Unganishwa

Search the region

22602 stories

Uncategorized · The Star Kenya

How can same El Niño cause drought in one part and floods in another?

El Niño’s influence does not stop at the Pacific.

Recently
Uncategorized · Daily News

NEMC orders Morogoro Region’s residents to move away from low-lying areas ahead of El Niño rains

MOROGORO: THE National Environment Management Council (NEMC) has issued three directives to residents of Morogoro Region as part of preparations…

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

How can the same El Niño cause drought in one part of the world and floods in another?

El Niño’s influence does not stop at the Pacific.

Recently
Uncategorized · Business Daily

CBK raises number of bank directors, caps chair tenure

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · UBC

Museveni backs Lamu refinery, says Uganda will proceed with Hoima project

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Kakamega OCS charged for allegedly defiling 14-year-old girl

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Israel says 'jihadist' pilot tried to crash flight from Dubai

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

Tanzania, Algeria Zapiga Hatua za Ushirikiano Katika Sekta Tano

BALOZI wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Algeria, Mhe. Mobhare Matinyi, amesema katika kipindi cha miezi michache iliyopita nchi hizi mbili zimepiga hatua katika sekta muhimu tano na kuweka matumaini ya ushirikiano zaidi katika sekta zingine. Akizungumza leo asubuhi na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vya Algeria kwenye ofisi za Ubalozi wa Tanzania jijini Algiers, Balozi Matinyi alizitaja sekta hizo ambazo Ubalozi umefanikisha zipige hatua kuwa ni za viwanda vya dawa za tiba, nishati, elimu ya juu, biashara ya mazao ya kilimo na ufugaji wa nyuki. Balozi Matinyi alisema juhudi za sasa za serikali za nchi hizi mbili zinafuatia maelekezo ya marais wa nchi hizi kwamba baada ya kuainisha maeneo ya ushirikiano baina ya Tanzania na Algeria sasa ni wakati wa kuyaweka katika vitendo kwa maendeleo ya wananchi wake. “Nilipowasilisha hati zangu za utambulisho mnamo tarehe 10 Juni, 2026, Rais Abdelmadgid Tebboune alisisitiza kwamba sasa umefika wakati wa kuuweka ushirikiano wetu katika vitendo na wakati nikija Algeria Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aliagiza kwamba kutokana na ushirikiano wetu wa kimkakati sasa ni wakati wa kupata manufaa kwa ajili ya wananchi wetu” alisema Balozi Matinyi. Akielezea mafanikio hayo, Balozi Matinyi alisema katika sekta ya viwanda vya dawa za tiba Mamlaka ya Taifa ya Bidhaa za Dawa ya Algeria (ANPP) na kiwanda cha dawa cha Serikali ya Algeria cha Saidal Group, zitafanya ziara nchini mwezi Oktoba kwa mwaliko wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba ya Tanzania (TMDA) ili kujadili namna ya kushirikiana kitaalamu. Balozi Matinyi alisema kwa kuzingatia kuwa katika ukaguzi wa dawa Tanzania ilikuwa nchi ya kwanza barani Afrika kufikia kiwango cha juu (ML3) mwaka 2018 kwa mujibu wa tathmini ya kimataifa (GBT) ya Shirika la Afya la Dunia (WHO) huku Algeria ikiwa na theluthi moja ya viwanda 690 vya dawa Afrika, nchi hizi mbili zinaweza kufikia mafanikio makubwa. “Kampuni ya dawa ya Hikma nayo ipo katika hatua za mwisho za kukamilisha makubaliano ya ushirikiano katika biashara na uwekezaji na kampuni tanzu ya Bohari Kuu la Dawa (MSD) ya Medipharm ili kuhudumia nchi za ukanda wa mashariki, kati na kusini mwa Afrika,” alisema Balozi Matinyi na kuongeza: “Kampuni nyingine binafsi ya Frater Razes inakuja nchini mwezi Oktoba pia kujadiliana na Serikali namna ya kuanza ushirikiano katika biashara na uwekezaji,” alisema Balozi Matinyi. Katika sekta ya nishati Balozi Matinyi alisema Kampuni ya Usafirishaji na Usambazaji Umeme (ETDCO) ambayo ni kampuni tanzu ya Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania (TANESCO), ilifanya ziara nchini Algeria mwezi Julai kujadiliana namna ya kushirikiana kiufundi na kutembelea maeneo ya kiufundi ya Shirika la Umeme na Gesi la Algeria (SONELGAZ) na kiwanda cha vifaa vya umeme cha GISB Electric. Katika ushirikiano kwenye sekta ya elimu Balozi Matinyi alisema: “Algeria ilitoa nafasi 176 za masomo ya juu kwa wanafunzi wa Tanzania ambapo Serikali imeamua kuchagua wanafunzi wenye ufaulu wa juu 150 chini ya mpango wa Samia Scholarship Extended na wanakuja kwa ajili ya masomo ya sayansi, teknolojia, uhandisi na tiba.” Akizungumzia ushirikiano kwenye biashara ya mazao ya kilimo, Balozi Matinyi aliitaja kampuni ya Sarl Anacard’Or ya Algeria kwamba imenunua ghala la kuhifadhia korosho mkoani Mtwara kwa ajili ya kuzileta Algeria. Kampuni hiyo pia inakamilisha mipango ya kuanza ubanguaji korosho nchini Tanzania. Aidha, Balozi Matinyi alisema kampuni nyingine ya Algeria ya kutengeneza mashine za kusindika mazao ya kilimo na dawa pamoja na kufungasha ya CAM Sarl imekubali kutoa ushirikiano kwa Tanzania wa kupata mashine hizo ili kuongezea thamani mazao ya kilimo kabla ya kuuzwa kwenye soko la dunia. Balozi Matinyi alitaarifu zaidi kuwa Tanzania na Algeria zinatarajia kuanza ushirikiano katika sekta ya ufugaji wa nyuki na mazao yake kufuatia ziara ya maafisa na wataalamu wa Wizara ya Maliasili na Utalii na Mamlaka ya Huduma za Misitu Tanzania (TFS) pamoja na wadau wa sekta binafsi mwezi Septemba 2026 ambapo walikubaliana na wenzao wa Algeria kuanza ushirikiano. Balozi Matinyi alimaliza taarifa yake kwa waandishi wa Algeria kwa kuwakaribisha wananchi wa Algeria kuja nchini kujionea fahari ya hifadhi za bonde la Ngorongoro na Serengeti, mlima Kilimanjaro na vilevile kuja kufurahia fukwe maridhawa za Zanzibar. Algiers, Septemba 30, 2026.

Wed, 30 Sep 2026 14:50:30 +0000
Uncategorized · Business Daily

KAM joins battle against controversial factory levy

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Business Daily

What it costs a business to fully comply in Kenya

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · PML Daily

Kansai Plascon Uganda launches 15th edition of Paint and Win promotion

Kansai Plascon Uganda has launched the 15th edition of its flagship Paint and Win promotion, with a total campaign investment of more than UGX 2.2 billion covering promotional prizes and community...

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

Cash Storm Yafika Meridianbet Na Milioni 5 Zikisubiri Wachezaji 20

MSISIMKO umeingia Meridianbet baada ya Cash Storm Tournament kutoka Expanse kuanza rasmi, ikiwaleta pamoja wapenzi wa kasino kwa wiki mbili za burudani, ushindani na nafasi ya kuwania zawadi za pesa taslimu. Kuanzia Septemba 26 hadi Oktoba 8, 2026, wachezaji wanapata nafasi ya kuingia kwenye kinyang’anyiro hiki kwa kuchagua sloti wanayoipenda na kuanza kucheza huku wakifuatilia nafasi zao kwenye msimamo. Safari ya kuelekea kwenye Cash Storm ni rahisi kuanza. Kwa kiasi cha kuanzia Tsh. 500 kwa mzunguko, unaweza kucheza michezo ya sloti inayoshiriki kwenye promosheni na kuendelea kukusanya jumla ya pointi zako. Kadiri unavyoendelea kushiriki, ndivyo unavyopanda kwenye msimamo, huku kila raundi ikiongeza msisimko wa kuona kama utaweza kuingia kwenye orodha ya washindi. Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi. Lakini safari hii si ya burudani pekee, kwani Meridianbet imeandaa jumla ya Tsh. 5,000,000/= kwa ajili ya wachezaji watakaofanya vizuri zaidi. Zawadi hiyo itagawanywa kwa wachezaji 20 bora, hivyo kila hatua kwenye msimamo inaweza kuwa muhimu katika safari ya kuwania sehemu ya fedha hizo. Hapo ndipo ushindani unapoanza kuwa mkali, huku kila mchezaji akitafuta nafasi yake ndani ya 20 bora. Ukiwa unapenda kasino na sloti zenye msisimko, huu ni wakati wa kuchagua mchezo wako unaoshiriki kwenye Cash Storm Tournament na kuanza safari yako. Meridianbet imefungua milango ya wiki mbili ambapo kila mzunguko unaweza kukuweka hatua moja karibu na nafasi nzuri zaidi kwenye msimamo. Usisubiri hadi upepo wa Cash Storm upite, ingia kwenye mchezo na uone safari yako itakufikisha wapi. Cash Storm imefika Meridianbet, na Tsh. 5,000,000 iko mezani kwa wachezaji 20 bora. Chagua sloti yako, anza kucheza kuanzia Tsh. 500 kwa raundi, kusanya pointi zako na fuatilia msimamo hadi mwisho wa promosheni Oktoba 8, 2026. Safari ya ushindani imeanza, na nafasi yako ya kuwania sehemu ya zawadi ipo kwenye mikono yako.

Wed, 30 Sep 2026 06:30:00 +0000
Uncategorized · DW Rwanda

Germany's Deutschlandticket to cost €66.80 from 2027

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · PML Daily

ALEX B. ATUHAIRE | PML Daily Editorial Director

No matter how much progress you’ve made toward your goals this year, now is the perfect time to reflect and reset. Notice what is working and what is not, rethink your...

Recently
Uncategorized · PML Daily

Recharge and Reset: How the Bible Can Help You Finish the Year Strong

No matter how much progress you’ve made toward your goals this year, now is the perfect time to reflect and reset. Notice what is working and what is not, rethink your...

Recently
Uncategorized · KBC

Young women build skills at Field Marshal Muthoni Market in Nyeri

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

The time it takes new technologies to go mainstream

The radio, invented in 1890, achieved mass usage by 1920.

Recently
Sports · Issa Michuzi

Kipyenga cha Mwisho Kuamua Mshindi

SIKU ya kuacha njumu uwanjani imefika ambapo wababe wa Kimataifa kushuka dimbani hapo baadae kusaka pointi 3 za uhakika. Je nani unamuona ataondoka kidedea? Leo hii utapigwa mchezo wa Kundi D wa kufuzu michuano ya AFCON 2027 kati ya Eritrea dhidi ya Afrika Kusini huku timu zote mbili ukiuangalia mchezo huu kwa jicho tofauti sana kwani wote wawili wanahitaji kupata ushindi mnono hapa. Afrika Kusini inaingia kwenye mchezo huu ikiwa na pointi 3 baada ya kuifunga Guinea kwa mabao 2-1, huku Eritrea wao walianza kampeni yao i kwa kupata sare ya 1-1 dhidi ya Kenya mjini Nairobi. Kwa kuwa Kenya ni mwenyeji mwenza wa AFCON 2027 na tayari ina nafasi ya kushiriki fainali, ni timu moja tu kati ya Afrika Kusini, Guinea na Eritrea itakayofuzu kutoka kundi hilo hivyo kila pointi katika michezo hii ina uzito mkubwa. Kwa Eritrea, sare dhidi ya Kenya ilikuwa matokeo yaliyowapa nguvu kubwa kisaikolojia. Kenya ililazimika kusubiri hadi dakika ya 87 kusawazisha goli hilo. Hii inaonyesha kwamba Eritrea si timu inayopaswa kuangaliwa kwa ukubwa wa jina pekee. Bashiri hapa. Je unajua kuwa kuna baadhi ya wachezaji watakosekana kwenye mechi hizo?. Basi kwa taarifa zaidi ingia Meridianbet na kule utajua ni nani na nai hayupo lakini pia kujua misimamo ya makundi mbalimbali. Lakini changamoto yao sasa ni kubwa zaidi kwa sababu wanakutana na Afrika Kusini ambayo tayari imeonyesha uwezo wa kupambana hadi dakika za mwisho. Ushindi huo ulimpa kocha Pitso Mosimane mwanzo wa ushindi katika awamu yake mpya ya kuiongoza timu ya taifa. Afrika Kusini inaweza kuwa na faida ya kisaikolojia kwa sababu imeanza kampeni kwa ushindi dhidi ya mmoja wa wapinzani wake wakuu wa kundi. Lakini mchezo wa Eritrea utakuwa tofauti. Guinea ilicheza kwa ujasiri na kuilazimisha Bafana Bafana kufanya kazi kwa nguvu, wakati Eritrea inaweza kuwa na mpango wa kujilinda kwa kina zaidi na kusubiri muda sahihi wa kushambulia. Kwa hiyo, Eritrea haitahitaji kuingia kwenye mchezo wa kushambuliana bila mpangilio. Itahitaji kuwa na subira, kulinda eneo la mbele ya mabeki na kuhakikisha kwamba kila mpira wanaoupata wakati wa kuvunja mashambulizi ya Afrika Kusini unatumiwa kwa ufanisi. Eneo la kiungo linaweza kuwa sehemu muhimu zaidi ya mchezo huu. Afrika Kusini ikifanikiwa kutawala kiungo, kusogeza mpira kwa kasi na kuwafanya wachezaji wa Eritrea kurudi nyuma, inaweza kutumia muda mwingi ikiwa kwenye nusu ya uwanja ya mpinzani. Pia Eritrea ikifanikiwa kukata njia za pasi na kuzuia Afrika Kusini kupata nafasi kati ya mistari, mchezo unaweza kuwa wa kusubiri sana. Hapo ndipo Afrika Kusini itahitaji uvumilivu kwa sababu kulazimisha pasi za hatari kunaweza kuipa Eritrea nafasi ya kushambulia kwa kushtukiza. Ukiingia Meridianbet unaweza ukaziona mechi zote kwa ukubwa zaidi na kujua nani na nani wanacheza leo.

Wed, 30 Sep 2026 04:00:00 +0000
Health · Issa Michuzi

WAZIRI WA AFYA ATOA MAAGIZO BODI MPYA YA WADHAMINI HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI

Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Afya, Mohamed Mchengerwa, ameiagiza Bodi mpya ya Wadhamini ya Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kusimamia kwa karibu ubora wa huduma, uwajibikaji, matengenezo ya miundombinu na utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Muhimbili Mpya. Mchengerwa ametoa maagizo hayo leo jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa Bodi ya Wadhamini ya Hospitali ya Taifa Muhimbili pamoja na miradi minne ya kimkakati iliyotekelezwa na hospitali hiyo. Miradi hiyo ni Kitengo cha Afya ya Mama na Mtoto Tumboni (Maternal-Fetal Unit), Chumba cha Kisasa cha Upasuaji wa Uzazi (Modular Theatre), Mtambo wa Kuzalisha na Kusambaza Hewa Tiba pamoja na Kliniki ya Huduma za Haraka (Fast Track/VIP). Amesema bodi hiyo imepewa dhamana kubwa ya kusimamia taasisi ambayo ni kituo cha mwisho cha rufaa nchini na yenye jukumu la kutoa huduma za kibobezi kwa wagonjwa kutoka maeneo mbalimbali. “Bodi haiteuliwi ili ikae; inateuliwa ili isimame kwa ajili ya mgonjwa, isimame kwa ajili ya ukweli na isimame hata pale ambapo kusimama kunagharimu,” amesema. Mchengerwa amempongeza Profesa Muhammad Bakari Kambi kwa kuteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi hiyo kwa kipindi cha miaka mitatu, akisema uteuzi huo unatokana na uzoefu na uwezo wake katika kusimamia taasisi kubwa. Amesisitiza kuwa bodi inapaswa kuhakikisha Muhimbili inaendeshwa kwa misingi ya utawala bora, uwazi, uwajibikaji na nidhamu, huku ikishirikiana kwa karibu na menejimenti ya hospitali. Aidha, ameelekeza bodi kuhakikisha vifaa tiba, mitambo na miundombinu vinapatiwa matengenezo kwa wakati ili kuepusha kusimama kwa huduma. Akizungumzia mtambo mpya wa hewa tiba, amesema umegharimu takribani Sh1.63 bilioni na unatarajiwa kuondoa changamoto ya upatikanaji wa hewa tiba ambayo imekuwa ikilalamikiwa katika hospitali hiyo. “Naelekeza usimamizi wa mtambo huu ufanyike ipasavyo, kwa matengenezo kinga kwa wakati, ili huduma iwe endelevu. Hewa tiba ni dawa na dawa isiyopatikana kwa wakati si dawa tena,” amesema. Katika hatua nyingine, Mchengerwa amesema Kitengo cha Afya ya Mama na Mtoto Tumboni kitasaidia kubaini mapema changamoto na hatari zinazoweza kujitokeza kwa mama mjamzito na mtoto akiwa bado tumboni. Amesema huduma hiyo ni sehemu ya juhudi za Serikali katika kutekeleza mkakati wa kupunguza vifo vya mama na watoto wachanga, kwa kuhamisha mfumo wa huduma kutoka kusubiri dharura hadi kuzuia na kutambua hatari mapema. Kuhusu Chumba cha Kisasa cha Upasuaji wa Uzazi, amesema kituo hicho kinapaswa kutumika kupunguza muda wa kusubiri huduma za upasuaji, maambukizi na vifo vya akina mama na watoto. Mchengerwa pia ameagiza hospitali nyingine kubwa nchini kujifunza kutoka mradi huo na kuweka mipango ya kuboresha mazingira ya vyumba vya upasuaji. Akizungumzia Kliniki ya Huduma za Haraka (VIP), amesema huduma hiyo inalenga kuwapa Watanzania wenye uwezo wa kiuchumi huduma za hadhi ya juu nchini na hivyo kupunguza ulazima wa baadhi yao kusafiri nje ya nchi kutafuta huduma. Amesema mapato yatakayopatikana kupitia kliniki hiyo yanapaswa kutumika pia kuboresha huduma kwa wagonjwa wasio na uwezo, kupitia mfumo wa ruzuku mtambuka. “Ubunifu wa mapato usiwe kamwe sababu ya kusahau kwa nini tunakusanya mapato,” alisema. Mchengerwa ametaka kliniki hiyo ijengewe chapa na kutangazwa ili kuwavutia wateja wa ndani na nje ya nchi wanaohitaji huduma za kibobezi. Katika eneo la uwajibikaji, Waziri huyo ameiagiza bodi kuwasilisha ripoti za mara kwa mara zinazoonyesha matokeo ya miradi hiyo, ikiwemo idadi ya akina mama waliohudumiwa, kiwango cha kupungua kwa maambukizi, uzalishaji wa hewa tiba na mapato yanayotokana na Kliniki ya Huduma za Haraka. Amesema takwimu hizo zitasaidia Serikali kupima matokeo ya uwekezaji uliofanyika na kupanga hatua nyingine za kuboresha huduma. Mchengerwa pia ameipa Bodi ya Wadhamini jukumu la kusimamia utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Muhimbili Mpya, akisema ni mradi mkubwa wa kimkakati unaolenga kuipa hospitali hiyo sura mpya inayokwenda sambamba na mahitaji ya Karne ya 21 na Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050. “Katika majukumu ya mara kwa mara ya bodi, mradi huu upewe kipaumbele ili utekelezaji wake uende sambamba na mpango kazi uliowekwa,” amesema. Amesema Serikali inalenga kuifanya Muhimbili kuwa kituo chenye huduma za kibobezi za hadhi ya kimataifa zitakazowafanya Watanzania kupata huduma hizo nchini badala ya kusafiri nje ya nchi. Amewataka wajumbe wa bodi hiyo kutumia uzoefu wao katika tiba, uongozi, fedha, sheria na uhandisi kuhakikisha hospitali inaendelea kuboresha huduma na kutekeleza malengo yaliyowekwa na Serikali. Kwa upande mwingine, ameipongeza Menejimenti ya Hospitali ya Taifa Muhimbili chini ya Mkurugenzi Mtendaji, Dkt. Delilah Kimambo, kwa kusimamia utekelezaji wa miradi hiyo na kuwataka kuendelea kushirikiana na bodi mpya. Amesema uwekezaji katika miundombinu ya afya unapaswa kwenda sambamba na usimamizi madhubuti, ili wananchi wanufaike na huduma bora na endelevu. Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa MNH, Dkt. Delilah Charles Kimambo, amesema hospitali hiyo imenufaika na uwekezaji mkubwa katika kipindi cha uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Amesema miongoni mwa miradi mikubwa ni ujenzi wa Muhimbili Mpya unaogharimu Sh1.2 trilioni, ambao kwa sasa umefikia hatua ya kumpata mshauri elekezi kwa ajili ya utekelezaji. Dkt. Kimambo amesema hospitali hiyo pia imepokea vifaa tiba vya kisasa ikiwemo Mammography, Angio Suite, MRI, CT Scan za kisasa na Hyperbaric Chamber, ambavyo vimeongeza uwezo wa kutoa huduma za vipimo na matibabu ya kibingwa na kibingwa bobezi. Amesema uwekezaji huo umesaidia pia kupunguza rufaa za wagonjwa kwenda nje ya nchi kwa ajili ya kupata huduma za matibabu. Katika hatua nyingine, Muhimbili imezindua chumba cha upasuaji cha kisasa chenye thamani ya Sh1.8 bilioni, kikilenga kuimarisha huduma za afya ya mama na mtoto.

Wed, 30 Sep 2026 14:33:37 +0000
Uncategorized · The Citizen

Tanzania, Qatar sign tax pact to ease cross-border investment

Read the full report from the original source.

Recently

Page 957 of 1131 · 22602 stories