya kutambua stika halali ya WMA kwenye mizani. Kwa upande wake, Mwalimu wa wanafunzi kutoka Shule ya Msingi Zanzui ambayo ni moja ya shule zilizotembelea banda la WMA hao, Mwl. Sofia Kayongo alisema elimu hiyo ya vipimo ni ya vitendo na inapaswa kuingizwa kwenye mitaala ya shule, kwani inamjengea mwanafunzi uwezo wa kuwa mjasiriamali mwadilifu na mlaji makini, badala ya kusoma nadharia tu darasani. Mmoja wa wanafunzi, Blasius Enosy, alisema elimu aliyoipata ni muhimu sana kwake na kwa familia yake, kwani sasa amejua kuwa kama mtungi wa gesi haujapimwa kwenye mzani uliohakikiwa na WMA, basi haupaswi kununuliwa, kwa kaulimbiu isemayo "Kama Gesi Haijapimwa kwenye mzani uliohakikiwa na WMA, Siitaki!" Kwa ujumla, Maonesho ya Madini Geita 2026 yamekuwa fursa muhimu kwa WMA kutoa elimu kwa makundi mbalimbali, huku kaulimbiu ya Wakala isemayo "Kipimo Sahihi ni Haki Yako" ikiendelea kusikika kwa wananchi wengi wanaotembelea banda hilo. WMA inaendelea na utaratibu wa kufikisha elimu ya vipimo kwa makundi mbalimbali wakiwemo wanafunzi ambapo inatekeleza Mpango wa kuanzisha na kuendesha Klabu za Vipimo mashuleni.

Fri, 02 Oct 2026 08:24:59 +0000
Uncategorized · The Citizen

Tanzanian banker earns recognition for digital solution

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Burundi Forum

États-Unis : le Pentagone confie à Musk la guerre de demain face à Pékin

Le Pentagone, en réponse à l’essor technologique de la Chine et aux innovations militaires de la Russie, a lancé le Projet Meridian pour garantir une supériorité technologique dans les conflits futurs. Cette initiative, annoncée le 30 septembre 2026 par Pete Hegseth à...

Fri, 02 Oct 2026 08:21:20 +0000
Uncategorized · The Standard

The cut that divides: Why FGM persists despite campaigns

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Isango Star

INGINGO Z'INGENZI Z'IMPAMVU YO GUSABA GUHINDUZA AMAZINA

Fri, 02 Oct 2026 10:13:22 +0200
Uncategorized · BBC Afrique

Christa Pike est dans un état critique après avoir survécu à deux injections létales, selon son avocat

Les avocats de Pike ont demandé la commutation de sa peine de mort suite à l'exécution ratée.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

EACC arrests two in probe into Sh367m tender

The commission said the alleged irregularities in the procurement process resulted in the loss of over Sh30 million in public funds.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

GGML TUNASHIRIKI CSR KWA JAMII NCHINI - MWORIA

Na Mwandishi wetu, Geita KAMPUNI ya uwekezaji ya Anglo Ashant Gold (GGML) imekuwa ikitumia mpango wa utoaji huduma kwa jamii (CSR) kupitia miradi mbalimbali ikiwemo sekta ya afya, elimu, kilimo na miundombinu kwa manufaa ya jamii. Mkurugenzi wa uendekezaji na mahusiano wa mgodi huo, Gilbert Mworia ameeleza hayo kwenye kongamano la kujadili fursa za uwepo wa mgodi wa GGML uliofanyika ukumbi wa Mkapa kwenye maonyesho ya tisa ya kitaifa ya teknolojia ya madini yanayofanyika viwanja vya Dkt Samia Suluhu Hassan manispaa ya Geita. Mworia amesema kampuni hiyo imekuwa na mchango katika maendeleo ya jamii kupitia ulipaji kodi na uwekezaji katika sekta mbalimbali ikiwemo ujenzi wa barabara, huduma za afya, elimu na uwekezaji katika kilimo ni miongoni mwa maeneo ambayo kampuni imekuwa ikichangia kama sehemu ya wajibu wake kwa jamii. "GGML hutumia kati ya Sh13 bilioni na Sh15 bilioni kwa mwaka kufadhili taasisi, mashirika, Serikali na watu binafsi katika maeneo mbalimbali," amesema Mworia. Amesema wanao wajibu kwa jamii inayowazunguka ili waendelee kupata ridhaa ya wananchi kufanya shughuli zao. "Sisi kama kampuni huwa tunafanya uwajibikaji kwa jamii inayotuzunguka, si Geita tu bali maeneo mbalimbali hapa nchini,” amesema Mworia. Amesema kuwa Halmashauri ya Wilaya ya Geita na Manispaa ya Geita, kampuni hiyo hutenga Sh9.2 bilioni kila mwaka kwa ajili ya miradi katika sekta za elimu, afya, miundombinu, barabara na maji. Ametaja baadhi ya miradi hiyo kuwa ni ushirikiano na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), ambapo kampuni hiyo imeingia mkataba wa miaka mitatu wa kusaidia watoto wenye matatizo ya moyo. Amesema kampuni hiyo ina meli ya huduma za afya inayotoa huduma kwa wananchi wanaoishi katika visiwa 10 vya Ziwa Victoria, hususan katika mikoa ya Geita, Mwanza na Kagera. "GGML imejenga zaidi ya madarasa 1,000, vituo vya afya na zahanati zaidi ya 150 pamoja na kuchangia ujenzi na uboreshaji wa hospitali," amesema Mworia. Ameeleza kwamba mchango wa kampuni hiyo hauishii katika miradi ya kijamii pekee, bali unahusisha pia mchango wake katika uchumi kupitia uwekezaji, ajira, ununuzi wa bidhaa na huduma kutoka kwa kampuni za kizawa pamoja na ulipaji kodi. Hata hivyo, baadhi ya wakazi wa Mkoa wa Geita, wameipongeza kampuni ya GGML kwa namna inavyowezesha miradi mbalimbali ya maendeleo kwenye jamii.

Fri, 02 Oct 2026 08:02:18 +0000
Uncategorized · Techweez

Safaricom AI Pay Lets M-PESA Users Scan Receipts to Pay Instead of Typing PayBill Numbers

Read the full report from the original source.

Recently

Page 921 of 1134 · 22672 stories