Search the region
22671 stories
GEITA YATAJWA KUWA KITOVU CHA FURSA ZA UWEKEZAJI MADINI NCHINI
Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) kwa wawekezaji wa ndani na nje ya nchi, katika Maonesho ya Tisa ya Kitaifa ya Teknolojia ya Madini yanayoendelea Viwanja vya Dk. Samia Suluhu Hassan mkoani Geita. Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya TISEZA, Absalom Kibanda, alisema mbele ya waandishi wa habari Oktoba 1, 2026 kuwa mamlaka hiyo inaendelea kuweka mazingira rafiki yatakayowawezesha wawekezaji kuitumia fursa hiyo na kuongeza mchango wa madini kwenye uchumi wa Taifa. Kwa mujibu wa Kibanda, sekta ya madini ni miongoni mwa maeneo yenye uwezo mkubwa wa kuchangia malengo ya maendeleo ya nchi, huku ukuaji wake ukionekana wazi zaidi mkoani Geita. Naye Meneja wa Kanda ya Ziwa wa TISEZA, Venance Mashiba, alibainisha kuwa mamlaka hiyo inawagusa wawekezaji wote bila ubaguzi, wakubwa na wadogo, kwa msingi kuwa kila kundi lina nafasi katika kukuza uchumi. Mashiba alieleza kuwa TISEZA inashirikiana na taasisi zenye utaalamu wa masuala ya madini katika kuwapatia wawekezaji taarifa na kuwaelekeza maeneo yenye uhakika wa uwepo wa madini. Aliongeza kuwa kuimarisha ushirikiano huo kutasaidia kuongeza ufanisi wa kuvutia uwekezaji, kupunguza changamoto zinazowakabili wawekezaji na kuhakikisha fursa zilizopo zinanufaisha Taifa kwa ujumla.
Fri, 02 Oct 2026 07:06:42 +0000UCHIMBAJI WA KUBAHATISHA KIKWAZO KWA WACHIMBAJI, TEKNOLOJIA YATAJWA KUWA SULUHISHO.
Uchimbaji wa madini kwa kubahatisha umeelezwa kuwa miongoni mwa sababu zinazowafanya wachimbaji wadogo kutumia muda, nguvu na fedha nyingi bila uhakika wa kufikia miamba yenye madini. Akizungumza na waandishi wa habari katika Maonesho ya 9 ya Kitaifa ya Teknolojia ya Madini yanayoendelea mkoani Geita, Geoffrey Wiliam Mkurugenzi wa Kampuni za Amogtech Mine Services,One4s Geomi na Afrex, amesema matumizi ya teknolojia katika utafiti wa madini yanaweza kusaidia kubaini maeneo yenye uwezekano wa kuwa na miamba yenye madini kabla ya kuanza uchimbaji. Mwaselela amesema kampuni hizo hutumia wataalamu na vifaa kufanya uchunguzi wa maeneo ya uchimbaji, ikiwemo geophysical survey, unaosaidia kubaini mwelekeo wa miamba chini ya ardhi na kumpa mchimbaji taarifa za kitaalamu za kuongoza uchimbaji. Amesema hatua hiyo inaweza kupunguza uwezekano wa wachimbaji kutumia fedha na muda mwingi katika maeneo yasiyo na uhakika wa kupata madini. Amesema wachimbaji wadogo wanaweza pia kushirikiana kugawana gharama za huduma za utafiti, hasa pale ambapo wataalamu wanatakiwa kusafiri kutoka maeneo mengine, huku akisisitiza umuhimu wa kuachana na utegemezi wa imani za kishirikina na uchimbaji wa kubahatisha na badala yake kutumia taarifa za kisayansi katika kufanya maamuzi ya uchimbaji. Kwa upande wake, Mhandisi wa Migodi na Meneja wa Uendeshaji wa Kampuni hizo Bi. Martha Mwakajaba, amesema huduma za utafiti wa madini si lazima zitolewe na kampuni za nje pekee, kwa kuwa Tanzania ina kampuni za kizawa zenye wataalamu waliobobea. Amesema upatikanaji wa wataalamu hao ndani ya nchi unatoa fursa kwa wachimbaji wadogo kupata huduma za kitaalamu kwa gharama nafuu na kufanya maamuzi ya uchimbaji kwa kuzingatia taarifa za kisayansi.
Fri, 02 Oct 2026 07:08:39 +0000Kocha Steve Barker anataka ushindi wa 7 mfululizo, Doumbia hana tatizo.
Kuelekea Dabi ya Kariakoo Oktoba 10, Kocha Barker anasema itakuwa mechi ngumu na nzuri lakini hamu yake ni kushinda mchezo wa saba mfululizo kwenye ligi… Kuhusu kuwa na presha… Kocha Barker anasema hafanyi kazi kwa hofu, hakuna presha yoyote kutoka nje inayomsumbua bali ni presha anayojipa yeye binafsi katika kusaka mafanikio zaidi… Kuhusu mshambuliaji wake Ibrahim Doumbia, Kocha Barker anasema hana mashaka naye kutokana na rekodi zake huko alikotoka, na kwamba kinachomsumbua ni presha ya kuhamia timu mpya… Kuhusu kui-miss familia yake, Kocha Barker anasema si rahisi kuwa mbali na familia yake licha ya kuwasiliana mara kwa mara, aeleza mpango wa kuihamishia Tanzania siku zijazo….. Azam TV
2026-10-02T05:57:38+00:00Idrissa Rajabu Abonga Kiarabu, Atangaza Vivutio vya Tangier, Morocco.
KUTOKA MOROCCO: Idrissa Rajabu anaendelea kubonga kwa lugha ya wenyeji (Kiarabu). Hii ni kuhusu Jiji la Tangier na vivutio vyake… Wawakilishi wa Azam TV Idrisa Rajabu na Xavier Ngaweje tayari wamefika katika jiji la Tangier nchini Morocco ambapo Taifa Stars itacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Morocco tarehe 5 Oktoba. Hapa wanatupitisha katika baadhi ya vivutio ndani ya jiji hilo ikiwemo moja kati ya fukwe taaaaamu pembezoni mwa Bahari ya Mediranian. Azam TV
2026-10-02T06:39:08+00:00On Uganda’s energy sector transformation
Why is energy critical to a country? SPECIAL FEATURE | NNANDA KIZITO SSERUWAGI | Energy is one of …
RecentlyClean, repair drainage systems – Second VP
ZANZIBAR: ZANZIBAR Second VicePresident, Hemed Suleiman Abdulla has directed authorities to urgently clean and repair drainage systems in Zanzibar City…
RecentlyDroits humains au Burundi : Un autre rapport de Zongo contesté
Gitega rejette le rapport de Fortuné Gaëtan Zongo, Rapporteur spécial des Nations-unies sur la situation des humains au Burundi. Il alerte sur leur violations et le climat politique avant la présidentielle de mai 2027. Le gouvernement et ses proches contestent son analyse et sa crédibilité. Les activistes, eux, estiment que présenter Zongo comme une menace diplomatique est en réalité une stratégie qui consiste à éviter le vrai débat. Par Jules Bercy Igiraneza
Fri, 02 Oct 2026 07:01:46 +0000What Tanzania manufacturing can do as China’s investment expands
Read the full report from the original source.
RecentlyMZEE WA FACT: Taifa Stars ya Gamondi na matokeo mabovu kihistoria
Read the full report from the original source.
RecentlyForum highlights diaspora investment opportunities
A BUSINESS forum in Dubai has encouraged Tanzanians living and working in the United Arab Emirates to consider investing back…
RecentlyRuto issues title deeds in Mombasa as Coast tour enters final stretch
Read the full report from the original source.
RecentlyHonourable AI is knocking, and Zanzibar has opened the door
TANZANIA: SOMEWHERE in Tanzania, a child is doing homework with an AI assistant. Somewhere else, a politician’s photograph is being…
RecentlyAFCON 2027: Arusha adds culture to football fever
ARUSHA: FOOTBALL fans heading to Arusha for the 2027 Africa Cup of Nations (AFCON) finals will have more than matches…
RecentlySIMIYU RESIDENT MINES OFFICER URGES GREATER TANZANIAN PARTICIPATION IN MINERAL SECTOR
📍GEITA Simiyu Resident Mines Officer, Geologist Makolobela Mayigi, has urged stakeholders to make greater use of available communication and engagement platforms to increase Tanzanians’ participation in the mineral sector. Geologist Mayigi made the call after visiting the Ministry of Minerals Pavilion at the 9th National Mineral Technology and Investment Exhibition at the Dkt. Samia Suluhu Hassan Grounds, Bomba Mbili, Geita, where he commended the creativity demonstrated in showcasing investment opportunities in the mineral sector. He encouraged stakeholders to use various platforms to raise awareness of opportunities available across the sector and enable more Tanzanians to participate and benefit from the country’s mineral resources. The Mining Commission is inviting investors, miners, mineral traders and members of the public to visit its pavilion at the exhibition, which is running from 23 September to 3 October 2026. Visitors have an opportunity to engage with Mining Commission experts and learn about mineral exploration, mining, processing, trading, investment opportunities and modern mining technologies. A key attraction at the Commission’s pavilion is its Mineral Laboratory, which showcases modern mineral testing and analysis technologies, including X-Ray Fluorescence (XRF). The exhibition provides a platform for stakeholders and members of the public to access information, interact with experts and explore opportunities and services available in Tanzania’s mineral sector before the exhibition concludes on 3 October 2026.
Fri, 02 Oct 2026 06:50:12 +0000TANZANIA, QATAR ZALENGA KUIMARISHA USHIRIKIANO WA MADINI KUPITIA STAMICO
-Kampuni za Qatar zaalikwa kushiriki Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini (TMIC) 2026 -Qatar Mining yaonesha utayari wa kushirikiana na Tanzania; wawekezaji waalikwa TMIC 2026 DOHA, QATAR Tanzania na Qatar zimeonesha dhamira ya kuimarisha ushirikiano katika Sekta ya Madini, huku Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) likitajwa kuwa muhimu katika utekelezaji wa miradi ya pamoja, ikiwemo kuwawezesha wachimbaji wadogo. Hayo yameelezwa wakati wa ziara ya ujumbe wa Sekta ya Madini Tanzania nchini Qatar ukiongozwa na Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa, Baada ya kukutana na Naibu Waziri Mkuu Mstaafu wa Qatar ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kampuni ya Thirty Five Investment Holding, Dkt. Khalid Mohamed. Dkt. Kiruswa amesema Tanzania iko tayari kushirikiana na wawekezaji wa Qatar kupitia STAMICO katika miradi mbalimbali ya madini, ikiwemo kuwawezesha wachimbaji wadogo kupata mitaji, teknolojia na mafunzo ili kuongeza tija na ushiriki wao katika mnyororo wa thamani. Amesema ushirikiano huo unakuja wakati Tanzania ikiendelea kufungua fursa za utafiti na uwekezaji, akibainisha kuwa utafiti wa kina wa rasilimali za madini umefanyika kwa asilimia 16 pekee ya eneo la nchi. “Mpaka sasa Tanzania imefanya utafiti wa kina kwa asilimia 16 tu ya eneo lake. Hii ni fursa kubwa kwa wawekezaji kushirikiana na Serikali katika kufanya utafiti na kubaini rasilimali zilizopo,” amesema. Dkt. Kiruswa pia amezialika kampuni za madini na wawekezaji kutoka Qatar kushiriki Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini (TMIC) 2026, utakaofanyika jijini Dar es Salaam kuanzia Novemba 19 hadi 21, 2026. Ameeleza kuwa mkutano huo utajadili fursa za uwekezaji, teknolojia, uongezaji thamani na maendeleo ya mnyororo wa thamani wa madini. Katika mazungumzo mengine, Dkt. Kiruswa amekutana na kuzungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa (Qatar Mining), Abdulaziz Abubakar ambapo ameonesha utayari wa kushirikiana na Tanzania. Ushirikiano huo pia unatarajiwa kwenda sambamba na utekelezaji wa mpango wa Mining for a Brighter Tomorrow (MBT) unaolenga kuwawezesha wachimbaji wadogo, hususan vijana, wanawake na watu wenye mahitaji maalum, kupata mitaji, teknolojia, ujuzi na masoko. Kwa upande wake, Balozi wa Tanzania nchini Qatar, Mhe. Habibu Mohamed, amezialika kampuni za madini nchini humo kutumia fursa za uwekezaji zilizopo Tanzania. Naye, Mkurugenzi Mtendaji wa Qatar Mining, Abdulazizi Abubakar, amesema kampuni hiyo iko tayari kuangalia maeneo ya ushirikiano yatakayochangia maendeleo ya Sekta ya Madini na kunufaisha Tanzania na Qatar.
Fri, 02 Oct 2026 06:53:56 +0000Belgium coach offers no guarantees to Lukaku before Turkey clash
Read the full report from the original source.
RecentlyEthiopia and Eritrea cut diplomatic ties as northern conflict escalates
Latest · Africa
RecentlyEnjoy “Mambo Bado” beat that Bongo Flava misses
DAR ES SALAAM: CRAFTED in a Wazaramo-styled Mdundiko beat, “Mambo Bado”, released in 1982 by Orchestra Makassy, remains the first…
RecentlyWhere sport meets culture, business in Zanzibar
DAR ES SALAAM: SPORT is no longer simply about what happens between the lines. In Zanzibar, the 2027 Africa Cup…
RecentlyUganda yahagaritse ikinyobwa gikekwa kuba kiva mu Burundi kubera kirimwo umuti ukoreshwa muri ‘viagra’.
Urwego rwa Uganda rujejwe kugenzura imiti, NDA, rwategetse ko ikinyobwa citwa 'Boisson Énergétique Très Puissante' gihagarikwa kugurishwa no kunyobwa ku butaka bw’ico gihugu.
RecentlyPage 924 of 1134 · 22671 stories