Unganishwa

Search the region

22511 stories

Uncategorized · KBC

NCTC trains government officials on crisis communication

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

PSC to consider dons' concerns in retirement age review

The assurance follows consultations prompted by lecturers' opposition to revised retirement age limits announced by the PSC in March.

Recently
Uncategorized · HabariLeo

Inspekta Ng’anzi alivyoteka Afrika kwa kalamu

Read the full report from the original source.

Recently
National · Issa Michuzi

Bolt Tanzania yashirikiana na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kutoa elimu ya usalama wa safari

Bolt Tanzania, kampuni inayoongoza nchini katika huduma za usafiri mtandaoni, kwa kushirikiana na Serikali ya Wanafunzi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, iliandaa hafla na warsha iliyowakutanisha wanafunzi zaidi ya 300 kujifunza namna ya kutumia vipengele vya usalama katika programu ya Bolt, kuripoti matukio yanayohatarisha usalama na kuchangia safari salama. Kupitia maonesho ya vitendo, maswali ya kupima uelewa wa usalama na mijadala iliyohusisha wawakilishi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA), Polisi wa Usalama Barabarani na Bolt, wanafunzi walijifunza namna teknolojia inavyoweza kusaidia kutimiza wajibu wa kila siku katika matumizi salama ya barabara. Wanafunzi walifahamishwa kuhusu vipengele vinane vya usalama vinavyotumika katika huduma za Bolt nchini Tanzania. “Nimejifunza kuwa namba maalumu za uthibitisho wa safari, yaani Pickup Codes, husaidia kuhakikisha abiria anapanda gari sahihi, huku Driver Selfie Verification ikithibitisha utambulisho wa dereva kwa kutumia picha ya uso wake. Share Trip huwawezesha abiria na madereva kuwashirikisha wengine taarifa za safari inavyoendelea, wakati Ride Check hutambua gari linaposimama kwa muda mrefu usio wa kawaida na kutoa arifa za kuhakiki usalama,” alisema Masanja, mwanafunzi wa mwaka wa kwanza aliyehamia Dar es Salaam hivi karibuni. Rais wa Serikali ya Wanafunzi, Daimoni Mwakigowe, aliishukuru Bolt Tanzania kwa ushirikiano huo, akisema umefanyika wakati mwafaka ambapo muhula wa kwanza umeanza na maelfu ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza wamewasili kutoka mikoa mbalimbali nchini, wakiwa na uhitaji wa kufahamishwa kuhusu maisha ya jijini. Kwa upande wake, Mkuu wa Wanafunzi, Bi. Paulina Mabuge, aliyekuwapo katika hafla hiyo, alisema: “Matumizi ya Bolt yamekuwa sehemu ya maisha ya kila siku kwa wanafunzi wengi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kadiri Tanzania inavyopanua matumizi ya teknolojia ya kidijitali, wanafunzi wanapaswa kuwa mstari wa mbele kuimudu, hasa katika mahitaji muhimu ya kila siku kama usafiri, ili kuimarisha usalama na ufanisi.” Meneja wa Uendeshaji wa Bolt Tanzania, Ludwigy Bwana, alisema ushirikiano huo unalenga kuongeza uelewa wa wanafunzi kuhusu usalama. “Wanafunzi ni sehemu muhimu ya watumiaji wa Bolt, na ushirikiano huu unasaidia kuziba mapengo ya uelewa katika maeneo muhimu kama usalama. Uwekezaji wetu katika teknolojia unaenda sambamba na elimu ya vitendo inayowasaidia abiria na madereva kutambua hatari na namna ya kupata msaada. Vipengele vya usalama huwa na manufaa zaidi pale watu wanapojua kuvitumia. “Vijana, ambao sehemu kubwa yao ni wanafunzi, ni zaidi ya asilimia 70 ya watu nchini Tanzania. Kwa kuwashirikisha wanafunzi, tunalenga kujenga mazoea ya kuzingatia usalama kila siku, ambayo yataenea kutoka chuoni hadi katika familia na jamii,” alisema Ludwigy. Naye Pateli Ngereza, Kaimu Meneja wa Udhibiti wa Magari ya Usafiri wa Abiria na Mkuu wa LATRA Mkoa wa Dar es Salaam, alisisitiza umuhimu wa abiria kudai huduma zinazozingatia kanuni. “Abiria wana haki na wajibu wa kudai huduma zinazokidhi matakwa ya kisheria. Wataalamu na wanafunzi wana wajibu wa kutumia mifumo iliyopo, ikiwemo programu ya LATRA, kuchagua vyombo vya usafiri wa ardhini vyenye leseni, kutumia vifaa vya usalama kama kofia ngumu na mikanda ya usalama, pamoja na kuripoti vitendo vinavyohatarisha usalama,” alisema Ngereza. Hafla hiyo iliwahimiza wanafunzi kuwashirikisha wenzao elimu waliyoipata na kuhakikisha safari za Bolt zinafanyika kupitia programu hiyo, ili waendelee kunufaika na vipengele vyake vya usalama na waweze kuripoti matukio yanapojitokeza.

Fri, 20 Nov 2026 09:00:00 +0000
Uncategorized · The Standard

Ruto defends IEBC, challenges rivals to present alternative policies

The president challenged opposition leaders to leave IEBC to prepare independently for next years elections.

Fri, 20 Nov 2026 19:00:00 +0300
Uncategorized · The Ankole Times

WITHDRAWAL DRAMA! Ministers Move to Forgive Remanded Susan Kushaba as Court Delays Bail Ruling, Fresh Questions Emerge

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Siaya: DPP secures arrest of man in alleged panga attack on woman

The suspect remains at large, and the warrant of arrest has been issued to facilitate his apprehension and subsequent court appearance, ODPP said.

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

COP31: UN Climate summit enters final phase with no deal in sight

Read the full report from the original source.

Recently
Sports · Mwanaspoti

Carlos Forbs mrithi wa Ronaldo Ureno

JE, Ureno imepata mrithi wa Cristiano Ronaldo? Hilo ndilo swali linalozidi kuzungumzwa baada ya kinda Carlos Forbs kuonyesha kiwango bora na kufunga bao la ushindi katika mchezo dhidi ya Wales...

Recently
Sports · Mwanaspoti

Alonso kwenye presha ya makipa

KOCHA wa Chelsea, Xabi Alonso, anakabiliwa na uamuzi mgumu kuhusu nani atakuwa chaguo lake la kwanza katika lango la timu hiyo kuelekea mchezo wa Ligi Kuu England dhidi ya Leeds United...

Recently
Sports · Mwanaspoti

Mziki wa Fadlu wavunja mwiko Ushirika, Moshi

“MMEUONA mziki wa Fadlu!” Hiyo ndiyo kauli iliyotawala kwenye Uwanja wa Ushirika, Moshi, leo, wakati Yanga ilipoibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Polisi Tanzania katika mchezo mkali wa Ligi...

Recently
Uncategorized · The Ankole Times

Fear Grips Alemere Bung Cell as Mysterious Windstorm and Fire Destroy Homes

Read the full report from the original source.

Recently
Sports · Azam TV Videos

Magoli | Polisi Tanzania 0-2 Yanga SC | NBC Premier League 20/11/2026

Cheikh Ibrahim Toure na Peter Shalulile wametikisa nyavu za Polisi Tanzania wakiipa Yanga ushindi wa 2-0 kwenye Dimba la Ushirika, Moshi. Hii ni Ligi Kuu ya NBC. Tazama magoli...

2026-11-20T15:26:34+00:00
Business · Citizen Digital

Gov't selects investors for niobium, chromite and copper mining projects

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Gilgil MP Martha Wangari defects from UDA to Gachagua’s DCP

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Chimpreports

Centenary Bank Strengthens Support for Women Entrepreneurs at 2026 Women Enterprise Conference and Innovation Impact Awards

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

IEBC flags UDA, ODM and DCP over nomination rules

Jubilee Party, now led by former Interior Cabinet Secretary Fred Matiang'i, was among the 11 parties that met the requirements in the first review.

Recently
National · Mwananchi

Tanzania mwenyeji mkutano wa tume za uchaguzi Sadc

Soma hapa...

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

Have we missed our chance to stop climate change?

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Kalonzo-Sifuna cold war threatens Opposition unity

A fresh clash between Wiper allies and Edwin Sifuna has exposed growing tensions within Opposition, raising questions about mutual respect ahead of 2027.

Recently

Page 95 of 1126 · 22511 stories