Unganishwa

Search the region

22630 stories

Uncategorized · Daily News

Tanzania edges closer to nuclear energy revolution

RUVUMA: TANZANIA is on the cusp of a nuclear energy revolution that could reshape its economic destiny and position the…

Recently
Uncategorized · Mwananchi

Bilionea Chivayo, mkewe wafariki ajali ya helikopta

Soma hapa...

Recently
Sports · Azam TV Videos

Usiyoyajua kuhusu mtunza vifaa wa Simba SC, Hamis Mtambo

KUTOKA AFRIKA KUSINI | Je, unajua ‘Kit Manager’ (mtunza vifaa) wa Simba SC ni nani na anafanya kazi gani? Je, unajua aliipataje kazi hiyo, aliipata lini, na kwanini bado yupo hadi leo? Je, unajua anakutana na yapi nyakati za maandalizi ya mechi hasa mechi kubwa?? Ni huyu hapa, Hamisi Mtambo hapa akizungumza na mwenzetu @5mohamedmohamed ambaye ameambatana na kikosi cha Simba kwenye kambi yao ya Polokwane nchini Afrika Kusini. Mtambo ameelezea umuhimu wa nafasi hiyo na mchango wake kwenye mafanikio ya timu lakini anasema changamoto kubwa ni kwamba hakuna kozi rasmi ya kusomea utaalamu huo.

2026-10-01T05:28:35+00:00
Uncategorized · SoftPower News

Trump Inaugurates Era of Super Intelligence

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · KT Press

At The UN, Kinshasa Turns 1994 Genocidaires Into Victims

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · KBC

Two arrested as police raid counterfeit juice factory in Kabete

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Citizen

Counting the losses from bus, truck drivers’ strike

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · SoftPower News

Hegseth Taps Elon Musk to Co-Lead Pentagon’s Future-of-Warfare Project

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

VON unveils new smart appliances, extends warranty to 24 months

The company said the 24-month warranty will take effect on October 1, 2026.

Recently
Uncategorized · Daily News

TANESCO, GGML launch grid expansion

GEITA: THE Tanzania Electric Supply Company Limited (TANESCO) in collaboration with Geita Gold Mining Limited (GGML) have launched a major…

Recently
National · Issa Michuzi

TANZANIA NA UTURUKI KUIMARISHA USHIRIKIANO KATIKA USIMAMIZI WA MAAFA

Na, Mwandishi wetu – Ankara, Uturuki SERIKALI ya Tanzania imesema itaendelea kuimarisha ushirikiano na Mamlaka ya Usimamizi wa Maafa na Dharura ya Uturuki (AFAD), kwa lengo la kuimarisha uwezo wa nchi katika kuzuia na kupunguza athari za maafa, kujiandaa, kukabiliana na dharura na kurejesha hali baada ya maafa kutokea. Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Watu Wenye Ulemavu), Dkt. Jim Yonazi, wakati wa kikao cha pamoja kati ya ujumbe wa Serikali ya Tanzania na uongozi wa AFAD kilichofanyika katika ofisi za taasisi hiyo mjini Ankara, Uturuki ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kikazi nchini humo iliyolenga kuongeza ujuzi na maarifa ya kiufundi, kuimarisha uwezo wa kitaasisi, kujifunza uzoefu wa Uturuki katika kupunguza vihatarishi vya maafa, kujiandaa na kukabiliana na dharura, pamoja na kurejesha hali baada ya maafa kwa kutumia mbinu, mifumo na teknolojia za kisasa. Dkt. Yonazi amesema Tanzania inathamini uzoefu na utaalamu wa AFAD katika usimamizi jumuishi wa maafa na kwamba Serikali itaendelea kuimarisha ushirikiano huo kwa manufaa ya Tanzania na Uturuki, hususan katika kuendeleza mifumo ya kisasa ya usimamizi wa maafa, teknolojia, mafunzo ya wataalam, utafutaji na uokoaji pamoja na uratibu wa hatua za mwitikio wakati wa dharura. “Tanzania itaendelea kujifunza na kushirikiana na taasisi mbalimbali zenye uzoefu katika usimamizi wa maafa, ikiwemo AFAD, ili kuimarisha uwezo wa kitaifa wa kuzuia na kupunguza athari za maafa, kujiandaa, kukabiliana na kurejesha hali pindi yanapotokea,” amesema Dkt. Yonazi. Kwa upande wake, Mkuu wa AFAD nchini humo, Gavana Ali Hamza Pehlivan, ameishukuru Serikali ya Tanzania kwa kuendeleza ushirikiano na Uturuki katika eneo la usimamizi wa maafa na kueleza kuwa AFAD ipo tayari kuendelea kushirikiana na Tanzania katika maeneo mbalimbali ya kitaalamu. Gavana Pehlivan amesema maeneo hayo ni pamoja na matumizi ya teknolojia za kisasa katika usimamizi wa maafa, mifumo ya ufuatiliaji na tathmini ya vihatarishi na madhara ya maafa, maandalizi na mwitikio wa dharura, pamoja na uanzishaji, mafunzo na uendelevu wa timu maalumu za utafutaji na uokoaji na upatikanaji wa vifaa vinavyohitajika wakati wa maafa. Ameeleza kuwa AFAD inatekeleza majukumu yake kwa kuzingatia dhana ya usimamizi jumuishi wa maafa, inayolenga kushughulikia hatua zote za mzingo wa usimamizi wa maafa, kuanzia katika kutambua na kutathmini vihatarishi, kuzuia na kupunguza uwezekano na athari za maafa, kujiandaa, kukabiliana na dharura hadi kurejesha hali pindi maafa yanapotokea. Vilevile, AFAD imejenga uwezo wa kuratibu timu za wataalam na vikosi vya utafutaji na uokoaji vinavyoshughulikia majanga mbalimbali, yakiwemo matetemeko ya ardhi, mafuriko na dharura nyingine, kwa lengo la kuokoa maisha na kulinda mali. Taasisi hiyo pia hushiriki katika uratibu wa utoaji wa misaada ya kibinadamu kwa waathirika wa maafa na kusaidia shughuli za kurejesha hali na makazi katika maeneo yaliyoathirika. Katika eneo la kujenga uwezo wa rasilimali watu, AFAD inaendesha mafunzo na mazoezi ya vitendo kwa wataalam na timu za mwitikio wa maafa kupitia miundombinu yake ya mafunzo, ikiwemo Disaster and Emergency Training Centre (AFADEM). Mafunzo hayo yanalenga kuongeza ujuzi wa kitaalamu, uwezo wa kufanya kazi kwa pamoja na utayari wa kukabiliana na matukio ya dharura. Gavana Pehlivan ameongeza kuwa AFAD pia hushiriki katika ushirikiano wa kimataifa wa usimamizi wa maafa kupitia Timu ya Kimataifa cha Utafutaji na Uokoaji (The International Search and Rescue Advisory Group - INSARAG) ambayo inasimamiwa na Ofisi ya Uratibu wa Masuala ya Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa (UN-OCHA) katika kupeleka timu maalumu za utafutaji na uokoaji na kutoa msaada wa kibinadamu katika nchi mbalimbali pale kunapojitokeza maafa makubwa. Tanzania na Uturuki zimeendelea kuwa na fursa ya kubadilishana uzoefu na utaalamu katika eneo la usimamizi wa maafa, hususan katika teknolojia, mifumo ya taarifa na tahadhari za mapema, mafunzo, utafutaji na uokoaji, uratibu wa mwitikio wa kukabili na urejeshaji wa hali, kwa lengo la kujenga jamii na taasisi zenye uwezo mkubwa wa usimamizi wa maafa.

Thu, 01 Oct 2026 06:53:44 +0000
Uncategorized · Iwacu

Lettre d’Algérie : Le Burundi, fierté de L’Afrique

Certains messages valent plus qu'un communiqué officiel. Celui laissé par Moussa Saïb , Team Manager de la Fédération Algérienne de Football, en quittant le sol burundais, en fait partie.

Thu, 01 Oct 2026 06:50:17 +0000
Uncategorized · The Citizen

Songo Songo deal faces October deadline as Orca handover stalls

Read the full report from the original source.

Recently
National · Daily News

INEC prepares officials for 12 by-elections

TABORA: ELECTION officials appointed to oversee upcoming by-elections have been directed to uphold their oaths of office, adhere to electoral…

Recently
Uncategorized · KT Press

Kinshasa’s Double Standards Exposed at the UN Security Council

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Fury, Joshua kick off 'battle of Britain' in good spirits

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Two arrested over counterfeit juice processing in Kabete

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Citizen

Why BoT retains a 10-year cap for bank executives, board members

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · IWACU English News

Le Burundi au pied du mur, le rêve à portée d’ailes

Le sort n'est point scellé. Il demeure en suspens, à écrire. À l'issue de cette seconde journée, la comptabilité du Groupe I s'apparente à un réquisitoire. L'Algérie caracole en tête avec quatre unités, la Zambie et le Togo talonnent à trois, et le Burundi, notre chère patrie, clôt la marche avec ce point unique, exhalé dans la fournaise d'Intwari face aux Fennecs. Un point, oui. Mais quel point ! Un point arraché aux nues, qui recèle plus de promesses qu'une victoire au rabais.

Thu, 01 Oct 2026 06:44:30 +0000
Uncategorized · Daily News

Iringa intensifies efforts to curb bushfires

IRINGA: IRINGA Regional Commissioner, Mr Kheri James, has directed authorities to take legal action against people found cultivating land after…

Recently

Page 946 of 1132 · 22630 stories