Search the region
22511 stories
Germany news: Bremerhaven port to receive defense boost
Read the full report from the original source.
RecentlyThe world's most valuable sports brands by market cap
Nike ranks as the world’s most valuable sports brand.
RecentlyMSF annonce son retrait progressif d’Ansongo au Mali
Read the full report from the original source.
RecentlySHA gives health facilities Wednesday deadline to migrate to new digital system
Read the full report from the original source.
RecentlyAlessandro Villa présente ses lettres de créance au président Ndayishimiye
L’ambassadeur de l’Union européenne au Burundi, S.E. M. Alessandro Villa, a officiellement présenté ses lettres de créance au président de la République du Burundi, Évariste Ndayishimiye ce 29 septembre 2026. Cette cérémonie marque le début officiel de sa mission diplomatique au Burundi, deux semaines après la remise des copies figurées de ses lettres de créance au ministre des Affaires étrangères, Édouard Bizimana. Par Jules Bercy Igiraneza
Tue, 29 Sep 2026 17:19:02 +0000How a Berlin-based developer turned Lagos traffic into a viral game
Read the full report from the original source.
RecentlyPercentage distribution of deaths by road user type, 2025
Pedestrians made up the second-largest category of victims, accounting for 37% of total fatalities.
RecentlyMbadi: Kenya willing to grow stake in the Dangote refinery
Read the full report from the original source.
RecentlyHFB taps Centenary veteran Moses Oroto to drive business, institutional banking
KAMPALA — Housing Finance Bank (HFB) has appointed Moses Mande Oroto as Head of Business and Institutional Banking, bringing more than two decades of experience in corporate, institutional, public sector, SME...
RecentlyDRC: Early access to care and oxygen decisive for Ebola patients’ survival – WHO
Read the full report from the original source.
RecentlyCS Mbadi: Ruto has no shares in Ksh.2 trillion Dangote Lamu refinery
Read the full report from the original source.
RecentlyUganda Launches TIN-to-NIN Transition for Individual Taxpayers
Read the full report from the original source.
RecentlyRwanda attends the 11th AIIB Annual Meetings in Qatar
Read the full report from the original source.
RecentlyWATENDAJI WA UCHAGUZI WATAKIWA KUZINGATIA VIAPO
Na. Mwandishi Wetu, Tabora WATENDAJI wa uchaguzi wamesisitizwa kuheshimu viapo vyao na kutekeleza majukumu kwa kuzingatia Katiba, sheria na kanuni wakati wote wa utekelezaji wa majukumu yao. Wito huo umetolewa na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Jacobs Mwambegele leo tarehe 29 Septemba, 2026 mkoani Tabora wakati akifungua mafunzo ya watendaji wa uchaguzi. Mafunzo hayo ni sehemu ya mchakato wa maandalizi ya uchaguzi mdogo wa ubunge kwenye Jimbo la Chamwino Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino, Mkoa wa Dodoma na Kata 11 za Tanzania Bara unaotarajiwa kufanyika tarehe 04 Novemba, 2026. “Ninawasisitiza kuheshimu viapo vyenu kwa nafasi mlizoteuliwa, tekelezeni majukumu yenu kwa kuzingatia Katiba ya Nchi, sheria za uchaguzi na kanuni zake, kanuni za maadili ya uchaguzi na maelekezo mbalimbali yanayotolewa na yatakayotolewa na Tume katika kipindi hiki cha uchaguzi,” amesema Jaji Mwambegele. Amewaelekeza watendaji hao kuhakikisha kuwa wakati wote wa mchakato wa uchaguzi huo, wanavishirikisha kwa karibu vyama vyote vya siasa vyenye usajili kamili na wadau wengine wa uchaguzi katika maeneo yao kuhusu masuala ya kiuchaguzi ambayo wanastahili kushirikishwa. Ameongeza kuwa watendaji hao wanapaswa kuvipatia vyama vya siasa orodha ya vituo vya kupigia kura ili kuviwezesha kupanga mawakala. “Ni muhimu kwenu pia, kuhakikisha mnayatambua na kuyajua vyema maeneo ambayo uchaguzi utaendeshwa ikiwemo miundombinu ya kufika katika vituo vya kupigia kura,” amesema Jaji Mwambegele. Amewaasa watendaji hao kuhakikisha kuwa pamoja na uzoefu ambao baadhi yao wanao katika uendeshaji wa uchaguzi, wanaepuka kufanya kazi kwa mazoea kwa kuwa kila uchaguzi unatofautiana na uchaguzi mwingine. Jaji Mwambegele amewasisitiza watendaji hao kuhakikisha wanaajiri watendaji wa vituo wenye sifa, weledi, wanaojitambua na kuachana na upendeleo kwa ndugu na jamaa ambao hawana sifa za kufanya shughuli za uchaguzi. “Mhakiki vifaa vya uchaguzi mnavyopokea kutoka Tume na kuhakikisha kila mkuu wa kituo anapata vifaa vyote vya uchaguzi vinavyohitajika mapema na kuhakikisha siku ya uchaguzi mnaweka utaratibu utakaowezesha kila kituo cha kupigia kura kufunguliwa saa 1:00 asubuhi,” amesema. Mafunzo hayo ya siku tatu yanawajumuisha waratibu wa uchaguzi wa mikoa, wasimamizi wa uchaguzi, wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi ngazi ya jimbo na kata, maafisa uchaguzi, maafisa ununuzi na wahasibu. Kata 11 za Tanzania Bara zitakazofanya uchaguzi wa Udiwani ni Nonde iliyopo Halmashauri ya Jiji la Mbeya; Lugenge, Halmashauri ya Mji Njombe; Bargish, Halmashauri ya Mji Mbulu; Makole, Halmashauri ya Wilaya ya Muheza; Mwera, Halmashauri ya Wilaya ya Pangani na Oldonyosambu, Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro. Nyingine ni Igalula iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Uyui; Shelui, Halmashauri ya Wilaya ya Iramba; Mvumi, Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa; Nyarero, Halmashauri ya Wilaya ya Tarime na Ilolangulu, Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe. Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Jacobs Mwambegele akizungumza leo tarehe 29 Septemba 2026 mkoani Tabora wakati akifungua mafunzo ya watendaji wa uchaguzi kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma na Kata 11 za Tanzania bara.(Picha na INEC). Sehemu ya washiriki ambao ni watendaji wa Uchaguzi kutoka katika Jimbo la Chamwino Mkoani Dodoma na Kata 11za Tanzania Bara wakifuatilia hotuba ya ufunguzi. (Picha na INEC).
Tue, 29 Sep 2026 16:35:21 +0000TASAC, YAFANYA SENSA YA MAJARIBIO YA VYOMBO VYA MAJINI
Na Chalila Kibuda , Bagamoyo SHIRIKA la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), kwa kushirikiana na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), limefanya zoezi la majaribio ya Sensa ya Vyombo vya Usafiri Majini Tanzania Bara kwa mwaka 2026 katika maeneo ya Pwani ya Bagamoyo. Zoezi hilo limefanyika ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Sensa hiyo, kwa lengo la kupima uelewa na uwezo wa washiriki katika kutekeleza mafunzo waliyopatiwa, pamoja na kubaini changamoto zinazoweza kujitokeza wakati wa ukusanyaji wa taarifa. Akizungumza wakati wa zoezi hilo, Mwenyekiti wa Kamati ya Wataalamu Wanaoratibu Sensa hiyo, Nahodha Alex Katama, amesema zoezi la majaribio limekwenda vizuri na washiriki wameweza kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia maelekezo na mafunzo waliyopatiwa. Amesema Sensa ya Vyombo vya Usafiri Majini inatarajiwa kuanza Oktoba Mosi na kukamilika Oktoba 25, mwaka huu. Kwa mujibu wa Katama, zoezi la majaribio limewapa washiriki wanaohusika na ukusanyaji wa taarifa fursa ya kufanya kazi kwa vitendo, hatua iliyowasaidia kujenga uelewa na uzoefu wa namna ya kukusanya taarifa sahihi kutoka kwa wadau wa sekta ya usafiri majini. “Kwa ujumla, zoezi limekwenda vizuri. Washiriki wanaokwenda kukusanya taarifa wameweza kufanya majaribio kama walivyofundishwa, jambo ambalo linatupa imani kuwa watakuwa tayari kutekeleza zoezi la Sensa kwa ufanisi,” amesema Katama. Kwa upande wao, wavuvi pamoja na wajenzi wa vyombo vya usafiri majini, wameeleza utayari wao wa kutoa ushirikiano katika zoezi hilo kwa kutoa taarifa zinazohitajika ili kuwezesha upatikanaji wa takwimu sahihi na zenye ubora kuhusu sekta ya usafiri majini nchini. Mtengenezaji wa vyombo vya majini, Said Doto, amesema watatoa ushirikiano wakati zoezi hilo litakapoanza ili kuiwezesha Serikali kupata taarifa zitakazosaidia katika kupanga na kuendeleza shughuli za karakana za ujenzi wa vyombo vya majini. “Tutatoa ushirikiano ili Serikali iweze kupata taarifa sahihi na kupanga mipango mizuri kwa upande wa karakana za vyombo vya majini,” amesema Doto. Naye Mtakwimu wa TASAC, Ally Njama, amesema zoezi la majaribio limefanikiwa na kutoa uzoefu muhimu kwa washiriki kabla ya kuanza kwa zoezi rasmi. Amesema ushirikiano wa wadau wakati wa Sensa hiyo utasaidia kuhakikisha taarifa zitakazokusanywa zinakuwa sahihi na kuwezesha zoezi kufanyika kwa ufanisi. Sensa hiyo inalenga kupata taarifa muhimu kuhusu idadi na aina ya vyombo vya usafiri majini, pamoja na shughuli za ujenzi wa meli na vyombo vingine vya majini Tanzania Bara. TASAC na NBS zimeendelea kuhamasisha wadau wote kushiriki kikamilifu katika zoezi hilo kwa kutoa taarifa sahihi na kwa wakati, ili kuiwezesha Serikali kupata takwimu zitakazosaidia katika kupanga, kusimamia na kuendeleza sekta ya usafiri majini nchini.
Tue, 29 Sep 2026 09:23:29 +0000M-Pesa, Airtel Money can invest customer deposits under new Bill
Read the full report from the original source.
RecentlyFood-safety tips ahead of El Niño rains
Heavy rains are expected between October and December 2026
RecentlyWATCH LIVE: CS National Treasury John Mbadi presser on Dangote Refinery Investment
Read the full report from the original source.
RecentlyKenya bags Rwanda fuel deal as 40,000 tonnes dock at Mombasa Port
Read the full report from the original source.
RecentlyOutrage as KDF officers detain human rights team along Malindi-Lamu highway
The officers had covered their faces and refused to identify themselves when challenged by the human rights team.
Tue, 29 Sep 2026 18:46:41 +0300Page 975 of 1126 · 22511 stories