Unganishwa

Search the region

22589 stories

Uncategorized · The Standard

Why Appeals Court nullified Sh2.4bn Ruaraka land compensation deal

The Government has suffered a major legal blow after the Court of Appeal torpedoed a Sh2.4 billion compensation deal at the heart of the controversial Ruaraka land saga

Wed, 30 Sep 2026 14:00:00 +0300
Uncategorized · Issa Michuzi

TRAMEPRO YATAJA CHANGAMOTO ZA NGOs, YATOA MAPENDEKEZO

Shirika la Dawa Asilia na Ulinzi wa Mazingira Tanzania (TRAMEPRO) limetaja changamoto mbalimbali zinazokabili Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs) nchini, ikiwemo uhaba wa rasilimali fedha, utegemezi wa wafadhili, uwezo mdogo wa kitaasisi na kitaalamu, pamoja na changamoto za utawala bora na uwajibikaji. Katika taarifa iliyowasilishwa kwenye Mkutano wa Jukwaa la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Mkoa wa Dar es Salaam, TRAMEPRO limesema changamoto hizo zinaweza kupunguza uwezo wa mashirika kutekeleza shughuli zao, kuwafikia walengwa na kuhakikisha uendelevu wa miradi yao. TRAMEPRO limependekeza Serikali na wadau wa maendeleo kuongeza fursa za ruzuku kwa mashirika yenye miradi yenye tija, huku NGOs zikitakiwa kujenga mifumo endelevu ya mapato kupitia wanachama, ubia na shughuli halali za uzalishaji mali. Aidha, shirika hilo limependekeza kuimarishwa kwa mafunzo katika maeneo ya uandishi wa miradi, usimamizi wa fedha, utawala bora, matumizi ya teknolojia na ufuatiliaji wa matokeo. TRAMEPRO pia limeitaka Jukwaa la NGOs Mkoa wa Dar es Salaam kuimarisha ushirikiano kati ya mashirika, Serikali, sekta binafsi na taasisi za utafiti, pamoja na kuongeza ushiriki wa NGOs katika mipango ya maendeleo ya Serikali za Mitaa. Shirika hilo limesisitiza kuwa uendelevu wa NGOs hauhitaji fedha pekee, bali pia uongozi bora, uwajibikaji, ushirikiano na uwezo wa kuonesha matokeo yanayopatikana kwa wananchi. Imetolewa na: Boniventura Mwalongo, Katibu Mkuu wa TRAMEPRO.

Wed, 30 Sep 2026 11:16:21 +0000
Uncategorized · Citizen Digital

Ocon to leave Haas at end of F1 season

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

'Lekki proved it can be done, Lamu must repeat it,' Dangote says at refinery launch

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Observer Uganda

When art makes people uncomfortable

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Observer Uganda

Uganda launches $1.6B tourism push from Mbale

In the shadow of Mount Elgon in Mbale, local hotel owners and tour guides gathered at the weekend, weeks after global health authorities delivered the…

Recently
Uncategorized · Techweez

CBK Licenses 29 New Digital Lenders, Bringing Total to 281

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

‘Mjipange!’ Ruto warns brokers over Lamu oil refinery

“I know you have had a different experience in Kenya," Ruto said.

Recently
Uncategorized · Capital FM

Juja MP George Koimburi challenges charge sheet in alleged abduction case

Latest · NATIONAL NEWS

Recently
Health · The Observer Uganda

Magoola makes Africa’s 100 most influential list

For a Ugandan patient who depends on an imported cancer medicine, an award for a scientist will matter most if it eventually helps make treatment…

Recently
Sports · Agence Burundaise de Presse

Éliminatoires CAN-2027 :Les Hirondelles décrochent leur premier point face aux Fennecs

Read the full report from the original source.

Recently
Business · The Star Kenya

Dangote puts Lamu refinery on 40-month deadline

Dangote said he expects Ruto and other African leaders to return to commission the refinery within 40 months.

Recently
Business · Daily News

Tanzania seeks private sector’s investment to advance its air transport system

DAR ES SALAAM: THE Deputy Minister for Transport David Kihenzile has urged the private sector to increase investment in air…

Recently
Business · Issa Michuzi

TRAMEPRO YATOA WITO WA MAZUNGUMZO YA DHARURA KUTATUA MGOGORO WA MADEREVA

Dar es Salaam, Septemba 29, 2026 — Shirika la Dawa Asilia na Uhifadhi wa Mazingira Tanzania (TRAMEPRO) limetoa wito kwa Serikali, madereva, wamiliki wa mabasi na malori pamoja na wadau wengine kukutana haraka na kufanya mazungumzo ya kutafuta suluhu ya mgogoro wa usafirishaji nchini. TRAMEPRO imesema kusitishwa kwa baadhi ya huduma za usafirishaji wa abiria na mizigo kumeathiri shughuli za wananchi katika maeneo mbalimbali, ikiwemo Dar es Salaam, Dodoma, Mwanza, Morogoro, Mbeya, Njombe, Ruvuma na Kilimanjaro. Shirika hilo limeeleza kuwa sekta ya usafirishaji ni muhimu kwa uchumi na maisha ya wananchi, hivyo mgogoro ukiendelea unaweza kuathiri usafirishaji wa abiria, chakula, dawa, mafuta, mazao na bidhaa nyingine muhimu. TRAMEPRO imeitaka , LATRA na mamlaka nyingine husika kuitisha kikao cha dharura, kusikiliza madai ya madereva na kuhakikisha hatua zinazochukuliwa zinafuata sheria na haki za pande zote. Aidha, madereva wametakiwa kutumia njia za kisheria na za amani katika kuwasilisha madai yao, huku wamiliki wa mabasi na malori wakitakiwa kuheshimu haki, usalama na ustawi wa madereva. TRAMEPRO imesisitiza kuwa haki ya dereva, mwajiri, abiria na mwananchi inapaswa kulindwa. “Haki ya mmoja isiwe sababu ya kuvunja haki ya mwingine.” Taarifa hiyo imetolewa na Boniventura Ferdinand Mwalongo, Katibu Mkuu wa TRAMEPRO.

Wed, 30 Sep 2026 10:48:03 +0000
Business · Capital FM

Sugar Workers Threaten Strike Over Sh2.7bn Unpaid Arrears

Latest · NATIONAL NEWS

Recently
Business · The Star Kenya

Dangote: Why ex-President Obasanjo calls me ‘my boss’

Dangote said Obasanjo frequently refers to him as his boss whenever the two meet.

Recently
Business · HabariLeo

Sekta binafsi zahimizwa kuwekeza katika usafiri wa anga

Read the full report from the original source.

Recently
Business · Business Daily

Treasury payroll reforms to end sacco remittance delays

Read the full report from the original source.

Recently
National · Business Daily

State confirms new bosses at Epra, GDC and Ketraco

Read the full report from the original source.

Recently
National · Citizen Digital

WATCH LIVE: Bishops and pastors on the state of the nation

Read the full report from the original source.

Recently

Page 963 of 1130 · 22589 stories